FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR

  Рет қаралды 34,197

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Күн бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 149
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 5 ай бұрын
Ata sisi watanganyika atutaki muungano kivuli maana kila siku tukitoka Matembezi Zanzibar tukirudi na kitu tu kidogo tunatozwa kodi kubwa na maafisa wa TRA wanasema wazi kuwa ni nchi mbili tofauti razima ulipe kodi kwanini ununue Zanzibar kwani kaliakoo akuna. Ivyo mie sioni umuhimu wa muungano kma mwananchi labda viongozi ndo wananufaika na muongano Kwaiyo kama vp bora kiramtu apawe 50 zake tutabaki kuwa ndugu tu sioni baya.
@LeeySeedorf
@LeeySeedorf 5 ай бұрын
Fact 100% hauna maana yeyote muungano hasa kwa ujinga wa hapo bandarini tu
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj 4 ай бұрын
Kweli
@oscar-pc6fz
@oscar-pc6fz 5 ай бұрын
Najifunza sana kuhusu muungano, mbona wanasiasa amuleweki.
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 5 ай бұрын
Hawa viongozi wa ccm wanajali matumbo yao tuu hawaumizwi kabisaa na nchi yao kila siku nchi yetu inadhalilika inashuka hadhi maadil wapo na yote hio ni Mungano. Uchaguzi ukija km vita yote hio wanataka kudhulumu wakae kibabe halafu waingie miskitin waseme tudumishe Amani dhulma tupu.
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 5 ай бұрын
Halafu kuusu amani wanatuongopea Tanzania aipo ata 20 bora ktk nchi za afrika zenye amani ndo watu wafahamu kwmba siasa ni ulaghai, Tanzania ukilinganisha na DRC, SUDAN,SOMALIA ETHIOPIA Nk.ni kweli Sababu Izo NCHI zinapigana vita lakini uwezi kulinganisha na nchi zilizo Bakia barani Afrika Tanzania sio Nchi Miongoni zinazo ongoza kwa amani Afrika
@Humble.....
@Humble..... 5 ай бұрын
Wazanzibari tusimtafute mchawe ni sisi wenyewe.... Hebu rudini kw ALLAH... Kuna Amri nyingi za Allah zikiukwa na wazanzibar wenyewe...
@MakameCarhire
@MakameCarhire 5 ай бұрын
Tunataka wazanzibari gari kutoka zanzibar zikienda bara zisitozwe ushuru😢bara mama liangalie hili kiliochetu kikubwa wazanzibari na wabara
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm 5 ай бұрын
Hatutaki tena mungano watanganyika hawatutaki mema kilamoja achukuwe ubaowake
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
​@@HusnaKhamis-bf9smHatuwatakii mema wakati kila kitu mnategemea bara na mnanunua ardhi bila masharti
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س 5 ай бұрын
Ilo neno Muungano kichwani mwangu sitaki ata kulisikia Waislam tushagewa
@nailamohd-wn6sb
@nailamohd-wn6sb 5 ай бұрын
😅😅😅 Khatari
@mbaroukahmad3618
@mbaroukahmad3618 5 ай бұрын
R😂
@MasnamussaPp
@MasnamussaPp 5 ай бұрын
Bila kupepesa macho hiki kizazi cha leo cc muungano hatuwebu,tugawane mbao sio hawa wanaharamu wa ccm kung,ang,ania kujaza matumbo yao moto wa jahanam kwakututoza nguvu ss ifikie mwisho
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 5 ай бұрын
Uvunjike bwana maslahi hakuna isipokua kwa wakubwa tu
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 5 ай бұрын
HUU MUUNGANO HAUNA MAANA YEYOTE KWA ZANZIBAR. ZAIDI YA KUFINYWATU. . ATA SHEIKH ULUNGA ALISEMA KUA KWA SASA ZANZIBAR SI NCHI BALI NI MKOA WA TANGANYIKA.
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
Bora hata nyie mnafaidi kuliko sisi.Nyie mnanunua ardhi wakati huku siyo kwenu
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 2 ай бұрын
​@@FridayMwassaardhi nini ndg
@AisajumaKikwajuni
@AisajumaKikwajuni 5 ай бұрын
Uvunjike si lazima kila siku tunasoma hatutaki tumechoka kuuliwa na kudhalilisha tokea mapinduzi waznz wangapigwa sasa kila miaka mitanno wanaletwa majeshi na bifaru kuja kuwa znz.
@kipozeobakari7254
@kipozeobakari7254 Ай бұрын
Tafuteni sera nzuri acheni kuzungumzia muungano kwani hauna tatizo ila wenyematatizo ninyie wanasiasa
@saeedslum1163
@saeedslum1163 5 ай бұрын
Nyinyi wenyewe muliungana na tanganyika hamukulazimishawa mulipendua hukmu ya sultan mukaongana na Tanganyika mukauwa zaidi ya 25000 waislamu wenye asili ya kiarabu bila sababu... Mwenyezi mungu hawatasamehe : قال تعالى : ومن يقتل مؤمنا متعمدا فجزاؤه جهنم خالدا فيها وغضب الله عليه و لعنه وأعد له عذابا عظيماً
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 5 ай бұрын
Hao waarabu wameua waafrika wangapi
@saeedslum1163
@saeedslum1163 5 ай бұрын
Wewe mrongo wala huna dini wewe una chuki na warabu na utakufa na roho yako mbaya. Wakati wa hukmu ya sultan Zanzibar ilikua ni inchi ya amani.. Kufa na chuki yako.. Mpaka Leo waramba ndio wanatoa misaada Zanzibar.. Lakini utakufa na chuki yako hasidi
@smallscaleminingsupplies9670
@smallscaleminingsupplies9670 5 ай бұрын
Tanganyika inafaidi nini huu muungano, hata huu muungano usipokuepo Tanganyika itapata hasara gani , kuna kipi Tanganyika inapata Zanzibar,
@MackameHassani
@MackameHassani 4 ай бұрын
Yeeeeees!!!!! Km tukiamua sote sasa tuanze kuongea itakuwa ni makelele tuu, wenzetu wa visiwani malalamiko yamekuwa mengi mnoo. Ukiwasikilza vizuri hawa viongozi wa Act nikujazana chuki tuu. Km wanataka nchi yao na wapewe tuu nchi yao baasi ubaki udugu wa kihistoria.
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Kuna siri kubwa wanaijua viongoz wetu, so bure!!!!.
@KhadijaIbrahim-xr5eg
@KhadijaIbrahim-xr5eg 5 ай бұрын
🎉hakisawakwawote
@DarrAlzain
@DarrAlzain 5 ай бұрын
Sababu Halisi Ya Muungano Ni Kuwadhalilisha Wa Zanzibar Hata Uhuru Wa Tanaganyika Ni Kuwadhalilisha Wa Tanaganyika
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 5 ай бұрын
Mnatakiwa mpambane sana ili mrudi wanzanzibar
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm 5 ай бұрын
Zanzibar imekwisha koloni latanganyika kutawaliwa na mtumweusi nishida sana
@josephpetro2968
@josephpetro2968 4 ай бұрын
zanzibar ni unguja pemba ni nini.mkivunja muungano mtasambaratika kama mwl. nyerere alivyosema.
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Kabla ya muungano unguja na Pemba waliishije????!!;, wewe na nyerere wako nyote waganga tu....
@kassimhaji1141
@kassimhaji1141 5 ай бұрын
Jamani wazee wetu tunakosea wapi asa mpaka leo Zanzibar
@yonazimpombe1160
@yonazimpombe1160 4 ай бұрын
Siasa za waungwana na watwana
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 5 ай бұрын
Muungango ni Jambo nzuri Ila wabinafsi wanaopenda kujitenga ni watu wabaya Sana gadafi mungu amrehemu alipenda afrika tuungane we makamu wa raisi wa nzanzibar dumisha muungango acha ubinafsi
@issakhamis9581
@issakhamis9581 5 ай бұрын
Ila simuungano huu wazuluma
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 ай бұрын
ZANZIBAR inamaadui wa 3 Adui wa kwanza ni Adui wa Ndani ccm. Adui wa pili ni Adui jiran Tangayika Adui wa tatu ni Adui wageni wa njee ya tanzania wengereza a marekani
@MwinyiAhmad
@MwinyiAhmad 4 ай бұрын
Yasemwe tuu
@KhadijaIbrahim-xr5eg
@KhadijaIbrahim-xr5eg 5 ай бұрын
Kuwenahakikatikamuungano
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj 4 ай бұрын
Kwani watanganyika tunapata nini kwenye uumungano tuuvunje kilasiku vijembe adi tumechoka gesi ipo tanganyika tunakila kitu
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Viongozi ndio wenye maslahi na huu muungano....
@farouqjaku951
@farouqjaku951 5 ай бұрын
Wan'yamwezi wa kibongo wajan'ja.
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 5 ай бұрын
Si uvunjike tu kwani tatizo liko wap? Acha inyeeshe tuone panapo vuja.
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 5 ай бұрын
Kama utafutwa muuungano mchanga uchaguliwe wa bara urudi na visiwani ubaki huko
@AbduliHalim-o2y
@AbduliHalim-o2y 5 ай бұрын
Fitina gani kwani sisi hatuoni kuwa Zanzibar tunaonewa na kiukweli wazanzibari hatuwapendi wa bara sababu nyinyi si watu wazuri jecha mulomteka na jeshi😊
@suleimanmuhammad-bu7pe
@suleimanmuhammad-bu7pe 5 ай бұрын
Me naamini kwa viajana wa ccm Zanzibar walikua hawajaamka kiakili Kabla mwanzo ila tusikate tamaa cis kwanza1.nchi yetu tuamini kama tunaweza kuishi kama ulaya ya kati . kama Singapore wallah nawaambia
@fatumamroki2716
@fatumamroki2716 5 ай бұрын
😂😂😂mtakufa njaaa mkinywa maji ya karafuu 😂😂😂
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
Baada ya hapo nao wapemba watataka uhuru wao
@paulnachenga6302
@paulnachenga6302 4 ай бұрын
Mtoto akililia wembe muache tuwaachie wajitegemee mbona tunawang'ang'ania tuwaache hao
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Kakojoe ukalale!!! Kesho shule!!!.
@belgieboys9867
@belgieboys9867 4 ай бұрын
MUUNGANO SIO HALALI SABABU HAWAKUCHANGANYA MAJI YA BAHARI
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 5 ай бұрын
Mie binafsi sipendi kuskia neno Tanzania bara kwani Tanganyika yetu iko wapi, na Sisi tunataka tanganyika yetu maana kuna Zanzibar na Kuna Tanganyika je Tanganyika iko wapi maana Wazanzibar wanavitambulisho vyao vp kuusu Watanganyika.
@farheenmasoudchannel2495
@farheenmasoudchannel2495 5 ай бұрын
WEWE UNA AKILI SANA HAKUNA KUTAWALIANA KWA ZAMA HIZI ZANZIBAR HAWAKATAI MUUNGANO ILA MUUNDO WA MUUNGANO SII MZURI
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 ай бұрын
Janja janja.
@deo-gratiasmwita
@deo-gratiasmwita 5 ай бұрын
Naheshimu saana mawazo huru ya Kila Mtu! Mwaafrika mwenzetu anapo chochea kuvunja umoja wa Waafrika namshangaa saana! Nillitegemea Mheshimiwa atatoa mapendekezo namna ya kuboresha umoja wetu! Badala yake anatoa sababu za kuuvunja! Hivi hajui Lego kuu la Africa kwa Sasa ni kuungana!
@KhamisAli-r1w
@KhamisAli-r1w Ай бұрын
Watu washajichokea weweee!!!! Kila kukicha vijana kutoka kisiwa cha Pemba wanakimbilia DSM kusaka ajira, Zanzibar kunanuka njaa.
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 5 ай бұрын
Sasa hiyo kesi atapelekewa nan aitatuwe maana hata mkipeleka nje hakuna liwalo.. nisawa na kesi ya nguruwe kumpelekea nguruwe..
@farheenmasoudchannel2495
@farheenmasoudchannel2495 5 ай бұрын
WE UNAUMIA NAONA ILA SISI HATUWATAKI BARA MNAJILAZIMISHA KWETU MDA MREFU HATUTAKI
@BonifaceHassan-j5m
@BonifaceHassan-j5m 4 ай бұрын
Hakuna sababu ya muungano,kila huyo akae na nchi yake!
@HijaxZone
@HijaxZone 5 ай бұрын
Wanatafuta lawama wa Zanzibar
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 5 ай бұрын
Kweli nimeamini kila mja na urefu wa akiliyake ! Kwasababu hata mchanga mnautowa bara wabara wanachukuwa nini kwenu? au wabara wanapata nini kwenu? acha hizo
@MokiwaAbdallah
@MokiwaAbdallah 5 ай бұрын
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!lini wewe ni kipara kabisaa!au ni chuki tu zinatawala akili zake kipara?
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e 5 ай бұрын
Kaaa tafakar Tanganyika inachukuwa Nini kutoka Zanzibar mbona wazanzibar wanapiga kelele sana?
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 5 ай бұрын
@@MWIGAADAM-r3e ni uraghai unaotokana na waarabu haswa hizbullah mbona inakuwa wapembazaidi kuliko waunguja?
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Mjinga sn kumbe ww sasa kama hawapati ki2 kwann musituachie znz jamani
@khalifasaidi7001
@khalifasaidi7001 5 ай бұрын
@@KassimAlly-xp4dz wewe unayesambaza upumbavu ndo mjinga huna elimu ya kutosha ungekuwa na elimu using ng'ang'ania uozo kama huo Africa nzima watu wanataka iwe moja wewe unakazi ya kuusakama muungano kwanini usizungumzie maendeleo azim yanayofanywa na ccm chini ya doctar mahili raisi mwinyi,,,leo zanzibar imekuwa mulwa!!!
@HusnaKhamis-bf9sm
@HusnaKhamis-bf9sm 5 ай бұрын
Tuungane upya mambo yaendele bilahivyo watuache tupumuwe
@maskatitravel
@maskatitravel 5 ай бұрын
Tunataka Zanzibar HURU na kiti chetu cha U. N. Tukorudishe. Tanganyika wawe na mamlaka yao na Zanzibar iwe mamlaka yake.
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq 5 ай бұрын
Watanganyika,hawana,nchi,nchi,Yao,muungano,
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 ай бұрын
Othman mwisho ndio ulikokosea
@nyumbanituthegendaheka7222
@nyumbanituthegendaheka7222 5 ай бұрын
Nyie wa zanzibar mnadhania hasili yenu wapi? Bara au Oman? Maana watu waliokaa zanzibar ni wavuvi na watumwa aliokwenda huko...sasa kujifanya kama ni watu wa tofauti bhas hamjui hasili na historia yenu...mnadhania nyie waarabu sababu ya kupokea Dini na tamaduni za mwarabu
@fabby1181
@fabby1181 4 ай бұрын
Tujifunze sote
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
Baada ya hapo , wapemba nao watataka uhuru wao !
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 5 ай бұрын
Pemba haikuwa nchi watataka uhuru wao kutoka wapi ?.hebu nifahamishe mimi nielewe.kama Pemba itataka uhuru na Morogoro itataka uhuru, Daresalam itataka uhuru, Singida itataka uhuru na sehemu nyingine pia .kama Dodoma ,Kagera na sehemu nyinginezo .hizo zote ni hisia za kufanya watu wasidai haki katika Muungano ndio munahisia za kijinga kama hizo.
@panduali4862
@panduali4862 5 ай бұрын
Mbona haikudai kabla ya huo muungano.? Pemba haikuungana vp idai Uhuru?
@farheenmasoudchannel2495
@farheenmasoudchannel2495 5 ай бұрын
ATA WAPEMBA WAKITAKA UHURU WE SIO KAZI YAKO SISI NA NYINYI TUMEUNGANA UNGUJA NA PEMBA NI ZANZIBAR ULIWAHI KUSKIA PEMBA INADAI UHURU NYIE WA BARA MACHIZI
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
@@farheenmasoudchannel2495 Kwa hio wapemba ni watu wa "Zanzibar " jaribuni tuone
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
@@panduali4862 Kwa hio wapemba ni watu wa "Zanzibar " ok
@RamadhaniMussa-xs5uk
@RamadhaniMussa-xs5uk 5 ай бұрын
Asoelewa uyo sio mzanzibari
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 5 ай бұрын
Yupi sio mzanzibar
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
Baada ya hapo nao wapemba watataka uhuru wao
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 5 ай бұрын
Pemba haikuwahi kuwa nchi watataka uhuru kutoka wapi?.kwa maana hiyo hata Morogoro ,Dodoma ,Singida,Ruvuma,Mbeya na sehemu nyingine watataka uhuru pia sio Pemba tu peke yake mbona husemi .acha akili za kitoto watu wanazungumza mambo ya maana watu wamenyimwa maendeleo katika nchi yao kwa roho mbaya tu za watu wengine kwa kisingizio cha Muungano.
@ElihurumaThomas-kz8nq
@ElihurumaThomas-kz8nq 5 ай бұрын
ME NAONA BORA MUUNGANO UVUNJIKE TUBAKIE TU KUA NDUGU KAMA ILIVYO KENYA NA UGANDA NI NDUGU ZETU NA TUNASHIRIKIANA TU VIZURI COZ WAZANZIBARI HAWAUTAKI MUUNGANO NA WATANGANYIKA PIA HAUTAKI .WANAOTAKA MUUNGANO NI VIONGOZI AMBAO KIMSINGI HUENDA WANAMASLAHI YAO. IPIGWE KURA YA MAONI WANANCHI WAAMUE WENYEWE
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 ай бұрын
Watangayika hawana tafauti kama wa israel kwa nchi ya Zanzibar
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 5 ай бұрын
Juzi kuna Kiongoz flani kutoka SUZA eti hoja yke yy ni kwmb kuna Wazanzbar 1 mil wanaish Tanganyika hvo Muungano ukivunjika watu wale watakwend kuish wp Halaf naskia alietoa hoja hii Msomi wa Kiwango cha Proffesa
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 5 ай бұрын
Wazanzibar wapo Uganga,Kenya ,Rwanda,UingerezaMarikani ,huko hatuna Muungano ,hata huko bara utawekwa utaratibu wanaweza kuendelea kuishi huko huko bila ya kuwa katika Muungano .isipo kuwa watafuata taratibu zilizopo kama Wazanzibar waliopo Rwanda,Kenya ,Rwanda.
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
Baada ya hapo nao wapemba watataka uhuru wao
@Soon815
@Soon815 5 ай бұрын
Wewe unaakili wewe?? Hiyo pia ni hoja wakifukuzwa wanaenda wap!? Wewe mjinga
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 ай бұрын
✌️👊👍.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 5 ай бұрын
NIPO JAMHURI YA MSUMBIJI NAUMIASANA NA MUUNGANOHUO. MAANA UNAWAKANDAMIZA KWANZA WAISLAMU NA UISLAMU. PILI WAZANZIBAE WENYEWE.
@topmixmedia-d7h
@topmixmedia-d7h 5 ай бұрын
muungano Daima❤
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 ай бұрын
Uavooonekana una roho ya kishetani
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 5 ай бұрын
Mbowe hacha ubinafsi nchi hii haitatawaliwa na wachaga wewe mbowe humeweka ukabila mbele na mfano siku chadema wakichukua nchi wewe mbowe hutawafukuza wakina lisu kama kuku chadema itakuwa ya wachaga
@Championmjeluman
@Championmjeluman 5 ай бұрын
Mbona wapemba tu
@omarmohammed5157
@omarmohammed5157 5 ай бұрын
KAARUME NA YERERE NDIO CHANZO WA HUU UCHAFU LEO UNAOTUSUMBUWA
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 5 ай бұрын
Kweli kabisa mimi naamini nje ya Muungano huu wa dhulma Zanzibar tungekuwa na maendeleo makubwa kabisa.Afrika Mashariki nzima hakuna anayetufikia.
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 5 ай бұрын
WAZANZIBARI NA RAIS SAMIHA SULUHU NI MISUKULE YA WATANGANYIKA TU, ANAKIJA RAIS MTANGANYIKA MTAKIONA CHA MOTO👀👀
@abdallaomar4009
@abdallaomar4009 5 ай бұрын
Hata nyinyi mutakiona cha moto mbele ya Mung na huko ndio kwenye moto haswa, hapa hapana lolote.
@saumumtait1381
@saumumtait1381 5 ай бұрын
P
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 5 ай бұрын
Muungano 😂😂😂
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um 5 ай бұрын
Huna lolote we makamu ni mbinafsi Sana umekosa Sera muungano utadumu tu nyie mnaopinga muungano ni wafuasi wa shetani lusifa
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 5 ай бұрын
Allah akulaani adui wa Wazanzibar!usiyekuwa na hata aibu!au ni Mzanzibara uliyepewa eka Machui na Kizimbani?
@saumumtait1381
@saumumtait1381 5 ай бұрын
Qw
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 4 ай бұрын
Ukitaka ujue sio muungano nunua kitu Zanzibar njoo nacho bara
@perisiverympwenku139
@perisiverympwenku139 5 ай бұрын
Muungano ni kitu kizuri zanzibar laxima muunganishwe lasivyo mtapigana wenyewe geographia hii pemba na unguja ..kisha mtulipue na sisi wtanganyika kwa ugaidi ..nA itikadi zenu kali za mlengo wa kushoto..kueni na akili..haya ndio maendeleo..elimu nimewapa.ichukueni..
@farheenmasoudchannel2495
@farheenmasoudchannel2495 5 ай бұрын
WE CHIZI UNAMPA ELIMU NANI SI SI HATUWATAKI MNAFORCE HATUNA SHIDA NA UDUGU NA NYINYI HATUFANANI MBONA
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 2 ай бұрын
We una cha kutupa ss
@perisiverympwenku139
@perisiverympwenku139 2 ай бұрын
@@SuleimanMussa-x5i tumewapa muungano na hamuwezi kuuvunja jaribuni muone..hata Mungu anapenfa watu waungane wapatane,lkin mashwetan hayapend uMoja..
@jumA-th7rs
@jumA-th7rs 5 ай бұрын
Nafasi uliopewa na ccm ulichukua uamuzi gani na hiyo niayako njema wewe Fitina tu.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 5 ай бұрын
Alikata kuiuza Zanzibar kwenye bunge la katiba
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 5 ай бұрын
Wewe hujuwi kitu wala hufahamu analolisema,,ANASEMA HUU MUUNGANO SIO MUONGANO NI KUIDHIBITI ZANZIBAR NA KUTAKA KUIFANYA IWE MKOA,,USIFANYE UCHAWA KWENYE MAMBO YA KITAIFA
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 5 ай бұрын
Hii ndio lugha majukwaa ya siasa hutoka vinywani tu na wapo walikuwa mawaziri viongozi huko huko lakini walivujisha mipango ya Zanzibar kujitoa Kwenye huu muungano lakini walipotoka serikalini na kuja Kwenye majukwaa haya Kwenye mfumo wa vyama vingi basi hadithi zao kubwa za kuwateka watu ni kichaka Cha kujivua na kero za muungano japo unazingua pande zote mbili
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 5 ай бұрын
Mtu fitina ni mbaya kuliko muuwaji, na kama huoni hawa act ni fitina wewe ni mgonjwa sugu wa akili.
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 5 ай бұрын
Jichunguze wewe kwanza elimu yako na elimu yake halafu ndipo utoe matusi,,mtu husikilizwa na kupewa uongozi kutokana na elimu yake ,,sasa wewe mwenzangu una uwezo wa kujibu yote aliyozungumza au una uwezo wa kutoa matusi ?WASWAHILI WANASEMA ELIMU YA MJINGA NI MATUSI
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 5 ай бұрын
@@Yussuf-b3b hata Firauni, hamana na Abu jahal walikuwa wasomi WA wakati wao. MTU hapimwi Kwa makaratasi alozawadiwa hupimwa Kwa anachoongea mbele za watu.
@maishasafari9724
@maishasafari9724 5 ай бұрын
@@Yussuf-b3b kuna cha maana alichoongea hapo. Zaidi ya malalamiko. Sisi tuna focus kuanzisha East African currency, yeye anataka Zanzibar currency 😢 maandazi kabisa.
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 5 ай бұрын
Kwa akili zako wewe,na mimi kwangu anaye kataa dhulma anayofanyiwa ni mtu mwenye akili sana kuliko anayekubali dhulma anayofanyiwa na kukaa kimya bila kuipinga dhulma hiyo.
@lawskuli9876
@lawskuli9876 5 ай бұрын
Udumu Muungano wetu
@fahmysaid-zw4np
@fahmysaid-zw4np 5 ай бұрын
udumu na mkundu wako usije kufirwa
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 5 ай бұрын
Sina uhakika kama ww ni mzanzibari kwali..ww ndio wale wale kina jon okelo..
@KichwaKigumu
@KichwaKigumu 5 ай бұрын
😅😅😅😅😂​@@fahmysaid-zw4np
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e 5 ай бұрын
WA mama na baba Ako waliokuzaa mbwa ww
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 5 ай бұрын
@@MWIGAADAM-r3e Kwa wazanzibar tamu kwenu chungu ukome 🤣🤣🤣🤣shenzi..mukome kutufatafata kwan hamuna kwenu mpaka muig'a ng'anie Zanzibar.. eti muungano na kuma za mama zenu kama raha kuungana..
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 5 ай бұрын
MZIZI WA MUUNGANO NI UKOLONI WA TANGANYIKA Kwanza Wavunje Muungano Khalafu Kung'owa Mizizi Saba.
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 5 ай бұрын
Wazanzibar watakacho kiamua Sisi watanganyika tuna wasaport 💯 maana nasi atuoni manufaa yake kma kuna manufaa basi tuunganeni na nchi zengine za afrika mashariki lasivyo sote kwa pamoja tuseme imetosha Free Zanzibar free Tanganyika na bado tutabaki kuwa ndugu lakini lakini bora kila nchi iwe na mamraka yake mie nasikitika Tanganyika imefutwa akuna Tanganyika kuskika wakati ndio iliyounda Tanzania leo hii Imebaki Zanzibar na Tanzania bara kinacho ogopwa kutamka Tanganyika ni nini au kuna sili gani iliyo fichwa hapo. Nauliza ili swali kwanini kuna serikali ya Zanzibar na serikali ya muungano na akuna serikali ya Tanganyika why?? Kuna vitambulisho vya Zanzibar na vitambulisho vya muungano lakini akuna vitambulisho vya Tanganyika inamaanisha huu muungano ni fake.. free Zanzibar free Tanganyika
@IvanChrisantus
@IvanChrisantus 5 ай бұрын
Baada ya hapo nao wapemba watataka uhuru wao
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 5 ай бұрын
CHUKI ZA UISLAM NI NGUZO ZA KUIMARISHA MUUNGANO ​@IvanChrisantus. Hiyo ni moja ya hoja ya NYEREREISM. Kama hivyo, Wakilwa watataka Uhuru wao. Mchungaji Christopher Mtikila, Kiongozi wa Full Salvation Church, Mbunge Njelu Kasaka wa Mbeya, Jenerali Ulimwengu na wengi wengineo walitaka Uhuru wa Tanganyika wakati wa Uraisi wa Ali Hassan. Lakini kwa sababu hawa ni Makiristo hawakutiwa jela ila Mashekhe wa Uamsho nao walipodai Mamlaka Kamili ya Zanzibar, Hussain Ali, Mzaliwa wa Tanganyika aliwafunga zaidi ya miaka minane. Na walitoka baada ya kuwa Rais.
HUU NDIO UKWELI WA NABII SULEIMAN KUFIKA ZANZIBAR. Episode 01 (SEMA NASI)
32:24
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 59 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,1 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,3 МЛН
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 72 МЛН
SIMANZI NA MAJOZNI KHUTBA YA BABU DUNI
15:30
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 49 М.
HUU NDIO MZIGO MZITO KWA KINAMAMA WENGI (HUBBUL HALAL)
26:17
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 1 М.
AJABU YA SHOGA ALIYEOLEWA NA MUME WA SHOGA YAKE
18:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
NANI MKWELI, NANI MUONGO KATIKA SINTOFAHAMU INAYOIKABILI ZANZIBAR?
26:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 20 М.
SAFARI NGUMU YA MAKAMU WA KWANZA YAWAIBUA WANANCHI PEMBA
8:20
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
MAKAMU WA KWANZA AFUKUA SIRI YA HISTORIA YA ZAIDI MIAKA 100 PEMBA
19:08
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Dhow Countries Music Academy
Рет қаралды 82 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,1 МЛН