NAAMINI KILA MTU ATACHUKUA PALE PANAPO MFAA KATIKA WIMBO HUU, KAMA NAWEWE HUTAKI KUWA SHILEMBE GONGA LIKE HAPA NA MUNGU ATAKUSAIDIA MAANA BILA MUNGU HATUWEZ KUUSHINDA USHILEMBE.
@sarahlyanga37664 жыл бұрын
Annoint Amani I wish siku niimbe na wewe nakupenda
@debrahalibalishow14154 жыл бұрын
Mdogo wangu Mungu akutunze sana wimbo mzuri sana tumepoteana tena mawasiriano yako nilienda Canada nikabadirisha simu tuwasiriane ni Dada Celline kutoka London Mungu akubariki sana
@mlokolekaokoka89624 жыл бұрын
@@debrahalibalishow1415 Unaweza kuwasiliana nae kwa namna izo hapo juu amekuwekea +255767240181
@nuruanaqoqona82844 жыл бұрын
@@sarahlyanga3766 Utaimba nae tu Omba Mungu wakat wa Mungu ndo mzuri ,Mimi niliomba kwa mda mrefu sana na Mungu akajibu maombi yangu , tayar nimefanya collabo na Annoint Kwakweli nabarikiwa sana kuwa mmoja wa walio shiriki kipawa cha kipekee cha huyu kijana .
@e.j.starelia56724 жыл бұрын
Nakuombea mtumishi Wa Mungu
@stellasulle1396 Жыл бұрын
Tusibishane Sana mana muda umekwisha na hako ka bass Sasa!!
@wene32 Жыл бұрын
Wacha nibandilike nisiwe kama shilembe🎉
@ashleymechack52654 ай бұрын
Amen
@paulynenanjala319 Жыл бұрын
A nice one . Having friends that are hypocritical pretending to love but they bite is likened to Mr shirembe "clean on the outlook but inward a devil reincarnate
@ritanamutos4558 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah thank u man of God wakenya wapiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RubaR-nr5wz Жыл бұрын
😭😭😭😭😭ak kwakweli huu wimbo umenigusa siwezi zuia machozi kutoka
@vallaryayumah59013 жыл бұрын
Wapi like angu huu wimbo umeniguza saana
@washantiekerry9454 жыл бұрын
Nice song wakenya mko wapi gonga like tukisonga
@carolinemwangi5965 Жыл бұрын
Tuko hapa
@NeemaAizaki Жыл бұрын
🙏🥳
@NeemaAizaki Жыл бұрын
Nimeupend mwimbo wako 🥰🥰
@shadrackymwesigye8951 Жыл бұрын
We Ugandans we love it t What a wonderful message
@givensolomon8989 ай бұрын
Wonderful song.
@JudithLivingston-gk2jg Жыл бұрын
Kiukweli kupitia nyimbo Hii lazma kama umeanza kurudi nyuma lazma ujirudi tena❤👍🏼💙💗
@scolasimiyu1713 жыл бұрын
Sitaacha kucomment kila niwatch hicho ni kipawa kikubwa ambacho umebarikiwa mtumishi wa MUNGU, so amazing
@augustuskateeofficial69452 жыл бұрын
#amina ukwel mtupu huo#siku ya hukumu laja#mwanadamu tukiri dhambi zetu kwa pamoja#mwimbo mzuri huo mungu abariki ww sana.
@joycesinkala2252 жыл бұрын
Aiseee umeimba kwaisia kaka mungu abariki kazi yako Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿♥️♥️♥️♥️💓💓❤️❤️❤️💓❤️❤️
@raphaelsaitoti36633 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Sana kaka nasikub as li Kaz sako mm pia no muimbaji nataka nipige kolabo na wewe
@ibrahimmaroa57672 жыл бұрын
ni kali Kaka yangu mungu amulinde unyu musani wetu mimi ni ibrahim maroa kutoka Kenya kehacha 🙏💥👍🏽🚶🆗
@kiswaswaduolgii-gv6yb Жыл бұрын
Nakupenda sana tangu ulivokuja Kwa mwaka benga
@elinahkerubo6360 Жыл бұрын
Shilembe jamani really like that part..... much love
@sheilanekesa21303 жыл бұрын
Huu wimbo unanijenga Sana kimaisha
@DanierImanuer Жыл бұрын
Nice song kakaaa
@charlesjacksontz2674 жыл бұрын
Mungu mtukuze mwanao kama alivyokutukuza wewe jina lako ni kibwa sana, Ufalme wako uje kwake daima na milele, hili neno nimetoa kutoka ndani anoint nimimi Charles jacksont tz Muimbaji hii pale Mwisho ndiyo nimeguswa zaidi ya maelezo
@mitumekwaya82234 жыл бұрын
Hakika namimi nimeomba ivyoo Mungu ainue huduma yakeeeee
@samuelmbuvi33202 жыл бұрын
Walevi ndio kafiri,tufanyeje jameni
@lediciacheilax4831 Жыл бұрын
Every time this song is new. Its making me stronger every day
@JonestaPonsian Жыл бұрын
Waoooooo amaizing
@evaline887 Жыл бұрын
Ooh goodness I wish all to hear this message very powerful Mungu fungu masikio yangu coz ya huu ujumbe amen.may God increase you more sir
@catherinemurugi37184 жыл бұрын
Team Kenya gather here pls 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ritanamutos4558 Жыл бұрын
I really really love ur songs mtumishi continue giving us the right messeges sir
@vdjpeter254kasarani24 жыл бұрын
Hii ni kali sana...wenye masikio na wasikie hii...Annoint Amani thank you...much love from 254 Kenya.
@nyashnyash31824 жыл бұрын
Team saudia gonga like tusije tukawa wakina shilembe
@VINCENTMUTEMI-do2bd9 ай бұрын
Hongera sana kwa wimbo mzuri sana.Ina upako wa kipekee.
@liliyanzindu4474 Жыл бұрын
Good work amani 👋🙏🦸God to bless you
@evanswasio77503 жыл бұрын
Hi,mungu azidi kukongeza kipaji bro AMani......pia mm naomba mungu anifungulie njia siku moja tukutane ili uniongoze kwa kuimba....mungu ako na wewe.....soma yeremiah 17:5 amebarikiwa ule amtegemeaye bwana maana ufalme wa mbiguni n wake n amelaaniwa ule amuaminiaye mwanadamu mwenzie cz amelaaniwa Amina usiku wa haraka na matunda mema na walilie wakina shirembee
@jolemerci21552 жыл бұрын
Asante mtoto wangu barikiwa kwa kiwango kuokowa mwanadamu kwa nyimbo za ku tafuta mungu kwa ujasili🙏🙏
@jethrovkasereka53332 жыл бұрын
Wimbo umenibariki sana. Haswa kwenye historia ya Shilembe
@mr.magembe82423 жыл бұрын
Jamani ivi Kuna wasanii kumbe wazuri hivi daah wimbo mzuri na wenye ujumbe Sana. Hongera Sana Mungu akukumbuke Sana mwimbaji katika maisha yako
@khebbetydikson41952 жыл бұрын
Daaaaaa niwimbo uliozungumza kiatu Cha kweli kabisa 👏💕 tu wasafi nje lkn ndani hatutendendi yanayompendeza mungu 😳
@onlight7 Жыл бұрын
I really like your songs annoint amani let the hands of God be upon you
@mercyjeptoo54432 жыл бұрын
Most of our churches clean outside wanaacha inside heart Hii song siwezi kaa siku moja Bila kuiskiza Juu ya hiyo story natafuta mwanamume I'm born 1998
@febronianyangwala75243 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa nyimbo na jumbe nzuri
@jenivaabas33673 жыл бұрын
Kwakweri wimbo huu unanifariji sana hats kama Nina mawazo yanaisha mungu akufunue uendele kuimba amina
@farajakasikile88464 жыл бұрын
Good music kwa mdahuu ndo izi ngoma nzuri messege nzuri kabisa naamini watu wana kwenda barikiwa na kubadilika ili wamurudie kristo
@khamisishomary62074 жыл бұрын
Nzuri sana inanikosha mm nyimbo hii
@silviamwende41313 жыл бұрын
Good music I really love this song listening from Kenya much Agape love from this side ,fainali ni kesho jameni tumrudieni mungu siku ya hukumu yaja
@pollygaceri40273 жыл бұрын
I keep on listening to this Song every time... Mungu abariki Kipaji chako +254🇰🇪 tunakupenda sana
@naomimusic32482 жыл бұрын
Such, ablessed vessel, you re ablessing to me, your songs are, very powerful
@emmahmoraa1773 Жыл бұрын
His is a good song
@CelestineShikami-y5c Жыл бұрын
Enda kwa mungu 😅😮🎉🎉❤
@enockndale84724 жыл бұрын
AMEN AMEN ANNOINT MUNGU AKUBARIKI SISI SIO KAFIRI KWANI TUNAMUABUDU MUNGU ANAEISHI WAAMBIE WAJUE KWANI HAO NDO MAKAFIRI AMENI ,UJUMBE UMEFIKA NA UMEGONGA NDIPO
@hennezasharon37693 жыл бұрын
Wow barikiwa kaka Mungu azidi kukuinua kwa kazi yake
@patriciasimon40162 жыл бұрын
Nzuli sana mungu akutunze mtumishi
@migelesborn85524 жыл бұрын
NAPENDA SANA WIMBO HUU SANAAAA..GOD BLESS YOU Annoint Esau
@mlokolekaokoka89624 жыл бұрын
twende kazi hii M1 haraka kuliko nyengine maana hii INA nguvu saana ,
@muhamedmasud94223 жыл бұрын
Vidio
@marrialee16212 жыл бұрын
May God forgive us ad have mercy on us,our hearts are full of envey, bitterness and anger towards others, father God 🙏🙏 help us to be cleaned outside and inside
@annekayi2734 жыл бұрын
Ei nyimbo zako jameni zina masegi, zina mafuzo kweli barikiwa dungu
@Mrblack289044 жыл бұрын
Nilikuwa bado sijaeliwa wimbo huu badaa ya shilembe ndo nikaelewa. I appreciate you bro 💯👊🙏
@febroniamallya99854 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@lubuvaathuman66853 жыл бұрын
@@febroniamallya9985 xxxxxx
@collinsmugunah23204 жыл бұрын
i love you you and your songs brother....wapi likes za Annoint??
@Melisacr11474 жыл бұрын
Anoint mía mía hii ngomaaa umepiga mteule
@fearful2542 жыл бұрын
Kweli hizi ni siku za mwisho Mungu atusaidie
@judithondari50659 ай бұрын
Shilembe ni wengi kwa kanisa letu, nawaombea wamrudie mungu🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kamutua63764 жыл бұрын
clear message to all those like shilembe. i believe i am one but Willing to change❤❤❤🙏🙏🙏
@alexinamushila9186 Жыл бұрын
Wooow
@faithkatumbi3104 Жыл бұрын
Amani your songs are soo powerful...l love them so much...may God bless you and give you strength
@christinasahani15592 жыл бұрын
Hongera Sana imenibariki Sana mungu akubari
@upendombwilo442 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi ujumbe mzuri
@RachelKabadi Жыл бұрын
Yesu yuaja
@perisbeib21263 жыл бұрын
Kaka Amani Nyimbo zako zanibariki sana Mungu Akutendee mema maishani mwako na Mungu azidi kukuinua kipaji chako 💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Nabarikiwa Nikiwa katika inchi yangu niipendayo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@florenceflesh2 жыл бұрын
Adday
@frankkapinga8363 жыл бұрын
Ubarikiwe songa mbele Yesu yuko na wewe
@sabinamkwabi83793 жыл бұрын
Good message. Ubarikiwe Mtumishi.
@dianaoyengo84402 жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibariki blessings from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@judykalekye78082 жыл бұрын
This is great I love it. God bless you brother
@julitamwadime50732 жыл бұрын
Good song.God bless you,from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@estermachea33734 жыл бұрын
DADYYYYYYYYYY HIII IME TUFIKISHA MBINGUNI,, ,HONGERA KWA VIDEO NZURI , KULE MWISHO NIMELIA SAANA YANI HAYA YOTE NI MAFUNUO YA MUNGU MWENYEWE ,
@adolfbaguma46224 жыл бұрын
Amen amen
@callenogachi63164 жыл бұрын
Amen.Amen
@CelestineShikami-y5c Жыл бұрын
Thanks 👍 anoint amani ❤😂🎉😢😮😢😅
@rosebor53163 жыл бұрын
Sauti pekee takes me to heaven
@marybaitwa59943 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akubariki baba
@marcombena62078 ай бұрын
Kazi nzr kaka tunabarikiwa na nyimbo zako
@happinesselisa9802 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akubariki 🙏🏼🙏🏼
@ErickKhayoko-v2j Жыл бұрын
Nice song listening from kenya
@silverymanirakiza96704 жыл бұрын
Mimi niko Washington marekani lakini hiyo nyimbo inaogopesha sana kwamwenye zambi
@josephamollo40174 жыл бұрын
Asante sana Bro.... Hiyo wimbo INA funzo nzuri....barikiwa sana.....Joseph hapa Kenya... Meru Town
@barakarwechungura34862 жыл бұрын
Mungu ukuuonoze
@jeffersonmwandima93743 жыл бұрын
This is the kind of gospel need to be emphasized.
@nuruanaqoqona82844 жыл бұрын
HII NYIMBO IMENIFUNZA JAMBO KUBWA SANA ALAFU SHILEMBE DUU ,NA HII VIDEO NIMENYOSHA MIKONO HAKIKA HAPA GHARAMA IMETUMIKA NAOMBA MUNGU UTAPE MATOKEO YALE ULIYO YAONA WAKAT UNAGHARAMIKA JUU YA WIMBO HUU, KILA KONA SHILEMBE ITAPETA
@janetadolf37933 жыл бұрын
Hongera Kwa nyimbo mzuri kaka'.kweli mungu alikuchagua Kwa kazi yake.
@braysonmrema29903 жыл бұрын
amen mungu akulid
@bikemwatv.4 жыл бұрын
Kazi njema sana mtumishi wamungu annoint esau Amani mungu akubariki sana kaka:
@evodianyabakali88684 жыл бұрын
Kiukweli nimebarikiwa xana xana.
@NeemaAizaki Жыл бұрын
Wow nice sana
@janetojwangmusic2212 жыл бұрын
God bless you man of God 🙏.
@gracedeejcsev52113 жыл бұрын
Mungu pekee ndiye anajua umeumbwa na nini. Anakujua zaidi kuliko nafsi yako na anajua ni nini kizuri kwako. Utiifu wako utakuepusha na maumivu mengi. hongera ndugu yangu ✋
@freredellykulita7312 жыл бұрын
Amen Amen ni kweli mungu tusaidiye
@elizabethlukale44743 жыл бұрын
Woow tuwe wasafi ndani .si nje .be blessed
@lydiamuthemba74893 жыл бұрын
May this song help us not to be shilembe
@florencemwende76603 жыл бұрын
I cry when I listen to this song. This Minister can bless the name of the Lord
@namikabamupama47242 жыл бұрын
Wimbo muzuri sana
@biancasumaya19923 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako zina nifariji , Mungu akubariki 🇨🇩🇨🇩
@giftikakule89022 жыл бұрын
Amen amen barikiwa sana MTUMISHI wa mungu
@manmsafi4 жыл бұрын
Kaka nyimbo zako zanibari Sana! mungu akubariki zaidi.
@janetojwangmusic2212 жыл бұрын
I love 💕 this song.... WOW this one nd super star... Powerful.
@elizabethnafunamakhanu89423 жыл бұрын
😭😭😭Blessing song barikiwa sana
@faithkamanthe34483 жыл бұрын
Juu wimboooo ....uko poa🙏
@carolinederi56902 жыл бұрын
Every evil doer is "KAFIRI" I never know thank for the message, be blessed my brother
@veronicaerasto72494 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana, kweli umepewa kipawa cha uimbaji Mungu azidi kukufanikisha katika kazi yake,,,.
@margarethkitalu31053 жыл бұрын
Keep moving forward mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏
@JuliusMbise-c2w5 ай бұрын
haleluyah nyimbo nzuri sana hakika
@neemasanga45364 жыл бұрын
Woiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, piga keleeeeeee kwa anoit Fainal nikeshoooooooooo, Piga keleee ya pili kweke Weweeeeeeeeeeeeeeeeeee