Mwanza kumekucha na misiba jamaani! Mungu tuondolee hili balaa
@mwanduelizabeth22822 жыл бұрын
Masikini huyu Askari amechukua maamuzi magumu ya kujinyonga huenda alikuwa amechoka na hali hiyo ya kupoteza fahamu akaona bora apumzike na matatizo hayo akaona bora afe. Kwa akili ya kibinadamu ukiona unaumwa ugonjwa halafu ugonjwa huo uwe umekutesa kwa muda mrefu huwa tuko wepesi wa kusema bora nife nipumzike lkn kumbe ni kujikatili .Huyu mtu alikuwa amechoka na huo ugonjwa.R.I.P
@veronicachiragi86122 жыл бұрын
Magonjwa ya akili yapo tuchukue hatua!pia tujisalimishe Maisha yetu Kwa MUNGU maana shetani yupo kazini🥲
@mussakidangi55102 жыл бұрын
R I P SOLDIER
@hanifatanzania72582 жыл бұрын
Subuhanallah
@salha.d50602 жыл бұрын
Kwanini maasikari wanajiua Sana jamani lazima Kuna kitu ndani yao
@latifartygh48282 жыл бұрын
Chanjo zakolona zinafanya kazi yake
@johnzege2092 жыл бұрын
Askari nae ni mtu kama wewe, hamna Cha ajabu
@verdianabanabi22052 жыл бұрын
@@latifartygh4828 😆😆😆😆😆
@yasiniselemani24122 жыл бұрын
Stress,madeni,
@rosepiere18572 жыл бұрын
@@yasiniselemani2412 nakubali mishahara midogo mikopo mingi wanashindwa kutimiza majukumu
@subirajohn7282 жыл бұрын
R.I.P
@neemamkemae25802 жыл бұрын
R.l.P
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Mtihahani bado pepo la mauwaji limeikamata tanzaniya poleni wafiwa