Рет қаралды 45,809
Katika Mawlid ya kuadhimisha kumbukumbu ya mazazi ya mtukufu mtume Muhammad s.a.w.w Maulana Sheikh Hemedi Jalala alikumbana na swali mbele ya hadhara lililoulizwa na sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam mbele ya jopo la maulamaa wa kiislamu na Mufti wa Tanzania kuhusiana na swala la maswahaba.. Sikiliza hapa majibu Yake...
Kwa habari zaidi Tufuatilie kupitia:
faceboo.com/asadiqmedia
asadiqmedia
asadiqmedia .
Subscribe to our channel on the following link
www.youtube.co...
#asadiqmedia