MashaAlllah navyo mpenda sheikh anavyoisoma qur'an na tafsiri yake mm kama mama wa vijana watatu kila nikiswali nawaombwa vijana wangu wote wawe kama yy plz naomba comment hii imfikie sheikh waliid na anitiillie dua kwa hilo❤❤Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah
@classicwaisala66773 ай бұрын
Allah Akuzidishie elimu na afya njema na akupe umri marefu watu wengi wafaidike kupitiya ma waidha yako sheikh Walid🙏
@ruqaiamohammed3453 ай бұрын
Amiin 🤲🤲🤲
@abuuhafsah96303 ай бұрын
Yaani daawa imetulia..darsa safi..yaani mtu hatumii hata nguvu...mwamba karelax sana..hakuna mapovu wala nini..na watu tunaelewa vizuri sana..
@HawaZuberi-gc9iv3 ай бұрын
Naam sheikh wetu waislam wa myaka his hawaogopi hata Ramadhani allahu Akbaru Allah akuzidishie mazuri sheikh wetu
@dr.nkumbi87043 ай бұрын
Mashaal sheikh walid kweli tunanufaika sana kama tupo hapo darasan m mungu azidi kukupa afya njema ili tuzidi kunufaika zaidi na zaidi inshaal
Masha Allah shukuran Sana sheikh Kwan ushasema kweli kabisa maneno ya awakika kabisa
@shijasagali51613 ай бұрын
Ma shaa Allah tabalakhallah, nimekuelewa sheikhe wangu, Allah akuhifadhi
@abuuhafsah96303 ай бұрын
Subhanallah 😭😭😭 Sheikhe wetu allah akuhifadhi.
@mariusochy46642 ай бұрын
Masha Allah shekh Walid Mimi ni mshabiki wako sananaaa naitwa Mahmoud Ochy kutoka Rwanda mjini Kigali karibu sana huku kwetu Allah akurinde marazi akupe umri marefu mwenye manufaa akupe mwisho mwema na pepo siku ya mwisho
@tawakaliramadhani13523 ай бұрын
Mashallah Allah akufanyie wepesi..akupe siha..
@eddietaxidriverzanzibar43953 ай бұрын
Subhanallah Allah Akulipe ujira uli0 kuW mkubwa le0 Dunian na Kesh0 Akhera Aameen 🤲🤲
@ZainabUwessu3 күн бұрын
Tumalizie wale watu watatu ambao Allaah hujilazimisha kuwasaidia... 1. Yule atakaechunga ndoa yake na uzinifu! 2... 3... Assalaamu alaykum warahmatullaah wabarakaatuh wabarakaatuh wabarakaatuh
@bentybenty23433 ай бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah shukran sheikh ALLAH akuhifadh...🤲🤲🤲
@OmarSongoro-bp9pn3 ай бұрын
Mashaa allah shukran sana shekh walid
@salimabdul44243 ай бұрын
Vizuri sheikh walid.mashaallah..
@fadhilimakore61422 ай бұрын
Subhana llah Allah atunusuru
@hemedimbwambo46743 ай бұрын
ALLAAHUMMA AAMIIN
@saodashabani26523 ай бұрын
Mashaallah shekhee wetuu
@akidashekue1633 ай бұрын
Wanawake wa sasa ni mtihani ukimbilia kwenye madawati na kugawana mali
@zainabzain34343 ай бұрын
Hapo kwenye inshaaallah nikweli wengi wanaitumia kuondoa ngoma juani ila sio utekekezaji
@KhalidMzalaАй бұрын
Mashaallah ❤
@tawakaliramadhani13523 ай бұрын
Darusalaama imepata mwalim sahihi...
@SurprisedAirplaneWindow-mi9lcАй бұрын
mashaallah
@fatmamuhammad47722 ай бұрын
MashaAllah Tabaarakallah
@yussuphsultan14003 ай бұрын
Asante sheikh
@HAMEDHAMED-qx1zj3 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-tp8hx2ts2v3 ай бұрын
Lailahailalah
@massykgaassfghjkkl53643 ай бұрын
Laila hail Allah
@athumanikhamisi33773 ай бұрын
شكرا جزيل
@hamisijuma624318 күн бұрын
huyu bwana ni mwalimu wangu
@bimumaulid11713 ай бұрын
Taah,taah la lumumba😂 😁😁🏃mmmh leo darsa la maana
@hadyaAlii3 ай бұрын
Inshaallah ❤
@FatnaAlly-go7yt3 ай бұрын
Allahu akbar mola atusamehe mazambi yetu yarabi
@hashakishabani48963 ай бұрын
Mambo
@saumbliz89833 ай бұрын
Amiin
@AwadhiKanyawana-ve2cp3 ай бұрын
💯
@mamlomamlo90643 ай бұрын
Sarafu wanauza bidhaa mtandaoni wanauza condom nini hukumu yake na inamilikiwa na bakhresa kama sikosei nini hukumu yake,?
@EricsonNoah3 ай бұрын
Bahressa auzu si kweli
@abuuhafsah96303 ай бұрын
Kwa hapa dsm tumepata mwl bora..
@zuwenasaid9707Ай бұрын
Walid waambie na viongozi wa nchi siku za siasa wasiuwe wakati washatangaza wazi ccm haikuubwa kushindwa kwa hali yeyote sasa kwa nini wanauwa hawayaamini maneno yao na waislamu wamo wanaoshajiisha mauwaji na kusheherekea mapinduzi (mauwaji)