APOKELEWA KIFALME KIGOMA SHABIKI WA YANGA BAADA YA KUTUA NA NDEGE KUTOKA DSM

  Рет қаралды 26,994

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Shabiki wa Yanga Mwanariadha Mang'suli Hussein (45) wa Manispaa ya Kigoma ujiji aliyeamua kukimbia kwa miguu kuanzia Kigoma April 15 kuelekea Dar es Salaam kutazama Mechi ya Yanga vs Simba,Leo hii ameludi Kigoma kwa usafiri wa Ndege kutokea Dar es Salaam.
Mashabiki mbalimbali wa Yanga na mashabiki wa Simba baadhi wamejitokeza Uwaja wa Ndege kwaajiri ya kumpokea shabiki mwezao huku Mang'suli akisema hii ndio Mara yake ya kwanza kupanda Ndege.

Пікірлер: 111
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
wallah watu wa kigoma mmetisha hongereni kwa kumtia moyo ndugu yenu mtanzania mwenzetu mi mwenyewe kanikosha sana mashallh 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Yaani nimefurahi sana napenda yanga sana hila hata kma mie ni 💪🇰🇪
@eunicejohn5520
@eunicejohn5520 3 жыл бұрын
Kama unaamin MUNGU Ana njia nying wp lyk
@daviesattu5928
@daviesattu5928 3 жыл бұрын
Inabidi kuwe na kitabu cha rekodi tz,, kama ilivyo guiness
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Mungu humuinua mnyonge kutoka mavumbin na kumketisha pamoja na wakuu✍️🙏🙏🙏
@felixmagulu6142
@felixmagulu6142 3 жыл бұрын
Hongera sana ndugu Kwa uzalendo uliouonyesha kwa timu yako, Mungu alete wepesi jasho lako lifutwe kwa ushindi utakaopatikana jioni pale Majaliwa stadium.
@keddlynebonny6462
@keddlynebonny6462 3 жыл бұрын
Kwahy ndo kashakuwa superstr
@fatmamakalo3068
@fatmamakalo3068 3 жыл бұрын
🤣🤣 hilo jibu pigia mstari
@nameiztv7870
@nameiztv7870 3 жыл бұрын
Ndyooooooooo🤣🤣🤣
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 3 жыл бұрын
Na mimi nataka kwenda kuangalia simba south africa kwa miguu.
@subiramwaipaja7119
@subiramwaipaja7119 3 жыл бұрын
Twende wote
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣umesha chelewa kuanza safari
@subiramwaipaja7119
@subiramwaipaja7119 3 жыл бұрын
@@noxlosingida2369 tobaa
@jasminetesha8225
@jasminetesha8225 3 жыл бұрын
Brother tupo pamoko kama vipi tulianzshe
@iddyshabani5942
@iddyshabani5942 3 жыл бұрын
We subiria msiba wanasafirisha
@archardflorian77
@archardflorian77 3 жыл бұрын
Yaaan bongo bhana raaaahaaaaa saaana ......no stress...na sihami kabsa
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 жыл бұрын
Unaenda wapi labda!!!!!
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
Passport huna uhame ukwende wp
@juniormgema2524
@juniormgema2524 3 жыл бұрын
Waha kwa mbwembwe wamerith kwa wahaya😂😂😂
@tumainikomba9008
@tumainikomba9008 3 жыл бұрын
Yan nmecheka mshenz wew
@juniormgema2524
@juniormgema2524 3 жыл бұрын
@@tumainikomba9008 😂😂😂😂nimekugusa nn rafiki yangu😂😂😂😂 nisamehe tu ila ukweli ndiyo huo
@maximaximilian9763
@maximaximilian9763 3 жыл бұрын
Pamoja kaka
@kingsdramakorea6673
@kingsdramakorea6673 3 жыл бұрын
Duu bongo raha Sana'a kwa kiki sarute aise bongo sihami kidogo tu umekua king hahahahha
@dogobk7796
@dogobk7796 3 жыл бұрын
Hahahaha
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 жыл бұрын
Hahaha jamani
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 жыл бұрын
Hahaha jamani
@texastexas2545
@texastexas2545 3 жыл бұрын
Jalibu na wewe kutembea siunasema n kidogo?
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Drama jiribu uone kama halurudi umenunu kwenye jeneza
@kulwacharles5795
@kulwacharles5795 3 жыл бұрын
Love ❤️ #KIGOMA_HOME_CITY 💪💪💪💪🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@laxbtz9096
@laxbtz9096 3 жыл бұрын
Big up my religion mate
@villanjimmy7625
@villanjimmy7625 3 жыл бұрын
Hakun timu yenye washabiki wazalendo km Yanga najivunia kuwa shabiki wa Young African 💛💚💛💛💚
@gspofficial7977
@gspofficial7977 3 жыл бұрын
Apo sawa
@omaryluambano3495
@omaryluambano3495 3 жыл бұрын
Yanga 💛💚👍
@consoojoseph3918
@consoojoseph3918 3 жыл бұрын
Aha aha sipati picha tungewafunga😂😂😂 hongera Kaka
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Nikujulishe mtangazaji si amepokelewa na wanayanga tu mie ni SIMBA lakini nimeshiriki mapokezi hayo nikiwa na toyo
@cleofasnyoni3836
@cleofasnyoni3836 3 жыл бұрын
Safi
@feristamussa4181
@feristamussa4181 3 жыл бұрын
Naona hats aloe mubeba pia no simba
@maelezomaelezo9057
@maelezomaelezo9057 3 жыл бұрын
Hii do yanga nayoijua mimi
@leahmgunda5055
@leahmgunda5055 3 жыл бұрын
Nimefurahi kuona Amerudi kwao salama salimini.
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 3 жыл бұрын
Waoooooo!!👍💪💪💪💪
@robertlinuma6051
@robertlinuma6051 3 жыл бұрын
Bongo Raha Sana aisee
@peterochogo546
@peterochogo546 3 жыл бұрын
Safi sana
@lawrencegwerino1656
@lawrencegwerino1656 3 жыл бұрын
Safi sana Mimi naomba na serikali imuunge mukono..
@khadijahali4837
@khadijahali4837 3 жыл бұрын
🔥🔥
@josephatijerome2592
@josephatijerome2592 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥💚💚sio mchezo kapokelewa na probox
@ewaldambrose6136
@ewaldambrose6136 3 жыл бұрын
Mbona nguo za Airport ni tofauti na alizobebwa nazo? Kabadilisha saa ngapi na wapi? Au mapicha picha yanaendelea huko uto? Badala mjiandae na mechi ya leo huko mahaliwa mnazunguka mitaan..
@halimamwajuma9208
@halimamwajuma9208 3 жыл бұрын
💛💚💛💚💛🔥🔥🔥🔥🔥
@robertjagad5826
@robertjagad5826 3 жыл бұрын
Dar Kigoma siku 21? Hapo kuundwe tume ya uchunguzi asee
@jayjay4313
@jayjay4313 3 жыл бұрын
Wengine watadedi mzee wakijaribu kumuiga tembo kula maboga mazimaaa bila chachandu mzee. Haya mjengeeni sanamu lake, imeisha hiyo tafuteni nyingine, ila mji kautangaza bara bara na sasa Kigoma tunaitambua.
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 3 жыл бұрын
Hayo ndio makombe wanayobeba yanga mwaka huu,
@petterkasumbi4034
@petterkasumbi4034 3 жыл бұрын
Walio chukua ubingwa la liga toka 2010 Hadi 2020
@shabanigoliama1523
@shabanigoliama1523 3 жыл бұрын
Well don
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 3 жыл бұрын
kigoma the great
@martinswai8031
@martinswai8031 3 жыл бұрын
Jamaa ndo keshakuwa staa tayari😂, ila ametisha. Safari yake ilikuwa ngumu mno
@khdijaahmed8458
@khdijaahmed8458 3 жыл бұрын
Umeonaeeh
@eliyatango8432
@eliyatango8432 3 жыл бұрын
Kashakuwa harmo nais
@chachasereka7252
@chachasereka7252 3 жыл бұрын
Hatari kweli kweli.
@emmystivin3774
@emmystivin3774 3 жыл бұрын
Hii nchi bira kiki as hutoboi
@isaacmbade6955
@isaacmbade6955 3 жыл бұрын
Nilijua lazima mngefanya hivyo safi sana utopolo but mimi Mnyama damu
@juniormgema2524
@juniormgema2524 3 жыл бұрын
😂😂😂😂na kiatu kipyaa
@hilarygaston8772
@hilarygaston8772 3 жыл бұрын
hongera sana
@andreageorge2611
@andreageorge2611 3 жыл бұрын
Congratulations
@juniormgema2524
@juniormgema2524 3 жыл бұрын
Ad simu ya mkonge
@CRMEDIA-yd7dp
@CRMEDIA-yd7dp 3 жыл бұрын
Watu wwnyewe wawili
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
nenda tuone utapokelewa na wangapi😏😏😏😏roho mbaya tu
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 3 жыл бұрын
Ajengewe sanamu kigoma hapo roundabout
@zemgotanar5264
@zemgotanar5264 3 жыл бұрын
Ngoja na Mimi nimuige
@alivaro1911
@alivaro1911 3 жыл бұрын
Inch Ina mambo hii yani watu wayanga awana kazi yak u fan ya
@khadijamagram4063
@khadijamagram4063 3 жыл бұрын
Utopolo ndo furaha yenu na ndo kombe lenu hilo ila kombe la VPL wanchukuwa wapiga soka Tanzania SIMBaA SC.na ndo watafurahia kombe na si mtembea kwa miguu.
@martinswai8031
@martinswai8031 3 жыл бұрын
Jamaa ana msafara Kama wa anko magu
@mabaujames3632
@mabaujames3632 3 жыл бұрын
Uto awana dogo
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 3 жыл бұрын
Maana halisi ya UTOPOLO ndo kama hivi sasa
@emmaponera225
@emmaponera225 3 жыл бұрын
We fala tu acha wivu
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 3 жыл бұрын
@@emmaponera225 unawakilisha utopolo wewe mana ndo mlivo
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Ni sawa kigoma bado washaba
@allyndingo1812
@allyndingo1812 3 жыл бұрын
Utopolo
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
Nilijua karudi kwa miguu kumbe kapanda ndege
@magesakhamis4808
@magesakhamis4808 3 жыл бұрын
Bongo sihami asee
@injili90
@injili90 3 жыл бұрын
Kikubwa wamuwezeshe kimfuko sio shangwe tu
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 жыл бұрын
Duuuu,!
@juniormgema2524
@juniormgema2524 3 жыл бұрын
Utopolo bwana😂😂😂
@emmaponera225
@emmaponera225 3 жыл бұрын
Yanakuhusu acha wivu
@hitlanmahenge7561
@hitlanmahenge7561 3 жыл бұрын
Utopolo in utopolo tuu
@emmaponera225
@emmaponera225 3 жыл бұрын
We lofa acha ubinafsi
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mmehakikishaje ameenda kwa miguu kwani mahesabu ya kilometres yanakataa kwa hizo siku
@mosesezekiel3089
@mosesezekiel3089 3 жыл бұрын
Umeona tatizo wengi wana mhemko ila hawa jifikilii kigoma to dar nizaid ya km1500
@hadijalukas5959
@hadijalukas5959 3 жыл бұрын
acha ubishi usiokuwa na razima mimi shahi nilimpita nikiwa kwe gari tarehe ishilini na tatu mwezi nne itigi kijiji cha tura akiwa poli kasimama pembeni ya barabara na nguo zake za yanga sasa unabisha kitu gani?
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 3 жыл бұрын
@@hadijalukas5959 kumuona sio tatizo ni hivi jamaa ametumia gar baaadhi ya maeneo
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 3 жыл бұрын
@@hadijalukas5959 Hana lolote uyo badhi ya maeneo katumia gar
@isikesamike
@isikesamike 3 жыл бұрын
@@rogermomodesty3568 no research no right to speak. Weka hiyo gari alotumia tuione
@danielmbise382
@danielmbise382 3 жыл бұрын
Washabiki wayanga wangechanganywa na nyani zoo atlist wizara ingepata chochote
@emmaponera225
@emmaponera225 3 жыл бұрын
Sio kosa lako
@cosmasjohn3949
@cosmasjohn3949 3 жыл бұрын
B
@injili90
@injili90 3 жыл бұрын
Waha kwa mbwembwe😂😂😂😂
@allysaid4385
@allysaid4385 3 жыл бұрын
Bongo nyoso
@vonlyobagold1115
@vonlyobagold1115 3 жыл бұрын
Bongo bhana 🤣🤣🤣
@happycharles9019
@happycharles9019 3 жыл бұрын
Hater yaan
@azamnajum6867
@azamnajum6867 3 жыл бұрын
Utopolo
@maxlupapa4554
@maxlupapa4554 3 жыл бұрын
Ujinga ni kitu kibaya sana
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 123 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 161 МЛН
SUZIBALE: NDOA TUNAYO NA TUNATAMBA NAYO WE HUOGOPI
5:58
EastAfricaTV
Рет қаралды 124
Uzuri wa Kigoma - Mwisho wa Reli, @ Drone Footage - TANZANIA.
3:07