Рет қаралды 84
Darsa hili litazungumzia Arubaini ya mjukuu wa Mtume Muhammad (saww).
Nini kinachotokea nchini Iraq Kila mwaka katika Arubaini hii?
Karibu!
Darsa la kila wiki.
Sh Ayub Rashid.
Bilal Education.
21/08/2024
--------------------
Saa mbili kamili kwa saa za Kenya, Tanzania na Uganda.
Saa moja kwa saa za Burundi na Rwanda.
Saa kumi na mbili jioni kwa saa za UK