We hufanya Mimi kuipenda sana dini ya kislamu kufuatia mafunzo Yako, nakupenda sana maalim mungu akupe mwisho mwema
@hamisimmoro442110 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu ili wengi tupate faida kutokana na mawaidha yako,pia mungu akujalie pepo ya daraja la juu.
@dm_hulsdv869 ай бұрын
Amin
@zuu__959 ай бұрын
Aamin
@kandellahramadan57949 ай бұрын
Amiin
@aminaabdulghanim82565 ай бұрын
AMEEN
@kamarhelo5 ай бұрын
Amiin yarraby
@halimandune73179 ай бұрын
Jazzakah-la kheri innshAllah. Niwale waonao penda kudhulumu na kuzua,huyo mwanamke.Na maisha ya sasa ni wengi wenye kuzuwa ili wapore Mali za wenyewe. Allah asitujalie miongoni mwao innshAllah.
@RehemaSalum-vp6rf10 ай бұрын
Jazakarakher Sheikh Othuman ...
@FatimaJuma-i1q9 ай бұрын
Masha Allah, Allah akuzidishie umri tuzidi kunufaika
@a.85610 ай бұрын
Jazakallah khayran
@rizikibakari359810 ай бұрын
Mashallah mashallah ❤️
@saft948210 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye faida hapa Dunia na kesho akher
@shinayzashiraaz45889 ай бұрын
Allahu Akbar May Allah grant you more knowledge to acknowledge us in shaa Allah and May Allah bless you and your family and May He grant you jannatul Firdousy in shaa Allah Jazakumullah kheir
@FuadRashid-cj1vu10 ай бұрын
MASHALLAH
@LeilahRashid-fg3pt10 ай бұрын
MASHAALLAH MASHAALLAH ❤JAZAKHA ALLAH KHER SHEKH
@abdiadan48379 ай бұрын
Masha allah jazak allah qeyr
@hassanowgennogenno57409 ай бұрын
Allah sw akujaalie maisha marefu yenye afya na kheir na kesho akhera firdaus inshaa Allah
@yusufabdullahi304810 ай бұрын
Mashallah sheikh Allah a zidi kupa afya uzidi kutukumbusha sisi umaa wa kiisilamu insha'Allah
@AbeidyChirima10 ай бұрын
Mombasa kenya mungu akuzidishie maisha marefu uzidi kutupa daawa sheikh wetu
@elwakstores104910 ай бұрын
MashaAllah ❤ Hapa south C Nairobi kenya tunakupenda sana. JAZAKALLAH KHEIR
@salmaalkyumi60309 ай бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam❤️❤️❤️
@AishafuzAbdou8 ай бұрын
Asalam aleikum. Kaif? Mashaallah Darsa zinatupafarada sisi wengine Alhamdullillah.
@allymganga322310 ай бұрын
Mansha Allah mungu azidi kukuweka utupe chakula cha moyo
@HalimaKa-u3l9 ай бұрын
Allah akupe umri mrefu Sheikh Othman maalim
@abduljecha77794 ай бұрын
Maashallah, Natamani ningekua karibu na huyu sheikh nifaidike zaidi.
@husseinibrahim54389 ай бұрын
MA SHA ALLAH
@saidathuwimana-wr4fh4 ай бұрын
Allahu akbar Allah akuuzidishiye mwalimu wetu uthuman na akupe mazuri hapa duniyani nakesho akhera amina na sisi wenye kukufuata allah atupe kuyanzingatiya nakuyafanyiya kazi inshaallah
MashaAllah sheikh Allah akupe umri uzidi kutuelimisha
@fatumamorris75818 ай бұрын
BarikaAllah ❤❤❤
@HadijaSalim-i5u9 ай бұрын
Maashaallah mungu akupe kila la kheir duniani na akhera inshaallah
@faudhiamohamed9 ай бұрын
Allah akuzidishie ilmu inshallah
@RashidSalum-sw7pc5 ай бұрын
mashaallha
@fawziyahassan57149 ай бұрын
MashaAllah Mungu akupe Umri mrefu Sheikh wetu Apo kwenye kikongwe mwenye kope nyeupe hadi nimecheka😂 Mungu anisamehe.
@abdulhamidjabu653010 ай бұрын
❤❤❤❤
@mwajohari43858 ай бұрын
Jazakallahu khairan
@nuriatzubery73269 ай бұрын
Allah akulipe
@AliMohamed-bp5ji9 ай бұрын
Shukran sheik
@deobigirimana459 ай бұрын
Shukran othuman
@rajabusongolo51733 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤ mashaalla
@abuibra9 ай бұрын
Umechanganya sana mungu kuchukua rai kwa kiumbe vipi shaikh
@Ayesha-j9l4yАй бұрын
Mashalwah.alwa.akujalie.afya.inshaalwa
@MoxamediAmini6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@حليمهتوتو-ح6ت10 ай бұрын
Mashallah❤❤
@HatunYusuf-n8x10 ай бұрын
JAZAKALLA
@malow-y7t4 ай бұрын
MashaAllah
@KhamisMdzomba-w6h10 ай бұрын
Jazakallah kheir
@karamafreeman10 ай бұрын
❤
@nadhifamohammed77493 ай бұрын
Vipi anarefusha naomba kujua
@AishafuzAbdou8 ай бұрын
Asalam aleikum. Oustadh naomba niulize question plz. Lkn Nicolas mbali ya Tz. Can i have à no to coll you to ask My question ? Tafadhali 52:48
@AishafuzAbdou8 ай бұрын
Asalam aleikum. Oustadh naomba niulize question plz. Lkn Nicolas mbali ya Tz. Can i have à no to coll you to ask My question ? Tafadhali
@Fetty-r4o4 ай бұрын
Jamani, kwa nini hao maswahaba wanaombeana dua za maafa na madhara? sikutegemea hivyo kwenye uislam, kitu ambacho tunafunzwa tusameheane na kuombeana dua na uongofu, mfano Mtume (S.A.W) alivyowasamehe watu wa Taif walivyompiga mawe na kumuudhi
@BushDoctor-dw8el10 ай бұрын
Nani aliebashiriwa Pepo? Ikiwa mtume mwenyewe hajui ataishia wapi kwa ushahidi wa Qur'an الأحقاف 9 قل ما كنت بدعا من الرسل وما ادري ما يفعل بي ولا بكم إن اتبع الا ما يوحى إلي وما أنا الا نذير مبين Sasa Nani kambashiria Nani au anajua ilmulghaib? الأنعام 50 قل لا أقول لكم عندي خزاين الله ولا أعلم الغيب ولا اقول لكم إني ملك إن اتبع الى ما يوحى إلي قل هل يستوي الأعمى والبصير افلا يتفكرون Shida munasikiza na kuamini pasi na kuizingatia Qur'an ndio mukawa munaamini kila munaloelezwa.
@nabilkeita-l6u10 ай бұрын
ww ndio usiojua lolote na jaribu kurudia tena kujifunza kwa undani quran na kwnn allah ashindwe kumuweka mmoja Kati ya wale wachamungu bora waliojitolea kuinusuru na kuipigania dini yake allah katika orodha ya watu wa peponi wakati bdo yupo duniani lakukuomba tu ndugu yetu jithd na zidisha nguvu zako ktk ibada za allah ili tu usije ukawa kama wale walio potea na uwe ktk wale alio waridhia allah na mjumbe waku mtume muhammad saw
@BushDoctor-dw8el10 ай бұрын
@@nabilkeita-l6u nipe aya moja inayowataja kwa majina au kwa idadi hata hao waliobashiriwa pepo ambao inadaiwa eti mtume kawataja.
@LeilahRashid-fg3pt10 ай бұрын
ALLAH AKBAR 😢KAKA ZINGATIA SANAA KUISOMA DINI YKO N UELEW MAAN UNACHOKISEMA HATA SIJUI UMEKISOMA WAP DUUH
@BushDoctor-dw8el10 ай бұрын
@@LeilahRashid-fg3pt Qur'an
@hilalkhalfan145210 ай бұрын
WEWE NDIO UNATAKIWA UZINGATIE QUR-AN NA USIKARIRISHWE KILA USIKIALO. KATIKA QUR-AN KUNA HUKMU ZILIZOFUTWA ZIKAJA BORA KULIKO HIZO. sasa Mtume saw hakujua ghaibu ila baada ya kushushwa aya (WAHYI) WA KUMFUNDISHA HIO GHAIBU ALIOKUWA MWANZO KAAMBIWA ASEME SIJUI. QUR-AN " عَالِمُ الْغَيْبِ فَلا يُظْهِرُ عَلَى غَيْبِهِ أَحَدًا إِلا مَنِ ارْتَضَى مِنْ رَسُولٍ ) " ☝️ MWENYEZI MUNGU MTUKUFU NDIO ANAJUA GHAIBU NA HAMFUNULII YOYOTE ILA ALIO WARIDHIA KATIKA MITUME YAKE. " Kwahio Muhammad saw ni Mtume na karidhiwa na Mwenyezi Mungu sw ndio maana sasa akajua ghaibu na hukmu ya aya ya mwanzo ikafutwa. Lakini Qur-an ikasema.
@kesajwatala810610 ай бұрын
❤❤❤❤
@attitum59543 ай бұрын
MashaAllah
@AishafuzAbdou8 ай бұрын
Asalam aleikum. Oustadh naomba niulize question plz. Lkn Nikombali ya Tz. Can i have à no to coll you to ask My question ? Tafadhali 52:48