Emmanuel Pele anaomba kufunguliwa. Mtume nisaidiye kwa ombi lako nitapona, unisaidiye. Na amini mazabahu yako yana nguvu ya kuniponya. Mungu akubariki mu Jina la Yesu Kristu. Ubarikiwe mtume.
@beatricejackson63434 жыл бұрын
Kwa kupitia maombi haya namuomba mungu afungue tumbo langu la uzazi niweze kubeba mimba, kwa kupitia maombi haya namuomba mungu abariki mahusiano yangu na uyabariki kwa jina la yesu,kwa kupitia maombi haya namuomba mungu amfungue mpenzi wangu kwenye kazi za mikono yake, abariki ofisini kwake amfunike na na kumlinda kwa kila hatua anayo piga, fungua milango yake ya mafanikio kwa kila alicho panga kufanya mwezi ujao yaweze kutimia kwa jina la yesu. Amen 🙏
@azizaally42333 жыл бұрын
Kwa kupitia maombi haya namuomba mungu unifungue tumbo langu nipate watoto mapacha watatu amenie
@evadaniel64303 жыл бұрын
🙏🙏
@evadaniel64303 жыл бұрын
Kupit maombi haya naomba mume wangu apate kazi na mwAnangu ateembeeee🙏🙏🙏
@leahludovick17052 жыл бұрын
Ewe mwenyezi Mungu kupitia ibada hii naomba unifungue😭😭😭 tumbo nipate mtoto Ameen
@mtanyattapeter Жыл бұрын
kwamahonbi haya nahonba niponye hansazi kazi ya mungu hihendere mirere
@lukemelomhoka932 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa kuileta sauti ya mtumishiiiiiii wako MWAMPOSA. baasi kupitia hiyo sauti ikafungue milango yangu kazi maana nimekaa kwa muda mrefu bila kazi eMungu unisaidie
@johnmjuni33054 жыл бұрын
Kupitia Madhabau hii ya Inuka na uangaze na Mimi najiunganisha haizarishi nipo mbali kiasi gani na mimi Napokea kwa jina la yesu kristo. Mimi na familia yangu tuweze kufanikiwa zaidi na zaidi na kaka yangu apate kazi kwa njia Rahisi AMEN
@kipendeuwenaamani14184 жыл бұрын
Nami matatizo yangu yote yamekwisha katika jina la yesu na naamini nitapata kazi zangu katik jina la yesu.
@asiaali1794 жыл бұрын
Naitwa dorca enoshi mwita.nataka Mungu anifungue
@graceanyitike5783 жыл бұрын
Mume wangu afungulie kwajina la Yesu.Mungu usimuache.
@esthernambela94583 жыл бұрын
Nami naamini tumbo langu kuazia sasa litaenda kupona kwajina la yesu nizikataa nguvu za shetani
@esthernambela94583 жыл бұрын
Emungu wangu usinisahau nimetembea osipitali kote wagaga wote hakuna nilicho pata hela nimehalibu nyingi mungu wangu nakuja mbele yako naomba nifungue kizazi changu nakataa nguvu za shetani
@oduolbismarck4884 Жыл бұрын
Mungu nipunguzie maumivu na unipe amani moyoni kwa changamoto nazopitia,wabariki wazazi wangu,watoto wangu ndugu zangu na uniinue kiuchumi Mungu fanya mageuzi ktk ajira yangu,biashara na miradi zangu nakuomb uwaponye wazazi wangu hasa baba anaeumwa mda mrefu nakuomb unionyeshe njia sahihi yakufuata Mungu.
@martinsimchimba9221 Жыл бұрын
Napokea kupitia maombi haya Mungu aniongoze kwenye usaili wang kesho ili niweze kufanya vizr nakupata kazi Amina
@maryisakdd39174 жыл бұрын
Maombi la kwanza naomba watoto mapacha wakike na wakiume ombi la pili naomba niponye magojwa yote yanayo nisumbua nipone la tatu aomba nifanikiwe katika maisha yangu niweze kufunga ndoa na jonathan mungu nibarik amen
@dorahjoseph7563 Жыл бұрын
kwa kupitia maombezi haya namuomba mungu amvunjie mwanangu nila za mababu na za ukoo kwa ujumla na azikatae kwa jina la yesu ameni
@johnwajuu38102 жыл бұрын
Ee Mungu mwaka huu usipite bila kupata Mimba katika jina la yesu kristo yesu nitendee kupitia mtumishi wako
@VenansiAmblosi-qo8gr11 ай бұрын
Kwanzia Leo napona kupitia maombi haya ee mungu nisaidie Amen
@sharonyjohn51682 жыл бұрын
naomba nikapate mtoto wang huuu waka namii nikanyonyeshe kwa kupitia dawa ninazokunywa znitendee miujiza kwa jina la yesu amen
@sabrinajoseph65402 жыл бұрын
Kwanza kabisaa nasukuru Kwa kupata ujauzito nilikuja mwezi8 nikala keki mwezi huu nimepima nimekuta naujauzito🙏🙏 sana pia naombi kama nimefanikiwa jambo kubwa hili niliKuwa naomba nirudishie Mme wangu juma ambae tumetengana hd leo tunamwaka mmoja naomba anitafte Ili akalee mtt wetu naamini mungu atanitendea miujiza namme wangu atanitafta amen
@zubedamuhamedi97522 жыл бұрын
Amen mtumishi napokea upako naomba watu wanaonichukia kazini washindwe kwa jina la yesu
@wivinerulazi29424 жыл бұрын
Namuombea mme wangu afunguliwe ktka mikono ya watu wabaya walio mfunga wakashindwe ktk jina la yesu aminaa....
@eliasmaiko91353 жыл бұрын
Huyu ndiye mtumishi aliye tumwa na mungu nawaombeni ndugu na jamaa kama unandugu yako anasumbuliwa na matatizo mbali mbali huyu mtumishi ana uwezo wakumponya kwakutumia nguvu zamungu nakusihi mpeleke ndugu najaamaa watapona kabisa borudoza mwambosa mtumishi wamungu
@wiskomsamba68342 жыл бұрын
kwa kupitia maombi haya namuomba mungu amusaidie mume wangu aweze kufanikisha katika biashara zake
@consimathanjewike24203 жыл бұрын
Kwa kupitia maombi aya naomba nipate kazi zuri yenye mshahar mzuri na ninaomba mdogo afaulu mitihan yake mwezi huu usiishe bila mimi kupata kazi zuri katika jina la yesu amin
@lucyanthony37034 жыл бұрын
baba mtakatifu najiungamanisha na ibada hii kila falme za giza ziachie maisha yangu na mungu wa mbinguni nataka kazi nzuri naamini inatendeka amen
@DerrickBusiinge-fw8lu7 ай бұрын
Mungu aeenderee kutunza maisha yako.naomba uombee family yangu.uberewe lenatha naishi mutukura kabaho
@hafsaali44234 жыл бұрын
Najiungaisha na madhabahu ya mtumishi wa mungu katika jina la yesu wanangu wanafunguwa ndugu zangu wanafunguwa wote na mimi napokeya katika jina la.yesu nafunguliwa katika jina la yesu amina
@salehsaleh5483 жыл бұрын
Aise ww mungu anakuona halafu unaiijiita afsa
@faustatembomungumpunguziea8853 жыл бұрын
nami naomba kufunguliwa matatizoyote nilionayo Mimi pamoja nafamiliayangu naomba mungu wa mwaposo unifungueqp
@rebekasarajire79584 жыл бұрын
Naomba mungu anisaidie nishike mimba na isiharibike tena nimechok na hii hali ya kushika mimba zinatoka mungu aniteendee kuoitia madhabahu hii
@neemabraz5463 жыл бұрын
Namuombea mdogo wangu aliyepooza apone katik jina la yesu
@innocent74892 жыл бұрын
thank God for my life and also for my family and I also pray that we came over the problems we have at our home innocent from Uganda Kampala
@innocent74892 жыл бұрын
pulzz pray for me and my family my GOD bless you
@israellaizer25362 жыл бұрын
Naomba maombi nipatekaz
@sarahchengula37562 жыл бұрын
Amina najiungamisha mm pamoja na family yangu na wadogo zangu ninaomba baba kufunguliwa kiafya
@hawaclever8752 жыл бұрын
Mungu wangu naomba ukanifungue kwenye masomo yangu,ustawishe uchumi wangu,umfungue mdogo wangu asichukie shule,wastawishe wazazi na wadogo zangu,hakika wewe ni mwaminifu na mfalme wa amani
@peternjokamahenge81223 жыл бұрын
Mungu kupitia maombi haya naopa uponyaj familia yng ishi kwa upendo mwenza wangu awe MTU wakupenda kanisn na kaz zke zikafungliw na akipat pesa ikae
@AgnessJonace Жыл бұрын
Mungu ukapate kunibariki na kuniongoza katika maisha yangu uwabariki ndugu zangu wakawe na hofu ya mungu kwa kila jambo na uniongoze nikaweze kupata kaz
@peternjokamahenge81223 жыл бұрын
Usinipite mungu mwanz wa ibada mpka mwisho wa ibd na muujiz wangu nipokee kwa jina LA yesu
@carolinemushi94582 жыл бұрын
Mtumishi bwana yesu asifiwe mimi ni binti wa miaka 30 sasa nimekuwa nateseka na viupele vidogo vidogo vinaninyima raha sana najikuna usiku kucha naomba uniombe mm nipo zanzibar
@raphaelanthony76712 жыл бұрын
Naomba muongozo mungu maisha yangu yakapate kufunguka na kua yenye furaha siku zote amina na tumbo langu likapate kupona mora amina
@beatricebendera89442 жыл бұрын
We Mungu kupitia haya maombi nifunguwe vifungo vyot vilivyofungwa eMungu nisaidie piakatk Kaz zangu nilioajiliw watej wakaje wot waliopotea hat pal ninao taka kufunguw frem yangu mungu nisaidie tenda miujiz
@jeniphalibota18882 жыл бұрын
Naamini na Nitazidi kuamini mungu azidi kukuweka hai zaidi na zaidi mtumishi wa Mungu
@biornisndagara66813 жыл бұрын
I wish to receive the Gods miracle to open all closed GATT of ma life especially in case of employment ma bealiveness is in you apostle Boniface mwamposa..in Jesus name Amina.
@ernestgeorge75672 жыл бұрын
Asante mungu kwa jumapili yaleo iwe nisiku yenye kibali ktk maisha yangu kwanzia familia hadi kazi nikubalike kila mahali niendako kwajina la yesu.!🙏🏻
@neemaboniphasi3603 Жыл бұрын
Kwamaombi haya naomba mwenyezi mungu akafungue tumbo langu la uzazi nikapate watoto mapacha
@kingshasanjau41113 жыл бұрын
naomba baba mume wangu akapatee kazi serikalini amen
@veronicajustine3372 жыл бұрын
Namuomba mungu anifungue kuanzia tumbo rauzazi namuomba mungu anifungue make nimekuwa wakuvunjwa moyo nanimekuwa wakukatariwa nakira mutu namuomba mungu anifungue mwiri wangu namuomba mungu anifungue nipate mume namuomba mungu anifungue kiuchumi nimekuwa nikifanya kazi zandani miaaka yote namungu anifungue nimekuwa narewa namuomba mungu anifungue nipate ajira nzuri namuomba mungu anifungue munguu wangu naomba mungu anifungue kani wario nikataa waaibike namungu anifungue kiuchumi
@anna-zy3dk2 жыл бұрын
kupita maombi haya naomba mungu amponye mtoto wa ndugu yangu anakuwa kama anakakama mungu naomba umponye
@florencemutabazi76522 жыл бұрын
Ameennnn🙏🏾 naombea watoto wangu waache drogues, wawe watoto wazima. Namimi nipate maisha mazuri nipate kazi, tukae vizuri na watoto wangu wanieshimu
@jenimartias5984 Жыл бұрын
Kupitia maombi haya namwomba Mungu anifungulie riziki nilipe madeni ninayodaiwa na nipate mtoto wa kike nifikishe watoto wanne
@paskaziabonifas34872 жыл бұрын
Najiungamanisha namadhabahu hii kwajina layesu kristo mwanawamungu aliye hai Ameen
@andrewchuwa61442 жыл бұрын
Kwakupitia maombi haya namuomba mungu amsaidie mume wangu afanikiwe kupata kazi
Mungu baba na Mimi nisaidiye nipate kupona magonjwa naitaji kubarikiwa katika biashara yangu Bwana nisaidiye kupitia mutumishi wako Mwamposa
@magrethgodwin3255 Жыл бұрын
Kwa maombi Aya ya leo ya muhinue mama yangu kutoka kitandani naamin Jehovah utatenda
@bahatiundule51903 жыл бұрын
MUNGU nisaidie namimi ktk uchumi wangu ukue,mbariki mume wangu uchumi wake ukue muepushie mawazo mjalie kipato chake ,tuponye ee bwana
@dorahjoseph7563 Жыл бұрын
kila mkono unaocheza na kazi yangu na ukatike kwa jina la yesu amen
@TedyRenatus-g6c Жыл бұрын
Naomba mungu aniponye mgogo na matiti yanauma sana kwa jina la yesu
@happynesseif88373 жыл бұрын
Najiskia maumivu ya mgongo na kiuno pia mwili kuchoka kupitia madhabahu ya inuka uangaze naomba Mungu uniponye niwe mzma na umufungu na Paschal John anasumbuliwa na bawasiri Mungu wang
@ambiliasiaminja21923 жыл бұрын
ambiliasia minja ombi langu kwa Mungu aondoe kiu ya pombe kwa wanangu
@mbilinyihapy21612 жыл бұрын
Namshukuru mungu nimeanza leo kufatilia maombi kwenye sm
@hildasheshe22502 жыл бұрын
Nikohapa nyumbani naomba maombi ya saa tatu mungu anitendee miujiza
@LovenessNamumba Жыл бұрын
Mutoto wangu aananguvu kwenye mwili wake anashindwa ata kuandika kwenye shuleni mungu wangu naomba uponyanji wako
@mariamkapela612 Жыл бұрын
Naomba mungu amfungue mme wangu nilie nae aweze kunijari na kuniheshimu kwa jina la bwana
@naomikasssano93453 жыл бұрын
Najiunganisha na Upako, Neema itendayo kazi ndani yako. MUNGU aniponye magonjwa nipate kazi au biashara, watesi Wangu wapukutike Kwa jina la YESU
@ireneenock68383 жыл бұрын
Kupitia maombi haya napokea uzima kwa jina la yesu tumbo langu lipone kwajina la yesu
@vivianwillbard86484 жыл бұрын
Najiungamanisha na ibada hii katika jina la yesu
@selinamorisi38354 жыл бұрын
Kwa kupitia madhabahu ya mwamposa mungu nataka ukaonekane kwenye kazi za mikono yangu pamoja familia yangu
@mariamkisisile48754 жыл бұрын
Hakika uko hapa.
@esterkasinde49072 жыл бұрын
Napokea ndoa na watoto kwa jina la yesu pia Bwana yesu fanya mabadiriko kwenye familia yangu kaka zangu na dada yangu pamoja na mtoto wangu
@mukiibilatif74802 жыл бұрын
Oh!! Mmenibariki sana ktk kumwabudu Mungu. Amina
@sayunjohn3746 Жыл бұрын
Kwa maombi haya mungu atende miujiza yake mume wangu William minja turudiane Kisha tufunge ndoa ee mung nitemdee na mm yesu
@dorahjoseph7563 Жыл бұрын
kwa maombezi ya mtume mwanamgu akaachiliwe na nguvu za giza na nguvu za mizimu naamini amepokea kwa jina la yesu
@aahalxx4 жыл бұрын
Ameen balikiwa..Tumishi wa Mungu mm loo inanimbia jumapili nisikose kwani mengi napitia
@LovenessNamumba Жыл бұрын
Naomba mume wangu apone naugonjwa wa sukali kwajina la yesu
@rauhiyasoudy99883 жыл бұрын
Ewe mungu nisaidie ombi langu la kupata mtoto
@annatwelewile3498 Жыл бұрын
Kupitia ibada hii naomba Mungu aniponye vidonda vya tumbo amina,
@AgnesjemsiMayala Жыл бұрын
Naomba mungu aniuganishe na mme wangu aliyenitelekezea watt
@raymondfrank27393 жыл бұрын
Napokea mm pamoja na familia yangu mungu naomba usi niache mm pamoja na familia yangu tupokee tuponywe tupate upako maisha yetu ya badilike tuwe matajiri tupate pesa tufanye vitu vya mana tutolee giza lililopo kwenye familia yangu
@LovenessNamumba Жыл бұрын
Mutoto wangu wakwanza ana vidonda tumoni mungu naomba uponyanji wako
@rosequinter4907 Жыл бұрын
Kwakupitia maombi haya mungu aguse tumbo hili ambalo Sasa Lina mtoto niache kuharisha amina
@aminakiyungi944 жыл бұрын
Asante yesu baada ya mwaka mmoja kuachana na mume hatimae alinitafuta mara Tu baada ya maombi. Mungu akubariki Baba zidi kutuombea
@mdasad21483 жыл бұрын
Amina naamin nimefunguriwa na family yangu 👏👏👏
@EstimaRemigio Жыл бұрын
Naoba naba simu
@EstimaRemigio Жыл бұрын
Naoba naba ya simu ya mawamposa
@TumainiENgasa2 жыл бұрын
Baba mwaposa nahitaji kuinuka juu ya huduma yangu ya uimbaji wangu uinuke naungana na mathabahu yako Mtu Wa Mungu
@elizabethjames1752 жыл бұрын
Najikabidhi kwenye madhabau hii nikajifingue salm tena kwa wakati mungu wangu nakutegemea wew
@denisnestorymartin7933 Жыл бұрын
Napokea majibu ya maombi yangu kwa.jina la.yesu
@marymwera23783 жыл бұрын
Naomba mkono wa adui tena wa karibu nami ukaharibiwe kuharibu maisha yangu kwa mkono wa bwana nimebarikiwa kwa jina la yesu
@julianasiria951 Жыл бұрын
Mungu naomba umponye mwanangu umuokoe na nguvu za mizimu ya kwao na umsaidie afunguke na aende shule
@lizzybahati98333 жыл бұрын
Amen napokea katika jina la Yesu Kristo Amen 🙏ahsanteni kwa kutuunganisha na ss tuliko nje ya Tanzania tunapata maombezi
@mwalumaganga89412 жыл бұрын
Amen
@jryrjjrfjdjgjgjff-nh9fs Жыл бұрын
Naomba Mungu siku.,joma.mungu.atendemiujizanipatenaurinifikehapo ni towe.ushuda
Najiungamanisha na madhabahu ya inuka uangaze kwa jina la yesu.Bwana nikumbuke na Mimi mwanangu Martin Daudi amjue mungu na spate shule sahihi asome
@happykomba73193 жыл бұрын
Ee mungu kwa kupitia maombi haya nakuomba ufungue vifungo vyote nilivyofungwa roho ya magonjwa toweka ndani yangu kuanzia sasa nikawe mzima
@estarunderson64023 жыл бұрын
Kupitia maombi Aya naomba nipokee muujiza wa Kodi ya nyumbani Amina 🙏🙏
@mosesmigire1796 Жыл бұрын
Amee naomba mungu afungue tumbo langu la uzazi kupitia maombi hy
@jaklinifaustini42593 жыл бұрын
Kwa kupitia maombi haya ya mwaponsa namuombea wifi yangu naomi donard mke wa kaka yangu masumbuko apate ujauzito na akaweze kujifungua amen🙏
@makotmako92403 жыл бұрын
Naomba maombi
@bamatv6513 жыл бұрын
Kupitia maombi haya naomba milango yangu yote ya ridhiki iweze kufunguka na maisha yangu yabadilike niwe mtu mwenye maendeleo... Katika jina la yesu amen
@neemajacobo86182 жыл бұрын
Naomba mungu wa mwamposa a fungue milango yote katika mafanikio yangu naamini kwajina la yesu
@trissamaudaku834 Жыл бұрын
Kupitia ibada hii namuomba mungu ajibu maombi yangu
@madatapeter22183 жыл бұрын
Naomba namimi naona biashara yangu imekua ngumu naomba ifunguliwe niweze kuzaa nakuzidiwa na wateja nainuke na kuanganza pote naomba mungu tenda miujiza yako kwana katika bishara yangu naomba nipate barka ktka family yangu yote
@dafrozakibumo83484 жыл бұрын
Nabalikiwa sana na maombi ya usku
@yustarseraphinkullaya77873 жыл бұрын
Amen
@yustarseraphinkullaya77873 жыл бұрын
Maombi ya usiku ni silaha ya kumpiga adui
@olivaamamuya79514 жыл бұрын
Tusifu yesu kristo ubarikiwe sana Nataka mtoto wangu Deodath apate kazi nipate wateja wa nyanya zilizoko shambani kwa Bei nzuri watoto wafunguke kielimu wanaonifutilia maisha yangu.waache mjukuu wangu aache kukojoa kitandani Kirk jina la yesu mume ubarikiwe sana na mdogo wangu merry apate mtoto pamoja na mwali wangu
@pendohaule55994 жыл бұрын
Naomba kama mtu ananamba ya inuka na uangaze nahitaji please
@sarahchengula37562 жыл бұрын
Amina naomba mdogo angu katalina akaweze kupona na kuwekwa hulu kwajina la yesu
@sarahchengula37562 жыл бұрын
Amina kwer ss makete huku mtume hatupati ledio
@sarahchengula37562 жыл бұрын
Amina napokea kwajina la yesu kila kitakacho nenwa na mtumishi
@sarahchengula37562 жыл бұрын
Napokea kwa jina la yesu napokea uponyaji kwajina la yesu
@julianasiria951 Жыл бұрын
naamini amepoke kwa jina la yesu, amen
@priscajoackim80672 жыл бұрын
Naomba mzee aliyenitapeli pesa zang laki sita zirudi kwenye mikono yangu kwani bd nadaiwa kwa wale nilio wakopa naamin kwa uwezo wa mungu zitarud kabl ya mwez huu wa nne haujaisha
@mamualfan65472 жыл бұрын
Napokea upako na Iman yang itanipa Majib ya maswali yang na nitatafutw na sio mm kuwatafut wat na Wal wot walio noon sifai watanitafut na mum nitapat na nitaolew kabla ya ramadhan na sit tumikia ten wat
@TedyRenatus-g6c Жыл бұрын
naomba mungu aniponye mgongo na matiti yamenisumbua kwa muda mrefu
@latefalatefa26643 жыл бұрын
Mungu wambinguni kupitia sauti ya mtumishi wako naomba nisifukuzwe kazi bali niendelee na kazi ameeni 🙏