Mungu atupe Ufahamu wenye Maslah kwa Umma wa Kiislamu na sio kujifakharisha Kitaaluma ili kuonekana Sheikh fulani anajua sana. Qibri hasa katika Uislam ni DHAMBI iliyotiliwa Mkazo kwamba Haifai kwa Muslamu yoyote kuwa na QIBRI kwa hilo ni VAZI la ALLAH (sw). Masheikh zetu rudini kwa ALLAH na muache kujifakharisha Kielimu kwa walikuwepo MAIMAM wakuu lakini hawakufanya mnayoyafanya nyinyi sasaivi. Allah awaongoze nyinyi na sisi kwa ujumla.
Ni dhahiri Bachu hajapata bado wakujadili naye hii mada.... Hii ilikua nafasi ya dhahabu ya Saidi kuokoa maulid kwa kuitetea na kutangaza na kudhihirisha UKWELI wake lakini masaa karibu matatu, Bachu amekuwa akifundisha peke yake mbele yao wakiwa kimya kabisa. Alhamdulillah... Ukweli umedhihirika
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
Saidi elimu anayo yenye baraka kwa Allah ndiomana ametulia.bachu elimu yenye baraka hana aharibu muda kwakubwabwanya jibu aliliona lakusema sijui lakini hasemi kwakua amezoea uongo mnasihini aende mamburui akasomeshwe bure hatalipa chochote
@RayRey-ji1em Жыл бұрын
WALLAHI NIME AMINI MAULID SIO KITU KIBAYA KAMA NI KWELI SHEHE WETU BACHO ANGEJIBU ILI TUSONGE MBELE ILLA KASHINDWA KUJIBU NITASOMA MAULIDI TOKA LEO INSHAALLAH NA MIMI PIA NAKUPENDA MTUME WA MUNGU NA NITAMSIFU INSHAALLAH
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Pole sana Allah akuhifadhi. Mteyeaji wa maulidi mwenyewe kakubali riwaya hiyo ni mbovu maneno hayo ni machafu hayafai hata kutumiwa. Na wewe unakusudia kumshirikisha Allah.......!!!!
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Kashindwa wapi. Acha kua mnafiki. We kama unakusudia kumshirikisha Allah Kazi kwako. ila Dunia nzima hakuna mwenye uwezo wa kutetea maulidi na kama hamna wa kuweza tetea uongo na ushirikina huo na wewe unakusudia maisha yako yote kuyaweka katika kumzushia mtume na kumshirikisha Allah ukifa katika itikadi hiyo ya kishirikina usimlaumu mtu bali moto ndo stahiki yako. Ushahidi huu hapa. { إِنَّ ٱللَّهَ لَا یَغۡفِرُ أَن یُشۡرَكَ بِهِۦ وَیَغۡفِرُ مَا دُونَ ذَ ٰلِكَ لِمَن یَشَاۤءُۚ وَمَن یُشۡرِكۡ بِٱللَّهِ فَقَدِ ٱفۡتَرَىٰۤ إِثۡمًا عَظِیمًا } [Surah An-Nisāʾ: 48] Huna msamaha mbele ya Allah katika ushirikina. Na uzushi kumzushia mtume. Mtume amesema Katika mafuhumu ya hadithi kua. Ujiandalie makazi motoni. Nasaha zangu. Tengua nia yako ya kumzushia mtume na kumsifu kwa uongo na kumshirikisha Allah. Yote hayo yapatikana katika maulidi
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 Жыл бұрын
Ikiwa kumswifu mtume ni kumshirikish mungu bas acha tumshirikishe
@hassancharo1332 Жыл бұрын
wew ulikuwa taari mtu wa twarika acha unafik
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Km unampenda sana si bora ukamswalia na kufuata maamrisho yake ni bora zaidi kuliko kufanya kitu chenye khitilafu wengine wanasema kinafaa na wengine hakufai. Akhera usije kujikuta ni mzushi. Au ww unapata faida gani kusoma maulid ambayo faida hio ukikaa peke ako au nawatu ukamswalia Mtume kwa kusoma “duruud Sharif/Ibrahim” utakikosa???
@AliIbrahim-lv5cq Жыл бұрын
Muogopeni Allah .. mtaenda kuulizwa kwa uzushi wenu maulidi hayafai hilo lielewekeee...
@awadhsalim2680 Жыл бұрын
Haifai kwani wakisoma huwa wanatukana ?
@HabibuHemed-hy5qr Жыл бұрын
Tupe dalili
@awadhsalim2680 Жыл бұрын
Kwan kumtaja mtume vibaya?
@AliIbrahim-lv5cq Жыл бұрын
@@HabibuHemed-hy5qr mimba ya mtume SAW ilipoingia wanyama walizungumza,je niyaukweli? Nani alokua akitafsiri hao wanyama kwenye kitabu cha barzanji?
@awadhsalim2680 Жыл бұрын
@@AliIbrahim-lv5cq kwani kumtaja mtume vibaya ?
@waziiralmaal7263 Жыл бұрын
Mtume wetu s.a.w amesema hii umma Yake itagawanyika katika vikundi 73 na kundi 1 Tu ndio itaingia peponi, maswahaba wakamuuliza ni lipi Hilo kundi 1 la kuingia peponi, Mtume s.a.w akawajibu ni wale ambao wako juu ya Yale ambao leo hii Mimi Niko juu Yake pamoja na maswahaba zangu. Mtume wetu s.a.w hajafanya maulidi na maswahaba pia hawajafanya maulidi sasa wewe msoma maulidi uko katika kundi lipi Kati ya hizo kundi 73 . Jambo la msingi hapa ni kutambua Hilo kundi 1 la kuingia peponi alafu ujiangalie wewe kama unalingana na hilo kundi. Assalamu Aleikum.
@eshaaly5404 Жыл бұрын
Shekh SAID nakuomba mtukue bachu mpeleke CHUONI kwahisani yako
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Unaropoka sana. Akamfundishe ushirikina wenu huo wa maulidi. Ama nini. Amfundishe ibada za kishia. Ibada za watu wa itikadi za kuabudu makaburi😂😂😂😂😂😂😂
@TalibOmar-cf6zz2 ай бұрын
Sheik said Allah amzidishie
@usseneandurabe9733 Жыл бұрын
Kueli watu wamepumbazua na awa masufi,nikuambieni masufi ni watu hatar sana Ila nyinyi wafuasi wa kisufi amujui na amulioni Ilo ,awa jama wameweka taratibu zao kwamba mtu akifiwa analazimishua awapikie chakula bala ya wao kumsaidiya aliefiwa,sasa awa masufi ni tatizo kubua sana katika jamii yetu ya kiisilam
@LASSUH49477 ай бұрын
Wallhy kusoma raha sana bachu kapata funzo kubwa sana hatosahau maisha yake yote hichi kidonda mpk kufa kwake hii ni aibu ya miaka ndo mana hata speed yake imepungua hatumuoni tena skuhizi akituma clip zake yuko kmyaaa kma sio yy
@zulfajuma3115 Жыл бұрын
Barzanji katumia hadithi za urongo na yy ni mrongo No need kutoa ushahidi Tena na ww ushajua urongo upon katika maulidi
@abdallahkambangwa7215 Жыл бұрын
Sheikh bachu upo sahihi sana Allah akuhifadhi
@medimisi6930 Жыл бұрын
shekhe wa twarika anakuambia hata mashekhe wake hatowasikiliza. sasa kuna nini hapo ww ushakubali kua hadithi ni mbovu sasa upewe ushahidi gn na mada imesha isha kua shairi hilo ni UONGO. walitaka tu kuharibu ila dunia imeelewa kua ktk mAulid kuna uwongo. sasa atakaesoma ni yeye tu. ila haki imefika.
@MuhammedBalkiss Жыл бұрын
Bacho muhammad allah akuhifazi kwakilahatuwa ukosahihi mahulidi aramu
@abumaryam6909 Жыл бұрын
Nyie mnapenda kufuata shubha! Swali liloulizwa halina mashiko ndio majibu aliompa bachu kama majaz ameng'ang'ania majahazi majahazi! Badala ya kusonga mbele
@KijukuuMtemi9 ай бұрын
Bachu nakua nakufatilia sana lakini leo umebanwa hufurukuti hamna kitu leo
@MuhammadMuhammad-gr2qv Жыл бұрын
USTADH SAIDI SIBANDUKI KAONA KIBOKO KIMOJA KIMEMUHARISHA AKAAMUA ASIBANDUKE KWAMANA KESHA AZIRIKA MAPEMA ANGEJARIBU KUBANDUKA ANGEHARA AKACHAFUA MAZINGIRA YA TWARIKA LEO KIMENUKA HATARUDIA TENA KUMCHEZEA BINGWA SHEKH BACHO
@rashidswalehmwanjama3404 Жыл бұрын
Ebu skia point 😂😂😂😂 acha ushabiki soma 😂😂😂😂😂
@allylassuh4947 Жыл бұрын
Heheheheehe sasa bachu kma kidume alikua aseme tu cjui kisha uone wanyama walitamka au laa lkn hataki kujibu swali la kwnza tutaenda vp la pili wakati la kwanza bado hehehehehe bachu ametia aibu fedheha alikua hataki kusema hajui ameona bora aseme hajawah kuona lkn kusema hajui ameshindwa sasa hapo nani kakimbia hoja tumeona bachu ni zero
@OmarMohammedOmarMohammed-h9u Жыл бұрын
Dah huyu ustadhi mwengine kumbe pasua mm kichwamaji nimemfahamu bachu
@maulidmaulid210611 ай бұрын
Muhammed bachu yupo sahihi kabisa.mtume akusherehekea siku yake ya kuzaliwa wala maswahaba awakusherehekea.maulid itabaki kuwa uzushi nanidhambi kusherehekea kitu ambacho mtume muhammad swalallahu alayi wasalam akuruhusu kifanyike.ACHENI KUSHEREHEKEA MAULID,ACHENI KUFATA MKUMBO.SHEIKH SAID MUOGOPE ALLAH, KWENYE QURAN AMNA SEHEMU ALLAH AZZA WA JALLA AMERUHUSU MAULID...
@AbdillahiFaki-x7s4 ай бұрын
Ww bachu ukishindwa hoja kazi yako kukimbiatu
@mirajiramadhani8128Ай бұрын
Bachhu kama chura
@rahmasaid7084 Жыл бұрын
Jamani wakenya wabishi sana wanajifanya wana i'lmu kumbe c chochote nampongeza sana bachu Allah akulinde tokea mwanzo wakenya walikua wanakutafuta kwa baya lkn Allah atakulinda na cc tunaamini kua maulid ni bid' wala usitahayari tuko pamoja na nnnñ
@ramadhanmusa28782 ай бұрын
Mna elimu gani za dini nyie watanzania 😂😂kujititia tu mabongo lala hamna lolote
@SalimoIbraimoIbraimo Жыл бұрын
Kutoka msumbiji nasikitshwa sna na walinganizi wengi wapotevu kutoka TZ na Kenya kumtiya makosani mtume wa Allah kwa kitendo chao cha kuitakidi maulid kuwa ni ibada! Kwasababu iyo inaonesha kuwa mtume amefanya khiana katka da'wa yake na hali ya kuwa mwenyewe anasema katka hadiith kwamba akuna khery yeyote ispokuwa mimi nimeifikisha kwenu!
@arrisalastriker9813 Жыл бұрын
Iblis amewaghuri na maulidi zenu pia sisi tulikua huko ila ukweli ukidhihiri muislam huna budi ukubali tumcheni Allah. Leo amekataa kuyasahihisha yaliyomo kwenye kitabu cha barzanji lakini kwa Allah kesho mutamjibu hao wanyama waliozungumza mumweleze yeye.Muhammad Bachu mutampasua kifua bure suummun bukmun ghumyun
@fikafikan8484 Жыл бұрын
Bachu ameshindwa kujibu swali na ameshindwa kuthibitisha kwa wanazuoni said ametoa na dalili ukweli usemwe na ww muogope mungu
@arrisalastriker9813 Жыл бұрын
Haya anshindwa waambieni masheikh zenu sasa watutengezee mada ya kuzungumzia yaliyoandikwa ndani ya kitabu cha barzanji.haina haja ya debate.yeye sheikh Bhachu kila leo aizungumza barzanji.mbona sijaona hata clip moja ya masheikh wa kisufi kuzungumzia hicho kitabu.mimi kama si sheikh Bhachu nsingejua barzanji ameandika nini tulikuwa twaimba tu mungu atusamehe.sasa ni wajib kwa wanaoitumia hiyo barzanji kuifundisha akhy
@Mariam99-ld4gw Жыл бұрын
Maulid kwenda mbele ee. Utasema mwisho utalala. Simbaaa shekh said 🎉🎉🎉🎉🎉
@AbdulkarimHaji-t8j Жыл бұрын
Tumefahamu vya kutosha kuwa maulidi yafaa inshallah tusomeni Kwa wingi
@Adamjuma-s7w Жыл бұрын
Huna hoja mana hujaweza kutetea hoja yako ya kusema kwa wanya munadanganya watu na hupotosha watu ila mungu anawaona nakama ni utashi wenu huo mujue akhera mutalipa
@AshushabuSaidi Жыл бұрын
Kwani mnafikiri watu wa maulid haujuw ukweli wallah wanajuwa saana tu Masikitiko ni kwa watu wadogo wa dogo masikin wasiyo kitu wana wadanganya wana Fata mkumbo Wallah kwa mwenye burasa bila ujinga wake ameona ukweli uko wapi mimi nimejifunza kitu kwakweli Mtu kitabu chenu na mnakiamini Una ulizwa swali na ww unauliza swali 😢 Ingebidi utunufaishe ukiteteye hadi tuamini ukweli wake.hakika kuelewa ni kwawenye akili
@KijukuuMtemi9 ай бұрын
Bachu mkaidi kama ndacha ata ukambana kazi ipite ufanye kazi kweli
@MenejaDhaa Жыл бұрын
Huyo said amewekwa hapo kumtetea sharif abdulkadir ame karirishwa kuwa hoja yoyote ikitolewa asema hivo na asiachilie msikani...kwasababu ya kuepuka aibu ya kushindwa kujibu.... BACHU ameshajibu kuwa hicho kitu hakuna sasa yeye ndio alikuwa asema hayo maneno ni kweli wanyama walitamka kiarabu ama ni urongo....hii inaonesha dhahir kuwa watu watwarika wataka kutia watu motoni......maulid sisomi tena after huu mjadala
@nassoro5341 Жыл бұрын
Watu wa bidaa washapigwa miuli hata siku moja hawajubali ukwelii japo kua wanaelewa
@sanda960 Жыл бұрын
Quran na Sunna ndy sahihi. Waislamu tunatetea maneno ya watu badala kutetea maneno ya mtume Muhammad s.a.w
@princefeisla3692 Жыл бұрын
Ilipokua bachu yuatusi na kuwavunjia hishMa ilikua hamusemi kama nimekosa Leo kaata mzidi wake kafinywa ndo mnajitetea,?waswahi wasema mcheza pweke hatolewi makosa. Leo kapata Simba 3rd eleven kajikojolea kitini?
@HajiMohmed-t5o3 ай бұрын
Nyinyi ndomana watowa watu kwenyei Mani mtumehaukuwa akibishana acheni upumbavu au mtume kafanya ayomabi kwa ayomabishano iposiku mtajitajuta manamunapotosha watu wasionailimu mana nyinyi dotunawategemea iladomunabishana sas sis vifuu tundu itakuwaje hamutendi hakimujuwe
@nassoro5341 Жыл бұрын
Wallah bachu ana elim kwanza hoja zake hata mtu asipokua na elim Hawa watu wa bidaa hawana elim ndo maana hawajamuelewa
@bellalygeomecky1145 Жыл бұрын
Hpa ni usaniii tu huyu shekh said......kawa km wale mapadri ba mazing3
@asifznz Жыл бұрын
Jamma wa tarika said yeye hajali kwamba kitabu cha barzanji ndani munauwongo yeye anataka tu barzanji asiitwe murongo au muongo 😂😂😂😂😂sasa kitabu kime jaa uongo shirki kibao he doesn't mind what his people are reading is inauthentic he doesn't mind at all 😂😂😂😂😂people are going astray from the right path he doesn't mind 😂😂he wants people to not call jaffer barzanji a liar, kumekucha!!!!waafuasi wake wacha waende mtoni kwakufanya shirki lakini BARZANJI asiitwe MUONGO 😂😂😂yeye KASHINDWA kabisaaaaa kuitete kila kitabu cha BARZANJI Dahhhhh what loss,halafu anarukaruka eti kashinda,hoja hata moja haijajibiwa ,na yule jamma alova miwani anapokea simu za watu wakati mjadala unaendelea mwambie ashikilie hapo hapo😂😂😂😂😂halafu saidi anazugumza kalegeza mikono ,WEEEEEWE,😂😂😂😂😂Eti kashinda😂😂😂😂
@AshaMbwana-hv8po Жыл бұрын
Assalaam Alaykum Warahmatullaah... Sheikh Bachu anasema kulingana na yeye yaani anamaanisha yeye na nafsi yake ndo anapinga.
@IslamTv254 Жыл бұрын
Kitbu hicho kip sawa ila mahala pale pakusema minyama .bahar walijua. Hapo sio ukweli ni makosa hapo pekee ila kwa maulidi iko sawa iwapo mtume hakufanya .. sote tuko kufanya ibada hapa sioni mwenye kushinda ila Allah ndiye mushindi. Nasema hyvi sheikh bachu anaeza kusema hyvo kumbe ni makosa . Alaf sheikh omar pia anaeza kua ni wa makosa sote tufanye kile tunacho ona kina thawab .na wanaona. Ile ni mbaya muache. Sote tupatane pale kwa Allah ila maulidi iko sawa kwangu nafanya na sipigi kelele na mtu Allah knows best of it...
@salimkhatri8064 Жыл бұрын
Said kataka aonyeshwe hukumu ya wanazuoni kuwa anayenukuu hadeeth munkari ni muongo. Bachu kajibu kwa kutoa nukta ifuatayo: Wanazuoni wanahukumu MTU iwapo huyo mtu ni mpokeaji wa hadeeth. Hivyo mtu anaposimulia ama kunukuu hadeeth munkari (ambayo Said amekubali kuwa ni kweli hadeeth Munkar), wanazuoni wanatoa hukumu kwa kile kilichosimuliwa ama kunukuliwa. Hiyo ni COMMON-SENSE kwani wanasema akili ndogo hujadili mtu/watu, akili kubwa hujadili wazi/hoja. Sasa unajiuliza kipi kigumu kuelewa hapa? Ama ndiyo kweli huko Mombasa common-sense is not common anymore?
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@salimkhatri8064 BACHU KASEMA KUWA " HADITHI MUNKAR MAANA YAKE NI UONGO". ALIPOAMBIWA ATHIBITISHE MADAI YAKE KWA WATAALAMU WA HADITHI, NDIO BACHU AKAJIKOJOLEA NA KUJIULIZA SUALA JENGINE NA AKAJIJIBU ILA HAKUJIBU SUALI ALILO ULIZWA. NAJUA UNA MAPENZI NA BACHU NA UWAHABIYA, LAKINI HAMKUMJIBU SHEKH SAID SUALI ALILO ULIZA.
@giltaemi4017 Жыл бұрын
HIZI CHANNEL ZA WAANDIKAJI WA TITLE ZA KUHAMASHISHA KUTAKA WATU WAANGALIE VIDEO ZAO HAWANA ELIMU YEYOTE MATOKEO YAKE WANABADILI MANENO WANAFIKI HAWA.
@Munshid_Rajab Жыл бұрын
unatetea maneno..asa si utetee jaman..mnachosha kweli🚶♂️🚶♂️🚶♂️
@shabaniseif9901Ай бұрын
Shekhe saidi Umejua kufundisha elimu huyu mpiga kelele
@MuhammadMuhammad-gr2qv Жыл бұрын
USTADH SAIDI SIBANDUKI AMETUONYESHA SARAKASI TUPU LEO HANA HUJA WALA DALILI HATA MOJA KUTETEA MAULID... AMEAZIRIKA SANA KAMA ALIVYO AZIRIKA MAJAZ AL KUBRA ... HUYO YAKE ILIKUWA KIBOKO KIMOJA TU AKAAMUA ASIBANDUKE ASKILIZIE TU UCHUNGU WA KILE KIBOKO KIMOJA.. MAJAI AL KUBRA ALIJITAHIDI AKAVUMILIA VIBOKO 19
@zeitunMohammed Жыл бұрын
Wah,nlikuwa wahabi lakini kwakuwa bhachu nlimpenda kumbe kashindwa na huyu kijana mdogo.wallah ctakosa kusoma maulidi tokea leo.
@yshabakar-ci3kl Жыл бұрын
Alhamdulillaah na mungu akujaalie usiache kusoma maulid mpaka kiyama
@OmaryKhalfani-ko8qx Жыл бұрын
Tkbiiiiirrrr asnte sana 😄😄😄😄😄
@yassinm69 Жыл бұрын
Basi we ulikua mnafki
@alwysaggaf Жыл бұрын
@@yassinm69😂 Nyinyi mwajua kukufurisha tuu bila ya dalili. Kusoma muhim sana.😊
@areyoureal2723 Жыл бұрын
Dah lau kama ungelikuwa kafiri wewe ungelipoteza watu zaidi 😂
@osmanabdifattah4947 Жыл бұрын
Mimi bado ni mwanafunzi wa Bachu tunasoga mbele
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
Usimuache mkono Mpe moyo
@IbraFareed3 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@SalumMohammed-kr2do Жыл бұрын
Bachuuuu akasome aaaache porojoooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Akasome nini sasa. Mpaka mjadala unaisha mteteaji katetea chochote hata kimoja zaidi ya kukubali kua hadithi ni haifai kutumika katika kumsifia mtume kwasababu hadithi ni chafu chafu kabisa. Katetea nini sasa Huyo mtu wa Maulidi zaidi ya kushindwa kuleta hoja hata moja. Ndo walewale kina Sabbas.
@alisharifsalim Жыл бұрын
Kuna ayah katika surah nnamli,mwenyizi m'ngu anasema (litakapotimia neno juu Yao tutawatolea mnyama wa ardhini kusemesha watu) sasa atazungumza na watu lugha gani?
@khamisali5978 Жыл бұрын
Nadhani ht huyo anaetetea maulid hujamfahamu.
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@khamisali5978 na anaopinga mauli hatujui nini tatizo lake?
@khamisikhalfan4720 Жыл бұрын
😢 kama maulidi ni jambo la dini maswahaba wangelifanya
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Na kama kigawanyo cha Tauhid mwanzo wangegawanya Maswahaba na Mashindano ya Quran pia wangelifanya Maswahaba
@hashimkhalifa873411 ай бұрын
@@abubakaromar6101Ahsante😅
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
Hata usalafi wangelijiita MASWAHABA kwanza
@omarmohammed5157 Жыл бұрын
Tukiachia hili kuna mambo mengi pia ya kujadili kuhusu viiip tutawaleta watu kwenye ya Dini ya ALLAH SUBHANA WATAALA??
@djhabib6688 Жыл бұрын
Sheikh Said atuelimishe basi dalili gani ama ni mtu gani alishuhudia wanyama wakitamka
@zeitunMohammed Жыл бұрын
Alaaaa,kaka utakufuru sasa,nkama utauliza pia nani ameshuhudia Kama maiti anaadhibiwa kaburini heri unyamaze
@binmasoud4150 Жыл бұрын
Sasa jaman mbona hatulati taaluma nzuri za kiielmu hapa, tunataka faida za kielmu kwan mnaangalia mtu au jambo lake alozungumza mbona hatujaelewana😊. Halafu naona mnavutia tu upande flani lakin hamna ithbati. Naona bora mngeeka mada makhsus ili tuwaelewe. Salaam
@HassanOmary-n5u4 ай бұрын
YEYE MBONA KAMHUKUMU SHEKHE JAFARI TENA KAMUTA NIMUONGO MAWAHABI TAFTENI DARASA MSOME
@Rooney11845 ай бұрын
Mtihani sana kama kauli ina mattzo ni kauli ambayo imeekwa katika udhaifu kwann mnaisoma
@IbraFareed3 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@masjidhamzainstitute8890 Жыл бұрын
Wacha kugeuza na mcheni Allah mulitaka amxungumze mtu asiye kwepo!?
@SalimoIbraimoIbraimo Жыл бұрын
Allah amewajaalia macho lakini awaoni,awsikii,awatafakari enyi watu wa maulidi hatta kama mungekusanyika dunia mzima ili muweze kuitetea maulid amuezi kamwe kwasababu amuna burhaani yeyote ile ibada gani mtume aijuwi makhalifa awaijuwi maimamu wanne awaijuwi?
@mohamedykihara45192 ай бұрын
Ama Hakika Ukweli Upo Wazi na Uwongo Upo Wazi, Na Mambo Yenye Kutatiza Ni Vyema Tukayaacha, MAULID SI Katika Dini, Ila Ni Maslah Ya Watu Tuuu, Mtume Kasema Tumfate na SI Kumsifia.
@jumaame5606 Жыл бұрын
Tunawapenda kwa sababu. Nyote ni Wailamu .
@AsmanMwanza-kr5fw Жыл бұрын
Watoaji maoni wee ndio umetoa comment safi na ni kweli hawa wote ni walimu sasa tusiwakashifu wanatufundisha
@YarajanuarioYara4 ай бұрын
Kumbe wamaulid hawajui ilim há mustualah. 😂😂😂😂😂😂
@IbraFareed3 ай бұрын
MUNAQASHA ulikua LIVE kalibia wote tumeuona, NATUSIWE WAZITO kwenye kuelewa, SWALI ulouliza kabla hatujakujibu cha kwanza tunakuuliza JE MUNAQASHA UMEUONA WOTE au umeangalia baadhi ya maeneo Maana kama ungeona munaqasha wote USINGEULIZA HILI SWALI ? Nakupa Highlight: Ustadhi bachu alikua wakwanza kuuliza swali lake lilosema kitabu cha barazanji kimeonyesha WANYAMA WALIONGEA JUU YA KUTUNGWA KWA MIMBA YA MTUME SAW, Je Kuna dalili Gani ya hadithi au Aya kuwa wanyama walizungumza? hapo hapo akaongezea kuwa najua hadith unayoitegemea ni MUNKAR (KATOA HUKUMU YA HADITH HAPO) Ustadh said akafanya تخريج kweli hiyo hadith ni munkar ninayoitegemea AKAAMBIWA ATOE HIYO HADITH WAKATI KASHAIFANYIA تخريج hapa kama una elimu ya hadith angalau kidogo utajua nani akaingia kwenye MAMBO ASIOKUA NA ELIMU NAYO na ndo tunaona ﻣُﺸﻜِﻠَﺔ. Sheikh kashafanya تخريج tena unamwambia atoe hiyo hadith, Brother lau ungejua تخريج ni nini usingesema atoe tena hadith HII IMEONYESHA UCHACHE WA ELIMU KWA UPANDE MWINGINE AU HAWAKUELEWA MAANA YA تخريج Ndo mana Ustadhi Saidi alikua anamfundisha maana ya تخريج ni nini? na Tija ya تخريج ni ipi? Akamwambia ushatoa Tija ya تخريج ungekua sheikh Bachu hujui تخريج ya hii hadith ungenyamaza Kilma ashakitaja sheikh bachu tena akamuuliza BAADA YA MALUMBANO, Ustadh said akaamua atoe hadithi kwenye DARAI NNUBUA inayothibitisha kuongea kwa wanyama, Ustadhi Bachu alijibu kuwa hio hadithi ni munkar Ustadh said akamuuliza je Hadith hii ni UONGO KUTOKANA IPO KWENYE KIGAWANYO CHA MUNKAR… na akasema kama ni UONGO JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO (HADITH) HUITWA NI UONGO ? swali lake lili gusa MTU au MUANDISHI au KITABU AU YALE MANENO YALOTOKA KWENYE HADITH DHAIF HUITWA NI UONGO maana NDUGU YETU VIDEO CLIP ZAKE ZOTE HUSEMA HAYA MANENO NI YA UONGO) Sheikh bachu akasema SIONGELEI SHEIKH JAFFARY BARAZANJI mi naongelea hadith Ostadh said akamwambia mbona swali lipo pale pale… JE itifaqi Gani ya wanazuoni wa مصطلح الحديث waliosema mtu akitumia hadithi munkar huitwa muongo au KILE KITABU HUITWA UONGO AU YALE MANENO HUITWA NI UONGO ? mi nimekuja kutetea maneno ya sheikh jaffary barazanji, kutetea maneno yake kuwa sio uongo na video zako zote (sheikh bachu) una muitaga sheikh jaffary barazanji ni muongo na kitabu unakiita uongo na unamuita mshirikina. Ndo mana nimekuja kumtetea SWAlI HALIJAJIBIKA MPAKA LEO HII, na sheikh akaamua KUNYANYUKA NA KUONDOKA Kilichotakiwa hapo Ustadhi Saidi atoe hadith na katoa hadith na ameonyesha anajua isnad na matin mpaka kakubali ni MUNKAR. Sheikh bachu ALITAKIWA APINGE ILE HADITH ILOTOLEWA NI UONGO Kama anavosemaga KUWA HAYA MANENO NI UONGO sio kwa MANENO YAKE ila maneno ya WANAZUONI WA مصطلح الحديث akampa maneno ya WANAZUONI مصطلح الحديث wamesema wamesahihisha hadith kutumika ispokua HADITH MAUDHUI na pia hawaijasahihisha HADITH DHAIFU Kwenye HUKUMI WAL AKHAIDI ILA wamesahihisha kutumia HADITH DHAIF kwenye sira na akamwambia tupo kwenye sira na HIKI KITABU CHA BARAZANJI NI SIRA ndo mana tunakitumia. SHEIKH BACHU UMESEMA hii hadith ni munkar na hadith munkar ni ipo kwenye kipengere cha HADITH DHAIFU akamwambia hii uloleta ni hadith lazima tutudi kwa wataalamu wa hadith, je itifaki gani ya wanazuoni wa hadith walosema haya maneno uongo sio maneno yako.. SASA UKITUAMBIA TUKUPE HADITH ISHATOLEWA LABDA HUKUANGALIA MUNAQASHA KILICHOBAKI SISI UTUAMBIE WANAZUONI WA ELIMU YA HADITH WAMEIONGELEAJE HIYO HADITH?? Sio maoni yako ila tunaangalia maoni ya wanazuoni wa مصطلح الحديث
@saidomarkiroboto8229 Жыл бұрын
Angesema hajui tu angeoa....jibu lingekuja ama laa lakini bachu hakutaka kukubali hilo....angesema.....SIJUI KISHA ANGEONA JIBU...bachu amefili mana mambo yako wazi tu wallah
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Hamkosagi maneno tuuu. Hapa mnatafuta jinsi ya kujitetea ili kuendeleza uovu wenu wa maulidi ulio Anzishwa na Mashia waovu. Endeleeni na Kufru na ushirikina wenu msipotubia kinawasubiri kibano siku ya mwisho wasio kua na haya kumshirikisha Allah na kuwaunga mkono MASHIA kwaajili ya wali tuuu maskini. Yaaani wali tuuu. Njaaa hizi mmmmmmm.
@nassoro5341 Жыл бұрын
Kwanza swali limejibiwa sema watu wa bidaa hawataki jibu kwasababu hawataki kushindwa
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm Жыл бұрын
Shekh mbona Bado husemi unachoulizwa na Bachu?
@MohammedAli-fp9vn Жыл бұрын
Jawabu ilikuwa bachu ajibu cz aliitowa hadithi ni yy
@salimabdalla6290 Жыл бұрын
Na ni kweli hawakuendelea
@WaziriSaid-z7m Жыл бұрын
Bachu akasome
@fakikombo7114 Жыл бұрын
Maulidi yasomwe kwa wingi kumbe huyu bachu hajaona andiko lolote wala hajawahi kuskia andiko popote linalomfanya yeye aseme maulidi hayafai na niuongo, kumbe alikaatu kwaakili yake mwenyewe akaona awatukane mashekhe na awatukane waislam woote wayasomao maulidi sasa nikwambiet kua masuala ya dini hukumu kupitia kur'an hadithi na hata rai za wanazuoni usitowet yakot kichwani......
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Maulidi yanasomwa na watu wajinga tuuuu sio watu walio na elimu na ujinga sio tusi maana hua hamkawii kupayuka ushahidi Quraani Suratul huud aya ya 45 hadi 47. Mjadala mpaka umeisha watu wa maulidi wameshindwa kutetea kua wanyama walizungumza na wengine wakapeana bishara kua mimba imetungwa huo ni uongo. Lakini imeshindikana kutetea kua ni ukweli. Mashia wameanzisha maulidi na nyinyi mnasema dini. Au ndo walewale mashia ndo mnao comment huku.
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Maulidi imeanzishwa na Mashia. Haiwezi kua dini.
@mody-guyngido2792 Жыл бұрын
Wacheni unafik sikilizeni hoja na mucomment ukweli kama kweli mumeelewa hoja sio kuzidi kupotosha umma,Sheikh Said ni kama mwanafunzi Kwa Bacchu aseme Tu Alikua anahamu yakukutana nae lakini kihoja bado mchanga Sana.
@rashidswalehmwanjama3404 Жыл бұрын
Angekojoa basi😂😂😂😂😂 amekojoa waahabi wenuuuu😂😂😂
@mody-guyngido2792 Жыл бұрын
@@rashidswalehmwanjama3404 hii ndio elimu muliyonayo watu wakufata mpunga,midomo michafu.
@HawaOmary-fb6wo Жыл бұрын
WENYE ELIMU PEKE YAO NDIO WAMEELEWA KWANINI LIMEULIZWA SWALI ILO,BACHU AKABAKI KAMA NDEGE ALIEFUNGWA MABAWA ASHINDWE KURUKA.KRIPU ZAKO TUNAZO ULIZOMWAMBIA MARHUM SAID NABARZANJ,MSHIRIKINA NA MUONGO,,,JIBU SWALI AMA SEMA SIJUI,NALO NI JIBU PIA.
@HawaOmary-fb6wo Жыл бұрын
Tunasubiri majibu NI MWANACHUONI GANI?
@HawaOmary-fb6wo Жыл бұрын
SWALI HALINA MAJIBU,,,KUMBE MIWAHABI INASOMA VITABU KAMA MAGAZETI
@bongotvonline4883 Жыл бұрын
NIWE WAZI, SHEIKH ABBAS AL KUBRA ANA ELIMU KULIKO HUYU BWANA MDOGO SAIDI. WALLAHI, ANGALAU ABBAS KULE TANGA ALIKIWA ANAJIBU HOJA KWA HOJA. SAIDI AMEIFEDHEHESHA TWARIQA.
@m7.mmd_ Жыл бұрын
Boss. Bachu ameulizwa 1.Aseme alio yasema barzanji ni uongo 2. Sheikh Jaafar ni muongo? Ok ameeenda kujibu swali la kwanza .. akisema kuwa ni munkar .. Said akamjengea swali tena Mtu akitumia munkar huitwa mrongo ... hakujibu 3. "Thibitisha kwa dalili qauli yako kuwa Wanyama walitamka ... hayo maneno ni uwongo" ... na hayo yote hakuweza kujibu wala kusema sijui .. sasa Ust Said angeendelea vipi mbele ??
@giltaemi4017 Жыл бұрын
@@m7.mmd_ Ukitumia akili timamu. Huwezi sema utumbo huuu. Wakae wanajadili mtu kwani mtu ndo mnae mbeba kwenye maulid zenyu. Ni mjinga ndo atakua na akili hiyo. Kinachosomwa ni maneno sio mtu mtu atajuana na mola wake lakini maneno aliyosema yenye kupotosha Umma lazima yarekebishwe hata kama kasema nani. Ni mtume tuuu maneno yake ndo hayabadiliki.
@giltaemi4017 Жыл бұрын
@@m7.mmd_Yaaani Akae chini kumjadili mtu kwani umeambiwa mipasho hiiii. Tumieni akili basi enyi watu wa Maulidi. Hii ni dini. Sio mipasho kutaka kujadili mtu.
@AliDaud-si3fg Жыл бұрын
@@m7.mmd_ said ametaka jawabu liwe na ittifaaq ya wanazuoni wa hadithi, akaambiwa hakuna ittifaaq hio mara kadhaa. ss km ipo yy alikua aseme hii hapa ili yaliomo ktk barazanj yabaki kua n kwrli lkn ametuacha vile vile tuamini kua yaliomo ni uwongo hasa vile akikubali kua hadithi ni munkar
@m7.mmd_ Жыл бұрын
@@giltaemi4017 kwani alie tangulia kumzungumzia Barzanji ni Nani?? Tena kwa kumpaka matope haswa.. Baada kuona alio fanya ni makosa kumtoa mtu kwa dini na kumuita mrongo na hana dalili nao akarukia kutafuta sababu kwamba anazungumiza maneno wala sio mtu .. 😅
@BillalKasim2 ай бұрын
Duh bch pole xn umeshindw kbxaaaaa
@abdulmalikabdulmalik5408 Жыл бұрын
Hili Bachu Shida yake ni halikusoma, Na Halijielewi pia alisemalo, yeye ni kupayukapayuka Mayowe tuu, Halijui kusoma wala kutambua,
@aminadjuma7555 Жыл бұрын
Ila usikashifu hakuna alie mkamilifu
@HamisiMussa-v1d Жыл бұрын
Huyo unae mtetea ndie hajielewi kabisa pamoja na ww
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
@@aminadjuma7555angelilijua bachu Hilo shida ingelimaliza
@Lundege_Hips9 ай бұрын
Uyo ni sheikh usimuite hili
@RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm Жыл бұрын
Thibitisha kuwa wanyama walizungumza?
@faridsaid60 Жыл бұрын
Asalam alekum warahmatullah wabarakatu wale watu wa zamani waliangamizwa kwa kufata mababu kwa mababu megine jiangalie na nabii suleiman ndio alikua akisikia lugha ya wanyama huo wakati mtume alipo zaliwa nani mwengine alikua akisikia luga ya wanyama shekh said ameshindwa kutetea maulid
@Fatmasembizi210 Жыл бұрын
basi usimfate Imam yyte shekhe na hao maswahaba pia usiwafate kwasbb na wao huingia hko hko kwenye mababu kama watu wazamani dini inataka ushahidi kutoka kwa Quran, hadith , sunnah na kauli za wanachuoni juu ya jambo hisik na ndicho alichulizw shekh wko
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Kwaio tusifate MABABU zetu waislamu na maswahaba na tuvumbue dini mpya?
@barzaqtradingcompany8541 Жыл бұрын
Uongo kwa Mtume, Mwenyezi Mungu amfikishie rehema na amani الكذب على النبي صلى الله عليه وسلم ، منكر عظيم ، وإثم كبير ، وذلك لقوله صلى الله عليه وسلم : " إن كذبا علي ليس ككذب على أحد من كذب علي متعمدا فليتبوأ مقعده من النار" رواه البخاري (1229) ، ورواه مسلم في مقدمة صحيحه (3) دون قوله : " إن كذبا علي ليس ككذب على أحد " . وقوله صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : " لا تكذبوا علي فإنه من كذب علي فليلج النار " رواه البخاري (106). وقوله صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : " من حدث عني بحديث يُرى أنه كذب فهو أحد الكاذبِِينَ" رواه مسلم (1). وقد ذهب جماعة من أهل العلم إلى كفر من تعمد الكذب عليه صلى الله عليه وسلم
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
SIO SUALA ULILOULIZWA WEWE MUWAHABI. HUO NI UJANJA WENU WA KUWAPOTEZA WATU. HUJAAMBIWA UTAJE UONGO WA WATU WANAOMZULIA MTUME SAW. SUALI MLILOULIZWA MAWAHABI. JEE ITTIFAQI GANI YA MUSTALAHU LHADITHI IMESEMA MTU AKITUMIA HADITHI MUNKAR HUWA NI MUONGO AU KITABU HUA UONGO?. JIBUNI KWAZA SUALI. Kisha mtaleta hadithi nyengine tuchambue nayo.
@nassoro5341 Жыл бұрын
Shida sio bachu kua na elim shida ni kwamba masheikh wenu wa bidaa barazanj bidaa tupu
@Ramadhaniabdallahmohammedi Жыл бұрын
wewe unaijua bidaaa
@areyoureal2723 Жыл бұрын
@@Ramadhaniabdallahmohammedi bid'aa si ni haya ya maulidi 😂😂
@FamauAli Жыл бұрын
Jamaa kutamka kwa wanyama si ajabu kwani hmjui kua chungu alitamka wakati wa nabii Sulaiman
@khamisali5978 Жыл бұрын
Ungefatilia ukajua kinachozngmzwa ndo ukatoa mawazo lkn umechanganya vitu viwili tofauti hapo,ungefatila tena ukafahamu ,dalili ulotaja na dalili alotaja huyo Sheikh ndo utaelewa.
@jumaame5606 Жыл бұрын
Hamu yetu tulikuwa tunataka kujuwa yaliomo ndani ya barazanji . sio mtu hamjatutendea haki .
@waziiralmaal7263 Жыл бұрын
Mtume wetu s.a.w amesema hii umma Yake itagawanyika katika vikundi 73, na zote zitaingia motoni isipokua kundi 1 Tu ndio itaingia peponi, maswahaba wakamuuliza ni lipi Hilo kundi 1 la kuingia peponi Mtume s.a.w akawajibu ni wale ambao wako juu ya Yale ambayo Leo hii Mimi Niko juu Yake pamoja na maswahaba zangu. Maulidi mtume hajafanya maswahaba hawajafanya sasa wewe msoma maulidi uko katika kundi lipi Kati hizo 73. Jambo la msingi hapa ni kutambua Hilo kundi 1 la peponi ambao wako juu ya Sunna za mtume wetu s.a.w alafu ujiangalie wewe kama unalingana na hili kundi la peponi. Assalamu Aleikum.
@swabrianwar1020 Жыл бұрын
semaa SIJUI!!!
@BrotherMasoud Жыл бұрын
Bacho hapo kaongea point ambayo kama hujasoma huwezi kufahamu. Jamanai tukasome kwanza ndipo tutafahamu ukweli wa haya mambo waAllahu Yaalam.
@timetravellor5367 Жыл бұрын
Waumini barzanji si Quran kuwa na makosa inawezekana ila yanaweza kurekebishika maulidi ya kasomwa kama kawaida
@HassanOmary-n5u4 ай бұрын
BACHU UTAPATA TABU SANA NA HUU NIMFUNGUO SITA KARIBU MAULIDI
@kitosio3 ай бұрын
Na Labda asubirie khizaya ya dunia kwa kuwa mstari wa mbele Kmzulia mtume s.a.w. Nafsi zimejawa na matamanio. Muislamu anakataka viuno, Gaza waislamu wanauwawa, nyny mnaingia ktk Haraam
@BakariSechala Жыл бұрын
Mwenye akiri kubwa anaelewa anachokisema Bachu ila mbulula wanachanganywa na ujanjaujanja wa walamauridi
@MaisaraIbrahim-i9bАй бұрын
Ni kupoteza muda kumsikiliza Bachu ni mtu anayekula mirungi akili zake haziko sawa mimi sitaki hata kuona sura yake
@ahmadsayyeed79109 ай бұрын
Kwanza hapo mfunzeni kuongea kimombasa asitumie nguvu 😂😂😂😂 kibri acha bin bachu😂😂😂😂
@marialumbanga5 ай бұрын
Bachu allah azid kukusimamia
@hamzaqaacm18692 ай бұрын
Yuko wapi sasa mbona kapotea
@ramadhanisaidi5449 Жыл бұрын
Jibu suali Basi Mambo yaendelee
@hilalkhalfan14526 ай бұрын
Naona bachu Kawa mduuchu Leo FUJO zote zimeisha, Kawa mpoleee maskini
@isaack1006 ай бұрын
Nmefurahika snaa bhachu kusema hawajadili msimulizi,na clips zake zote alikuwa akisema barzanji no mwingo
@IbraFareed3 ай бұрын
Sahihi
@MohdomarHamad-o2q Жыл бұрын
Bado Muhammed Bachu NI mtoto sanaa kwenye Elimu. Hana Elimu ya kutoa FATUA. BADO AKASOME FAHABI HUYU.
@OmaryKhalfani-ko8qx Жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@silimakhamis7088 Жыл бұрын
First 11
@FeisalMuhamed-u8y2 ай бұрын
Shehe said yupo sahihi
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Leo mpatikana
@AbuuzahirIdrissa7 күн бұрын
Naona ajabu muhamemdy kufanya mnakasha na mtu asie penda kher anatabia ya uwongo na ubishi na mpenda sifa kiburi huyo anajua kilakitu huyo unavyo muona hapo
@MohammedAli-fp9vn Жыл бұрын
Bachu alikuwa ajuwa jibu alitakali said litamtia matatani so ndio akakimbia kujibu
@hutiswalehe2444 Жыл бұрын
Mtoto wa bachu jibu swali
@yassinm69 Жыл бұрын
Swali gani
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
Eti Mimi Nimesoma. Eti Mimi Nimesoma Sijaona. Wewe Ninani. Wewe Umesema.
@giltaemi4017 Жыл бұрын
Kama wewe umeona sema hapa kwenye comment tuone ukweli wako upi. Ama na wewe ndo wale wale watu wa maulidi zilizo anzishwa na MASHIA. SHIA WAANZISHE KITU IWE DINI. SUBUTU. Labda kam si dini ya ALLAH.
@nurdinmfamau3493 Жыл бұрын
@@giltaemi4017 Kwani Nimjomba Wangu Au Mjomba. Ukae Kwa Kwakutulia.
@issaisandeko6217 Жыл бұрын
Ukisoma kichwa Cha habari tu inatosha kuelewa hii Channel inaupande inaosimamia, Uislam ni dini Moja ni vema mijadala ikawa wazi ili tujifunze, hii kazi ya ku-edit na kushabikia upande flani haina afya ya kuufanya umma kujifunza
@AlhajiIssa-jb9hr Жыл бұрын
Hata wao Katika channel zao Hali ni hiyo.
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Sio tatizo Hilo.
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Mwanzo mwisho M.bacho ni msanii 🤣🤣🤣🤣
@mohamedturanardan8871 Жыл бұрын
Nawauliza watu wa Bid-aa wapi mmetoa hadithi ya Rasoul (s.a.w) kuwa Wanyama walisema?
@wardalwena5846 Жыл бұрын
Toa hadith kwamba wanyama hawakusema
@madrassatulihyaa-ilislaami2911 Жыл бұрын
Ww kazi yko ni kutembelea kila channel kusema wapi wanyama walitamka n je ww toa wapi hawakutamka acha ujaahil
@TomassBenson Жыл бұрын
Maulidi halali tusomeni kwa wingi maighwa
@osmanabdifattah4947 Жыл бұрын
Mimi niko na Bachu
@MuhidiniNassor10 ай бұрын
@@osmanabdifattah4947pole Mpe moyo kipigo si Cha nchi hii kachezea
@HassanIddy-v1b2 ай бұрын
Nimeamini hawa watu wa bida,aa,hawatetei jambo kwa dalili bali ni Shubha,nilikuwa na shaka na mtoto wabacho sina shaka kuanzia Leo maulidi ni uchafu mtupu,
@MirajiMohamed-be1qcАй бұрын
Sasa wewe bachu na barzanji nani mwanawachuoni?
@AbdallahShaabani10 күн бұрын
Sasa channel yenyewe niya watu wa bida'a lazima kichwa cha habari muandike huo upuuzi😂😂😂😂
@Lundege_Hips9 ай бұрын
Bachu alikua sahihi sana
@SalimoIbraimoIbraimo Жыл бұрын
Mbona aukuthibitisha usahihi wake ewe kijana said?
@salimkhatri8064 Жыл бұрын
Acheni UONGO. Mwanzo wa mdahalo Bachu aliweka sawa maudhui na kusema kuwa wako pale siyo kujadili mtu bali kujadili jambo. Shekhe wenu alikuwa anatumiwa vikaratasi na wasikilizaji (kinyume na kanuni za nidhamu ya wasikilizaji). Kwenye video inaonekana kabisa anayetakiwa kuwa mhakiki akiongea na wasikilizaji wengine halafu wanamuambia Said kwa ishara ang'ang'anie asikubali kujibu maswali ya Bachu. Bachu kaeleza waziwazi kuwa Jaffar Barzanji siyo mpokeaji wa hadeeth bali ni msimuliaji wa hadeeth. Nakuna hukumu ya wanazuoni kwa mtu ambaye siyo mpokeaji wa hadeeth bali hukumu inatolewa kwa maneno yaliyonukuliwa ama jambo lililosimuliwa. Baada ya shekhe wenu kuendelea kusisitiza kuwa hatoendelea mbele mpaka aonyeshwe hukumu ya wanazuoni kwa msimuliaji, Bachu akasema basi "tufunge kikao tukapate lunch". Sasa kwa sababu hamna maarifa ya Logic and Critical Thinking na badala yake maarifa yenu ni kwenye utunzi wa mashairi mnaona UTOTO aliyoufanya shekhe wenu ni umahiri. Shekhe wenu alitandaza vitabu si chini ya ishirini na bookmarks si chini ya 3 kwa kila kitabu LAKINI kashindwa kusoma lolote kutoka kwenye vitabu alivyoleta. Sasa unauliza vile vitabu vyote vilivyotandazwa mezani vilikuwa kuleta mbwembe tu? Mlikuwa na fursa nzuri ya kuthibitisha kuwa yanayodaiwa kuwa UONGO na Bachu ni UKWELI lakini mmeshindwa. Mnakumbushwa, makaburini mtaingia mmoja mmoja. Hakutakuwa na mashabiki wala ushabiki. Na kwa Allah pia utasimama peke yako. Sasa rejea Quran 6:70 halafu angalia adhabu anazowaahidi wale waliogeuza dini kuwa no mchezo na starehe ya kushabikia. Muogope Allah. "Waachilie mbali walio ifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri. Nawe kumbusha kwayo, isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyo yachuma, nayo haina mlinzi wala mwombezi ila Mwenyezi Mungu. Na ingatoa kila fidia haitokubaliwa. Hao ndio walio angamizwa kwa sababu ya yale waliyo yachuma. Wao watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu chungu." Qur'an 6:70
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
ACHA KUPOROJA, MADA ILIKUWA SIO MWANZO WA MJADALA BACHU KASEMA NINI, MADA ILIKUWA UONGO NDANI YA BARZANJI. NA BACHU ALISEMA SHEKH JAAFAR NI MUONGO NDIO MAANA TUKAMUITA MAMBRUI KWA MADA HIO. SASA KAMA YEYE ANATAKA MADA NYENGINE KWANZA AIMALIZE HII MADA ALIOITIWA. ACHENI KUGEUZA MADA. NA KWANINI MNAOGOPA MADA.
@Bombwejr183 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 MADA ilikuwa UONGO ndani Ya BARAZANJI kwanza Tujadili hapo ndani yake kuna UONGO au UKWELI tukishapata hilo halfu ndo tuanze kumjadili BARAZANJI