#live

  Рет қаралды 11,054

ARISE AND SHINE TANZANIA

ARISE AND SHINE TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@elizabethmilanzi-tn9rm
@elizabethmilanzi-tn9rm 16 күн бұрын
AHSANTE YESU mengi umenitendea Mimi nisiyestahili kuhesabu siwezi nakupenda YESU, zidi kunifungua, AMINA.
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 16 күн бұрын
Yesu nisaidie nimefanya biashara kwa miaka mingi hakuna mafanikio,nimetafuta mtoto kwa miaka mingi sijafanikiwa,Yesu naomba nami nifunguliwe,AMEN
@siphaholelaholela6956
@siphaholelaholela6956 16 күн бұрын
Madhabahu za Giza zote,UGANGA,UCHAWI,USHIRIKINA,MAPEPO viumbe vyote vya Giza viteketezwe na vife KWA jina la yesu
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 16 күн бұрын
Naomba Mungu anitendee nitoke katika Maisha ya aibu,haya si maisha yangu. Yesu nisaidie
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 12 күн бұрын
Naomba Mungu anifungue aniepusha na roho wachafu kupitia madhabahu hii.Ameen
@NagraIsmail
@NagraIsmail 16 күн бұрын
Navunjaa madhabau. Zagiza kwenye maisha yangu binti yangu Na mume wngu Na familia yngu Nakupokea uponyajii wamilelee
@OlgaAtanasioOlgaAtanasio
@OlgaAtanasioOlgaAtanasio 16 күн бұрын
Naomba mungu anitendehe majhabu Kwa Jina lá yesu Cristo amen.
@kasukukasuku3896
@kasukukasuku3896 12 күн бұрын
Naomba Mungu anifungue aniepusha na roho wachafu .Ameen
@johariayoub2068
@johariayoub2068 16 күн бұрын
Madhabahu za Giza kwenye Maisha yangu nifunguliwe uganga uchawi ushirikina mapepo viumbe vyote vya ciza viiteketezwa na vife Kwa jina la yesu amin
@kizachristine
@kizachristine 16 күн бұрын
Baba katika jina la Yesu Kristo nitoke kirindini
@sabinacharles476
@sabinacharles476 16 күн бұрын
Kwa jina la yesu naomba nifaulu katika usahili na nipate kazi mwezi huu
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba wabaya wangu wakae mbali nami amen
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba kabula ya tarehe 2 mwezi wa 4 naomba niowe amen
@MandaMukuli
@MandaMukuli 16 күн бұрын
Naomba dada zangu wainuliwe kiuchumi wazazi wangu wawe wazima was afya na kimaendeleo wakazidiwe nabaraka nyumbani kuao Amen vyote wata miliki
@PascalRwasa-z6d
@PascalRwasa-z6d 16 күн бұрын
Mgu nisaidie usadiye family yangu mke wangu haniheshi watoto wamteketea hawajitabuwi byashara zangu zimesimama matatizo aminikumba mama mzazi ana mwaka mumja nanusu haamke kitandani naomba unikumbuke baba naamini kupitia katika jina la Yesu
@TatuMikidadijafal
@TatuMikidadijafal 16 күн бұрын
Mungu umasikin ukahondoke kwenye maisha ya familia yangu emen
@ZubedaPeter-m3z
@ZubedaPeter-m3z 16 күн бұрын
Mungu sahii ni mda wa masaa ya manane naomba kesho deus anipe ela zangu zote mungu nitetee sana
@jerusamaina2145
@jerusamaina2145 16 күн бұрын
Mtumwa wa Mnguo Mwamposa niombea mtoto wangu aende canada anaitwa Grace kemunto Mungu acacia kwa Nehemiah yake
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba reminata mpenzi wa mungodini arudi kwangu amen
@MandaMukuli
@MandaMukuli 16 күн бұрын
Napokea Nami baba nimepata KAZI naomba kabla mwezi wa tatu ujaisha naomba niwe kuwangu nilipiya nyumba nzuri na Mataji wakutisha amen
@IrenNestory
@IrenNestory 16 күн бұрын
Napokea ktk jina la yesu
@TatuMikidadijafal
@TatuMikidadijafal 16 күн бұрын
Mungu nifungueee kiuchumi Apos emen
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba nipate kazi yenye kipato amen
@MwanaishaKibwana
@MwanaishaKibwana 16 күн бұрын
Naomba nifunguliwe mimi na wanangu na ukoo wangu
@TatuLucas-h4d
@TatuLucas-h4d 16 күн бұрын
Mungu naomba mmewangu umbandilishe kitambia apunguze usaliti
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba nimpate kazi amen
@pilijumanne350
@pilijumanne350 16 күн бұрын
Asante mungu
@MandaMukuli
@MandaMukuli 16 күн бұрын
Naomba sehemu hi nizidiwe nawateja Amen
@TatuMikidadijafal
@TatuMikidadijafal 16 күн бұрын
Mungu futa maneno mabaya zidi yamchumba wangu sml offman kwangu aniheshimu san
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 күн бұрын
Eee Mungu kila nguvu yagiza inayosumbua familia yangu naomba moto uwateketeze na kufa kabisa
@mainesmwahasunga2680
@mainesmwahasunga2680 16 күн бұрын
Naomba biashara yangu ya nguruwe ikakue na kuongezeka
@TatuMikidadijafal
@TatuMikidadijafal 16 күн бұрын
Mungu sml offmani anihowe kilahisi emen
@TatuMikidadijafal
@TatuMikidadijafal 16 күн бұрын
Mungu kupitia maombi 12mtoto wangu Samia akilizake zirudi naukahaba aache Mungu emen
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 күн бұрын
Eee Mungu kupitia Arise&Shine naomba nipate visa yangu kirahis sana
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 күн бұрын
Nafuta kesi za magonjwa katika familia yangu niongezek kiuchumi nikatawale na kumiliki kila mahali
@TatuLucas-h4d
@TatuLucas-h4d 16 күн бұрын
Naomba kutendewa miujiza nimchola kuchekwa nawatu
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba nijenge nyumba yangu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 күн бұрын
Naomba nifunguliwe kila ombi langu
@vicentPaschal
@vicentPaschal 16 күн бұрын
Amina
@jacklinejuma-bo7zj
@jacklinejuma-bo7zj 16 күн бұрын
Naamuru kwajina layesu Magonjwa roho zamauti,mawazo yamauti navunja kwajina layesu kristu natamka uzima
@MandaMukuli
@MandaMukuli 16 күн бұрын
Baba naomba nipate Hela nilipe deni nilio Daiwa
@AishaNana-w8q
@AishaNana-w8q 16 күн бұрын
Amen
@EverEver-j4q
@EverEver-j4q 16 күн бұрын
Nifunguliwe mambo yangu yot iki wmo kuelewa na rafik yng na anipe
@ZaharaMahwelanapoke.kesiyakuko
@ZaharaMahwelanapoke.kesiyakuko 16 күн бұрын
Napokeyakumirikinakuyawa.miminawatotoqangu.
@emanuelmusa3151
@emanuelmusa3151 16 күн бұрын
Nifungulie kiuchumi nikilal naot ndoto baya biashalayng ifunguliw nauza ela sizion mugu nisaidie nifungulie kiuchumi
@emanuelmusa3151
@emanuelmusa3151 16 күн бұрын
Asante mungu nisaidiye maisha yangu yafungliw kwa jina la yesu
@NeemaVedastus-b6q
@NeemaVedastus-b6q 16 күн бұрын
1. Naomba nipite kwenye interview ya tareh18 mwez huu kirahis 2.naomba nipite interview ya pili nipangiwe kituo Cha kazi kirahisi 3. Naomba Mme wang apate Kaz kirahis 4 naomba tujenge kirahisi nyumba yetu 5. Naomba nipate kazi kirahis 6 naomba madhabahu yoteee ya Giza yaaangushwe 7. Naomba tufunguliwe kiuchumi kirahisi 8 naomba nijifungue kirahis pasipo operation 9 naomba nipangiwe kituo Cha kazi kirahisi pasipo kutoa rushwa 10 .naomba mungu anisaidie nikashinde huo mtihani wa tareh18 kirahisi 11.naomba tumiliki pesa tuinuliwe kiuchumi kwenye biashar yetu tuliyonayooiii 12.naomba mungu anijalie mtihani wa tareh18 usiwe mgumu kwanguuu nikaujaze vizur inavyotakiwa nifaulu kirahisiiii
@FarajaMwamdu
@FarajaMwamdu 16 күн бұрын
Naomba nipone kira ungojwa wa giza
@IrenNestory
@IrenNestory 16 күн бұрын
Napokea kufunguliwa kila mlango uliofungwa napokea mume wa baraka
@EverEver-j4q
@EverEver-j4q 16 күн бұрын
Familia yang ifunguliwe kirahis naupend
@SarahNgwada
@SarahNgwada 16 күн бұрын
Tunaomba mtusaidie iringa chanel inaonyesha kwa mwiki mala moja kwenye king'amuz cha statimes
@NeemaVedastus-b6q
@NeemaVedastus-b6q 16 күн бұрын
Naomba niunguliwe kiakili nikajib mtihan kirahs
@sk-oe5lq
@sk-oe5lq 16 күн бұрын
Naomba Alex akanunue nyumba ya temeke na asitulie mpaka aende temeke na ainunu yy na aipende mwenyew
@ireneSamwel-t5l
@ireneSamwel-t5l 16 күн бұрын
Baba naomba link nataka niwe namka kwenye maomb
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 16 күн бұрын
Nahis ingia fire tok ndio yupo huko sashv
@EverEver-j4q
@EverEver-j4q 16 күн бұрын
Anitaft kirahis rafk yng tfaut zet ziishe
@Margaret-s4c
@Margaret-s4c 16 күн бұрын
Sauti Haisikiki kabisa. Hakuna sauti
#live : [22.01.2025 ] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12 ).
59:42
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 8 М.
#live : [23.01.2025 ] MKESHA MAALUM WA MAOMBI  YA KUFUNGA.
2:18:16
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 2,1 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
MFAHAMU SHUJAA ALIETOA NAFSI YAKE KWA NCHI YAKE. |JAN 20/2025
27:05
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 2,7 М.
#live : [22.01.2025 ]  MKESHA MAALUM WA MAOMBI YA MFUNGO
4:00:27
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 8 М.
MAOMBEZI NA KUFUNGULIWA. POKEA POPOTE ULIPO
12:21
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 175 М.
FUATILIA MAOMBI HAYA AMINI UTAPOKEA .
14:10
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 117 М.
UAMKAPO ASUBUHI FANYA HIVI.
6:34
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 321 М.
HAUJAZALIWA UWE MASIKINI.
19:15
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 32 М.
#live : [22.01.2025 ]   IBADA YA MAOMBI YA MFUNGO (SIKU YA KUMI NA SABA)
1:23:49
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 3,1 М.
MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU ZINAZOPINGA FAMILIA .
14:05
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 81 М.
UMUHIMU WA KUPATA WATU SAHIHI WA KUKUSAIDIA UTIMIZE MALENGO YAKO   || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
3:26:30
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 100 М.
WOKOVU SIO MAISHA YA KUJIFICHA .
23:53
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 20 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19