Allah alikuchagulia kazi iliobora nayo kazi ya mitume Alhamdulilah kwa rehma zake mfalme wa wafalme aliyekuchagua kwake na nasi atukubalie pia
@hassanabdillah33252 жыл бұрын
Mungu muweke pema peponi mja wako amiiin
@HATIBUALLYWAZIRI-tg7oy Жыл бұрын
😢😢😢 mungu Akuweke mahari pema peponi Aamina
@Kabaisa28 ай бұрын
Yarabi kwa rehma zako muweke pema peponi allhma Amin🤚
@mchajuma42712 жыл бұрын
Duh! May Allah Grant our shekhe highest level of jannah
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Allah ghfir lahu, wa rhamhu wa skanhu fil Jannat!
@abdallahomar58682 жыл бұрын
Allah amjalie awe miongoni mwa watu wema wa peponi amin
@mdalamgir-gu9hu2 жыл бұрын
Aaamn
@mirajiissa460310 ай бұрын
amiin yaa rabbil a'alamin
@claude10979 ай бұрын
Marshall shekh YUNDO alikuwa anaelezeya vizuri sana hadi kila mutu ataelewa vizuri na kwa sasa hakuna mwengine anaye elezeya gisi inatakikana MY ALLAH BLESS IS WORK
@SaidMgeni8 ай бұрын
Allah amueke pema penye wema in shaa Allah
@Allen-kp8ml8 ай бұрын
😢Allah amurehem Shekhe Wetu
@hassanabdillah33252 жыл бұрын
Mungu alikuonesha njia njema nas Twamuomba Mungu atuoneshe njia njema ishallah
@SesiliaLaga3 ай бұрын
Kaburi lako liwemiongoni yabustani yapeponi amiin
@EddyAmour-lq2nn Жыл бұрын
Allahumma Amin, Ewe Mola mraham sheikh Nyundo yeye na wazee wetu waliotangulia mbele ya haki, Mola ampe pepo ya Darja ya juu na sidhani kama ndani ya miaka 30 atatokea mtu Kama uyu
@ChazadiLumbala8 ай бұрын
Allah AKUPE nuru ktk kaburi lako
@omaryally5743 Жыл бұрын
غفر الله لك وأدخلك فسيح جناته
@ebmmziwanda22882 жыл бұрын
R.i.p shehk nyundo akika ulikuwa unatuweka sawa vijanaa 😭
@yahayaallytv2852 Жыл бұрын
Allah akulipe akurehemee uipate jaannaa
@mohamedimohamedi89332 жыл бұрын
Allah akupe pepo sheikh wangu ameen
@Asha-jt8zf Жыл бұрын
Allah akupe JANNA sheikh nyundo
@mrok2842 жыл бұрын
اللهم اغفر له و ارحمه واسكنه مساكن في الجنه. Tulikupenda ila Allah alikupenda Zaidi. Ila Bado kazi zako zinaendelea.
@TwalaaTaib Жыл бұрын
Allah akurahamu akuweka mahali pema peponi❤❤
@mrishojumaamrisho3212 Жыл бұрын
Allah akurehem sheikh
@SALUMKHALFAN-z4f9 күн бұрын
اللهم اغفرله ورحمه ورفع درجته في المهديين وخلفه في الغابرين وغفرلنا وله اللهم افسح قبره خير منزلا الهم يمن كتابه وهون حسابه ولين ترابه والهمه حسن الجواب وأكرم مثواه يا الله الهم جعل قبره روضه من رياض الجنة ولا تجعل حفرة من حفار النار
@Allen-kp8ml8 ай бұрын
Allah amusamekh makos yake
@aliyabasi20582 жыл бұрын
Allah amsamehe
@johnmaina41237 ай бұрын
Allah ampe kauli dhabity
@AbdulMpotol-wy3cq Жыл бұрын
Amin
@madamaisha16412 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@sabontumohamed91924 ай бұрын
😭😭😭😭❤️
@salehesalehe29672 жыл бұрын
Mashallah
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Allah ampe kauli thabit Yarrab
@samwelirobert25762 жыл бұрын
Sheghe Hussein
@hashilfarahany2 жыл бұрын
Bado nakukumbuka na nakumbuka wasia wako ulionipatia na In Shaa Allah nitautekeleza uhai ukiwepo