Kauli ya Katibu Mkuu Emmanuel Nchimbi inapaswa ielekezwe kwa Rais Hussein Mwinyi.
Пікірлер: 76
@zinjibaryetu845110 ай бұрын
Fantastic analysis iliojaa logic & facts.. CCM Zanzibar haijawahi kushinda uchaguzi wowote na wala haina uwezo au njia ya kushinda bila kutumia nguvu, dhulma na aina zote ya utapeli wanazotumia kwenye kila uchaguzi. Hussein Mwinyi analijua hilo na alilijua toka siku ya mwanzo alipoletwa Zanzibar kwa escort ya jeshi kuja kuivamia Zanzibar na kujipachika uraisi kijeshi. Very well done baba kwa kuwaamsha waliolala
@rogersiddy10 ай бұрын
Ukitulia nakuyasikiliza kwa makini sana maneno ya GURUMO alafu nikirejea nyuma nikiyasikiliza maneno ya Mh Raisi Samia Suruhu Hassani aliposema majeshi yajiandae na chaguzi hii ndo maana yake sasa yaan washajua hawashindi ila wanajiandaa mapema asante Gurumo ubarikiwe sana
Shida inakuja maslahi ya baadhi ya wa2 yataisha na ogopa maslahi ni ki2 kibaya sn
@zinjibaryetu845110 ай бұрын
Hapa umesema point kaka... kuna shida gani Tanganyika kuiachia Zanzibar ikapumua. Zanzibar na Tanganyika tungekua majirani wema na kama biasgara na uchumi basi nchi mbili hizi zingefaidika sana kwani kila mmoja ana tunu Mungu alizoipa, ni maskitiko makubwa kuiona Tanganyika ikiingangania Zanzibar wakati Tanganyika ina kila aina ya utajuri kuanzia ardhi, madini, milima, wanyama pori na kadhalika. Zanzibar ikiwa huru Tanganyika haitakosa chochote katika hizo zake kwani hizi ni nchi mbili tofauti
@margarethpolepole743810 ай бұрын
Ngurumo Serikali ya Umoja wa Kitaifa ijitoe isijitoe hawapati kitu Dr Hussein Mwinyi anafanya kazi vizuri sanaaaa
@ahmedalbalooshi851810 ай бұрын
Margaret,hayo yanakuwa baada utumiaji nguvu, udanganyifu,mauwaji na vipigo kwa wale wasionahatia
@suleimanmuhammad-bu7pe10 ай бұрын
Tunadhalilika nchi yetu wenyewe
@HajiMakame-m8l10 ай бұрын
Leo mshare wako umepiga ndipo ccm zanzibar tumeichoka hatuitaki ccm ishatuzulumu sana ishauwa watu wengi sana
@abochejuniorhutingwa22310 ай бұрын
Umenena vema, na hicho ndicho kilio cha watanzania wote. Tunahitaji Uhuru na Haki tunahitaji kujitawala na kuongozwa na watu tuliowachagua wenyewe kwa kura zatu.
@maisarirajab484610 ай бұрын
Hakuna raisi ata mmoja alieongoza zanzibar ambae amechaguliwa na wazanzibari isipokua wote wamewekwa tu tanganyika huo ndio ukweli
@KijukuuMtemi10 ай бұрын
Tusemee baba maana sisi wazanzibar tunaogopa kusema ukwel # tunataka tunataka ehh tunataka nchi yetu Sasa tumechoka
@mohamedturanardan887110 ай бұрын
Nchimbi huijui Zanzibar, kaa kimya
@salummohamed268910 ай бұрын
Ukijifanya unaijua Zanzibar Kuna siku utakimbia mchamchaka wa marathoni.
@AbdullahAli-o8z10 ай бұрын
Kiufupi Zanzibar na wazanzibari Asilimia 95 hawaitaki serekali ya CCM wameichoka haswa
@sebastianmwantuge559710 ай бұрын
Neno "HAKI" CCM hawataki kulitamka,we wasikilize popote wanapozungumza
@AnisetMushi10 ай бұрын
Haya sio ya Zanzibar, ni ya TZ yote.
@richardnganya231110 ай бұрын
Kwa uchaguzi sehemu na sehemu ! CUF ya Maalim Seif iliwahi kushinda uchaguzi Pemba yote na majimbo kadhaa Unguja ! Ubabe ukatumika na kutangaza uongo...
@MWIGAADAM-r3e10 ай бұрын
Mama samia anakaz kubwa na ngumu sana mwaka 2025 hasa kwa upande wa huko Zanzibar maana yy ndo rais wa Tanzania,ndo mwenyekiti wa WAZAYUNI WANAZI NA MAHARAMIA pia ni mzanzibari wakutoka huko na ndie mwenye mezani ya democrasia mikononi mwake wazanzibari wamekaa nakusubir kuona vpi ataucheza mchezo huu?.acha tuendelee kuangalia movie
@alijuma800910 ай бұрын
Leo umeguza ndipo
@willygwaikana10 ай бұрын
Uhuru kwa Tanzania ni sawa na uhuru wa kufyeka alipojificha nyoka.
@TeamKRX10 ай бұрын
Yaani huyu mwinyi ndie kenge mkubwa mwizi anataka atutokomeze wanzanzibar atatokomea yeye na kizazi chake na wanzanzibar walowachache hawamjui hasa huyo mi ccm mnafiki msikiti hatoki kama Imamu jamani sijui anawaona wanzanzibar alowapeleka mbele ya haki kwa kuwauwa wanamjia mana anasawali Nini ananuka damu
@SaadIssa-c9o10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@SalumSaid-j8g10 ай бұрын
Bila ccm madhubuti nchi yetu itayumba
@ahmedalbalooshi851810 ай бұрын
Itayumba kivipi?
@msabahaali75810 ай бұрын
hakika serekali ya ccm bora ya kikoloni mfano leo ata vitambulisho vya Uzanzibari wapinzani hawapewi,ajira ndani ya Zanzibar kwa vijana wa wapinzani na wapemba imekua ngumu kwao ubaguzi mauwaji unyang'anyi wa haki mifumo ya mahakama ya Zanzibar yote imejaa dhuluma kiukweli ccm imechokwa na haitakiwi
@fabby118110 ай бұрын
CCM haijachokwa Bali sisi wenyewe hatutaki kuochoka Kwa vitendo, tunasubiri sana kama yutaendelea kusubiri
@MathewNathan-yb2bz10 ай бұрын
Wakoloni walikuwa bora sana kuliko hawa wakoloni weusi.Hebu angalia chaguzi za wenzetu zilivyo huru na haki hususani senegal .yaani hadi raha.
@MathewNathan-yb2bz10 ай бұрын
@@fabby1181 umemuelewa kweli mwandishi Ngurumo au unakomenti tu.Kama isingechokwa ingepora uchaguzi.Msikie karume kwa umakini.
Maneno yako nikweli Nataka kukurakibisha kidogo Serikali iliopinduliwa 1964 ni prime minister Mohd Shamte wa vama 2 viloungana ZNP+ ZPPP Sultan Jamshid alikuwa construction Monarac Hajawa na use mine wowote na dani ya serikali Na hiyo serikali ya mohama Shamte katika mawaziri wenye asli ya kiarabu ni 3 watstu tu waliobski ni waShirazi / waSwahili / mmoja asli Muhindi na wailing asli Comorians Haijawa serikali ya Waarabu
@abdallahmohd377710 ай бұрын
Kiukweli ss wanzazibar tulishinda uchaguzi.tangu 1963.natunafahamu kuwa nnchi yetu yalitokeya mapinduzi.lakini waliofanya hayo mapindz asilimia kubwa ni watu.ambao walikuwa hawana asili ya nchi hii kwaiyo ndiwo awo awo walotamani zanzibar na tanganyika iwe nchii moja jambò ambalo sisi wazanzibar hatuwezi kukubali nibora watuuwe sote iliwafanikiwe.kuwa na serekali moja tanzania mzima.wazanzibar kama hatujashtuka basi tudubiri amri za watanganyika wasio ipendelea mema nchi yetu
@natafutamatatizo438210 ай бұрын
SAMIA SULUHU NA ATAWAPELEKEA WANAJESHI WAZANZIBARI WENZAKE NA KUWAMALIZA, MAANA CHAMA CHA MASHETANI HAWATOKUBALI KUSHINDWA!
@salummohamed268910 ай бұрын
SI VIBAYA MCHUNGAJI AKIPENDA AKALA KONDOO WAKE.
@kassim126210 ай бұрын
Halafu utaskia wana nia njema na znzb nawznzbar
@ZaitunAbdallah-ol1bb10 ай бұрын
Heko ngurumo mia kwenye mia leo umesema ngurumo pokea mauwa yako
@MathewNathan-yb2bz10 ай бұрын
Karume aliongea ukweli wa Mungu na huo ndio ukweli.
Hio inaitwa kma hamunipi basi mnamwaga ugali na mie na mwaga mboga bas tukose wote.😮
@stanslausmchonde789210 ай бұрын
...ungeunganisha na yule mama mtu mzima aliemwambia Kitila Mkumbo "...kama haujui mambo ya Zanzibar kaa kimya na akawaambia afanye mambo matatu waliokubaliana na Marehemu Maalimu Seifu..."
@yaronaWilliam10 ай бұрын
Mchambuzi uko sahihi, kauli ya Mchimbi Haina ukweli wowote, kuundwa Serikali ya umoja wa kitaifa si fadhila ya ccm bali ni lazima Hilo lifanyike kulingana na mazingira yalivyo.
@omarabdallah388310 ай бұрын
CCM wanapozungumza neno haki hawalitaji wachunguzeni,kubwa utasikia amani na utulivu, bila haki utapata wapi amani na utulivu.
@MoEd-k8w10 ай бұрын
Yaan mgombea urais katika nchi ya zanzibar anapitishwa katika nchi nyingine yaan tanganyika na anongoza kwakulinda maslahi ya waliomteua yaan ccm na sio wenye zanzibar yao yaan wananchi
@edsonnelson446410 ай бұрын
Lakini hata yeye pia alikuwA anautaka Urais
@MathewNathan-yb2bz10 ай бұрын
Cham cha mapinduzi huko Zanzibar ,chaguzi zote kinapora uchaguzi.Hii sio sawa na sio HAKI kabisa.Hii ni sawa na kufanya uhaini.Chama cha mapinduzi badilikeni,tendeni haki hata hao wapinzani nao wana haki ya kutawala.Hatutaki ukoloni mweusi sisi.
@sonnyr189910 ай бұрын
Ngurumo unatowa mawazo yenye chemsha Bongo sana ili uonekane we ni mtu huru basi chambuwa demokrasia ndani ya Chadema pia kama ipo.
@MoEd-k8w10 ай бұрын
Kwahiyo demokrasia ya Chadema Ina uhusiano na aliyochambua kuhusu Zanzibar? Au kwakufanya hivi unajaribu kusema wanayofanya CCM wapo sahihi?
@sonnyr189910 ай бұрын
@@MoEd-k8w Hapa nielewe vizuri nakubaliana na wewe kuwa Ccm kuna madudu ila swali langu liko hapa sijawahi msikiya Ngurumo akihoji chochote kuhusu Chadema. Je Chadema ni kusafi????? We kama unayo video hata moja akichambua kasoro yoyote kutoka Chadema nitumie nitashukuru.
@ndimimaskati364110 ай бұрын
Uhuni wa magufuli na genge lake unaendelea kwenye chaguzi zilizofanyika Tanganyika, watu ni wale wale wa magufuli wanaendeleza kupora uchaguzi, 2025 yatafanyika yale yale ccm itachukuwa kwa nguvu uchaguzi wote kuanzia Tanganyika mpaka Zanzibar. ZANZIBAR tumeletewa kiongozi Mnafiki kazi yake kujionesha Misikitini hana hata moja la HAKI analolifanya kazi ni DHULMA TUPU.
@edsonnelson446410 ай бұрын
MwAcheni Magu apumuzike
@Onlyforfun1992tube10 ай бұрын
Bwana kama vipi tugawane mema ya nchi kila mmoja apate pesa toka serikalini kila mtu ale keki ya taifa
@froma373210 ай бұрын
Hebu tuweke Sasa hi History Serekali ya Zanzibar ilipinduliwa sio ya Sultan ilikuwa Serekali ilochaguliwa kwa Kura
@MalengoKai10 ай бұрын
MAUNGURUMO tukukumbushe historia ya kweli ya zanzibar,enzi ya utawala wa sultani hakuwahi kupinduliwa utawala uliopinduliwa ni wa wazanzibar wenyewe na mpinduzi mwenyewe kiongoz alitokea kwenu tanganyika ni mwendazake msipotoshe watu
@donatusnicolaus640310 ай бұрын
Bro sina hakika sanaaa na usalama wako, hoja zako zitajibiwa Kwa risasi kwa ninavowajua Hawa watu ambao haki kwao iliishia kipind Cha zama za Ujima
@ezekielmabwai48210 ай бұрын
Utampataje huyo, yupo Kanada anakula Bata
@josephlorri43110 ай бұрын
Huyu alikimbia nchi kwa mbinu za medani enzi ya chuma... kuna clip aliongelea jinsi walivyotafuta kichwa chake..kwa sasa wamechelewa..mama kafungua nchi@@ezekielmabwai482
@saidmakombeni515510 ай бұрын
Hakuna Mzanzibari mwafrika anaekubaliana na wewe bibi ngurumo. Vibaraka wa wamanga wasahau kufanya mwafrika mtumwa kamwe
@muhammedbakari286710 ай бұрын
Ww hata ukinuna huo ndio ukweli.mzanzibari ni mzanzibari tu hatuna mweusi Wala mweupe huo ndio ubaguz unaleta ww shetan ushindwe na utokomee kwenye uchi wa mamaako.hivi unajuwa tunahasira kias gan chunga sana tutakumeza mzima mzima..lusifa ww..
@sultansallah877210 ай бұрын
Hivi kwann leno HAKI linarukwa
@festokemibala583210 ай бұрын
Neno hilo gumu kulitekeleza ukiwa na chembe ya ufisadi na uuwaji!
@adiaygo854610 ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho huko Zanzibar Kuna watu wabinafsi wengi wanataka kujibagua ndio maana wanapata wakati mgumu
@adiaygo854610 ай бұрын
Huyo karume mtoto Ni mpenda uongozi
@kassim126210 ай бұрын
Lkn anachokiongea nikweli au vp
@gowekogoweko580310 ай бұрын
UMENENA VEMA BWANA NGURUMO
@hamadsaburi356910 ай бұрын
Yana julikana hamna jipya
@AnsbertNgurumo10 ай бұрын
Kwani wewe ni mpya? Hiki ulichoandika ni kipya? Umeambiwa huu ni ukurasa wa mambo mapya?
@TeamKRX10 ай бұрын
Każa pua Lako nyoko wewe eti Zanzibar ni koloni la tanganyika mbwa wewe