TOBA TOBA HIO NIMEWEKA NA ZINGINE ZINAKUJA NAJARIBU KUWAEKEA KASWIDA ZANGU ZA ZAMANI NIKIMALIZA TUNAENDELEA NA ZA SAA HII USISAHAU KU share like coment #PANAJAMBO
@hadiabdallah15675 жыл бұрын
Arash Ajamiy shukran inshaAllah 💯 tuko pamoja bro🔥🔥🔥
@Kenyayetu245 жыл бұрын
Twafarajika sanaa Allaah akupe faraja na ww
@awadhabdi16164 жыл бұрын
In sha Allah I used to listening to madrasa madina qaswida alot shukran and jazaka Allah
@shabanihamisi75834 жыл бұрын
shekhe naile sisi kwetu namba one naisaka kweli kweli nitumie hume 0652 707924
@mohamedyasin40964 жыл бұрын
Mashallah. Hii qaswida yanikumbusha 2006 radio rahma kila usubuhi lazma ni isikie. Huku nikwa madrassa ya kuze ya ustadh Ahmad zinga.
@hadijahamza15565 ай бұрын
Ujumbe Mzuri mashaallah haichuji
@shariffjr69784 жыл бұрын
Mash Allah. Hii kaswida nilikuwa naipenda nilipokuwa mdogo mpaka sasa. Allah bless you brother 💗😊😇🙏
@fatmahamisi36274 жыл бұрын
Mashllh
@mariamsalim76764 жыл бұрын
Mm pia
@ahmadal_muhaajir80914 жыл бұрын
mashallah Qaswida yenye taathiri kubwa mungu amrahamu mwalimu wetu aliekua na jitihadi kubwa katika kumtangaza mtumi kwa kila namna na simba wa twariqa mola mlaze palipo na wema peponi MWALIMU ALII MWALIMU ALLAH YARHAMHU
@crazy.didrissa1633 Жыл бұрын
Madrasa Gan hii
@muhammadmonroe3 ай бұрын
Gold...forever tutatubia Allah akuhifadhi bro Arash,akupe kila zuri
@hassanalbasry87065 жыл бұрын
Ma Shaa Allah...dah hizo zama ilikua kila nyumba ukipita ni Toba Toba
@biryking123shirazy54 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuzudishie kumsifu nabiyaa
@remmyskitchen68744 жыл бұрын
mashaaallah ilikua naitafuta kwa mda mrefu .
@kibibijuma32382 жыл бұрын
Masha Allah i really love this nasheed its heart touching😢😍😍
@mohammadkassim99374 жыл бұрын
Wakati huu ni wakati wa kuzidisha tobaa Shukran Kaka
@hadiabdallah15675 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah top sana khui❤️❤️💯🔥🔥🔥
@fatomajuma15785 жыл бұрын
Maashaallah arashi mwenyewe
@omantanganea-ok7xi Жыл бұрын
Naipenda Sana jamn hiii ,Allah amuhifadhi uyu mtoto na walio tunga
@khadijaramadhani3340 Жыл бұрын
Mashaallah brother arash your nasheed and voice are so nice more love for you
@aminasalumu72115 жыл бұрын
Moshollah arashy shkranii Allah akuzidishiee
@leilajarso8704 жыл бұрын
MashaAllah this nasheed reminds us we need Allah all the time indeed kiumbe thaifu kwako na rejea Ya Allah
@alhabibahmedbinalyalhabshy18053 жыл бұрын
Ma Sha Allah.Hii kawaida Yanikumbusha Udogoni mwangu wlhi Machozi Yani mwagika 😭😭Mungu atusamehe
@ashachitemo78167 ай бұрын
Masha Allah nzuriii
@yasalaam5903 жыл бұрын
Maahaallah naam kuomba toba ni amri wallah atusameh waja wake yaarabbi Ahsante sana ya walad
@MwanarusiChangu-lx1ou Жыл бұрын
Mashaallah ❤,I really like this nasheed it's really touch me
naikumbuka ii kasswda yko tulvoisoma kwny maulid yaan ilbamba mashallaaaah...inxhort lazm maulid ya madrassani kwetu ni lazm kasswda yko japo moja tuwe tunaisoma....nazpenda balaaa nakuombea kwa mungu uish umri twaweeel wenye khayraat....from Pemba we love you al.akhy
@hawadaudi60303 жыл бұрын
Hakika kaswida hii nizuri
@IbrahimOrma5 жыл бұрын
MashaALLAH habiibi vp kuhusu ile clip umesema?
@richbird.1233 жыл бұрын
Mashallah yanikumbusha mbali toka kina marehem jamaa zangu. Nasikiza huku machozi yanitoka tulikuwa wengi na umoja Leo hii ndugu tumetambaratika kila mtu kwake na Imani imetutoka. Allah awarehemu walio tangulia. 🤲
@nassor7759 Жыл бұрын
ALLAHUMMA AMIIN kwa sote inshaallah 🤲🤲🤲🤲
@banurashukurujamilah13902 жыл бұрын
Jazakallahu khair brother
@khadijamusa63982 жыл бұрын
Allah azikubali toba zetu
@abdullahrashid97505 жыл бұрын
mashaAllah you are the always A KING
@husseinidris28794 жыл бұрын
2020 still love this qaswida❤❤❤❤
@ayushiabubakar19304 жыл бұрын
MashaAlla broo wanigumbusha mbali na tobaaaa dua sia chi kukuombeya mungu akupe umri mrefu akuepushiye dhiki na misukosuko
@swalehsaidabdalla30375 жыл бұрын
MashaAllah 🌹
@khadijamusa63982 жыл бұрын
Mashaallah I Iove this nasheed🥰🥰🥰
@awadhabdi16164 жыл бұрын
Nice kaswida
@nassorhamadi57384 жыл бұрын
Allah atakabalie Toba zetu
@lukuzihalidi86734 жыл бұрын
Kilakheri mungu ataiwezesha amin.
@FatumaJuma-hu6vp7 ай бұрын
Masha Allah ❤❤
@atrashsalim86902 жыл бұрын
Mashallah ulikua simba tangu mdogo allah akuifadhi brathee 🙏❤
@jaffarhassan77245 жыл бұрын
MashAllah
@sabahmek19992 жыл бұрын
2022 old is gold
@hawasuleyman472 жыл бұрын
Mashaallah 2022 wallah and it is still de best qaswida.
@feisalalhadhramy59523 жыл бұрын
Mashaallah tobaa ajjab sanaa but nyengine hatuzioni like salaa salaa
@farryabdi76684 жыл бұрын
💗❤️❤️ since childhood
@mohamedyasin40964 жыл бұрын
Kama ulisoma kwa ustadh Ahmad zinga. Kuze mombasa 2006.jitambulishe. My classmates. 1.Abdallah 2.saida 3.khairun 4.umeima 5.issa 6.juma swaleh 7.Aisha sufi
@jumaahmed58704 жыл бұрын
Hahaha wakumbuka 😂
@hawadaudi60303 жыл бұрын
kila ninapo isikiliza kaswida hii moyo wangu huwa naamani