#StayHome and watch Arash Ajamiy's new music video Ya Habibi Ya Muhammad2020 Audio - Produced By Ess Ell Video - Ace Cinema Directed By - Mac Choka (The Last Omari's Son)
Пікірлер: 149
@mizbahabdallah71714 жыл бұрын
Wallahy hii ni kazi Kubwa umefanya bro na Allah atujalie kukutana nae Bwana Mtume (S.A.W)😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@abdallaomar2364 жыл бұрын
Mashaallah... Allah barik... Namwona al akh said twalib omar.. Mungu awazidiahie
@hashimzein4 жыл бұрын
Masha Allah kazi kubwa sna
@BABDEOMILADU4 жыл бұрын
Mashallah
@Badiyo19984 жыл бұрын
Allah Allah kijana ww ni hatari sanaaaa wallahy hata Sina lakusema bro umenimaliza kila nkiiangalia natoka na machozi lakini Nina Imani kubwa sanaa bwana mtume s.w. hatokuacha atakushika mkono inshallah...🙏
@zaydmuhammad46202 жыл бұрын
Mashaallah habib allah akuzidishie umeua mwamba allah akujaalie usitoke ktk njia hii ukaingia kwa miziki ya mapenzi kama mbosso
@maulamunshidabdulrahman20434 жыл бұрын
Mashaallah bro umeuwaaa wallahi bro una kipaji kikubwa mungu amekupatiya mashaallah na endeleya na hiyo hiyo kazi yako ya kumsifu mtume kwani yy ashuhudiya kila unacho kifanya bro na nina hakika kama unavyo mpenda mtume na mtume akupenda zaidi mtaje mtume mbele yetu sisi wa tulojaa madhambi mtume Muhammad صلي الله عليه وسلم ataenda kukutaja mbele za malaika wema na maswahaba inshaallah bro i am proud of you my brother we ndio mwalimu wangu bro na sisiri najivuniya na ww na mungu atakuhifadhi uzidi kutupa mazuri na mafundisho ya bwana mtume Muhammad صلي الله عليه وسلم bro keept up brother king of ajamy 😍😍😍
@arashajamiy44494 жыл бұрын
KILA ALIE GUSWA NA HII KASWIDA KWA AJILI YA MTUME AGONGE LIKE HAPA CHINI KISHA UCOMENT NA USHARE HII KAZI PLZ PLZ NDUGU ZANGU NAWAPENDA NYOTE KWA AJILI YA MUNGU NA MTUME WETU ANAE WEZA KUIPITISHA ARABUNI HUKO WATUSKIE WENZETU AFANYE NA JAZAA YAKE KWA MUNGU #PANAJAMBO
masha Allah ndugu yangu mola akuzidishie tupate kupumbaa na sifa za kipenzi chetu maana sisi wengine ndio dawa zetu kuswifia bwana huyu
@nimaabdi94724 жыл бұрын
Wow wow mashallah I love it Wallahy king arash 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️😘😘💋
@binshirazy47014 жыл бұрын
Mungu akujaalie uwe na mtume peponi
@bobshack69174 жыл бұрын
Dooohhhh kazi kubwaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@jaafarjacka33204 жыл бұрын
MwambaaAaa Arash Ajamy hii kubwa 😭😭😭😭
@zakariyaabuu73364 жыл бұрын
😇Mshaa Allah ...inshaa Allah Bwana mtumi atatushufaia siku ya qiyama 🙏🏽congratulation King 👑 of Ajamy 💚
@dallushlovelove39914 жыл бұрын
Mashaallah jomba mungu Akupe nguvu zaidi tumsifu mtume kwa sanaaaaa👌👌👌👌👌👌👌👌
@munaswaleh73504 жыл бұрын
Mashaallah umekomboa #PANA JAMBO# king of ajamy
@binyamiinabubakar43254 жыл бұрын
MASHA ALLAH HII NIMOTO JUU YAMOTO KING ARASH 👑👑
@alimuhdharalimuhdhar80084 жыл бұрын
Ma Shaa Allah kpenzi cha umeuwa mwamba zawadi imefika ma Shaa Allah big yess UKIPENDA NIITE KIPENZI CHA TUYURL JANNAH
@binbarwan74014 жыл бұрын
first comment kutoka zanzbar umeuwa bro mashallah ...umeniliza😭😭😭😭😭
@jihangryf644 жыл бұрын
Mashallah mwalimu wangu wa tauwifq hizo zama wallahi jameel imefana kufana mashallah ♥️♥️
@zuleikhamuhammad43544 жыл бұрын
Mashallah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Arash ajmy
@zuleikhamuhammad43544 жыл бұрын
Allah akuzidishie
@alfaqeeerabdallahalbaury4194 жыл бұрын
Mashaallah mola akuhifadhi akhina Arash Ajamiy umetutia charge nyoyo zetu kwa mahababa ya tumwa wetu
@rashidmuhammed83224 жыл бұрын
Mashaallah my kaka mungu akuzidishie love u
@muhsinbadawy4 жыл бұрын
ALHABIB SHEIKH SAYID ANIDAI SODAAA!!! MASHAALLAH BEST OF THE BEST YAA BABA KING RASHID JAZAKALLAH KHEYR KWA KUTUSWIFIA BABU YETU RASULULLAH ♥️♥️♥️
@Mohammad_shidogo4 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah 😭😭😭 kazi nzuri sana Ndugu Ajamy inaonekana kila kuchao wapanda ngazi za juu zaidi katika ubunifu,utunzi na uimbaji wa nashaid na katika kumsifu mtume MUHAMMAD s.a.w♥️♥️♥️♥️♥️ Mungu akupe badali aku zidishie kila siku na akutilie Barka zaidi kwa kazi zako nzuri zenye kuyeyusha huzuni zilizo moyoni.... Nime penda sana kazi hii na usichoke kutupa 💪💪💪💪
@munirmohamedabdallaomar82304 жыл бұрын
أحساس جديد بقلبك يزيد بتحسه كل ما بتتطلع فيي(نانسي عجرم) Umemaliza bro hii version safi Sana waarabu lazima waione...one❤️from DUBAI
@musesfakenya94664 жыл бұрын
The arash the ajamiiiyyyyy nakubali mwambaaa nice one bro
@hamidabubakar84604 жыл бұрын
MashaAllah ajjab habib Arash Ajamy ni Qaswida inayogusa sana Wallahy Allah akuzidishie bro na awakuze wasanii wengine wadogo katika fani hii ya Qaswida wamsifu Mtume (S. A. W) milele..... 👌👌👌👌....🔥 🔥 🔥
@mohammadkassim99374 жыл бұрын
Masha allh Masha Allah hongera allh bariki
@shiraazymuhammad10344 жыл бұрын
Masha Allah jomba Allah akufungulie zaidi na zaid uzidi kumatangaza bwana mtume Mohamad s.a.w
@mohasalan4 жыл бұрын
Jiniiiiiiiiiiii unajua mpaka basi Allah akuhifadhi
@ahlulkheirat2674 жыл бұрын
ما شاء الله الله يحفظك الفنان الكبير راشد العجمي
@youngkhatib28664 жыл бұрын
الهم صلى و سليم عليه Masha Allah braza imeweza
@mwanasomomohamed56604 жыл бұрын
Ma shaa Allah Ajabu... Muntazz 😇☝️🤝💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👑🎓🥀
@abdulbasitabdulswamad84854 жыл бұрын
Mashallah.............Nice Qaswida......I love it wallhi bro❤.... Allah akuja'alie kila LA heri ......na akuepushe na shari
@officialfadhilomar52494 жыл бұрын
👐🏽👐🏽👐🏽👐🏽 ..mimi ni nani nisicomment hili balaaa. 💥💥💥
@muhammadsalim19764 жыл бұрын
Mashaallah imeweza bro keep it up na usianze kuimba bongo flava keep praising Nabiyyina Muhammad
@hayalmaawy59414 жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie unique kbsaa bro...ajab
@aishaa.zubeir41324 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah qaswida mzr sana alhamdullilah ni PUmbao la nafsi mwenye huubba za rasull huzidi..ya Habib ya Rasullaah
@omarmusa854 жыл бұрын
Mashaallah barakallah lak😭💖💖
@swabahamuhudhari6814 жыл бұрын
King of AJAMY imeweza Ma Shaa Allah 👌👌👌
@jihangryf644 жыл бұрын
Mashallah ya Arash Allah akufungulie zaidi ♥️♥️ nimeipenda sanaaaa
@muhammadkhatwab4 жыл бұрын
Maashallah..qasida nzuri na lahni nzuri. Mungu akuzidishie uzidi kuboresha
@abdillahabdallahnabahany12704 жыл бұрын
MashaAllah Best Nasheed.. Ehsaas
@zaydmuhammad46202 жыл бұрын
Hakika umenimaliza habib wallahi tena
@sallemsalvador45424 жыл бұрын
ماشاء الله 😍👏💚 Arash
@chakulachamoyohudhey84884 жыл бұрын
Mashallah uko fiti bro
@maulamunshid77394 жыл бұрын
MashaAllah🔥...Keep it up Habib ALLAH atukutanishe nae kipenzi😭🤲🏻
@al-nadhirstudio34004 жыл бұрын
👌🔥Mashallah King of Ajamy
@yasmeenjuma38013 жыл бұрын
💯💯🕋🙏🧕👌
@getitreal51804 жыл бұрын
Mashallah Ya Akhii Wa Allah barik.
@AliMahmoud-pu7lo4 жыл бұрын
Mashaallah ajjab King ajamy
@athmanshamy72214 жыл бұрын
Masha Allah ziiidd
@ibrahimammar7800 Жыл бұрын
Mashallah akhy nimependa sna
@shuhaidaomar33474 жыл бұрын
masha allh hongera sana 🌷🌷🌷🌷🌷🇸🇴
@saidbarghash28164 жыл бұрын
WALLAHY HII NI KAZI KUBWA SANAA KWA WALE WAPENZI WA MTUME S.w #Kipenzi cha Mtume #Kingofajamiy #Panajambo 🔥🔥🔥🔥
@abdulkadirsimba4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah. Baaraka Allahu fiika
@SHARIF_HUSSEIN_0063 жыл бұрын
Mashaallah bro ❤️😍🔥🔥🔥
@alawisalim91394 жыл бұрын
MASHA ALLAH
@khadijaal65484 жыл бұрын
King of AJAMIY kaz kubwa saana my brother ley support yuu MaShaaAllah MaShaaAllah mavaz yametulia sauty MaShaaAllah video iko 🔥🔥🔥🔥 Tuko pamoja wako sister khadooja
@aminasalumu72114 жыл бұрын
Mashallah mashalllah kazi mzr king wety Allah akuhifadhiii uzid kumtangaza mtumeee😘
@shihabjrkhitamy2034 жыл бұрын
Ma sha allah ma sha allah tone sound and the music ma sha allah mungu akuzidishia
@haythamkhan22434 жыл бұрын
Masha Allah brother Arash Ajamiy qaswida ajab sana
@zainmohamed2154 жыл бұрын
Ma shaa ALLAH safi sanaa keep going my brothers
@mohdsein7474 жыл бұрын
Mashallah bro zimalizi kuiskiza😭❤️
@mahmoodyusuf88864 жыл бұрын
Qaswida ajjaaaab wallah 🌹🌹🌹🌹🌹
@muadhabubakar19994 жыл бұрын
MashaAllah kazi safi bro Allah akuzidishie kipaji InshaAllah #Panajambo
@mahmouddulajara73074 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah Qudsiyz imeweza
@mahadhiabdul87044 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah imeweza 👍
@wakatiomar51234 жыл бұрын
Masha Allah
@alihiribae70434 жыл бұрын
Ma sha Allah
@binshirazy47014 жыл бұрын
Umeweza broooo
@ijarisijan36684 жыл бұрын
Mashaallh
@yearbah14 жыл бұрын
umenimaliza king brother mashallah...ArashAjamy
@drtee75334 жыл бұрын
MashaAllah...Ehsas Gedeid👌👌👌
@lailachauhan89314 жыл бұрын
MashaAllah
@hishamabrar30454 жыл бұрын
ma sha Allah
@rhamzykenya54014 жыл бұрын
Mashaa Allah broh my mentor you doing an amazing job
@brotherhamedofficial4 жыл бұрын
Mashallah broo keep going 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@abdullahrashid97504 жыл бұрын
MashaAllah always king 🇹🇷🔥
@mahmouddulajara73074 жыл бұрын
Turkey???
@jaffarhassan77244 жыл бұрын
Mash allah mash allah mash allah
@faroukabdallah80274 жыл бұрын
Mashallah ,nice qaswida....
@mwanampotevu54424 жыл бұрын
Mashallah.
@manjutinoh55724 жыл бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤❤❤💕🔥🔥🔥🔥🔥.
@ahlaambajabir34864 жыл бұрын
Perfect ❤️👌
@mohammadkassim99374 жыл бұрын
Masha Allah king
@mohammadkassim99374 жыл бұрын
Ya sallam Kaka 🌹🌹🌹🌹
@biryking123shirazy54 жыл бұрын
Mashaallah
@AbdallahomarShirazy4 ай бұрын
Mashallh 🥰
@omarallysharo84004 жыл бұрын
Kazi kubwa mwamba
@ashaismail94634 жыл бұрын
Mashaallah nice nasheed
@shuaibabdulrahman76934 жыл бұрын
MashaAllah arash
@luqmanmahir784 жыл бұрын
Mashallah 👌 👌
@alsharaweyahmed0014 жыл бұрын
ماشاءالله 🔥
@abdallahomar81762 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
@binshirazy47014 жыл бұрын
Allllaaaaaah motooooo
@faruraabdulkadir56414 жыл бұрын
👌👌👌👌✌✌✌💗💙
@faruraabdulkadir56414 жыл бұрын
Wow! Wow! MASHAALLAH mungu akuzidishie kipaji chako akuwezeshe kwa kila utakalo litaka ufanikiwe