Askari Mungu akubariki kwa moyo huo . Akufanikishe katika kila hitaji kwenye maisha yako .ukulinde na mabaya yote . Akupe afya tele baraka za MUNGU ziwe juu yako .
@savagetz6738Күн бұрын
Hawa ndo askari mfano wa kuigwa 🇹🇿💚
@JocelyneMaryКүн бұрын
Huyu ndio askari wa pekee Tanganyika nzima❤
@GloryJoseph-md6icКүн бұрын
Imenigusa mpaka nimelia,Mungu aendelee kukushika mkono na kukubariki wew askari na aliekusaidia na awape maisha marefu,yatima tunaishi kwa shida hata tukiwa na ndugu bado yatima tunachamoto san,Mungu awabariki san.
@Assay-gn1wvКүн бұрын
Haiwezekani???😳😳😳😳 hata ukimuangalia sura yake huyu kaka he is a good man, with a good heart, he is such an Angel🥰🥰🥰
@nestorysanga393822 сағат бұрын
Mungu akubariki saaana afande.Mungu akukumbuke kama Dorikas alivyo kumbukwa
@cristinamushi4606Күн бұрын
Afande wewe umekuwa ni mfano wa kuigwa Mungu akutangulie sana kk yetu.Hongera sanaaaaa
@AfandeMsikeКүн бұрын
ASANTESANA NDUGUYANGU
@clauschaula2050Күн бұрын
Hongera sana afende na Mungu aendelee kukubariki katika majukumu yako ya Kila siku.
@dorahmushi-we6tsКүн бұрын
Mungu akubariki sana askari wetu shujaa... Huo ni ndio utumishi wa Mungu, kuna wanajiita watumishi wa Mungu lkn Mungu ndiye ajuae😢
@cristinamushi4606Күн бұрын
Hongera sn Afande umefanya kazi nzuri sn ya kuongea.Mungu akubariki sana.
@AfandeMsikeКүн бұрын
ASANTESANA NDUGUYANGU
@GalaxyA-yw7egКүн бұрын
AFANDE. ALLAH AKULIPE KHERI
@aziziatumanially424Күн бұрын
Mungu akubariki sana Afande nimejisikia had uchungu moyon
@RamadhanPonera-x4lКүн бұрын
Mungu akuzidishie sana afande kiukweli hiyo ndio njia nzuri ya kuishi na yatima ubarikiwe sana
@HanifaOman-oo4plКүн бұрын
Maashaallah tabarakallah. Allah akupe afya na akuzidishie.liziki
@NeemaSamueliКүн бұрын
Mungu akubarik afande mshahara wako uongezeke zaid barikiwa sana
@oscanyakunga22 сағат бұрын
Ongera mno matendo mema kwa watu wa Mungu.🎉🎉 mbarikiwe sana
@Happynesi-d4kКүн бұрын
Mungu akutunze afande na cheo upandiswe uwe juu ya wotee
@dorcaskidoti249Күн бұрын
Jmn kama kuhani wa Bwana Yesu natamka huyu kaka akawe kichwa mbele ya wenzie na kila sehemu 🙏🏽🤲
@stephanokaaya1881Күн бұрын
Jamani hata Mimi nakuombea Mungu akupandishe cheo
@JudithAdonisКүн бұрын
@@dorcaskidoti249 EMEN.......🙏🙏🙏
@agnessvicent6591Күн бұрын
@@dorcaskidoti249amen na ikawe hivyo jaman ni upendo usio na mawaa
@Zuuh107Күн бұрын
Mungu awabariki na kuwapa nguvu za kz na afya njema kwa kujitolea kwa hilo 🤲🏻🙏🏻💖💖
@BeatriceKitembe-gs9siКүн бұрын
Mungu wa Mbinguni asikupungukie.. Abariki na uzao wako. Daaaa ubarikiwe na Bwana.
@godfreydavid69969 сағат бұрын
Kila mara nasema ndani ya Jeshi letu la Polisi kuna watu wema.Asante sana na Mungu akubariki.
@missmoona4497Күн бұрын
Bismillah maashallah kwako afande MUNGU ajaalie shat lako lichafuke kwa manyota na vyeo mbalimbali had ufikie kweny uamiri jesh inshaallah
@AfandeMsikeКүн бұрын
INSHALLAH NA IKAWE KAMA ULIVYOSEMA NDUGUYANGU
@agnessvicent6591Күн бұрын
Amin yarrab
@MwanahamisNyenziСағат бұрын
Mko wawili tu Nchi hii wewe na askari mmoja Yuko Njombe Mungu awabariki, matajiri, majizi, mafisadi Nchi hii ni wao na wanao
@Fatima-v9k6fКүн бұрын
From 🇧🇮 mashaallah 🥰
@FghgRyyКүн бұрын
Maa shaa Allah Allah akuzidishie sana askari akuinuie zaidi katika mali zako Aamiyn Aamiyn
@AronThomas-ws1syКүн бұрын
Hongera sana afande Wewe ni mfano wa kuigwa, mungu akubaliki sana.
@ChausikuAliКүн бұрын
Mashaallah mola akuzudishie afande sio Kama wote wanamoyo Kama wako mwenyezimungu akutie afya njema inshaallah
@florencemeza6540Күн бұрын
Afande nimekupenda Mungu akubariki na akuinue kwa kiwango cha juu
@amaniamosi2603Күн бұрын
Umebarikiwa mkono unaotoa. Mungu akuzidishe askar wetu wa faida
@LiberatusRaphael-be8hi11 сағат бұрын
Mungu akubariki sanaaa kamandaa
@martinmsendo95917 сағат бұрын
Hongera sana Afande
@erastomwambeje9920Күн бұрын
Hongera sana, ubarikiwe sana. Utabarikiwa Sana.
@AdiaMsaghaaКүн бұрын
Allah akuzidishie pale ulipotoa
@DinaKyaheКүн бұрын
Hongera sana kaka, kwa moyo wa kujitoa Mungu akubariki
@Assay-gn1wvКүн бұрын
Huyu kaka sasa ameniliza alipo fikia kusema na yeye amesomeshwa😭😭😭 Mungu akubariki saaana wewe kaka, hazina yako umeijenga mbinguni, kusiko na kutu wala nini, Mungu asikupungukie kamwe, akuangalie wewe kwanza kabla ya sisi wengine🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@AfandeMsikeКүн бұрын
ASANTESANA NDUGUYANGU
@veronicamangwela9665Күн бұрын
Mungu akubariki sana sana kazi yako si bure mbele za MUNGU
@JoshuaCosmas-c7qКүн бұрын
Asikari Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@AbdulazizRupiaКүн бұрын
Allah akufanyie wepesi
@catherine_maruga19 сағат бұрын
Be blessed Askari🙏🙏
@EliasMwita-q3xКүн бұрын
Dah hongera sana Afande
@vero57Күн бұрын
HII NZURI SANA, HONGERA SANA POLICE OFFICER 👮, I SALUTE YOU SIR 👏👏👏👏
@elesianakabuje5832Күн бұрын
Mungu akubariki Sana kamanda...abariki pale unapotoa na akuongoze katika majukumu uko...naamini mungu hatokuacha utafika mbali.
@ViolethProsper-x4fКүн бұрын
Mungu amubarki
@SINADATITO8 сағат бұрын
Mungu akurinde kaka🎉🎉
@hisanmwakijungu1016 минут бұрын
Congratulations afande big up
@johnjplusfood2135Күн бұрын
Uyu Askari Mungu atamsaidia Sanaa kwanza ana moyo wa kujitoa kusaidia jamii iliyomzumgu ukiachana na kwamba na yeye pia ana majukumu mengi lakini kaamua kusaidia kwa ajili ya Mungu aliyemuweka mahali hapo.
@AfandeMsikeКүн бұрын
ASANTESANA NDUGUYANGU
@richeljamesmosses9685Күн бұрын
Mbarikiwe Mbarikiwe Mbarikiwe hakika mungu awabariki sana
@adiaygo8546Күн бұрын
Mungu akuzidishie bambo kuyimuka bombi hii nyumba hii🔥🙏💪🇹🇿🏋️🏃
@edithandunguru3405Күн бұрын
Umetutoa kimasomaso bambo. Mungu aendelee kukutumia katika Nia yako njema
@RamadhaniKitala-gx6wcКүн бұрын
Daah hii nimeipenda afande Allah asimame na wee
@mwanaimahassan5166Күн бұрын
Hongera sana afande mungu akulinde katika Kaz yako na akufanikishe kila unalolihitaji afande❤❤🙏🙏
@pendoshirima-p7xКүн бұрын
Dah sijawah sikia afande mwenye roho nzuri hivi mungu akubariki mno mno
@AshaJuma-s7lКүн бұрын
Kumbe Kuna askari Wana roho nzuri jamani!🙆. Nimeona hata yule wa Makete naye anajitoa sana Askari yule,na nyumba imejengwa kwaajili yake.
@joyceraphael2586Күн бұрын
Mungu akubariki sana kamanda Mungu hatakuacha kamwe
@JehhusRaoul10 сағат бұрын
Barikiwa Kaka
@BRAYANMohamed-l4zКүн бұрын
❤Huyu wa tofauti Sana. MUNGU AINUE WENGINE KAMA HUYU❤
@JosephMasaba-u2xКүн бұрын
Ubarikiwe,snapamoja nafamiria yako watu waige kamada,watazania tuko nyuma yako hatakwamaombi
@Ahimidiwe-munisyКүн бұрын
Mungu akubarik afande🎉
@EzekielkihundoКүн бұрын
Sifa ya kuigwa Pongezi kwakwe na Mungu ambariki sana Askari huyo
@aloyceponela3249Күн бұрын
Safi sana kamanda wangu .upo vinzur sana
@brigethsauzand3926Күн бұрын
Mungu akutunze afande
@EGM-TZКүн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations afande kwa moyo mkunjufu❤ Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM 🎉🎉🎉
@abedysteven4930Күн бұрын
Kuna ofande na majambaz xaxa huyu ndo ofande OG👋👋👋👋👋👍👍👍👍
@catherinecharles8710Күн бұрын
Mungu akuzidishie baba, nisaidie piah mtoto wangu natamani asome
@festomwasoha238Күн бұрын
Halooo
@AmaniOmari-ev2guКүн бұрын
Uko mkoa Gani
@mariamkibindo1741Күн бұрын
MashaAllah mabrook MUNGU akubarik zaid
@MonikaFedrick-td8nvКүн бұрын
Afande mungu akupe maisha marefu san mungu akuongezee pale utakapo pungukiwa jmn ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@enockmkristo8580Күн бұрын
Ubarikiwe na Mungu 🙏
@YohanaMbiziКүн бұрын
Aise kumbe Kuna askali wa aina hii mungu azidi kukubaliki bro ww na kizazi chako mungu akuludishie uripi toa
@JumaMaulid-l4z9 сағат бұрын
Mwenyezimungu akupe kila la kheri
@charleskabangila9004Күн бұрын
Mungu akubariki sana afande
@farajapeasonmagota8226Күн бұрын
Afande Mungu akubariki
@petermuganda7322Күн бұрын
Hongera sana
@YaeliJosephКүн бұрын
Mungu akuinue zaidi ✍️💯
@zainakibiki3489Күн бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie Ili utimize lengo lako hakika ww ni mfano wa kuigwa
@leahmollel6589Күн бұрын
Mungu asikupungukie mtumishi wa Mungu🙏
@happyMkenda-r1mКүн бұрын
Hongera sana afande kwakuwasaidi wadogo zetu
@andrewmaiga4331Күн бұрын
Mwenyezi MUNGU akulinde afande.
@saramss7262Күн бұрын
Barikiwa Mtumishi
@ZakayoGhulikuКүн бұрын
Jamani Nimeria Asante mungu
@samsonyemmanuel5160Күн бұрын
Unadeka...Itakuwa we ni last born
@chrisshongaКүн бұрын
kila jambo lina kusudi chini ya mbingu! ubarikiwe sana afande na kamanda wa KRISTO
@rechobenjamin845Күн бұрын
Mungu akufunike kwa damu yake
@Magreth-f2jКүн бұрын
Ni jambo la kushangaza cjawahi kusikia askari kufanya jambo kama hili Mungu akulindr uwe na afya njema uendelee kuwatoa shimoni hawa mayatima wengine jamani Tanzania tuna matajiri wengi kweli nimeamini kutoa ni moyo kadri unavoguswa afande wetu nikuombee maisha marefu mwaanangu mpendwa.
@ashaismail-v5cКүн бұрын
Mashaallh allh akuongeze palipo pungua
@TaboraTalentCenterTTCКүн бұрын
From Tabora talent center Mungu akubariki sana mkuu
@AshaJuma-s7lКүн бұрын
Usengwili mulongo vangu! Usengwili sana!👏👌
@maishayapora2745Күн бұрын
du napenda kuwa askari kama huyu anasambaza upendo
@yukundapeter8200Күн бұрын
Mungu akuguse afande.
@JosephMseleКүн бұрын
Amen kamanda
@absm8084Күн бұрын
Ubarikiwe❤❤❤❤❤
@immamlelwa4836Күн бұрын
Hongera sana Kamanda
@joyceraphael2586Күн бұрын
Mungu akutunze
@LoiteyoAmakoMakoКүн бұрын
Mungu akutangulie sana
@henrymwanri9419Күн бұрын
Good work #Inspector
@mandelasamson8401Күн бұрын
Peleka hiyo hoja ktk ngazi za juu,,mawaziri wenzio maana mnapesa nyingi sana,,rudisheni kwa umma,acheni kwenda kuzificha nje ya nchi
@muhammadmpahi338Күн бұрын
Maafande wapo wenye roho nzuri sema kuna wachache wanaharibia wenzao
@NeemaSamueliКүн бұрын
Sana
@sir_ENOCKMACHAКүн бұрын
Dah mwenyezi MUNGU akutangulie sana afande upande juu zaidi na ikimpendeza Mungu siku moja uwe IGP kabisa
@PhestaJames-zl1zxКүн бұрын
Mungu mwema saana Kwa kuwa na moyo huo wa upendo
@jeromendetaulwa3466Күн бұрын
kuna watu wanaonaga askari polisi ni maadui watanzania hizo unifom tuu hao ni wenzetu ndugu zetu na wana ubinadamu tuwapende askari ubarikiwe
@levinalyimo6240Күн бұрын
Duuu safi sanaaaa
@yuthantara7861Күн бұрын
hongera sana afande,bava zikomo
@Assay-gn1wvКүн бұрын
Watoto wasio na wazazi ni jukumu la kila mmoja wetu, sisi tu wenye wazazi maisha yako hivi, je hawa watoto? Na hii dunia ilivyo ngumu daaah
@paschalpaul3862Күн бұрын
Askali huyu ni Shujaa na kuna uwezekano mkubwa ana tenda haki na siyo yale yanayoomba elfu moja kwenye gari la milioni 30 au 50 au 100