Hongereni sana wapendwa wa Mungu kwa kutiwa nguvu na kuendelea kusimama kwa kazi ya Mungu, mali na vitu sio kitu. Haki bado itasimama hata km sio leo ikaonekana kwa macho ya watu ila bakini ktk kweli ya Mungu. Madhehebu na dini ni njia tu ya kumtafuta na kumfikia Mungu na kutiana moyo wa kwenda mbinguni, lakuna kujidai kua ipi ndo liko sahihi, yote yako sahihi ili mradi jina la Bwana Yesu linaitwa hapo katika roho na kweli. Ivyo isiwe kigezo cha kukwamisha watu kuona ukuu wa Mungu. Mwenyezi Mungu awabariki. Zaidi kaeni kwenye amri iliyo kuu "Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na akili zako zote.....................
@adamnzali84662 жыл бұрын
amen amen
@timothymoshi58002 жыл бұрын
Hongereni watiumishi wa Mungu. Mtakuwa jeshi kubwa.
@nikodemmwahangila33342 жыл бұрын
Huo ndio ukristo Yesu anapenda sana uamusho makanisa kuongezeka saaaaafi
@mpinabaharia22472 жыл бұрын
Uamsho ndani ya Uasi Mchungaji
@lucymwaigomole11162 жыл бұрын
Mbarikiwe na bwana watumishi mungu azidi kuwatunza
@tinajoe54872 жыл бұрын
Yaaani Mwaikali bana unapenda sana Madaraka umeona Uanzishe kanisa jingine aiseeee
@philbertcelestin70572 жыл бұрын
Ulitaka abaki nyumbani?
@reubenismail36722 жыл бұрын
Mkiitisha alambee ntakuja kuwaunga mkono!mpo kwenye haki Sana
@luganoatupele23462 жыл бұрын
mungu akubariki .mwaikali songa mbele tuko pamoja
@solomonfibe77062 жыл бұрын
Mmm! Na mchungaji Mwakatobe naye!
@hildadavid73892 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu tu
@yusuphalinani54322 жыл бұрын
amina huhukoko sisi kkt hatutaki migogoro
@hosealutangilo50582 жыл бұрын
Mungu alitetee kanisa lake!!
@reubenismail36722 жыл бұрын
Kazeni buti mtafanikiwa simameni kwenye haki ya kweli
@pastorphil41242 жыл бұрын
YESU anapata faida kanisa linapopanuka Uamsho unazidi ,mala nyingi uamsho unakuja pindi watu wanakwenda kuanzisha kitu chao na haswa kama watazingatia utakatifu na utawa
@esrorukiko12692 жыл бұрын
Askofu Mwaikale wewe ni mfano mzuri wa kuigwa Mungu akubariki akutunze wakikukataa Mungu hajakukataa fanya kazi ya bwana
@amanijampion30452 жыл бұрын
Yeye ndio alianza kuwakataa wachungaji wake
@kellyngogo33192 жыл бұрын
Anayezaa ovyo nje ya ndoa
@kicheko12522 жыл бұрын
Bora wanzisha migogoro wamejitenga wenyewe,
@atuganilengomba71212 жыл бұрын
Fanya kazi kwaujasili baba
@jamessichimata362 жыл бұрын
Saafi sana injili iendelee MUNGU awasimamie
@winnerjudith20072 жыл бұрын
mi ata sielewi wepi ni sahihi wa kule au hawa, Mungu atusaidie
@tithomhagama2 жыл бұрын
WAHUKU NDO SAHIHI.
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Kanisa kinaendelea kukua isipokuwa kola mmoja akapanda basi,kila mmoja ana haki
@chancemgaya87052 жыл бұрын
WinnerJudith litakalo hukumiwa siyo Kanisa ni wewe na moyo wako lakini amani ni kitu Cha muhimu sana kwa mtu anayemwabudu Mungu tumechoka kuonyeshwa mitutu ya bunduki kwa sababu ya tamaa ya Mali
@michaelsamson96632 жыл бұрын
Tuko pamoja mwaikali I'm tim mwaikali...
@solomonfibe77062 жыл бұрын
Wengine hata hawaelewi cha kufanya leo wamejaa kesho wanarudi K.K .K.T.Sasa mmehama nini wakati taratibu nizilezile za K.K.K.T?
@michaelsamson96632 жыл бұрын
@@solomonfibe7706 ndani yakanisa Kuna mamb mengi katika uongozi
@atiliosanga69552 жыл бұрын
Ameeee
@dezruh2 жыл бұрын
Cha msingi sana ni kujiandaa ili bwana akija akute taa yako ipo na mafuta.
@hurumawelton17572 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄jaman mwaikali aoni ata haya jaman mwe ilo kanisa wanajisumbua tyu akina chochot anacho taka nihela tu anataka polen mlio mfuata uyo mbaba nakisembe icho analusha tu mate akiongea Pepo uyo lime mvaa mwakatobe pole na uzee wote uo jaman
@deogratiusmtemi33852 жыл бұрын
Andrew king una pepo kwani unakuwa na roho mbaya hivyo
@zeblufingo83612 жыл бұрын
Wanajaribu kutabasamu ila moyoni mnakataa. Wanajilazimisha ila nafsi zinawasuta
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Kweli hiz n cku za mwisho
@fabbyjames55252 жыл бұрын
MWAIKALI NI ASKOFU ALIYEPAKWA MAFUTA YA BWANA SIO WALE WAPAKWA MAFUTA YA MAWESE ..... WANATAKA MALI KULIKO KUHUBIRI INJILI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@eldasylyavala96222 жыл бұрын
Nimecheka kama mazuri hahaaaaaa mafuta ya mawese
@lebisontito26182 жыл бұрын
Ana wivu na Madaraka
@lebisontito26182 жыл бұрын
@@eldasylyavala9622 mafuta Ya Nguruwee Hahaha Hahahaha
@obinasimbeye17502 жыл бұрын
Hakuna asiyetaka mali wewe mwenyewe unataka
@josephmwasalanje23202 жыл бұрын
Migogoro jazz Band Wapo kwenye hema lao
@Assanidesign-n5d2 ай бұрын
bwana abariki wote ni mulutheri wadamu kongo
@kellyngogo33192 жыл бұрын
Atafute jina lake siyo KKKT NA AACHE KUZAA ZAA NJE YA NDOA ETI MCHUNGAJI. Tamaa zao za pesa za waumini
@aiseamwandondwa38852 жыл бұрын
Songa mbele usigeuke nyuka ukawa jiwe la chunvi chapachapa injili mavuno nimengi watenda kazi wachache kazi ya Mungu ni wito sio kuwekwa na binadamu chapa chapa injili twende na kkam tunakiu na neno
@mwaikalishukrani47522 жыл бұрын
Ili dhahabu ing'ae razima ipitishwe kwenye moto,hivyo Kila jaribu mlilopitia watumishi mungu alikua 'namakusudi.jina la bwana libarikiwe
@adamnzali84662 жыл бұрын
amen amen
@oneombilinyi29732 жыл бұрын
Sasa nimeamini hizi ni siku za mwisho tutahama makanisa mpaka tupishane na Yesu
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Hahaha yaan YESU ipo cku tutapishana nae mlangon unapogeuka unakuta mlango umefungwa MUNGU aturehem
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
Kila kiburi na jeuri dhidi ya umoja wa Kanisa a Mungu ni teso kwa wanaofanya hivyo.
@barmwa2 жыл бұрын
Ushauri na mazungumzo ni tofauti....kwamba mgogoro usihurubiwe lkn mazungumzo yanagusia mgogoro
@raphaelmwamakimbula96422 жыл бұрын
Loh,ama kweli ukijihatibu nafsi huwezi kutofautisha kati ya chumvi na sukari.
@andrewking61872 жыл бұрын
Kamsimika.nani uaskofu kwenye hilo kanisa jipya? Mbona hajasimikwa.Nguo kaamua.kwenda kujishonea mwenyewe kwa fundi cherehani huo utapeli wa mchana kweupe
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Alichokibariki Mungu hakuna aweza kulaani Mlikuwa mnajilisha upepo😃😃 tulieni dawa iwaingie
@chancemgaya87052 жыл бұрын
Andrew king subiri tarehe 17.07ndio ujue kasimikwa au siyo uaskofu siyo nguo Wala kiti ni moyo
@andrewking61872 жыл бұрын
@@chancemgaya8705 sasa kiti cha uaskofu na mavazi na Pete za uaskofu alikatalia za nini hadi kulazimishwa kutoa kama uaskofu sio kofia,vazi wala kiti?
@chancemgaya87052 жыл бұрын
@@andrewking6187 Hivi Hicho kiti kinakabidhiwa kwa madalali na Polisi hawakufuata taratibu au na wewe ni mamluki manake Mwaikali kawaachia Kila kitu lakini bado mnamfuatilia fikirieni vitu vya maendeleo Wacha sisi tupagawe na Injili ya kweli yenye pumzi siyo ya kinafki
@andrewking61872 жыл бұрын
@@chancemgaya8705 atasimikwa kwa nguvu bila uchaguzi? Wameru watatoka Arusha na kuja kumsimika kimabavu bila waumini kumpigia kura!! Wanafika na kumsimika kienyeji Kifupi hiko kanisa kwa Mbeya halina Askofu wala mchungaji sababu hakuna hata mmoja aliyesimikwa na viongozi juu wa hilo kanisa waliopo! Uchungaji na uaskofu huwezi hama nao kienyeji tu toka kanisa moja kwenda lingine tofauti.
@gloryamani97232 жыл бұрын
MATHAYO 17 ; 10'13 LUKA 1:17.ELIYA KAJA BADO AMUMTAKI.HII VITA BADO SI YA MWILINI HII
Huyo mpenda pesa tu. Najua na anaongea na wanyonge tu
@ELCK-14 ай бұрын
Kongole
@bumimsojo53592 жыл бұрын
Bado hela zetu za miti tulizokuwa tunatoa kila mkristo 1000 kwa mwezi
@andrewking61872 жыл бұрын
Wanaume wachache sana naona wengi wanawake
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Hata KKKT ukihesabu wanawake ni wengi kuliko wanaume
@monicamahemba74912 жыл бұрын
Wanawake ndo waombaji wakuu
@francismwantolwa23292 жыл бұрын
Ni wepesi kudanganywa
@kongs.95952 жыл бұрын
UNATAKA WAWE SAWA KWA SAWA kwani umeambiwa KUNA KAZI YA KUOANA HAPO🤣🤣🤣???
@nurumbilinyi532 жыл бұрын
Kama mali za wenzenu sii kitu mmekwapua za nini??? rudisheni vyoote ..
@lebisontito26182 жыл бұрын
Hahaha Hahahaha Hahaha 😆😂😆😂😂😂😂
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Mbona kama unamakasiriko??😃😃
@mwakaombi50852 жыл бұрын
Tulia dawa ikuingie
@nurumbilinyi532 жыл бұрын
@@sylyavalaeditha8660 siyo makasiriko wanasema wenzao wasihangaike na mali wakati wao usiku na mchana wanahangaika kubeba mali za wenzao hili tunaliitaje??
@nurumbilinyi532 жыл бұрын
@@mwakaombi5085 Dawa gani unayoiona wewe ni dawa ya kukuingia??
@bahatidacute83662 жыл бұрын
mbona kama haongei kitu huyu mwaikali anashindwa hata kuomba loooooh
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Ila Mwaikali anawatesa jamani.Ila tumepata somo kubwa sana,tumejifunza aina za wanyakyusa tulikua tunawaona.Daaahhh mmetisha
@philbertcelestin70572 жыл бұрын
Angekuwa wa hovyo wasingelimuandama hivi
@geralftiffiri11802 жыл бұрын
Hawezi kuwapeleka mbinguni huyo.
@jonathanntare47872 жыл бұрын
kwani Martine Lutha Kanisa aliitoa mbinguni.
@atiliosanga69552 жыл бұрын
Waache wamuhubili Mungu wewe unaumia nini
@andrewking61872 жыл бұрын
Uaskofu unahama nao toka kanisa moja kwenda lingine bila kuchaguliwa kwa kura kwenye hilo.kanisa jipya? Mwaikali tapeli
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Kawaachia vyote bado mnahangaika nae wanyakyusa mnafeli wapi,mapango yenu kawaachia yote.Ila mna roho Mbaya kama nyie kwa nyie mnapinduana makabila mengine si mtawauwa kabisaaa.Ondoeni ukanda mtakua huru tena huru kweli bila hivyo KKKT itazalisha makanisa maelfu kwa maelfu.Makanisa unayoyaona yote haya unayoyaona leo Chanzo ni ukiritimba,ukanda,roho Mbaya,uchu wa madaraka,Watu kujihesabia haki kuliko wengine walioko ndani ya KKKT.Aibu kubwa sana
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Unakasirika ukiwa wap.😃😃 Tafuta maarifa kwanza
@stellamsuya11782 жыл бұрын
Ndyo ujue shida ni madaraka, maana kama ni swala la kumtumikia Mungu unaweza kumtumikia hata bila kuwa askofu
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
@@stellamsuya1178 hayo maneno ulipaswa umwambie mwakihaba ambaye amemsaliti mwenzie na kumpindua
@stellamsuya11782 жыл бұрын
@@sylyavalaeditha8660 Mimi sipo kumwambia Mwaikali Wala Mwakihaba, na sema iliyokweli, kwani hata kama alipindulia, kulikuwa na haja Gani ya kung'ang'ania Uaskofu kias hicho? Kwan angebaki mchungaj wa kawaida Mungu asingeendelee kumtumia? Sasa hapo Kuna fundsho gan unapata wewe?
@atupelemwitiki2 жыл бұрын
Songeni mbele wana Wa Mungu uamsho Wa Martin Luther umeingia Tanzania sasa.
@kicheko12522 жыл бұрын
Acha kuwadanganya watu
@heringohelo97922 жыл бұрын
@@kicheko1252 Aingiaye kwa mshale atatolewa kwa mshale.
@daudimichael73382 жыл бұрын
Nasikia walikabidhi mali, hivi auditors walikagua hesabu za fedha?
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Unahangaika
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Unataka kusemaje😃😃
@odenlwila83902 жыл бұрын
We mzee acha uroho wa malaka elimu yote ulio nayo unadanganywa na watu wa darasa la saba
@rehemafungo50422 жыл бұрын
Mwacheni??🤔🤔
@andrewking61872 жыл бұрын
Hao watu waliomfuata Mwaikali kweli akili zimo? Askofu wao hilo kanisa jipya hawajamsimika wanamchukulia kuwa tayari Askofu na hao wachungaji akina Mwambola hata hawajasimikwa na uongozi wa hilo kanisa jipya wanawachukulia tayari kama wachungaji wa hilo kanisa jipya bila uongozi wa hilo kanisa jipya walikohamia kuwasimika rasmi Mbona wanatapeliwa mchana kweupe Namhurumia huyo Mwakalinga aliyetoa hicho kiwanja Angetoa tu kwa muda kuwa salieni hapa hadi hilo kanisa jipya lisimike viongozi ndipo akabidhi kiwanja officially kwa hilo kanisa jipya sio kwa mwaikali au kwa Mwambola
@lucasmwijage23572 жыл бұрын
Wewe hujui wito wa Mungu na Mtu! Akuna wakumsimika kivipi! Mungu kasha msimika hakuna wa kumzuia! Mtumishi mwenye maono makubwa hupigwa vita! Mungu atamunua hamtaamini!
@neemagodlisten25902 жыл бұрын
Hivi wewe unaumia nini si ubaki na mwakihaba wako hiyo huruma imeonekana baada ya kuhamia waliko, ulikuwa wapi na huruma zako Wakati wa mgogoro, mlisema Hana watu mmeanza kuhaha mtaona jumapili Mambo bado ni Moto MUNGU anawatumia watu wake
@jamesjoseph68252 жыл бұрын
Kwanza nikuulize wewe ni Mlutheri? Kama ni Mlutheri basi katafute historia ya Martine luther
@romwaldkabwebwe67472 жыл бұрын
@@lucasmwijage2357 hata HUJUI unachosema
@benardmwakisunga74642 жыл бұрын
Nafikiri muda wa kulaumiana umeisha sasa ili mradi kila mmoja kabaki upande aliochagua yeye, hakuna aliye sahihi wala aliyekosea mbele ya macho na akili za wanadamu. Mungu peke yake ndiye ajuaye, acha injili iende mbele kwa namna yeyote ile iwe ya kumpendeza au kumuudhi binadamu yeyote, lakini anayestahili kuabudiwa ni Mungu tu kupitia mwanye Yesu kristo. Tuache malumbano ndugu zangu, hayataisha hata siku moja na muda fulani tukubali kutokubaliana.
@bestermwaikenda23062 жыл бұрын
Mbombo ngafu kwakweli looo
@akberyuda59502 жыл бұрын
HUYU MTUMISHI ANA WATU SANA
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Ni mnyenyekevu sana
@Story_za_towntv2 жыл бұрын
Alikuwa na hoja nzuri Sana sema sijui kwanini kkkt wameamua kufukuza
@anodearsulusi75362 жыл бұрын
KKAM mweeee
@maikomahanji94112 жыл бұрын
Kilefu chake ni nini
@adamnzali84662 жыл бұрын
dah nimependa sana sijawahi ona askofu mwingine aneomba hivi jamani dah mungu awe nae milele haki huinua taifa bali dhambi ni aibu Mungu azidi kukupa nguvu mtu Wamungu
@sebastianungimba46762 жыл бұрын
Sasa mwamba wa kiburi na jeur mwambola analilia nn
@francismwantolwa23292 жыл бұрын
Aonewe huruma
@mchikirwambombeyagonja43112 жыл бұрын
Amekabidhi ghorofa
@malamlaaj98522 жыл бұрын
Heeee! makanisa ya Mbeya!!?
@andrewking61872 жыл бұрын
Alitakiwa yeye na hao wachungaji wake wasimikwe kwanza na uongozi wa hilo kanisa jipya la Kiinjili la Afrika Mashariki ndipo waanze kufanya kazi kama wachungaji na Askofu Hawajasimikwa na yeyote kwenye kanisa la watu wameanza ku practice uchungaji na uaskofu kienyeji Huko nii kuanzisha mgogoro mwingine wa kikatiba kwenye hilo kanisa jipya
@wilsonmkumbo71992 жыл бұрын
Mungu ndoo atatuhukumu siku ya mwisho duuu!
@philbertcelestin70572 жыл бұрын
Chokochoko.hata Kanisa unalolitaja silo walilohamia.kwa ujumla una hasira.wasema usichokifahamu
@kongs.95952 жыл бұрын
@@philbertcelestin7057 subiri kesho utaratibu wote utauona
@piussimtala51112 жыл бұрын
Sawa,yote mema!!
@andrewking61872 жыл бұрын
Eti anasema leo ni ibada moja tu.Watu wachache hao ibada mbili zitoke wapi? Na wengine hapo wamekuja tu.ku beep.Jumapili ijayo wanarudi KKKT Ukitazama watu wa maana wenye hadhi zao wamebaki KKKT .Sura zenye hadhi wenye pesa zao na hadhi zao hazipo kwenye hiyo ibada
@adkajisi45362 жыл бұрын
KKAM wamemsimika lini kuwa Askofu?
@MrMcbana2 жыл бұрын
Alikwishasimikwa toka utoto wake ( Your future life is old to our God
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Tulimsimika siku mliyomuhukumu,kama alivyohukumiwa Stephano.Kumbukeni kila kitu mlikua mnaanika mitandaoni mkafikiri sifa.Haya ndio matunda yake.
@lebisontito26182 жыл бұрын
Mwaikali
@yudathadeiassenga11782 жыл бұрын
Roho ya utengano haiishi, na haiachi mtu salama
@henrytimothy30482 жыл бұрын
Hili neno lutheran mngeacha mtafute neno lenu huu unakua ni uasi tu
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Hujui kama lilisajiliwa miaka Mungu Hili sio Kanisa jipya Mtumishi wa lipo muda mrefu, isipokuwa moja la ndani ya Tanzania tu.Jingine linavuka mipaka.
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Hujui kama lilisajiliwa miaka Mungu Hili sio Kanisa jipya Mtumishi wa lipo muda mrefu, isipokuwa moja la ndani ya Tanzania tu.Jingine linavuka mipaka.
@philbertcelestin70572 жыл бұрын
Nani kakwambia KKKT Ina hati milki ya neno "Lutheran"
@josephlorri4312 жыл бұрын
KKKT mtajimilikisha Bible, na hata jina la Yusu Kristu.Acheni ubinafsi wana wa Mungu.
@tumainimwakyaka27752 жыл бұрын
Ni kweli wajiite kwa jina lao mbona wanaing'ang'ania Luther wakt nao wanamajina tunalijua KKKT hilo kkam limetoka wap washindwe
@tithomhagama2 жыл бұрын
Kkam 💒🌍
@andrewking61872 жыл бұрын
Mwaikali anavyopenda pesa.Hizo sadaka kwenye ungo tu lazima zitakuwa zimempandisha ugonjwa wa moyo Pesa za sadaka kiduchu alizoea kukusanya mamilioni leo hata huo ungo haujai atakuwa hakulala kwa Pressure
@foundationforcommunityhope73272 жыл бұрын
AMANI NDIO Kila kitu hapa dunia hii...
@godfreymasele88532 жыл бұрын
Rudisheni lilakitu mpk vitabu vyote vya Tumwabudu Mungu wetu,. Mtunge na muanzishe vipya kwa Imani yenu
@Ramsmimi2 жыл бұрын
Aliyekwambia nyimbo zote za tumwabudu Mungu wetu zilitungwa na Walutheri nani? Acha ujinga wewe
@fabbyjames55252 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo hamjaleta police nacheka kama mazuri mimi
@eldasylyavala96222 жыл бұрын
@@fabbyjames5525 police nao wamewachoka hahaaaaaaaaa acheni tu neno lihubiriwe
@lebisontito26182 жыл бұрын
Mwaikali ana Uchu na Madaraka ni Mtu Wa Ajabu Sana
@MrMcbana2 жыл бұрын
Vitabu si vinanunuuliwa tu madukani wapi wamewaandikia ni kitabu chenu wenyewe kitabu kitatumika na kila mmoja so kaa kimya
@hassanmalekela42922 жыл бұрын
Uchu wa madaraka huo hadi sala inakuwa ni uovu tupu
@lebisontito26182 жыл бұрын
Hahahah Hahahaha 😆😂😆🤣😆😂 Ndio Shida Ya Mwaikali
@sylyavalaeditha86602 жыл бұрын
Mlijua mmemmaliza au😃😃
@mwakaombi50852 жыл бұрын
Tulieni dawa iwaingie
@rebecakipangula36792 жыл бұрын
Mnahangaika,uchu wa madaraka snap aliyempindua boss wake aibu sana