Nilikuwa nakusubiri kwa hamu,my dear!❤ napenda mapishi yako..😋👌🏻
@ummuamira3885 Жыл бұрын
Asalam alykum inshaaAllah hujambo, I really missed your updates, MashaAllah welcome back, its been long since we heard from you ❤️
@sabihamohamed3582 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah nitajaribu receipe hiyo ❤❤❤❤❤❤
@rashidaalkhaify407410 ай бұрын
❤❤...samli ilotochujwa unaweza kuitumia kwenye maandazi inakuwa na full of flavour
@biashao8732 Жыл бұрын
Waleykum msalam asante sana kwamapishi ❤
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Walyekum mssalam warrahmathuallah wabarakathu mashallah mum ongera kwa upishi ❤
@firdausmukhtar56843 ай бұрын
Jazakillah kher ukhti
@EshaBathawab-b6j11 ай бұрын
Mashallah Yani mm nampenda sana mapishi Yako Allah akujazi akupe afya njema ameen ila sijajuwa zikiwa tayari kumimina Kwa sinia huwa ziko vipi uzito wake shukran
@aromaofzanzibar11 ай бұрын
Sijafaham kama unaniuliza au vipi
@wemakalamu3538 Жыл бұрын
Mashaallah tabarrakaallah so yummy
@wanjirundiba Жыл бұрын
Welcome back! Thought kashata are made of dessicated coconut ?? Not so?
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Kashata zipo aina nyingi, za nazi, za ufuta , za njugu etc na hizi za mayai
@wanjirundiba11 ай бұрын
@@aromaofzanzibar I like the desiccated coconuts one. Do you have a recepe?
@HadijaFakhi-ss3bu11 ай бұрын
👏 👏 👏 👏 👏 final you never disppoint ❤make for us rojo ya zanzibar using unga wa banja much love
@aromaofzanzibar11 ай бұрын
Noted
@shillasalimjuma698624 күн бұрын
Tulikuwa tunaomba ututumie kashata za ubuyu recipes zake
@aromaofzanzibar24 күн бұрын
Mie nipo marekani sina ubuyu huku
@sabihamohamed3582 Жыл бұрын
Pika mahamri mandazi pls from London Nataka upesi wa mahamri mandazi
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Dear naona wewe mpya hapa recipe ipo miaka 6 sassa kzbin.info/www/bejne/lYjUYpJ7mb-ZY6M
@a.856 Жыл бұрын
Jazakallah khayran
@rahmamussa678710 ай бұрын
Mashallah barokallah
@KhamisPino-d6c10 ай бұрын
Asalam alykum samahan dada nlikuwa nna shida naweye
Assalam Aleykum habibty nauliza mafuta lazima utanganye na samli ama shukran
@aromaofzanzibar4 ай бұрын
Wa aleikum musalaam , mbona nimeeleza hapo kama unaweza kutumia samli pekee au kuchanganya na mafuta kwahiy hakuna ulazima
@halimayusuf168810 ай бұрын
Sauti ipo chini
@shillasalimjuma698624 күн бұрын
Na kashata za ubuyu je unafanya mbona video yako hatuionu ya kashata za ubuyu
@aromaofzanzibar24 күн бұрын
Sina ubuyu huku nilipo
@mugherymanummahmoud2938 Жыл бұрын
Auntie tukishaipika tutaiwacha nje tu ? Ama tunaweza kuiweka ndani ya fridge?
@aromaofzanzibar Жыл бұрын
Haziwekwi kwenye friji ni nje tu kiasi dakika 30 au mpaka zipoe
@mugherymanummahmoud2938 Жыл бұрын
@aromaofzanzibar asante sana auntie... mimi napenda mapishi yako na nakuwa nazifata kwa kupika. Mashallah tabarakallah unafanya kupika kuwa simple and easy... thank you so much.