ANZA KWA KUTANDIKA KITANDA CHAKO: UCHAMBUZI

  Рет қаралды 458

Siri za Vitabu

Siri za Vitabu

Күн бұрын

Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao.
Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina muweka katika ulimwengu mmoja na watu wakubwa na mashuhuri wanaoishi na waliowahi kuishi katika hii dunia.
Haya sio maneno yangu, ni maneno ya William Channing, kama alivyonukuliwa na Ben Cason katika kitabu chake ya Think Big.
Naitwa MFAUME HASSAN, na karibu katika channel yangu ya SIRI ZA VITABU.
Nikufunulie siri zilizofichwa katika vitabu. Nikufunulie ubongo wa watu mashuhuri na waliofanikiwa.
Unaweza kufuatilia Siri za Vitabu
Instagram: siri_za_vitabu
Facebook: / sirizavitabu
Email: mfaumehassan@gmail.com
Contacts: 0745624754

Пікірлер: 15
@MwanaidPressies
@MwanaidPressies Күн бұрын
Thanks so much
@Jackson-br2km
@Jackson-br2km 8 ай бұрын
Amazing 😍.... Asante kwa kutukumbusha
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
Pamoja sana🙏🏾
@MadahaPhilipo
@MadahaPhilipo 8 ай бұрын
❤❤❤
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@AwardHakimu
@AwardHakimu 8 ай бұрын
Safi leta vitu
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@makorilucas7456
@makorilucas7456 8 ай бұрын
Exactly
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
🤝🤝🤝
@AwardHakimu
@AwardHakimu 8 ай бұрын
Unauzaga vitabu
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
Yah nauza ndugu
@AwardHakimu
@AwardHakimu 8 ай бұрын
@@sirizavitabu tajiri wa babeli unakiuzaje na swali langu una kitabu rich dady poor dady kilichotasiliwa kiswahili
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
@@AwardHakimu Vipo vyote, Softcopy au unataka hard copy?
@AwardHakimu
@AwardHakimu 8 ай бұрын
@@sirizavitabu hard copy bei gani Rich Dady poor dady
@sirizavitabu
@sirizavitabu 8 ай бұрын
@@AwardHakimu nipigie kwa hyo namba, kutazama bei pia unaweza kupitia instagram.com/siribookstore
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 12 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,2 МЛН
Players vs Corner Flags 🤯
00:28
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 35 МЛН
KWANINI USICHAGUE VYOTE..?
9:08
Siri za Vitabu
Рет қаралды 152
2. MAKE YOUR BED review (uchambuzi wa kitabu)//GODIUS RWEYONGEZA
15:14
JINSI YA KUDUMISHA MAHUSIANO YA MBALI
19:24
ACADEMICIAN MEDIA
Рет қаралды 21 М.
TAMBUA SIRI HII KUHUSU MUDA
9:25
Siri za Vitabu
Рет қаралды 256
KAZI ZA NDANI ULAYA NDIO NJIA NILIYOTUMIA KUFIKA HUKU
20:05
THE OPPORTUNITY GIVER
Рет қаралды 3,6 М.
Wanaume wenye mihemko kukosa wanawake | DADAZ
2:08
EastAfricaTV
Рет қаралды 19 М.
Mwl. Tuntufye Mwakyembe - Nguvu Ya Maamuzi
7:50
Mwl. Tuntufye Mwakyembe
Рет қаралды 4,6 М.
TABIA MUHIMU ILI UWEZE KUFIKIA MALENGO: MAJALIWA PADI
14:11
Majaliwa Padi
Рет қаралды 188
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 36 МЛН