Hongera sana!sana! Mh Gwajima Mungu akubariki sana! Umetutendea haki WATANZANIA.
@HassanAlawi-b5r9 сағат бұрын
Kweli ndugu
@sylvesternicholous54452 сағат бұрын
shikamoo, mh samia hongera kwa kazi nzuri, sasa huyu gwajima muachie kiti hicho akikalie amekidhi vigezo vyote.
@matukutajuma1569 сағат бұрын
HUYU NI BINADAMU HAKOSI MAPUNGUFU! LAKINI ANA VIMELEA VYA UONGOZI BORA MNO MNO!❤ Hongera magufuli kwa kumteuwaga!
@Piscesblair3 сағат бұрын
Asante sana Mheshimiwa. Hapo ndipo tunahitaji kufanya marekebisho katika utendaji wa mkakati mama wa kulivusha Taifa letu katika ushindani wa Utandawazi wa kidunia.
@charlesadolf106211 сағат бұрын
Akili kubwa sanaa. Kama hili katika hizi sehemu zikifanyiwa kazi hakika Taifa letu litakuwa kubwa kama China. Kwa hizi nondo za mh. Mbunge wa jimbo langu la kawe
@scolasticakaduma51432 сағат бұрын
Pokea maua Yako Mh. Gwajima. Unafaa sana kuwa Raisi 2025. Ubarikiwe sana.
@JanethEricShoo19 сағат бұрын
Uko sahihi Mkuu Eeh Mungu ibariki Tanzani yetu
@jeremiahblazio478120 сағат бұрын
Samia hongera ila nakuomba mwachie nchi gwajima basi kwa maslahi ya watanzania wote
@emmanuelmayunga151819 сағат бұрын
Unawaza kama mimi kabisa,na ibakie ccm iyoiyo maana hata mpinzani nchi hii they're not serious
@AbuuRamadhani-o7k10 сағат бұрын
Gwajima akuongoze ww na Majin yake kufufua
@AbuuRamadhani-o7k10 сағат бұрын
Maneno meng tu Ila gwajima hamna kitu
@jeremiahblazio47819 сағат бұрын
@@AbuuRamadhani-o7kkwenye kundi la mamba kenge nao hawakosi naona ww unachuki zako binafsi ila ukweli ni Moja ya watu wenye uchungu na nchi yake kwa faida ya wote na Si kwa wachache kama Jpm tu.
@exprodigitaltechtv55718 сағат бұрын
@@emmanuelmayunga1518 hao ccm walioko seriuz mbona bado tunalia na umaskini
@ErickWankuru2 сағат бұрын
Big up mh mbunge wangu ila kwa hapa umegusia nchi nzima mwenye makio amesikia
@Luhumbika21 сағат бұрын
Chukua fomu 2025 uwe rais
@jomiAfricaСағат бұрын
Daa kuzijua kata zote Tanzania na vijiji vyote inahitaji uwe matured brain and talented leader😢😢😢😢😢
@selemanmcharazoСағат бұрын
Ukigoogle kwenye SIM Yako utaziona acha kusifia vitu visivyo na maana
@johngibson30893 сағат бұрын
Mnakera sana kwa kuwa mnazungumza mambo as if nchi inaanza leo!!!! Ishu ya bandari, ngoorongoro MNAZIKIMBIZA BALAA..
@jumamayonga89144 сағат бұрын
Big up mhe. Make Tanzania the Great
@petromwashusa994822 сағат бұрын
Ukikuta mtu au kiongozi anakimbilia njia rahisi za mkato lazima maisha yawe magumu kwa wananchi. Mikopo isizidi sana.
@AugustinoRugwije21 сағат бұрын
Wenye akili wamekuelewa
@LucianSanga2 сағат бұрын
Boat zakuvua samaki ziko Wapi ?ulitudanganya Tuka kupa Kalete Boat ulizo Tuaidi Mchungaji Hatu taki kelele
@MathewNathan-yb2bz22 сағат бұрын
Gwajima hongera sana umenifurahisha.
@AmenMushi-j2j4 сағат бұрын
Hekima ya Yesu iko ndani yako
@Benny318m19 сағат бұрын
MWENYEZI MUNGU awatendee viongozi wa Tanzania 🇹🇿 sawa sawa na matendo yao kwa watanzania, wanao stahiri kuishi MUNGU awajalie uzima tele, na wanaostahiri kufa na wafe wakalipie machozi ya Watanzania.🙏🙏🙏🙏🙏
@mezgoddess17 сағат бұрын
Huyo wazir bora angenyamaza yaani kama kuna grid ya umeme mbunge haijui, mpaka hapo hajaona tatizo?!
@HassanAlawi-b5r9 сағат бұрын
MUNGU akulinde mh gwajima unasema kweli
@Werema376020 сағат бұрын
■SWALI LANGU HUMO WANAKUELEWA???? Maana nchi hii daa! Eeeh Bwana mapenzi yako yatimizwe Tz🇹🇿
@AdamCheze9 сағат бұрын
Nani Anamuelewa GWAJIMA kama Anapiga Na Kupoza Watawala..? Kama Umesoma CUBA utajua Kuwa Mchango Huu Ni Fumbo Kwa Rais,Makamu,Wazir Mkuu Na Baraza La Mawazir Katika Sekta Zao! Ukwel Ni Kwamba Huyu Jamaa Ni Mwerevu Lakin Wao Watawala Hawamuhitaji
@evaristosanga47110 сағат бұрын
Namwelewa huyu Gwajima.
@AbdulSwigo22 сағат бұрын
Unategemea hao watu wanakuerewa?
@AdamCheze9 сағат бұрын
Hawamuelew hata kidogo tena hapo wanaangalia jina lake tu na sio maneno yake
@melkizedck9 сағат бұрын
Hawatamwelewa! Yataishia hapo hapo bungeni.
@abidandastanmaliyatabu13735 сағат бұрын
Kwakweli@@AdamCheze
@valenakomba768628 минут бұрын
Inategemea ni msimu gani. Unaweza uondoke leo na update ticket ya bei chini .
@emmanuelmayunga151819 сағат бұрын
Huyu na Mpina ni wazalendo wa kweli Mungu awalinde na awape vyeo vikubwa zaidi
tatizo serikali inatafuta wawekezaji badala ya kufanya yenyewe, kama tungetegemea wawekezaji leo hii sgr ingekuwa ndoto, leo hii bwawa la nyerere lingekuwa ndoto sijaona miradi mikubwa tanzania iliyoshirikisha wawekezaji ikafanikiwa mifano ya miradi mchuchuma na liganga, gesi songasi , bandari ya bagamoyo na nasubiri huo wa dp world nione kama nao utaingia kwenye list
@josephwilliammnyune54649 сағат бұрын
Nchi zinapojitegemea zinasonga mbele haraka, na madeni yanapungua. Mfano mzuri ni China na Iran
@matthewmichaelsylvester56129 сағат бұрын
Kwenye maji hapo shida baba washauri wa TAIFA wengi wanamiradi yao kwenye nyumba zao hawawezi kushauri vyema...
@TUMSIFU-em5teСағат бұрын
Gwajima huna haja ya kugombea Urais ni suala la serikali kutambua umuhimu wako na kukupitisha bila kampein maana tunapoteza muda na pesa kisa kampaini😊
@johnsinyinza745022 сағат бұрын
Wewe uwe rais unaona mbali wengine hapo ni walaji.hawajuwi chochote. .tusaidiye hawawezi watawala hizo gezi ni zao wana ten pecenti
@BossiLaizer22 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 tunaanza reli badala ya chuma
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg6 сағат бұрын
Mwamba kabisa g boy
@omarymnuru874611 сағат бұрын
Kukosekana na Mipango ya muda mrefu unatufanya tudemedeme katika maendeleo yetu
@Frank-b2d6u9 сағат бұрын
Ukitaja samia hapo utapigiwa mameza lakini hayo muhimu hawaerewi sijui hatahiyo serikali sizani kama inaerewa labda ungesema kujenga madarasa yakufundisha panzi ana miguu mingapi wangeerewa maana hiyo ndo wanataka kwakuwa ipo ndani ya miaka 60
@kenethmaluba23057 сағат бұрын
Moja ya comment nilikua natafuta, zimeongelewa point ila inaonesha kabisa watu hawana kabisa mpango na hizo point
@kenethmaluba23057 сағат бұрын
Kiongozi wa kweli anapigania maono, ila mwanasiasa anapigania muhula ujao
@eatlawe9 сағат бұрын
REv. Dr. Gwajima nakubaliana na fikra yako tunduizi! Mungu akubariki sana!
@storytownTv4 сағат бұрын
Limams tozo sijui kama yatamuingia,,😢 linawaza tu kuzurura jinga kwel
@karimmunis83023 сағат бұрын
Hiyo gesi sio ya kweltu ..ndo tunaanzua hapo
@tibbsminja257512 сағат бұрын
Wekewa gesi kwenye nyumba zipi ?? Kwqnza kuboresha maisha ya wakazi / wananchi wenyewe!!
@ce-089 сағат бұрын
Kuna watu wananyumba nzuri sio lazima ziwe zetu waliofanikiwa kuwa na nyumba nzuri wawekewe tu
@solomonjackson38278 сағат бұрын
Gwajima ningependa mawazo Yako yafanyiwe KAZI na selikali iliyopo madalakani lakini haiwezekani kwa sababu ya ulasimu uliopo ndani ya ccm ambao walisha jihesabia kwamba hii ni nchi Yao
@ChristmasMaheri19 сағат бұрын
Mpango wa utekelezaji wa Water Master Plans za kila zone nchini haujaandaliwa,na kwa hiyo haupo.Anachotolea taarifa Waziri wa Mipango ni utekelezaji wa miradi ya kutoa maji Ziwa Victoria kwenda maeneo kame.
@nakalikyumile323418 сағат бұрын
Gesi yote hiyo wameuziwa wazungu,sie kwetu ipo tu tunawatunzia!ni aibu mno,tanzania inawahitaji watu kama ibrahim traore ,sio hawa kina samia ambao wanawaza tu uchaguzi,na kuuza rasilimali za nchi yetu kila kukicha
@maulidmohammed678317 сағат бұрын
Optimistic man
@jedidahbintidaudi82416 сағат бұрын
yule Captain wa jeshi sio mchezo..yy ni matendo tuu hajui kingine...mzee wa kazi yule salute kwake
@JamesAbel-ig8wb2 сағат бұрын
Mh umesahau kuwa ili tuendelee tunahitaji viongozi wazalendo walio waaminifu.
@HamisiHemedi-u8k21 сағат бұрын
Hii nchi akipewa muekezaji itakua tajiri kuliko marekani 😅😅
@kidukomoshi9657Сағат бұрын
Rais Gwajima
@Eternityviewnews19 сағат бұрын
🔥
@christosiadanieli65123 сағат бұрын
ukweli ni kwamba umeongea sana lakibi utekelezaji wa pamoja ni shida .watakusikiliza baadae watakupụụza
@godwinkasaizi88222 сағат бұрын
Baba Askofu umekaa kimya Sana sauti Yako Iko chini Sana humo unazungumza na watu wagumu kuelewa
@hamisimuhunzi791621 сағат бұрын
Gwajima hawezi piga kelele hata watu wafe au watekwe wangapi au kukemea uovu kwa sbb nae pia ni zao la uovu
@mzeke-r9h7 сағат бұрын
Tatizo la chama hichi kuna miradi mingi iliwekwa ikabakia kuliwa na wachumia tumbo ndio mana mpaka leo hadi viwanda vyote vya zamani vimekufa kuanzia mkonge urafiki migodini nk..kama sio kufa kubinafsishwa na vilikua na maslahi na tija kwa taifa.
@DavidNdaha16 сағат бұрын
Ibrahim traole revolution chukueni Mfano! Nchi inavyoendeshwa kesho itakuwa ulaya.Ukurima,ametowa machine na nguo zao nchi yote
@HassaniUlenge-j5j3 сағат бұрын
Haya ndo mambo ya kujadiliwa bungeni kwa ajili ya afya ya taifa lakn wabunge hawapo hivyo wapo kwa ajili ya maslahi yao
@abdulwaheedsheikh80159 сағат бұрын
Wakati wa awamu ya Tano ilipoanza reli alikuwa wapi kushauri?
@ichicarodan69318 сағат бұрын
Alikua sio mbunge
@NardhisMhagama-sy3eq21 сағат бұрын
Kuongea mabingwa yanaishia hapohapo
@theson198721 сағат бұрын
nakubal 🎉🎉🎉🎉
@adelinelyaruu303620 сағат бұрын
Very unfortunate. Sijui nani atatuokoa
@GilbertGombeye6 сағат бұрын
Gesi tunatumia kutoka nje kwa sababu akili hatuna wote watu tunaidhi kutegemea gesi kutoka nje ya nchi
@sharafisaidi79995 сағат бұрын
Hata mbagala kata ya kibondemaj mtaa wa kimbangulile maji tunasikiaga tu
@AmenMushi-j2j4 сағат бұрын
Siyo dar tu Morogoro maji ni mtanange
@barrynzeyimana627015 сағат бұрын
Hakuna nchi ambayo inaendelea kw moango ya mida migupi. Matumizi ya mda mfupi hugalimu pesa nyingi
@wilsonmsenga644723 сағат бұрын
Hivi ndivyo vichwa, siyo vinginevyo.
@Frank-b2d6u9 сағат бұрын
Maono hayo ccm itoke ndo yataka sawa naukiona kiongozi ameingia katika biashara hapo atakuwa mtakatishaji nahasa walio katika mamlakaza kifetha mtu anakuwa na utajiri wa wizara hapo pagumu sana hakuna maadiri
@josephwilliammnyune546410 сағат бұрын
Mh Gwajima wewe unaongelea kunufaisha nchi. Wenzako wanapanga mipango kujinufaisha. Mfano. Gesi inapoagizwa nje, ni watu wanafanya biashara. Ukitumia gesi ya ndani, biashara hiyo itakoma.
@matthewmichaelsylvester56129 сағат бұрын
Wizara hii wawe wazarendo tu na tupunguze uchumi mseto wa Taifa ili letu pendwa
Hapo hakuna anae kuerewa hapo wanaerewa ukisema Samia 😅😅😅 mengne unajichosha
@suphiandaudimbalazi24886 сағат бұрын
Kila siku hoja yake hio hio , ajiabdae kupumzika 2025
@BossiLaizer22 сағат бұрын
Wanawasa TU kukamata Dola , unajua Mh gwajima husitahili kuwa upande ulipo
@vincentmwaya69105 сағат бұрын
Kuna wasukuma wana akili kubwa sana mpina na gwajima lkn sijuwi mnawaelewa
@hamadsaburi35692 сағат бұрын
Mipango ni matumbo yao
@sebastiansalamba31312 сағат бұрын
Hufai kwa sababu
@FrancisNgomaitara2 сағат бұрын
Huyu ndo anafaa kua rais wa jamhuri
@elishamkasu51914 сағат бұрын
Wakupe Uraisi kura yangu unachukua
@chrismassawe29399 сағат бұрын
UNADHANI KUNA ANAEKUSKILIZA?NI MUNGU TU ALISAIDIE HILI TAIFA
@TheNichym10 сағат бұрын
Bongo tuma mataahira wengi mno kwenye serikali
@jumasawa91599 сағат бұрын
Hawa jamaa wanaelewa lakin there after something sio wazalendo
@MtusiMkalakala21 сағат бұрын
Kaka nikweli kabisa unachosema la tutamtoa wapi tena kama magufuli
@ndimuelias618321 сағат бұрын
Tu ambie gesi yetu inaenda wap
@TM-zs3rm20 сағат бұрын
Na wasipewe wawekezaji wa nje. Tuna wataalamu wetu nchini kwa nini mote kwa watu wa he, hamjithamini? Hamjielewi? Je hamjiamini? Au mnapenda na mmezoea ufisadi bila kufikiri? Ni viongozi kula pesa na Raisi kulipa ndio meerkat na kupa kipao mbele. Fıkra finyu, tumelaza akili na ni wavivu wa kufikiri. Viongozi wetu toka mawaziri mpaka wabunge wetu uwezo wao ni mdogo sana wa kuleta maendeleo nchini.kitila mkumbo mwenyewe kufikiri shida tupu. Hafai. Ccm haiwezi kufanya haya mambo. Haina uwezo.
@PhilipoMwita-b2x22 сағат бұрын
Tatizo haya majitu hayakubali kupokea mawazo ya watu
@beatricefilbert117120 сағат бұрын
Yani we acha tu Mungu tusaidie tupate watu wenye uchungu na hii nchi
@deodathsilayo363919 сағат бұрын
Hoja ya rel apongezwe John heche sio weee
@Omarjumanne-zm9zh9 сағат бұрын
Gwajima chukua form ugombee uras naona uko kama magufuri
@johnsinyinza745021 сағат бұрын
sema tobowa..taarifa mnamchanganya..ili ahalibu maelezo yake.