Allha akupe nuru kwenye kaburi lako Mimi nilikufuatilia na mawaidha yako yalinijenga mno na siku nilipoona taarifa ya kifo chako sikuweza kula na kupata mfadhaiko mkubwa nikikumbuka mawaidha yako ya kila ijumaa... Mungu akuzidishie kila la heri kaburini mwako
@fazirachafimamisse90792 жыл бұрын
Amin
@CoachHafidh2 жыл бұрын
Amien
@sallyandmozachannelchannel37 Жыл бұрын
Amin
@eggysulle7988 Жыл бұрын
Hongera kwa kuwai mjua m ndo kwanza naanza mfatilia nkafraishwa nae nasoma koment za watu naona kumbe kafark
@mammukaratu20842 ай бұрын
Rehma za Allah ziwe juu yako, Allah aongeze Nuru ktk qabur lako, akusamehe makosa yako na akupe pepo ya jannatul firdaus..amina
@ZaradiHemedi Жыл бұрын
Allaaah akujalie kheri na baraka katika maisha yako ya kaburin shekh wangu allaah hum'maa amiiin
@ARNOLDKARISA-fs3ht8 ай бұрын
amiinthuma amiin thuma amiin
@khalidmyaule6187 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akurehumu sheikh wangu. Si wote wanaosilikiliza wataelewa. Wayahudi wa kihistoria waliomkana hata Yesu na ujue hakuna kuingia kwa dini ya kiyahudu unless uwe myahudi. Sayansi ya video ilianza enzi za Mtume Mohammad PBUH.
@masoudhassanghege95303 жыл бұрын
Allah akuepushe na adhabu kaburi inshalla
@futuretv17392 жыл бұрын
Amiin
@aishafarah24562 жыл бұрын
Allah akutilie nuru akuraham Sheikh wetu kipenzi
@barakankoma55 Жыл бұрын
Mungu amjalie pepo kubwa sheikh wetu
@swalihanafula26303 жыл бұрын
Masha Allah mungu ampe jana firidausi ya rabi
@omarmohammed51579 ай бұрын
Amiiin❤
@ARNOLDKARISA-fs3ht8 ай бұрын
amiin thuma amiin thuma amiin
@sabiraadam87622 жыл бұрын
Allah akulaze mahala pema. Mawaidha yako napenda sana kusikiliza na umewagombania sana kuwaokoa vijana. Allah akulaze mahala pema.
@ARNOLDKARISA-fs3ht8 ай бұрын
amiin thuma amiin thumma amiin
@mohamedswaleh67782 жыл бұрын
Allah akupe makaz mema
@tatutatu15702 жыл бұрын
Allah akupe kauli thabiti shehe wetu
@ramadhanbaraka64742 жыл бұрын
Mngu akurehemu sheikh nyundo.
@swalihanafula26303 жыл бұрын
Mawaidha mazuri sana
@saviourramso4339 Жыл бұрын
Allahumma hufil llahu walahamhu wasken hufiljanna
@ruu65922 жыл бұрын
Mashallah
@Dysmedia2543 жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
@is-hakaalkindi9220 Жыл бұрын
اللهم اغفرله ورحمه🌹
@rashidjuma19692 жыл бұрын
Allahuma ghufirllahu warhamahuu filjanbah mungu mpe wepesi mjawako huyuuu
@FatmaHasuman9 ай бұрын
Allah akupe kauli sabit
@mvugwamanajeem51092 жыл бұрын
Allah amrehem
@ramaaman4020 Жыл бұрын
Ukwelimtupu Shekh shukran
@Jaydenkulali Жыл бұрын
habari! Mimi ni Yusuf, aka Joseph! Nimeipenda comedy yako. mazungumzo yenu ya kidini yanachekesha sana….inanifurahisha sana. ikiwa unachosema ni kweli au si kweli, sio wito wangu kuhukumu kwa sababu nina ukweli wangu. baada ya kusema hayo, nataka nikupe changamoto, katika mazungumzo yako ya awali, umewadhalilisha wasio Waislamu kwa kuwaita maswahara na wayahudi. Unauonya Ummah wa Kiislam usiwaige hao makafir (wasio waumini) kwa hiyo hoja yangu ni kwamba mitandao yote ya kijamii unayotumia kutengeneza pesa katika mazungumzo yako ya dini inamilikiwa na kuendeshwa na wayahudi na maswahara….hivyo kwanini unaacha kutumia majukwaa yote yanayomilikiwa na Wayahudi? unapenda utamaduni wao na mtindo wao wa maisha lakini hutaki kukiri hadharani, kwa nini?
@RahimuAmanzi10 ай бұрын
mashaalah
@shamsaalrahbi55733 жыл бұрын
Dah 😢😢😢😢
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
MWANAMKE ALOJIKWAPUA,😄
@aliramadhan4750 Жыл бұрын
Asalamualaikum?? Naomba Mwenye Link ya shehe nyundo akizungumzia wanawake Kuvaa Help me Kichwani