TAMBUA SIRI HII KUHUSU MUDA

  Рет қаралды 257

Siri za Vitabu

Siri za Vitabu

Күн бұрын

Vitabu ni hazina. Kupitia vitabu akili zetu zinakutana na akili kubwa. Katika vitabu watu wenye mafanikio wanaongea nasisi, wanatupa mawazo yao na uzoefu wao katika mafanikio. Vitabu ni sauti ya watu ambao wako mbali nasisi na hatuwezi kukutana nao, ni sauti ya watu waliokufa wakituachia urithi na hazina ya mawazo yao.
Vitabu vinatupa usawa, na yeyote anae vitumia kwa usahihi na kuviamini vina muweka katika ulimwengu mmoja na watu wakubwa na mashuhuri wanaoishi na waliowahi kuishi katika hii dunia.
Haya sio maneno yangu, ni maneno ya William Channing, kama alivyonukuliwa na Ben Cason katika kitabu chake ya Think Big.
Naitwa MFAUME HASSAN, na karibu katika channel yangu ya SIRI ZA VITABU.
Nikufunulie siri zilizofichwa katika vitabu. Nikufunulie ubongo wa watu mashuhuri na waliofanikiwa.
Unaweza kufuatilia Siri za Vitabu
Instagram: siri_za_vitabu
Facebook: / sirizavitabu
Email: mfaumehassan@gmail.com
Contacts: 0745624754

Пікірлер: 2
@mahirfauz1993
@mahirfauz1993 7 күн бұрын
Nakuelewa san. Allah akubarik
@Chalambosheby
@Chalambosheby 7 күн бұрын
Chalambo hapa
KWANINI USICHAGUE VYOTE..?
9:08
Siri za Vitabu
Рет қаралды 153
"Mawazo" Sehemu Ya 70 Thoughts Dr Elie VD Waminia''
36:53
Chomoza Tv
Рет қаралды 3 М.
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍 @Mikecrab
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 38 МЛН
Magic or …? 😱 reveal video on profile 🫢
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 86 МЛН
Faida 5 za Macho ya Kiroho   Na Mch. Peter Mitimingi
1:01:35
Reuben Msaki
Рет қаралды 37 М.
SIRI ZA ERIC SHIGONGO -  PART 1
14:50
streetuniversity100
Рет қаралды 61 М.
UNATAKA KUKATA TAMAA?
5:27
Siri za Vitabu
Рет қаралды 217
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Umerithi nini? SIRI YA AJABU YA KIROHO
46:54
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 41 М.
Mgisa Mtebe - NGUVU ILIYOPO KWENYE MAWAZO YAKO.
8:21
Mgisa Mtebe
Рет қаралды 87 М.