Ladha ya Kiswahili cha Zanzibar haiwezi kufananishwa na Kiswahili cha kwingine

  Рет қаралды 9,248

Durusu Kiswahili

Durusu Kiswahili

Жыл бұрын

Ukitaka kujifunza Kiswahili halisi, katika mazingira halisi, na kwa Waswahili halisi, njoo Zanzibar - Ulfat Abdulaziz, Mkurugenzi Bodi ya Huduma za Maktaba, Zanzibar ‪@ZanzibarKamiliTV‬ ‪@zbczanzibar7210‬ ‪@eastafricankiswahilicommis2339‬

Пікірлер: 78
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 17 күн бұрын
Kiswahili kwetu sisi watanzania kizuri sio deal sana tuongee juu ya tanzania ya kesho
@halimanafoo2468
@halimanafoo2468 Ай бұрын
Ahsnte madam ulfat mwalim wangu kipenzi upo sawa nakuaminia
@jumasaleiman
@jumasaleiman 3 ай бұрын
Asante dada wa kutoka home zanzibar ❤ nimefurahi sana sana
@mrok284
@mrok284 3 ай бұрын
Shukran mwalimu wangu Biulfat. Nimekupata vyema kutoka hapa nyumbani visiwani.
@safiaabdalla8739
@safiaabdalla8739 3 ай бұрын
Hongera sana Dada Ulfat, tumekuelewa vyema na umetuwakilisha vyema sana❤
@user-tx2zj1qq1o
@user-tx2zj1qq1o Ай бұрын
However Kiswahili cha Zanzibar ndio asili. Lakini waandishi na watangazaji wa redio za SMZ ndio chanzo cha kufuja kiswahili cha ZNZ pamoja na vituo binafsi vya redio watangazaji almost ni Watanganyika huwa wanazungumza Kibongo tu.
@aliamour4970
@aliamour4970 3 ай бұрын
Ahsante dada kwa kutuwakilishia tabaaraka rrahmaan
@Laanakum
@Laanakum 3 ай бұрын
Ndugu Ulfat.. hongera sana ktk ziyara yako ya ughaibuni na fursa ya kipekee ya kuelimisha na kuchanganua ubora wa lafdhi na ladha ya lugha ya Kiswahili sahihi cha mwambao wa pwani km vile:- Zanzibar Mombasa Mafiya kidogo alau kiswahili chake kinaona pmja nakuwa kuna tofauti ya lafdhi ya matamko lakini kinafhmika Ukilinganisha na lafdhi/ladha ya matamshi ya Kiswahili cha sasaivi kwa maoni yayngu binafsi na wala c kusudii kukosoa mtu yoyote bali inawezkana kabisa kuwa labda ndio mfumo sahihi ulio boreshwa svi.. khususan katika tafsiri za baadhi ya makamusi/Dictionary yanayo tumika svi ktk misamiati yake na ibara za kutafsiriwa kiswahili cha Kimataifa. Nakusdia lafdhi au hio ladha ya baadhi maneno mengi hayaeleweki na huenda ikawa labda huyo/hao wanao tumia matamshi mepya ktk bdhi ya maneno ktk tafsiri zao kimataifa ni kutokana na lahja za uzoefu wa lugha zao za vijijini na hapo ndio inakua tabu baadhi ya wengi kufhm kwa kina kinacho kusudiwa na ktk kile kinacho andikwa..
@Laanakum
@Laanakum 3 ай бұрын
"Nivyema sana ikipendeza kuchunguzwa ili kujuwa hayo nilio eleza na ikiwa itakua nimefahamika kusudio pendekezo na madhumuni nilio yaeleza. Kwamba kitumike kiswahili sahihi cha kimwambao na khasa lahja ibara lafdhi za Kizanzibari ambavo inafahamika wazi Kitaifa na Kimataifa kuwa znz. Nadhani ndio chimbuko la ufasaha wa lugha ya kiswahili sahihi napale inapotokea fursa ya kutakiwa itumike Kimataifa ktka umuhimu wake ni vyema ipate mzazibari halisi km tunavo tegemea ndugu yetu dada yetu mama Ulfat. Allah akuwafiqishe kila la kheri salama na amani amin"
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 18 күн бұрын
Sadakta! Umegonga ndipo, mara nyingi nina shida kuelewa kilichoandikwa na watu fulani lakini kila siku hujaribu kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiswahili. Nimeshazoea kidogo kuyakisia maana za sentensi mbalimbali lakini bado ni changamoto. Mvumilivu hula mbivu ndiyo maana natumai siku moja nitaelewa kila kitu.
@jumaothman2092
@jumaothman2092 Ай бұрын
Mombasa lamu pate huko malindi yote ilikua ZANZIBAR kama hujui halafu wewe ni mtu wa bara ya kenya wajitia wajua historia sana halafu unachanganya kiengezeza na kiswahili
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 2 ай бұрын
Ukitaka kujuw Zanzibar na Tanganyika wepi wanaongea kiswahili fasihi ,chukua kiswahili cha Mh Samia na kiswahili ch Mh Magufuli ukiwa muelew na mwenye akil timamu utapata jibu sahihi
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 4 ай бұрын
Uko sahihi sana shukran
@IslahiMohamed-qi2jf
@IslahiMohamed-qi2jf 19 күн бұрын
Zanzibar ndokwenye kiswahili na sio bara
@salumali9312
@salumali9312 2 ай бұрын
Asabte Madam Ulfat. Nami ni mwanafunzi wako na nakukubali, ni kweli kiswahili cha zanzibar kina ladha ya aina yake kabisa
@user-rg4wu2tg7x
@user-rg4wu2tg7x Ай бұрын
Mbona umefanana sana na Dr zeyana au muko ndugu?
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 3 ай бұрын
Nime furahi Sana speaking up
@alhilaltvonline
@alhilaltvonline 2 ай бұрын
Naunga mkono hoja😊
@surusuru1994
@surusuru1994 2 ай бұрын
😂😂kabisa beleshi chepe nyaya tungule😂 fasaa msichkish walao nuna
@mohamedrajabu9055
@mohamedrajabu9055 3 ай бұрын
Og swahili zanzibar pekeayake
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 2 ай бұрын
Sanifu yatoka mezani haitoki uswahilini
@alijuma1442
@alijuma1442 Жыл бұрын
Hongera mwalim wangu
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 3 ай бұрын
mzazibar yoyot ata awe ana wakumbuka babu zake kumi mbele walio mzalia wazee wake basi walikua waswahil ila wezetu hahah babu zao ngosha wote kiwahl lugha yao wap wanajidai tu watafte lugha zao watumie
@surusuru1994
@surusuru1994 2 ай бұрын
,🤣🤣🤣mnajekeshakwli eti nyaya nanyo utafutisha tugule🤣🤣mujigakwli kiswahiili fasaa kipo BOMGO pekee dio yenye kiswahiili fasaaa
@martymcfly9232
@martymcfly9232 Жыл бұрын
Story ni hadithi au kisa
@mahabubamahabuba714
@mahabubamahabuba714 2 ай бұрын
kiswahili asili halisi hakikuanza zanzibar kiswahili kilianzia eneo la shungwaya huko Somala wala sio Kenya wala Tanzania huo ndio ukweli mambo
@adamcharo9327
@adamcharo9327 13 күн бұрын
Na pia ujue ilikuwa lugha na kabila.haikuwa lugha ya taifa
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 ай бұрын
Kiswahili fasaha ni kutoka zanzibari NA mombasa dar eslaam bagamoyo NA tanga hiyo ni mamlaka ya zanzibari hapo zamani
@humphreyajuoga8996
@humphreyajuoga8996 3 ай бұрын
Chimbuko La Kiswahili linajulikana dada, Wasabaki wa Kenya, tutazidi kumenyana mpaka ukweli udhihirike, Zanzibar ni changa sana ukilinganisha na Mombasa, Lamu, Malindi na Pate. Zanzibar only comes into the picture late when the Oman Sultan Said Seyyid made it the capital before that it was insignificant in the development of Swahili.Kiunguja ni sheng kwa Mswahili alisi!!! Tutakabiliana sana na nyinyi mpaka ukweli wa mambo yajulikane bayana!!!!!
@martedimohamed6327
@martedimohamed6327 3 ай бұрын
Kiswahil kimeanza kilwa kipind cha utawala wa persin izo ulotaja zote ni changa sana kwa kilwa kabla ya sultan kuja kutawala EA kilwa ilikuw inatawaliw na persin wakaja wayemen baadae ndo akaingia waoman ,, kilwa imeanza 9th century wakt lamu imeanza 11th century sasa upi ni mji wa kale hpo???
@humphreyajuoga8996
@humphreyajuoga8996 3 ай бұрын
@@martedimohamed6327 wa Shirazi wa Persia walikuwa tayari Mombasani,Lamu, Pate na Malindi. Kilwa si mzee kuliko Lamu leave alone Mombasa.Umesoma kitabu kipi hicho nipe jina?
@humphreyajuoga8996
@humphreyajuoga8996 3 ай бұрын
@@martedimohamed6327 kitabu nimesoma mimi inaitwa Swahili by Derek Nurse. Page 3 inasema hivi quoting “ ….The first permanent trading settlements that we can identify were established during the 9th century in the Lamu archipelago (at Pate, Shanga and Manda)…. Though he added also on the Southern Tanzania Mafia and Kilwa too. So Kilwa is not older than Lamu they are about the same age unlike Mombasa which is much older than the two.
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Uliza ujibiwe iyo Mombasa,kwale,lamu yote ni sehem ya Zanzibar imeunganishwa na Kenya kwa utashi tu
@humphreyajuoga8996
@humphreyajuoga8996 3 ай бұрын
@@user-gd2xj3xd1b ni kweli, wakati Said wa Omani alipo tua Zanzibar eneo yote ya pwani ya present day Kenya ikawa under the Omani Sultanate. Lakini hiyo ni mambo ya juzi 3 centuries ago.Kiswahili kilikuwa already.
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 Жыл бұрын
We sista duh nenda ukasome vizuri historia ya kiswaili asili yake imeanza wapi
@moa4122
@moa4122 3 ай бұрын
Nadhani wewe hujuwi historia ya kiswahili na ya Zanzibar. Kwa sababu Zanzibar ilikuwa kuanzia karibu na kismayu hadi Mozambique ilikuwa ni nchi moja hadi mwaka 1963 mpaka mafisadi hawa wazungu walipoigawa Zanzibar na Afrika nzima. Amka ndugu yangu ukweli utabaki ukweli tu hakuna wa kuibadilisha historia.
@ramadhanmusa2878
@ramadhanmusa2878 3 ай бұрын
@@moa4122we nae sijui umetokea wapi..zanzibar kwa sasa ni seemu sio waanzilishi wa lugha yakiswahili..lugha ilianza juu Mogadishu lamu hadi chini mwisho wa msumbiji
@salehesasa3400
@salehesasa3400 2 ай бұрын
Nikwe li ladha hiyo mwaipata wenyewe wazanzibari lakini kiswahili sanifu ukija dunia kina katika bara
@amerwelder7786
@amerwelder7786 2 ай бұрын
Yaan bar ndo munazungumza kiswahil kizur mhhh
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 2 ай бұрын
Sasa hawa bara mbn barabara wao wanasema balabala ufasaha upo wp?😂😂😂😂😂
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 3 ай бұрын
wanzibar wote waswahil ila walio bakia wot wana jijuw kina nani utaskia wanya mwez wamakonde wasukuma wasukumwa na wngineo wanajua kidg tu kiswahil ila leo wanajifany waswahil kuliko wazanzibar ambao ndo waswahil wenyew
@mhandomhina5503
@mhandomhina5503 3 ай бұрын
Waswahili wa mwanzo ktk historia walitoka pwani ya Somalia (Mogadishu) kuchukua visiwa vyote ktkati na miji yake mpaka Msumbiji(Sofala) hakika hii ndio Zanzibar asilia ya kiswahili ambapo watu kutoka Uajemi ,Meditarania, Bara India waliitambua kwa kuitwa Bara Zanj hivyo mnaweza kujivuza historia ni Zanzibar hipi yenye asili ya kiswahili na waswahili na hii ya Said Sayid 1840 kutoka Muscat Oman miaka alfu moja kabla babu kadhaa hawajala tende na karanga na maziwa na maparachichi Kiswahili kilikuwepo pwani yetu Sheikh Nchicha...
@surusuru1994
@surusuru1994 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣inna ilah nimsiba kiukwli znz hajui ata i story yenu😂😂😂 kwza kiswlili fasaaa ni ja BONGO natukitaja visiwa ni Dar tanga mafia mutwara lidi ruvuma Kiswahili fasaa cha pwani ata shuule kimenyooka huwezi shoma eti nyanya tungule wala beleshi chpe wala mchele eti pebe😂zann sasa shuule school😂😂 hamna tafauti na Wa Kenya
@shaabanmakame2690
@shaabanmakame2690 2 ай бұрын
Kwaiy nyie vile Halima kumuita Alima ,yani nyie kwa kuweka R mnaeka L na kwakueka L mnaeka R ,si pia kiswahil ch kuongea pia mnafundishw shule nyie kil mtanganyika anaongea malugha tele ,lkn Wazanzibar lungh yke ni kiswahil t 😂😂😂😂😂
@adnanidarous3117
@adnanidarous3117 2 ай бұрын
Sister tunsjivunia sisi Hata kua wazanzibar ❤ ila maktaba iekwe pia kiteknologia ili imfikie adi mtu aliepo uko marekani ndio njia sahihi ya kukuza utamu w kiswalili cheti kw akili z vijana wa 2024.
@mdathirhassan2187
@mdathirhassan2187 2 ай бұрын
Kiswahili si sanifu kiswahili ni asili
@moa4122
@moa4122 3 ай бұрын
Sasa hivi watu wengi wa bara wanatuharibia kiswahili. Eti wanajifanya wao wanaandika vitabu vya kiswahili kibovu sana wanaingiza maneno ya kinyamwezi na kisukuma humo humo
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 2 ай бұрын
Sasa unatakaje Ili lugha ikue lazima kuwe na maneno yanayozuka,
@martymcfly9232
@martymcfly9232 Жыл бұрын
Hujasikia kiamu basi, kiswahili cha Amu
@martymcfly9232
@martymcfly9232 Жыл бұрын
@@pm3302 asante, dada, naomba unisaidie na kitu kimoja. Natafuta asili ya maamkizi "Alamsiki" katika lugha ya kiarabu, sijaipata
@Sunshine99283
@Sunshine99283 9 ай бұрын
​@@martymcfly9232I can help you with arabic.
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 7 ай бұрын
Hicho ladha ya zanzibar ikoje? Wakati bara ndio wanafundisha kiswahili duniani
@barakabieber
@barakabieber Жыл бұрын
Zanzibari na kiswahili wapi na wapi?Pumbavu zako.Tanzania bala ndiyo chimbuko la kiswahili fasaha kwa duniani kote.Nahisi umetumwa we kwenda zako.
@mahamoudduchi3318
@mahamoudduchi3318 9 ай бұрын
Weye mwenyewe hujui kitu ety Tanzania Bala ndo nini Sasa
@FatwimaZahrau
@FatwimaZahrau 4 ай бұрын
Mmhh hio bala tena😂 ndo kiswahili hicho sanifu bala😂
@user-hy7op6tr8p
@user-hy7op6tr8p 3 ай бұрын
We pumbavu kweli , hata kuongea hujui, ety Tanzania bala. Bala ndo nn
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 3 ай бұрын
MUUNGANO UNAPOTOSHA TAAREKHE ZANZIBAR NA TANGANYIKA @barakabieber. Umepotosheka na kupotosha. Inaonesha hujui kabla ya 1964 kulikuwa hakuna Tanzania. Kukhusu asili na kusambazwa kwa lugha ya Kiswahili soma: ECUMENISM OF THE ZANZIBAR SWAHILI BEFORE AND AFTER INDEPENDENCE IN KENYA, TANGANYIKA AND UGANDA.
@SheikhYussuf-iv6lo
@SheikhYussuf-iv6lo 3 ай бұрын
acha chuki ww ww mwenyeo hujui kiswahil
@mrok284
@mrok284 3 ай бұрын
Shukran mwalimu wangu Biulfat. Nimekupata vyema kutoka hapa nyumbani visiwani.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
Mazuri ya Waafrika Wamarekani
11:32
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 205
Je, Kiswahili cha Tanzania ni bora kuliko cha Kenya?
7:15
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 11 М.
Lugha ya Kiswahili Nchini Marekani
9:45
Geofrey Julius
Рет қаралды 26 М.
JAMVI LA LUGHA :UFASAHA WA KISWAHILI
36:46
KBC Classics Channel
Рет қаралды 51 М.
Kukabili changamoto za ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni
16:44
Durusu Kiswahili
Рет қаралды 183
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 163 МЛН