Arusha tulisema kazi ya roho tuiachie isukume damu (loyalty test)

  Рет қаралды 102,328

Thee Pluto Show

Thee Pluto Show

Күн бұрын

Пікірлер: 210
@lightnesstippe9006
@lightnesstippe9006 4 ай бұрын
Pluto umeona relations ulizovunja kenya hazitoshi… umekuja Tanzania sasaa. Okay mm ngoja niwemakini mtaan tucjetukapatana
@rabylicious7178
@rabylicious7178 4 ай бұрын
Napenda pluto channel kuliko Kula 😅gonga like wa Kwanza Leo 😊
@CarolNjeri-f7j
@CarolNjeri-f7j 4 ай бұрын
Uongo
@dansmediatv3438
@dansmediatv3438 4 ай бұрын
Wanarushwa Hadi huku Arusha 😂😂😂😂 nipeeni likes leo bana❤❤
@Humblegal3
@Humblegal3 4 ай бұрын
I always imagine breaking up in public hiyo aibu yote😂😂😂
@nasonchisota6241
@nasonchisota6241 4 ай бұрын
Thee Pluto show na T-shirt ya Born to shine la mtu mzima B dozen/B12/B twelve, Btwangala twiiiz, B whatever men, the navigator himself 🙌 umetisha sana mnyamwezi
@LilianCute-
@LilianCute- 4 ай бұрын
Ieo Niko wa Tano please 🙏 Naomba tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏🙏
@PienciaKoku
@PienciaKoku 4 ай бұрын
Pluto kuja Dodoma jaman uvunje mahusiano ya watu tupate wachumba wapya 😂😂😂
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be 4 ай бұрын
Mtoto wa 2000 yupo serious na mahusiano hadi ana shake😅, pole mdogo wangu tafuta ka piece ka kisukuma huko!
@stanleyowino134
@stanleyowino134 4 ай бұрын
Episodes moto moto 🔥🔥🔥
@TabithaWaiharo-f9g
@TabithaWaiharo-f9g 4 ай бұрын
Aaah kumbe hii kitu inahappen Kila pahali, weee let me continue looking for money ooh
@marywambui1167
@marywambui1167 4 ай бұрын
Ilike the way you do it coz you don't sanitize married couples, only ma youths.
@WilsonShorts00
@WilsonShorts00 4 ай бұрын
12:40 nyangarika we puto haukosawa
@Mwangi.J2024.
@Mwangi.J2024. 4 ай бұрын
Wapi likes za mukurino wa thee Pluto show 😂
@LinahMwendwa-p5f
@LinahMwendwa-p5f 4 ай бұрын
Hahaha 😂 ❤ ziko hapa
@Mwangi.J2024.
@Mwangi.J2024. 4 ай бұрын
@@LinahMwendwa-p5f 😂 Thanks ❤️
@andechakimasso7841
@andechakimasso7841 3 ай бұрын
Wakaka wa arusha niwa aminifu kuliko maelezo ila wadada sasa😂😂😂😂
@malcomexsheriff7875
@malcomexsheriff7875 4 ай бұрын
Pluto come back to Kenya 🇰🇪 I don't like this act without war hata ww unaona ucheki cause no drama ...
@GibranNyambura
@GibranNyambura 3 ай бұрын
Mzee Pluto...niaje hujafika rongai MMU 🫴😂😂
@luchaxtz
@luchaxtz 4 ай бұрын
vitoto vya buku mbili imagine icho kijamaa ndo kìnagomba ivyoo😂😂😂 am shaking😂😂
@GloriaWanjiru-v5t
@GloriaWanjiru-v5t 4 ай бұрын
After kuosha hammam,,,karbu nipitwe,,,guy tupitiane
@OmarUssein
@OmarUssein 3 ай бұрын
But she looks like she don't care about relationship break😂😂😂
@nkunjaelsy8589
@nkunjaelsy8589 4 ай бұрын
Weee this man is calm oooh.
@harshlinz6430
@harshlinz6430 3 ай бұрын
Daah huyu mwamba namkubali i say yami kamakinika mzee baba
@SuleimanMurage
@SuleimanMurage 4 ай бұрын
Good job there Pluto in Arusha👍
@Mr.Huncho629
@Mr.Huncho629 4 ай бұрын
Team Pluto support even me please 🙏🙏🥺
@JaneLeah-xu7ss
@JaneLeah-xu7ss 4 ай бұрын
Wah here kuna vichwa ngumu 😂😂beta peacefull single life😅
@NaomiMaingi-pp9mp
@NaomiMaingi-pp9mp 4 ай бұрын
Enyewe Tanzania 🇹🇿 people are polite 😂😂😂😂😂😂
@lydialema8766
@lydialema8766 4 ай бұрын
Na venye nashinda Arusha nikikutafuta pluto na sikuoni jaman 😢😢 Nipe location na mm 😮nataka loyalty test na chalii yangu jaman 😂😂
@JassanHelly
@JassanHelly 4 ай бұрын
Pluto umeanza kuvunja relationship za Tanzania 😂😂😂
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 4 ай бұрын
Asee timefikiwa ninomakweli lakini wanawake hamtauona ufalme wa mungu maaana niharam mwanamke kua na wanaume zaidi ya mmoja afazali hata mwanaume inaeleweka lakini mwanamke huo ni umalaya na ukahaba ukizingatia mwanamke nibinadamu anaetakiwa kujiheshimu na kusikia aibu kilamwaume kuona kinembe chako inatia kinyaa sana ukisikia mke wako amekojolewa na mwanaume mwingine ndio maana wanawake wengi wananuka Kuma kwaajili ya kutombwa na wanaume tofauti tofauti Bora hata mwanaume imeruhusiwa lakini sio zinaa mwanaume anaetakiwa kuoa siokuzini kama unauwezo wakuoa wanawake zaidi ya mmoja sio Haram inaruhusiwa pia haitiikinyaa kama mwanamke wala mwanaume hawezi kunuka mboo kama inavyonuka Kuma 😂😂😂😂
@dennismwangi3578
@dennismwangi3578 4 ай бұрын
​@@zaidiissa3714mamako ni mwanamke au ni mwanaume very sad 😢
@DianaKundaely
@DianaKundaely 4 ай бұрын
Kaka kuja kwangu 🎉🎉🎉❤❤❤
@RuthnjeriMwangi
@RuthnjeriMwangi 4 ай бұрын
Umemaliza kuwatch sasa uko kwa comment section andika yako😂😂😂😂
@DinahMuswachi
@DinahMuswachi 4 ай бұрын
Watanzania wakiongea Kizungu wanajiona wasomi sana ila hawajui huku Kenya ndo lugha ya walevi😂😂😂😂😂
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 4 ай бұрын
Nyoo
@JeniphaAyuma
@JeniphaAyuma 26 күн бұрын
Surely 😂😂😂😂
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 4 ай бұрын
Huyu jamaa alijua yuko pekee ake kwa hadija pisi kali km hiyo😂😂 Mwenye namba ya hadija anipe nimpoze majungu aisee mtt yuko natural na yuko na figure 😊😊😊
@stellahwilfred5762
@stellahwilfred5762 4 ай бұрын
😂😂😂😂umemalizia kwa kutafsiri ..ahsante dj Murphy 😂😂
@Nelly-lj5qr
@Nelly-lj5qr 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 The pluto please sometimes uwache upuzi kwan umekuwa DJ afro siku hizi......anaona vile kinaharibika adi unashamgaa eti weee mara paaap DJ 😂😂😂😂😂
@homeoflyrics9288
@homeoflyrics9288 3 ай бұрын
Kumbe awa watu hujua kizungu😅
@FaizaWaithera
@FaizaWaithera 4 ай бұрын
😂😂Pluto aliamua akuwe dj afro the last part
@evankya1955
@evankya1955 3 ай бұрын
Hapo kwa ku investment be careful, sio rahisi kihivyo
@MwanamisiBakari-xh3jo
@MwanamisiBakari-xh3jo 4 ай бұрын
Wa kwanza leo
@AisamCapadia
@AisamCapadia 4 ай бұрын
Mwana
@JudyNjoki-u6c
@JudyNjoki-u6c 4 ай бұрын
Pluto anaulizia kaproti magutamaguta .wee usihamie tanzania baba zoey😂😂❤
@emmanuelbii8109
@emmanuelbii8109 3 ай бұрын
Tenda wema ona vumbii
@GiselaDamian-mb9bo
@GiselaDamian-mb9bo 3 ай бұрын
Unauliza uyu n nan utafkir n dem wko😅
@jofreyjoshua7672
@jofreyjoshua7672 4 ай бұрын
nilicho kipendaa kwa jamaa anawapigisha story kwanz mbk mnajisahau
@aishariziki53
@aishariziki53 4 ай бұрын
wakwanza hapa leteni likes
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 4 ай бұрын
Nipitie
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 4 ай бұрын
Nani atanipitia nimpitie back.just comment done #ONLY REALERS
@drinnerfuraha1161
@drinnerfuraha1161 4 ай бұрын
Mm apa
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 4 ай бұрын
@@drinnerfuraha1161 done. Number 34
@emmanuelchegere560
@emmanuelchegere560 4 ай бұрын
hizo bei za maeneo niuongo pluto unaleta, fanya utafiti vizuri
@PillianMwagona-nb6hh
@PillianMwagona-nb6hh 4 ай бұрын
Ingekua kenya ile vta ingekua hapa
@bigirimfurashero702
@bigirimfurashero702 4 ай бұрын
Si turlisema malufuku mtanzania kuongea kingereza jamani
@Salmacheptoomakori
@Salmacheptoomakori 4 ай бұрын
Pluto uko serious ati huyu n nani 😂😂😂😂😂 unajua ni mtu wake
@amosnjagi9804
@amosnjagi9804 4 ай бұрын
Thee pluto umeamua kuvuja ndoa hadi mpakani
@user-Ambani
@user-Ambani 4 ай бұрын
Walai😂😂😂😂😂 lkn anasaidia
@Jacintanabwera
@Jacintanabwera 3 ай бұрын
Mnipitie tugrow wote please ❤️❤️
@joshuamunguti8613
@joshuamunguti8613 4 ай бұрын
Kuingia Tanzania mtu anaitaji passport na nini ingine juu nataka kukam kuangalia shamba
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 4 ай бұрын
Karibu sana😂
@joshuamunguti8613
@joshuamunguti8613 4 ай бұрын
@@alisterlexter1115 Asante ,lakini natafta mtu wakuniongoza ndio nikam
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 4 ай бұрын
@@joshuamunguti8613 Nipo mwenyeji wako ntakuongoza
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 4 ай бұрын
@@joshuamunguti8613 karibu nipo
@papi_dat
@papi_dat 4 ай бұрын
Pluto mwishowe umekuwa dj afro😅🙌
@Asha-yn4bu
@Asha-yn4bu 4 ай бұрын
Pluto. Karibu baba😂😂😂😂😂 please go to mwanza😅
@rachelmuch5788
@rachelmuch5788 4 ай бұрын
The first Couple kusikia wakiongea English Tanzania
@ShamsiMbago-n2q
@ShamsiMbago-n2q 3 ай бұрын
Different peoples😂😂😂mdada jmn n kizung chake kakazana ku slain 😂😂
@Shifa-os7st
@Shifa-os7st 3 ай бұрын
Watanzania achaneni na kizungu kabisa please😢😢😭😭🤣🤣🤣
@MariaMagele
@MariaMagele 4 ай бұрын
Pluto anaongea kiswahili ila icho kidada sasa kishajua huyo nimkenya😂😂
@sifaelmarco1901
@sifaelmarco1901 4 ай бұрын
Kwaiyo Kama mkenya mbona mshamba ww
@FrankMichael-vx1gr
@FrankMichael-vx1gr 3 ай бұрын
Huyo demu ana heartbreak kijana wa MIPANGO
@Kelvin-gz4dr
@Kelvin-gz4dr 4 ай бұрын
Guys siri ni kuamia tanzania😂😂😂
@BuDdY.254
@BuDdY.254 2 ай бұрын
wanaume wabongo mmepoa sana mpaka mwaboesha😢
@mkamaboy2016
@mkamaboy2016 4 ай бұрын
Huyu hadija n mali safi aisee nipate sample km hiyo nitulie😊
@asteriaslaa5482
@asteriaslaa5482 4 ай бұрын
kingereza chenyewe broken... kadem kenyewe kaboooovuuuuuu
@Tinab477
@Tinab477 4 ай бұрын
Sasa wew surely
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 4 ай бұрын
😂😂😂😂we unasema kabovu wakat kuna mwamba halali hapo anawaza huyu Manzi shauri lako
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 4 ай бұрын
Njo tukuone na wewe una uzuri gani acheni kuingilia kazi ya muumbaji
@ombenimbise4545
@ombenimbise4545 3 ай бұрын
peoples
@IsaacGichuru-jc9fg
@IsaacGichuru-jc9fg 4 ай бұрын
Huyuu madam 🤣🤣..aty."there are even wazungus.....🤣🤣
@AgnessChuwa-wn4wi
@AgnessChuwa-wn4wi 4 ай бұрын
Pluto umefika adi Arusha haujanifikia😂
@treyvissy9854
@treyvissy9854 4 ай бұрын
Acheni uongo Sixty millions unajengaje gorofa au ni gorofa la tope ? Nyie watu wa arusha mnatutia aibu 😂
@siaolomi1590
@siaolomi1590 3 ай бұрын
Sasa vitoto vya 2000 vinajuaje mambo ya ujenzi na kununua mashamba vinaropoka tu havielewi
@mildredpriscah1069
@mildredpriscah1069 4 ай бұрын
Huyu dem mbona anaongea nikama anasema lugha ingine 😂😂
@fridahkongara4962
@fridahkongara4962 4 ай бұрын
Huyu Kenya angeekwa maslaps motomoto😂😂😂😂nkt
@Mjeni1
@Mjeni1 2 ай бұрын
Ukikosea kidogo na sheria unapokonywa nyumba. So people should do a proper research.
@saumuwakesho4717
@saumuwakesho4717 4 ай бұрын
Baba Zoey ashakua DJ afro kipindi cha lala salama😂😂😂
@MASSEYMEDIA-1
@MASSEYMEDIA-1 4 ай бұрын
huku ndo chuga broo hatubembelezi hata kidogo
@GloriaNgari-we8qq
@GloriaNgari-we8qq 4 ай бұрын
I need a Tanzanian weh niwapole ati anashake mikono
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 4 ай бұрын
Waa kumbe pia mimi naeza kua tajiri Tanzania n hii tupesa twangu tudogo 😂daah jamani niko n savings ya 1M jamani sinikuje Tanzania ninunue shamba n nijenge aki uku Kenya bado haiwezii toshea my dream house n niko n ploti 🤦
@willhardnyambo4612
@willhardnyambo4612 4 ай бұрын
Icho kiwanja cha 2m labda ki Katiti😂
@HANCHO254
@HANCHO254 4 ай бұрын
Pluto kuja Hadi Migori bana😂😂😂
@veronicamuniu5353
@veronicamuniu5353 4 ай бұрын
Leo nimefika immediately after posting😂😂udaku itatuua
@GloriaWanjiru-v5t
@GloriaWanjiru-v5t 4 ай бұрын
Walai 😂😂😂😂😂
@elishaeliver9382
@elishaeliver9382 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@bkkomesho9272
@bkkomesho9272 3 ай бұрын
Wazunguuz, daaaaaaaaa English simploooz sanaaz
@simonthuo12
@simonthuo12 4 ай бұрын
Uko tu starehe zako na mamaa, mnaona pluto😂😂..gaademiti
@johnfrmdao
@johnfrmdao 2 ай бұрын
Am just like fu**ng shaking 😂😂😂😂😂💔
@swalharajab8365
@swalharajab8365 4 ай бұрын
Wanaume wa arusha huwaga wanaupend saana...yaan ukimpat hakikish unakuwa nae usi mcheat....maana siku akikufuma una mcheat anawez kukuua wana hasira saana😢😢
@Emmaa-Joshu11
@Emmaa-Joshu11 4 ай бұрын
Mdada meno imeoza alfu anacheat😁😁😁😁
@LeeroyOseko
@LeeroyOseko 4 ай бұрын
Rudi Kenya bana drama za Kenya ndizo tunataka😂
@PRISCACHEPKOECH-c2x
@PRISCACHEPKOECH-c2x 4 ай бұрын
Nikiwaona hawa nakumbuka Diamond akisema nilifika second in the morning 😂😂
@cynthianoanezz9451
@cynthianoanezz9451 4 ай бұрын
Pluto at another one gone ahahhaa jama anashake anashake anashake
@africancreators
@africancreators 4 ай бұрын
Inkenya it's opposite boys Cheat alot
@user-Ambani
@user-Ambani 4 ай бұрын
True
@Chakulachakiroho
@Chakulachakiroho 4 ай бұрын
Hii ndo TANZANIA banaaaa 😆
@AntonyOchieng-o3p
@AntonyOchieng-o3p 2 ай бұрын
pluto leo nimekutafuta uku nimechoka n tiktok
@motoborindetole8926
@motoborindetole8926 4 ай бұрын
Watching live nikiwa maeneo ya Westland Nairobi
@franciscaayola7006
@franciscaayola7006 4 ай бұрын
The guy is damn cute
@ikurgat
@ikurgat 4 ай бұрын
100k can buy 2 points of land or 1 pont somewhere in kericho
@tevintevin6254
@tevintevin6254 4 ай бұрын
Acha ujinga buda 1000 ya kenya ni 20k ya bongo sio million 2
@nattymadcase
@nattymadcase 4 ай бұрын
Amesema 100000
@Paisley-m2r
@Paisley-m2r 4 ай бұрын
Hukumuelewa kaka
@Asha-yn4bu
@Asha-yn4bu 4 ай бұрын
Subirii nope Pluto team hatuna hizo subra za kipuuzi😂.
@mwajumahemed7582
@mwajumahemed7582 3 ай бұрын
Huyu dada na hilo komwe alikua anatafuta sababu za kuachika tu
@VisignMedia254
@VisignMedia254 4 ай бұрын
Nipee bwana uko nitafte ni jenge uko serious
@thebroski9763
@thebroski9763 4 ай бұрын
Kwahiyo mwanetu umeharibu mapenzi kenya huko sa hii unakuja TZ hatukutaki 😂😂
@millycate
@millycate 4 ай бұрын
Subiri 😅😅😅lakini Kiswahili
@mikeamos5492
@mikeamos5492 4 ай бұрын
Waanike hao madem wa TZ hujifanya wako sawa tukidharau hawa majangili wetu wa kenya
@ELVISBAHASPORTHUB
@ELVISBAHASPORTHUB 4 ай бұрын
Basi Mimi uko tajiri sana
@nehemiaabibu2514
@nehemiaabibu2514 3 ай бұрын
Pluto wanakudanganya iyo 2M kale visungura hupati kiwanja labla miguu miwili
@jamesmanda2539
@jamesmanda2539 4 ай бұрын
Sithani hawa wanaturada😂😂
@xclusivebtz7516
@xclusivebtz7516 4 ай бұрын
For those staying in KENYA, Nairobi but coming from arusha TANZANIA ❤❤❣️❣️
@SaudaMatemba
@SaudaMatemba 4 ай бұрын
Dada anajishauaaa
Reason women call all men dogs😳🤏!!
18:21
Thee Pluto Show
Рет қаралды 124 М.
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Ozoda - Alamlar (Official Video 2023)
6:22
Ozoda Official
Рет қаралды 10 МЛН
FIND YOUR MATCH  It's the Hight for me
20:26
GEN 'Z' FAVOURITE
Рет қаралды 187
Breaking couples In Tanzania❌ One down already😂
14:25
Thee Pluto Show
Рет қаралды 110 М.
GUESS WHAT I PUT IN HIS DRINK? PRANK!!HE HAD TO STOP DRIVING !!😂
41:08
GIANT Gummy Worm #shorts
0:42
Mr DegrEE
Рет қаралды 152 МЛН