Askofu Gwajima alivyotembelea Clouds Media Group leo

  Рет қаралды 286,762

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Пікірлер: 236
@danielezekiel2860
@danielezekiel2860 7 жыл бұрын
Kazi ya wachungaji ni pamoja na kutia moyo na kufariji pia. Hongera pastor.
@abdulmtausi6672
@abdulmtausi6672 7 жыл бұрын
Askofu Gwajima nimekupenda bure,wewe ni mwanaume wa vita,alikuchafua na wewe una haki ya kujitetea,big up sana,kati ya wewe na huyo bashite wewe ni bora mbele ya Mungu na mbele ya wanadamu wenye busara,hujawahi kunywa hata pombe utafanana vipi na mtu mwenye roho mbaya na mbinafsi kama yule?Mungu akusimamie
@MakoyeAman
@MakoyeAman 7 жыл бұрын
Great message>>>>> uko vizur Gwajima in your mind
@fikiryhamees5858
@fikiryhamees5858 5 жыл бұрын
Nikimuangalia luge najikuta nalia kama yupo dunian jaman dah!
@sweetmama3242
@sweetmama3242 7 жыл бұрын
Aaaaamen. Aaaaamen. Yesu ni Bwana. Mungu akubariki sana mchungaji kwa maneno yako mazuri, ya busara na hekima. I ❤ youuuuuuuuuuuu.....!
@mottofoundationinc.3492
@mottofoundationinc.3492 7 жыл бұрын
ONLY SMART BRAIN CAN UNDERSTAND THIS GREATEST GUY(GWAJIMA)..
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 4 жыл бұрын
True.
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 7 жыл бұрын
gwaji unawaombea clouds wanunue magari na viwanja si ungewaombea wauone ufalme wa Mungu waingie peponi
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 7 жыл бұрын
hahahaha umeonae hata hajatamka ufalme wa Mbiguni
@noelndelwa1964
@noelndelwa1964 5 жыл бұрын
Abdulatif Said wokovu upon kwa njia nyingi
@witneskimario6336
@witneskimario6336 3 жыл бұрын
Uamna mtu anaempeleka mtu mbinguni ufalme wamungu unautafuta mwenyewe dear
@zuhuraabdurlazack8008
@zuhuraabdurlazack8008 7 жыл бұрын
Kiukweli mim nmekuelewa sana gwajima...big up na Ukweli tumeujua...mim nakuamin
@ramadhansemgayo3538
@ramadhansemgayo3538 5 жыл бұрын
Ruge umetangulia mbele ya haki pumzika shujaa lkn haya mengine tunamuachia mungu yeye ndo hutoa hukumu na yeye pia ndo mwenye kusamehe #RIPRUGE inauma sana lkn hakuna namna
@floriantelele8306
@floriantelele8306 7 жыл бұрын
gwajima katika ubora wake
@abbasboniphace5444
@abbasboniphace5444 7 жыл бұрын
Florian Telele dam u got my day😂😂😂
@vianeyminja575
@vianeyminja575 7 жыл бұрын
gwajima hujawahi kuniangusha,. ww ni born town
@abdonmsafiri3770
@abdonmsafiri3770 7 жыл бұрын
waoooh keep it up mr gwajima i am very proud of you my son
@christophermakunzo4232
@christophermakunzo4232 7 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, umeeleweka kwa kiasi cha juu sana kutokana na sakata hili. Pole.
@Mwl_Sanga
@Mwl_Sanga 7 жыл бұрын
#Gwajima hata kama unakosea kumsema mtu mmoja muda wote, mbali na dini unatufundisha kitu kikubwa kuwa tuache uoga ndani ya nchi yetu, #Gwajima safi sana, tumia Uhuru wako katika nchi ya baba zako....
@lutonjalushu923
@lutonjalushu923 7 жыл бұрын
hongera mh. gwajima
@josiahpaul3532
@josiahpaul3532 7 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni big up pastr nme kuelewanme kuelewa
@kigendihassan630
@kigendihassan630 7 жыл бұрын
MTU akikulushia mawe usimludishie, yakusanye ujengee daraja kuelekea ktk mafanikio.
@petermwangi7047
@petermwangi7047 5 жыл бұрын
Asante sana
@seifmillanzi9673
@seifmillanzi9673 7 жыл бұрын
namwona boss ruge dizain anacheka ivi
@williammeena3369
@williammeena3369 7 жыл бұрын
Big up Bishop Gwajima
@privamariki2675
@privamariki2675 7 жыл бұрын
duuuu yaani nyie camera munazo yaani picha zenu zinaonekani clear
@user-gi1ez6fc1y
@user-gi1ez6fc1y 7 жыл бұрын
Hahahaaaa mnunue gari mjenge majumbaaa te teteteteeee Amen mchungaji mwana siasa
@tinnomdete4841
@tinnomdete4841 7 жыл бұрын
hivi mnaosema gwajima ni mwanasiasa hivi jifikirie mara 2 umetajwa unauza madawa ya kulevya au unambiwa hafanyi hiyo biashara achani zenu
@kamgomoli3650
@kamgomoli3650 5 жыл бұрын
Well said,"Man can not run away from the truth though can only be delayed".
@emmanuelaggery6877
@emmanuelaggery6877 7 жыл бұрын
duu kmbe gwajima sio wakitoto aisee kumbee he is that big makanisa 470 nje ya nchii......
@lawrancemngazija2216
@lawrancemngazija2216 4 жыл бұрын
Hammer
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 7 жыл бұрын
ana elewa maana ya neno kichaa ! kichaa ana omba msamaha kichaaa anafundishwa sema umezaa na gwajima ! huu msani km clouds
@vumiliambehi79
@vumiliambehi79 7 жыл бұрын
hebu mungu awatangulie wote wenye sakata hili
@gabrielshewio6599
@gabrielshewio6599 7 жыл бұрын
hongera sana mchungaji
@bonakwelilema9600
@bonakwelilema9600 6 жыл бұрын
Gwajima kagundua kitu kweli mchungaji au asko ni msema kweli bila kuogopa kitu kuhusu madawa na tatizo na bashite
@januarypeter4655
@januarypeter4655 7 жыл бұрын
mara ooh gwajima fala ,mpumbavu kwahiyo aliye umbuka kwa kutengeneza skendo mpaka kukodi watu,kipindi na mtoto bandia alikua mwerevu siyo!!!!! kwani kama gwajima ni muuzaji wa madawa ya kulevya haya yote yametokea wap? kwanini asingetoa siri za biashara zake syo ndo angemuumbua zaidi kuliko mtoto bandia?
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 7 жыл бұрын
January Peter na alikua kitu kimoja na clouds sasa clouds wamemgeuka huyu katoa dau kubwa zaid kwa yule ruge maana km maandalizi ya kurusha yalikuwepo kisha anadai hakuna balance shoot wamefanyia nyuma ya jengo lao leo wanadia stori walitafuta wao wazi yule mama alipelekwa pale kushoot kipindi jamaa kuchukua clip wakaona kitanuka hawataeleweka ktk jamaa sasa watoke na kusema tumevamiwa
@onesmoakwilini6254
@onesmoakwilini6254 5 жыл бұрын
Mchawi kajaaa msibani..R.I.P kaka
@trilionea_online_TV
@trilionea_online_TV 5 жыл бұрын
Hizi clip ukizifuatilia zote kwa wenye akili ya kuchambua mambo utagundua na utajua mengi yenye utata,,, RIP Ruge, Master muongoza njia,, ulinisaidia sana lakn bado tunajiuliza ugonjwa wako ulitokana na nn, maana ilikua ghafla sana,,,
@williamkavuta5193
@williamkavuta5193 5 жыл бұрын
Jefta Trilionea acha mawazo hasi ghafla kafa na ajali huyo? Unajua kifo cha ghafla wewe.Funguka ki mawazo acha kuwa na negativity.RIP
@zandakingfujo7707
@zandakingfujo7707 7 жыл бұрын
haya sawa ushamwambia rais tafuta mahali utulie
@musasaidi7973
@musasaidi7973 7 жыл бұрын
Hahahaha
@fatmaalrashdi1577
@fatmaalrashdi1577 7 жыл бұрын
wote hao wanao mchukia makonda wote ndio wauza uga na ndio.wana mpiga vita atumbuliwe ili warudie kazi zao makonda chapa kazi muhim uko na magfuli.hapa kazi tuu
@hashimmusa9485
@hashimmusa9485 7 жыл бұрын
wanaomtetea makonda wamepata zero
@hamzabingwe4178
@hamzabingwe4178 5 жыл бұрын
Fatma Alrashdi mmmmmmm aya
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Lilikua ni suala la muda tu, Mwenyezi Mungu kafanya yake.
@abdulmillanzi7355
@abdulmillanzi7355 7 жыл бұрын
Daaah Bosi Ruge anaonekana bado hayuko sawa kabisa.
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 7 жыл бұрын
Safi sana Gwajima...
@velmaagwona1945
@velmaagwona1945 5 жыл бұрын
Kila Mara nikimuona ruge akiongea namuona kama yuko hai jamani inauma,
@frolamrema3683
@frolamrema3683 5 жыл бұрын
Ruge wangu never forget my lovely friend
@lwijimsafiri6545
@lwijimsafiri6545 7 жыл бұрын
ur intelligence and compitent gwajima
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 2 жыл бұрын
Kweli Leo nimeamini mzoga umetoa asari 2021
@asserymmary2696
@asserymmary2696 7 жыл бұрын
media wamesha Ramba Jokery...atakoma mwenye jiji lake aliramba Kopa
@loner_wolf
@loner_wolf 3 жыл бұрын
Mayor wa mwanza, sio dar es salaam mkuu... ENDELEA...
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 жыл бұрын
😂😂😂😏😏 Ni sheeeedah! Thankx Mr countdown *Millard Ayo* kwa habar
@josephthobias2056
@josephthobias2056 6 жыл бұрын
kumbe ruge alikwita ooooh umepa pole na kumwombea ila habari za shujaa wako mh.makonda umezigusa gusa .makonda
@emmypaul7455
@emmypaul7455 5 жыл бұрын
Pumzika salama ruge
@januarypeter4655
@januarypeter4655 7 жыл бұрын
yani watu bwana eti mnamuona gwajima mjinga embu fikiri kama ndo ww?
@alfanikamana9062
@alfanikamana9062 6 жыл бұрын
January Peter gwajima kasema uyo mama ni kicha,tena anasema yuko ana andika kicha anaweza kuandika?
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 7 жыл бұрын
Fikiria kama Bashite angekuwa amekaa next to Gwajima, ingekuwaje?
@saladaniel9274
@saladaniel9274 3 жыл бұрын
Leo yuu wapi makonda??
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
@hongerakkachawasemewwkzbut4996 7 жыл бұрын
duuu gwajima ww ww acha maneno mengi ww hata mungu hapendi kila saa wamsema makonda kwann lakini ww
@bonita329
@bonita329 5 жыл бұрын
sasa huyo bashite kashfa aliyompatia mchungaji ndogo?
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 5 жыл бұрын
hongera kk acha waseme ww kz buti Alnomania huo ndo ukweli unataka nini ?
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 7 жыл бұрын
Kazi ya mchungaji nikutetea pia Taifa wananchi ksb km yeye anajulikana ulimwenguni atakaaje kimya nani atamwelewa ni vizuri aliweke wazi kabisa
@kaayaester9739
@kaayaester9739 5 жыл бұрын
Ole wenu mnaowatukana Masihi na Nabii za Mungu kuwakejeli kuwadharau ni mbaya kuwasema vibaya hakika hukumu ya Mungu na fimbo ya Musa na gharika lake adhabu inawakalia amtakwepa tena mapema sana Malaika aletaye mabaya huyoo
@theonlyonebeautiful3726
@theonlyonebeautiful3726 5 жыл бұрын
Hiyo ilikuwa mbaya sana aisee watu kufukuzwa kazi kisa vyeti dah iliathiri wengi sana
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 7 жыл бұрын
ana mkatisha haraka asionge anajua maswali yatafikia mahali atajingiza ktk 18 siri itoke kwanini usiache amalize mwenyewe
@bonita329
@bonita329 5 жыл бұрын
umenifurahisha sana mzee.😂😂 nchi yetu imepatwa viongozi wa ajabu kwakweli hali si shwari
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 7 жыл бұрын
joyc love love hahaha anajimwaga hahaha yani ww mtoto nime kushindwa ww hahaha anajimwaga kama muimba tarabu hahaha jamani atwaleeee
@leonardjeremia1525
@leonardjeremia1525 7 жыл бұрын
mtu akimwaga ugali ww mwaga mboga
@christsflowe.r
@christsflowe.r 7 жыл бұрын
Good job
@mathamalila3111
@mathamalila3111 5 жыл бұрын
hahaahaaaa ulifwatilia ili iweje mwache apige kazi fwata ya mungu na siku zote MTU wa mungu anasamehe na kuwaombea wanao muuzi lakini kwako ni shida,
@stellahemilian9168
@stellahemilian9168 7 жыл бұрын
We ni kiongozi wa dini unachofanya ni udhalili wa dini tu, hufai kuwa mchungaji badala yake ni mwanasiasa hlf kumbuka ww ndie chanzo cha yote haya.. Km kiongozi wa dini unakosea kbss upumbavu mtupu
@nassrahamad5835
@nassrahamad5835 7 жыл бұрын
hahaha gwajima bhaaanaa noma sana uyu mtu
@BigZhumbe
@BigZhumbe 7 жыл бұрын
Asa Bwana Gwajima Kingereza ni kuonyesha amesoma sana au......... Ongea Kiswahili tukuelewe
@erastoeraxx9341
@erastoeraxx9341 7 жыл бұрын
Kwanini kila jambo la mwanasiasa wote tunamjua lakini wewe unapenda kutolea Maelezo! ®
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Ruge umeniuma kk kila la heri uendako
@AleniSilas
@AleniSilas 7 жыл бұрын
Mungu atusaidie sana yani umekua mwanasiasa unaongea 2 fanya yanayokuhusu mzee kwan kupelekwa polisi x jambo la kawaida na wewe ulikuwa suspect sio kwamba n mtumiaji sasa wewe unakalia majungu 2 acha zako wewe
@johnsonchaulaya6391
@johnsonchaulaya6391 4 жыл бұрын
wasio penda maendeleo utajua 2
@manfesto6799
@manfesto6799 Ай бұрын
Kuna Akili na wahitimu makonda anaakili lakn sio muhitimu
@khadijaoman6267
@khadijaoman6267 7 жыл бұрын
kwann msubiri mchakato wa madawa yakulevya mfate makonda mpaka aliko soma kwani askofu karuhusiwa kuiteketeza watu ima waumini kwa madawa ya kulevya
@FarmChoiceLtd
@FarmChoiceLtd 7 жыл бұрын
Gwajima kwa mbwebwe!!
@samsonmalongo8459
@samsonmalongo8459 7 жыл бұрын
we Gwajima huna jipya fala wewe. we ni mtumishi wa Mungu au ni kulala waumini na kulopokalopoka umbea kanisani. mjinga wewe
@benzkubehwa705
@benzkubehwa705 7 жыл бұрын
box ddbb
@rhodamaganga8308
@rhodamaganga8308 7 жыл бұрын
wew huna cha kuongea unam2kana wew kama nani wew hujiekewi
@ericakalindu1659
@ericakalindu1659 5 жыл бұрын
@@rhodamaganga8308 hana akiri huyo unamuona yup sawa ww kaka angali na watu wa kuwatukana utapata laana bule
@babawahindi7368
@babawahindi7368 7 жыл бұрын
Nyumba na viwanja? wape sembe tu.
@Tiffany340
@Tiffany340 7 жыл бұрын
Ila gwajima pole kupiga mikelele yote ile umepuuzwa na mkuu. duuh. watu wabaya. maskini ungekuwa unakemea majini yaliyowavaa waumini wako si ungeyamaliza yote.. mweee!!! pole lazima koo litakuwa linamichubuko tu
@newasddong5865
@newasddong5865 7 жыл бұрын
Fetry John kabisa
@magrethlucas7928
@magrethlucas7928 7 жыл бұрын
Hahahahaha chizi huyo
@nawras6517
@nawras6517 7 жыл бұрын
Mh wao wapange skendo na sasa watembeleana na kupozana. Ila wenye akili huona mbali.
@factdonotlie8301
@factdonotlie8301 6 жыл бұрын
Lisha chacha baba fanya maubili hapa kazi tu
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 7 жыл бұрын
Jaribu kwa mtu si kwamba ni mtenda dhambi Bali ni wakati ambao ni Lazima apitie, wote mnaomsemea mabaya mch gwajima mnakosea na wengine mnathubutu kusema fimbo ya mungu itamkuta, nani anaejua mawazo ya mungu??? Jibu hakuna, mimi namwombea mtumishi wa Mungu mema
@chekajumasebunga8358
@chekajumasebunga8358 7 жыл бұрын
Sembe sembe, sembe, sembe,sembe, sembe, sembeee. Makonda kimbiza sembe yote out of TZ, You dislike that individual, kuhusu sembe hiyo siri yako si atujuwi, lakini TZ bila sembe inawezekana, wengi wetu tupopamoja naye ktk hiyo vita ya Ubuyu vyeti or no vyeti who care.
@rogersgeorge2920
@rogersgeorge2920 4 жыл бұрын
God is good
@philipomichael5477
@philipomichael5477 7 жыл бұрын
hakika ukweli utabaki daima. MUNGU AKUPE HEKIMA KAMA SULEIMAN.
@georgefaustini5679
@georgefaustini5679 7 жыл бұрын
askofu umezungukwa na walemavu,maskin,kibao anajilimbikizia Mali huna aibu.Yale uyasemayo ndio yaujazayo moyo wako.kumbe kuomba msamaha mtu ni kulazimishwa.bado heron unaikumbuka .? kweli kisasi kimeujaza moyo wako
@amileyissa9684
@amileyissa9684 5 жыл бұрын
Rip ruge pumzika kwa amani
@emmanuelsemwaiko2280
@emmanuelsemwaiko2280 7 жыл бұрын
watanzania kuendelea ni ndoto sana kiukweli,tunajishughulisha na vitu ambavyo si maswala ya msingi,Mwenyezi Mungu tusAidie
@zombazezu
@zombazezu 7 жыл бұрын
Safi Gwajima
@johnkyara8655
@johnkyara8655 Жыл бұрын
Utawala wa makofuli ulitesa watu 😢😢😢
@florianhenry7198
@florianhenry7198 4 жыл бұрын
Ulisema utofanya siasa 😂 pole
@mariamfaki1166
@mariamfaki1166 7 жыл бұрын
huyu baba ana masifa sijaona mchungaji wa aina hii katika dunia atakua kweli anahusika na madawa
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 2 жыл бұрын
Shona kuma Wewe
@immakifimbo6721
@immakifimbo6721 7 жыл бұрын
makonda tuna kushaaa-------
@jadamumwakibete477
@jadamumwakibete477 7 жыл бұрын
sponges kwako mchungaji
@alfanikamana9062
@alfanikamana9062 6 жыл бұрын
Gwajima wewe,unasema mama yule ni kicha mgonjwa wa akili,mgonjwa wa akili anaweza kwenda ustwa wa jami kuandika nilidanganywa,kicha hawezi kuandika askofu
@reevesmirondo
@reevesmirondo 7 жыл бұрын
Gwajima naomba utueleze kama unapenda maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Kati ya waumini wako wote hayupo ata mmoja ambaye ana vyeti feki? Coz akiwepo na analeta Zaka na Sadaka basi ni batili. Jikague wewe na wafuasi wako kwanza ndipo umnyooshe Makonda kidole. Hapo mie nitakuelewa.
@reevesmirondo
@reevesmirondo 7 жыл бұрын
husiwe unaubiria wenye vyeti feki fanya uhakiki then ukijitosheleza kuwa ufufuo na uzima haikukumiwi na unachokiubiri then nenda kwa Mheshimiwa Makonda. Sijui kizungu kama wewe ila wanasema Charity begins at home.
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 7 жыл бұрын
hao wachungaji wako wa uraya kwa namna yoyote ni wahusika tu wa dawa za kulevya uraya hakuna wachungaji unadanganya watanzania kwa kutuletea mabepari ichini kwetu.
@aroonmuchunguzi3442
@aroonmuchunguzi3442 5 жыл бұрын
R.I.P RUGEE
@issajohn7066
@issajohn7066 7 жыл бұрын
Katika Biblia imeandikwa kwamba msiwaguse masihi wangu.....yaaani don't touch my anotient....so cpendagi kujihusisha na hayo mambo coz lazima tutakuja kulipia tunachofanya...ushauri waacheni masihi wake
@bonita329
@bonita329 5 жыл бұрын
bashite ziro brain 😂😂🤣☝️
@alexchungu8823
@alexchungu8823 5 жыл бұрын
Koromijee
@abuubadru2403
@abuubadru2403 6 жыл бұрын
Ndicho kilichokuleta hapo? Jengo limeungua moto waleta upumbafu wako. Msibani waleta mahubiri ya ndoa pumbafu ww
@samsonmalongo8459
@samsonmalongo8459 7 жыл бұрын
eti anaombea. Fimbo ya Mungu wewe haitakukwepa. Jinga wewe. Siasa na utumishi wa Mungu wapi na wapi, unaudhalilisha ukristo fala wewe
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 жыл бұрын
wewe hautachelewa matusi yako na huo ufala utakurudia Mara moja kama unaona Gwajima kusemwa na madawa haiumi ya makonda ndo na uvamizi na vyeti fake mhiiiii ukapimwe akili
@samsonmalongo8459
@samsonmalongo8459 7 жыл бұрын
Joel Joel kesoy @ povu la nini sasa. Km anajihusisha na madawa tunamwachaje kwa mfano
@abbasboniphace5444
@abbasboniphace5444 7 жыл бұрын
Samson Malongo remember that Martin Luther King used to talk about politics while he is in missionary so u don't have to stress so much on him he is in a right way the people(Tanzanians) who are his followers are the ones who are being run by the politics so its eats on them too😂
@samsonmalongo8459
@samsonmalongo8459 7 жыл бұрын
Abbas Boniphace @Toka hapa. Hakuna nabii wala mtume aliekuja kueneza siasa wewe. Luther si ndo walohalarisha ushoga. Tena usijemtaja huyo nyama zembe
@rehemyonathar5986
@rehemyonathar5986 6 жыл бұрын
mh sip ila nnavyo jua mti weny matund ndio hupigwa mawe
@kingkiwango1435
@kingkiwango1435 3 жыл бұрын
Itoshe kusema bashite out kigambon
@mathiasmsumeno8516
@mathiasmsumeno8516 7 жыл бұрын
Sijasikia jibu Juu ya div 0 kuwa Na cheti naombeni jibu sasa naona Mchungaji hajalijib!
@trendtv1565
@trendtv1565 7 жыл бұрын
mathias msumeno kwani division zero haina results slip, jamani hata mambo yanayosemwa tusipuuzie sana, kuna umuhim wa kuunga dots ...
@magrethlucas7928
@magrethlucas7928 7 жыл бұрын
Umeonaeeeeh amebaki anashangaa na sura yake mbya
@trendtv1565
@trendtv1565 7 жыл бұрын
yaani results slip siyo cheti?
@Adryfierce
@Adryfierce 7 жыл бұрын
Gwajima ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 5 жыл бұрын
DUDU BAYA YUPO PABAYA ANGALIA YANAYOJIRI MITAANI TV uone SIKILIZA
@jacksonamos5752
@jacksonamos5752 7 жыл бұрын
kazi ipo
@taremwajkaihula3561
@taremwajkaihula3561 2 жыл бұрын
Upovizuri gwajima
@marcelosylvester1287
@marcelosylvester1287 5 жыл бұрын
Gwajima mnafkii
@patrickngwaulanga9758
@patrickngwaulanga9758 5 жыл бұрын
Bsba nimekukubali
@leaherasto5686
@leaherasto5686 2 жыл бұрын
RIP Ruge
Askofu Gwajima aongea baada ya kutajwa na Paul Makonda
8:45
Millard Ayo
Рет қаралды 258 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 75 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 2,1 МЛН
“Nina hasira, Mimi nina uchungu na nchi yangu” -Ruge Mutahaba
8:32
FULLVIDEO: GWAJIMA AMLIPUA TENA MAKONDA SAKATA LA KIPINDI CHA CLOUDS TV 19/03/2017
56:22
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 351 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН