Tukiwa na waalim aina hii ya mwl maprosoo zahiri tutamaliza tatizo la utoro mashuleni na watoto wetu watapata elimu bora big up teacher maprosoo
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Na hata kuhamasisha vijana kuwa kwenye Biashara pia
@mwajumabulugu41154 жыл бұрын
Asilimia kubwa sisi ngozi nyeusi hatutakiani mema,yaani MTU akionesha kujishugulisha tu lasma apigwe majungu.hongera mwalimu maproso mungu azidi kukujalia
@isunga19644 жыл бұрын
Kazi ya ualimu ni nzuri sana wanamaliza masomo mapema sana wengine wanaishia bar hongera kaka mungu aibariki kazi ya mikono yako
@elikindjunior18744 жыл бұрын
Maprosoo is a very good person jamani 😀
@pastorrobian30504 жыл бұрын
Safi sana kaka najua jitihada zako pambana ipo siku utafika achana na maneno ya watu
@wanderaothumani49194 жыл бұрын
Powerful story millard hii stori nzito basi tu people bora ziangalie bongo kiki big up Mr maporoso hustle zako zitusue amen
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Hongera sana mwalimu , MAANA WABONGO WENGI WANAPENDA UBAKI MASIKINI ,NDO MAANA HATUENDELEI ,MAANA KILA MBEBA MAONO HAFI ,HATA UPIGWE VITA VIPI ,KAMA UMEBEBA MAONO HUFI ,UTAIBUKA TU
@marthamwiru15564 жыл бұрын
Namkumbuka mwalimu maproso shule ya chikongora,iliyopo Kata ya chikongora Hakika alikuwa mwalimu mzuri Sana, 😀😀😀nimekumbuka mbali sana
@aliyjuma53624 жыл бұрын
Hongera sana! Millard Ayo kwa jitihada zako unazozifanya kutuletea taarifa mbali mbali mzuri kama hii nk. Hongera kwa Cameraman wako.Maprosoo brother pole kwa majukumu, endelea kuvumilia, Utafanikiwa, hongera sana kwa kujiongeza, safi sana brother.👍
@bundaman85424 жыл бұрын
Safi sana Millardayo. Naomba serikali ukutumie una kipaji sana cha ubunifu. Na hauna elimu kubwa sana lakini unatukosha kwa vipindi vyajo
@SanchoGN2 жыл бұрын
Hongera mwalimu. Barikiwa pia.
@wazirmlogi75324 жыл бұрын
Sawa sawa mzee maprosoo upo juu👍👍👍 nimekuelewa sn na wamekuelewa vizur,big up sn gwa kukaja
@georgeisdory99984 жыл бұрын
Safii sanaa maprosoo 👏👏👏 hii ni zaidi ya ujasili wengi awawezi hiii
@Amneamne-qi2du4 жыл бұрын
Masha'allah Allah abariki kazi ya mikono yako
@mariamm27244 жыл бұрын
Hongera sana teacher , mshahara pekee hauwexikidhi mahitaji .
@jacksonmathayo65104 жыл бұрын
Waoooo daah Mwenyezi Mungu akubaliki milele Sir maprosso
@alexkabeho56094 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu nashangaa anakaekusumbua maana experience ya miaka 12, huitaji kusoma kitabu kabla ya kufundisha, alafu wewe ni role model kwa hao watoto, siku moja niliuliza swala kwa unirvesity kwamba munapenda kuongelea swala la ajira sio sisi kuwa ma boss, mwalimu 🤔🤔🤔, so naamini unatengeneza hao watoto sana,
@neemaremus49244 жыл бұрын
Hongera sana mwalimu, Mungu abariki kazi ya mikono yako
@imanibakili80282 жыл бұрын
Mate yamenidondoka kwakweli, big up mwalimu
@nurudovino2884 жыл бұрын
Kazi nzuri Mungu azidi kukuinua zaidi kuwa penda watoto
@lamecklaurentius89362 жыл бұрын
Utulivu wa Mwl humsaidia MwlMkuu kufanya Majukumu yake ya kiuongozi vizuri. Huyu Mlw Mkuu Yuko vizuri.
@assilaa20074 жыл бұрын
Safi san napenda mwanaume mweny uthubutu hajali wala nin big up sanaaa💪
@itikamwakanyamale26904 жыл бұрын
Kakangu mpiganaji toka kyela
@kpetres28724 жыл бұрын
@@itikamwakanyamale2690 unamfahamu???
@solemba5954 жыл бұрын
Dah Hongera sana Mwalimu, kiukweli umepambana
@alisaid53783 жыл бұрын
Mungu akucmamie teacher hongera sn
@godfreymwambwalo52824 жыл бұрын
Hongera sana teacher
@dorndet61794 жыл бұрын
Well done mr. Mungu mwema
@neemamahusho61934 жыл бұрын
Na Mungu atakubariki usikate tamaaaa na kumwomba Mungu
@mosesnyamhanga4494 жыл бұрын
Congratulations mwalim sisi waalimu tunapaswa tuige mfano kutoka kwa maprosso...mshahara hautoshi hii mwenyew nafaham!
@naomimabula26604 жыл бұрын
Daaah. Maprosoo. Nakukumbuka., Nilifanya field Chikongola nikiwa nasoma Mtwara Ufundi
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
Awesome 🔥🔥🔥🔥
@petermapunda34504 жыл бұрын
Hongera Sana kaka I like for skills of your knowledge
@jessydaktari52094 жыл бұрын
kazi nzuru ticha,,,Mungu akusimamie
@jimmiejr95314 жыл бұрын
Nimependa namna mwl mkuu alivyo appreciate kazi na uwezo wa mwenzie
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Watu Wa mbeya hawalembi kwenye biashar, katengeneza kijiko chake kzr, kisafi, InshaAllah Allah atakujalia utafika mbali kwa biashar yko
@erickmassawe51074 жыл бұрын
Hongera xana mwalim umethubutu
@emmanueljohn51624 жыл бұрын
Jamaa ana inspire sana
@kingswebe32514 жыл бұрын
huku kwetu mtu akiajiriwa sio size yenu tena, nampa hongera maprosoo
@ommyali15144 жыл бұрын
big up mwalimu...
@dutchsafari75624 жыл бұрын
Big up mwalimuu maisha ni plan B
@imanibakili80282 жыл бұрын
Mwalimu umesema ukweli kabisa siku1 ukitudanganya utakuwa umetuangusha sana Milady ♥
@iamfriedrich Жыл бұрын
Presenter upo sawa
@mwanatz59802 жыл бұрын
Hongera mwalimu nimeipenda hii
@neemamagoma29934 жыл бұрын
Nakupongeza sanasana mwl maprosoo kaza buti broo utatoka namkuu wako anajielewa sana anajua namna unavyopambana
@charlesndali72093 жыл бұрын
Hongera
@happynesbaemuhappynes88133 жыл бұрын
MashAllah
@latifamkulazi83784 жыл бұрын
Walozoea vya kuomba wanasema hatalaki5 siwezi kufanya biashara😕 Hongera babangu
@ngapulilangapulila54044 жыл бұрын
Safi sana Mwl Maprosoo
@Bintimrembo-y1v3 жыл бұрын
Very good
@dicksonulotu97174 жыл бұрын
Hongera sana mwl maprosoo
@rahmahersi65844 жыл бұрын
Hongera kwa jitihada zako.
@moahmedy74394 жыл бұрын
Sir wangu keep it up
@Discover704 жыл бұрын
Safi teacher 👨🏫
@sweetlittlebabies93594 жыл бұрын
Huyu teacher Yuko vizur sanaaaaaaaaa
@ofaliamkua82124 жыл бұрын
ongera Sana mwalimu
@emmyjohn39704 жыл бұрын
Fanya kazi ticha..big up
@leeonlinetv18474 жыл бұрын
Big up teacher maprosso
@dennisdidas23214 жыл бұрын
Vizur xan
@samlaizer19984 жыл бұрын
Mungu ni mwema kila wakatai
@vumiliamwakasege48474 жыл бұрын
Big up my brother mpambanaji tangu tupo school.
@anafisuleimani70834 жыл бұрын
Safi sana mwalimu
@bujamoviesonline85532 жыл бұрын
Naomba nikutanishwe nahuyu
@joycehagman56224 жыл бұрын
Una nipa moyo mkubwa baba. Hongera
@Sppah6974 жыл бұрын
Maisha yalivyo makali ni vizuri kuwa kibiashara kando kusaidia kipato. Sasa kumpiga vita inakuwaje sasa mwisho wa siku ana majukumu yake. Na anafanya kitu halali haibi hatendi zambi anafanya biashara why Majungu! Mbona wasanii wanakuwa wasanii na pembeni wana kazi zao za kibiashara? Kuna tofauti gani na waalimu? Na wao wanajitaji kujiendeleza kama watu wengine siyo!
@ibrahimshilinde61294 жыл бұрын
Safi Sana bro
@bakariyusufujuma4 жыл бұрын
Amekuwa rafiki wa watoto hajimwambafai nimekubali
@felistermaximillian27934 жыл бұрын
Big up mwalimu
@khadijaomari93444 жыл бұрын
napenda watu wanao pambana wananipa amasha yakuto kata tamaaa
@suleimanismaili28554 жыл бұрын
Dah safu sanaa
@hyahasisimsigala43464 жыл бұрын
Big up sana...
@felistanampoka88624 жыл бұрын
Usikate tamaa Kaka, Kaza moyo!
@paschalphabian2744 жыл бұрын
Wawooo Mwl maprosooo we ni genius sana pambana watumishi tunapaswa kuiga mfano wako hapo kulingana na maelezo yako kwa mwezi unaingiza 2400,000/= tofauti na mshahara wako. I magine watumishi tungefanya wote hivo kwa fursa tofauti tofauti tungefika mbali na kuacha majungu tungekuwa mfano wa kuingwa ktk jamii. Yaani cjui viongozi wetu baadhi yao wana kwama wapi? Eti chagua moja uache kazi ya ualimu au uuze mshikaki nime mind sana daaaaa
@bellahyuzzomylife44284 жыл бұрын
Nakupenda bure
@kpetres28724 жыл бұрын
Aseeee ameniinspire
@swaggerizedninjagoseprocom85234 жыл бұрын
Hatariiii
@mtegwamo34564 жыл бұрын
Waooo mwalimu wangu umenchapa ww
@lizzybahati98334 жыл бұрын
😆😆😆
@lizzybahati98334 жыл бұрын
Huyo mwalimu agechekesha tu anakipaji cha kuiingiza haki 😃😃😃😃
@Allahguideous4 жыл бұрын
Mashallah jama ana bidii.
@aminaomary55673 жыл бұрын
Ongera sana,usijari walimwengu ndio walivyo
@saidimpako51864 жыл бұрын
HII NDIO NCHI YA UCHUMI WA KATI
@queenmartine8792 Жыл бұрын
😂😂😂 nice
@anethmlingi9674 жыл бұрын
Maprosoo chikongola hapo duh huyu ni mwalimu wa mfano namkumbuja milele
@zainbomary39704 жыл бұрын
Nimejifunza kupitia mwanlimu maprossoo
@japhrystar25974 жыл бұрын
wanao kufatilia washtak kwa Mungu kk
@rehemaothman21854 жыл бұрын
Kila LA kheri mwl maprosoo
@jacquelinemwakasala95633 жыл бұрын
Ni kwel huwa wanafuatiliwa sana watumisho hasa walimu wakijiongeza kwa kipato wanasema eti hawafundishi
@said306nyatu94 жыл бұрын
Milard. Kasema. Mishikaki
@smartboe81884 жыл бұрын
Nimemuona munga ticha
@vero574 жыл бұрын
YANI WEWE KAKA UKOSAFI SANA HOGERA SANA
@abisaimuhanji36872 жыл бұрын
Kamfumo hako kana hamasisha watoto hata wale wasiopenda kula...
@masalakulwa76014 жыл бұрын
Natamani ningeolewa na mtu Kama huyu jamani tungekuwa milionea! Dah😆
@kacherosimba57624 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lizzybahati98334 жыл бұрын
, 😝😝😝
@annastaziajohn99304 жыл бұрын
Iv somo la huyu jajaa nani anafel yani nani hapend kuinguia darasani.walim mmejifunza uchumi t apo ila angalia jamaa anavyofundisha kwa furaha na kwa ustad huu ualimu siku nani anao sasahv mafeki kibaaooo
@urbanhyera87794 жыл бұрын
Walimu wana wivu sanaa na majungu Mungu akusimamie sana
@isiakamfugale36213 жыл бұрын
Maprosoo umeniacha kidogo yaan unapiga 80k halaf unataka mfadhili wa jiko, how.?