ASKOFU GWAJIMA AOMBA KUBADILISHIWA KITI, MIC ALIPOINGIA KUHOJIWA NA KAMATI, AOMBA ATUMIE DAWA KWANZA

  Рет қаралды 176,320

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima alifika katika viwanja vya bunge majira saa 6:35 kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Askofu Gwajima alikaa Takribani saa 1 na nusu akisubiri kuitwa na Kamati na muda ulipofika alitakiwa kuingia kwenye ukumbi ambao kamati walikuwa wakimsubiri lakini taarifa iliyotolewa na mwenyekiti wa Kamati, Emmanuel Mwakasaka alisema shahidi ambaye ni Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima kuna dawa anaitumia tuendelee kumsubiri amemuagiza Dereva.
"Sina taarifa ya shahidi kama ana tatizo lolote la kiafya linalomtaka shahidi ameze dawa kwanza ndio aje kwa hiyo tuendelee kumsubiri inawezekana limempata baada ya kufika hapa"-Mwenyekiti
Muda mchache baadae Askofu Gwajima aliingia katika ukumbi waliokuwepo kamati na akaomba kubadilishiwa kiti kilichokua kimeandaliwa kwa ajili yake na kubadilishiwa kipazasauti (Mic) kilichokuwa kimeandaliwa kutumia yeye kuongelea hali iliyokubaliwa na wajumbe wa kamati hiyo na baada ya muda mhudumu wa Bunge alibadilisha vifaa hivyo na kamati kuanza kumuhoji.

Пікірлер: 410
@ebmmziwanda2288
@ebmmziwanda2288 3 жыл бұрын
Hata ningekuwa mm ningeomba nibadilishie ,kwasababu ukiangalia Kiti chake ni cha tofauti na wengine. Yeye ni Nani akalie kiti hicho. #Team Gwajima tujuane tafadhali 👏👏👏🤗🤗
@moodyrajabu2719
@moodyrajabu2719 3 жыл бұрын
gwajima bhna daaa mjanja hatar aixeee kam n mtego wamefer waandae mwingne
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 3 жыл бұрын
Mbeya hiyo tuko pamoja!
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 3 жыл бұрын
Roho ndiye atoaye maelekezo , hiyo ni mbinu ya Vita ukienda vitani nenda na Mungu atakupa maelekezo ya kivita .
@user-kt9qg1mo6l
@user-kt9qg1mo6l 11 ай бұрын
Tuko pamoja
@singidaone5628
@singidaone5628 3 жыл бұрын
Ukiwa unawaponda watu uwe na akili ya kujihami kama gwajima respect kwako gwajima☑️
@yusuphmalongo4514
@yusuphmalongo4514 3 жыл бұрын
Hakika
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 kweli kabisa yaani kanifurahisha Hadi basi
@danielnangonga4256
@danielnangonga4256 3 жыл бұрын
Hilo ni jasusi la mbinguni
@hanschuma7734
@hanschuma7734 3 жыл бұрын
Viongozi wa Africa asilimia nyingi wote Vichwa vyao kama vitunguu au Ndim hawana maslah ya wananchi wapo kwa maslah yao Nyambavu...Gwajima naungana naww i salut you mzee
@emmanuelmachibya2034
@emmanuelmachibya2034 3 жыл бұрын
Mbona walikomaa akalie ambacho mhusika hakitakii?!!! Good job Askofu Gwajima na Mungu wa Mbingu na Nchi Akulinde Huko Uliko.
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Watu weusi tumerogwa na nani?Badala ya kumsaport kiongozi wetu munapoteza mda kumuhoji.Tanzania ni nadra kupata watu kama Askofu Dr Josephat Gwajima Yesu ni Ushindi
@emanuelmwaipaja2062
@emanuelmwaipaja2062 3 жыл бұрын
Ahsante lakin ni ngumu sana kupata watu wa kumsupport we mwenyew unaelew
@emanuelmwaipaja2062
@emanuelmwaipaja2062 3 жыл бұрын
Ila umetisha sana
@allyhassan2136
@allyhassan2136 3 жыл бұрын
Wengi ni wachumia Tumbo.Pia Mungu amewaondoshea fikra ya kukumbuka kuwa wakati wowote wanaweza kuiacha dunia.Hata hao leo wanaohamasisha watu wakapige Chanjo ingekuwa enzi za Jembe letu ungewaona wangekuwa wenye kupinga.Viongozi wengi ni wanafiki
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
@@emanuelmwaipaja2062 ni tabu ya sisi watu weusi tukipata watu kama Askofu Gwajima wanaona ni tishio kwasababu kuna Wafisadi na Wabinafisi wengi huko kwenye siasa
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Yani wewe unamawazo kama yangu, sisi watu weusi ni wabinafsi huwa hatupendi watu wengine wafanye vizuri.
@hdmtanzania2617
@hdmtanzania2617 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akutete Askof Gwajima, kwakua niayako ni njema kwa watanzania
@yusuphmalongo4514
@yusuphmalongo4514 3 жыл бұрын
Jamani mtetezi wetu arobaki baada ya jembe retu kutanguria mbere za haki
@motiontz3722
@motiontz3722 3 жыл бұрын
Namuona Rais mteule wa tz NGWAJIMAA Mungu akulinde baba🙏🙏🙏
@swaleheismail46
@swaleheismail46 3 жыл бұрын
Rais tena kwa lipi yaan kweli watanzania wanapenda kukurupuka aiséeehhh
@aminahussein7661
@aminahussein7661 3 жыл бұрын
Atamie namuonaa raisi mtalajiwa
@ibrahimmgimba7360
@ibrahimmgimba7360 3 жыл бұрын
Gwajima ata uza nchi wewe
@mzaliguy4917
@mzaliguy4917 3 жыл бұрын
​@@swaleheismail46 wajinga sana mi naanza kuamini kwaann mataifa mengne jiran wanatudharau upeo wetu sa zingine
@motiontz3722
@motiontz3722 3 жыл бұрын
@@swaleheismail46 siku zootee asiejua maana haambiwii maana kausha brow naona Akili yako bado changa
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
Wanaume Tuamke Jamani tuwe kitu kimoja Mwenzetu anapo kwama tumsaport .
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 3 жыл бұрын
Watakula wapi wakimsaport
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Mnaweza?
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
@@emmanueljoseph2576 Mbona We Umejitoa? kwan we Sio Mwanaume kuniliza Mnaweza???
@mzeewavibedr.4032
@mzeewavibedr.4032 3 жыл бұрын
@@salomemchewa5187 Watakula Tu hakuna Atakae Kufa kula Watakula Kwan Nchi Hiii Ina Wanaume Wangapi ? Sema tu ndo ivo ushirikiano hakuna
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
@@mzeewavibedr.4032 Ndio Mimi si mwanaume
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 3 жыл бұрын
One of the strongest man of our ages
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 жыл бұрын
He has something wrong in his head!!
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 3 жыл бұрын
Gwajima anaakili kubwa sanaaaaa. Safisana.
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Ukiwa na Mungu hushindwi jambo
@barakastephano9658
@barakastephano9658 3 жыл бұрын
wenye akili unawajua au unalopoka2
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 3 жыл бұрын
@@barakastephano9658 @ mfano wewe hapo hauna Akili. Niulize kwann nikujibu ili tuanze argument. Ila Kama hujui utaendelea kubisha.
@beckasalum2620
@beckasalum2620 2 жыл бұрын
Akili ya nn askofu iman potofu anazan mama anaro km ya ndugu yake
@hassanimngetege2904
@hassanimngetege2904 3 жыл бұрын
Mungu akawe upande wa haki na dhuruma ikazikwe kwa mamlaka ya MUNGU aliye hai na mwenye enzi zote
@ابنعثمن
@ابنعثمن 3 жыл бұрын
Amiin
@mkoreamovieclips6383
@mkoreamovieclips6383 3 жыл бұрын
Ikumbukwe na yy alikubali kushinda uchaguz kwa dhurma hyohyo
@aminahussein7661
@aminahussein7661 3 жыл бұрын
@@mkoreamovieclips6383 wewe nawe unaongea nini uchaguzi umeona kwamacho yako au uliadisiwa
@kungurukingunge2761
@kungurukingunge2761 3 жыл бұрын
@@mkoreamovieclips6383 kaka usiumie kichwa vipofu wengi ni kama watalban hawana tofauti
@kungurukingunge2761
@kungurukingunge2761 3 жыл бұрын
@@mkoreamovieclips6383 kaka usiumie kichwa vipofu wengi ni kama watalban hawana tofauti
@abdultandala6576
@abdultandala6576 3 жыл бұрын
Mtuachie gwajima wetu Mungu msimamie gwajima wasije kukandamiza maana mzungumza ukweli hupendeka kwa wakweli vigeu geu hawapendi eee Mungu ibariki Tanzania;
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 3 жыл бұрын
MUNGU akubaliki Sana gwajima akupe maisha marefu uendelee kuwa pigania watanzania wote wakiwemo hata Hao wanao kubeza MUNGU akutunze
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 3 жыл бұрын
Huyu mwenyekiti wa kikao RESPECT kwake ana busara sana!!!!!👏
@felixsilayo1824
@felixsilayo1824 3 жыл бұрын
Big up gwaji boy, usikate tamaa kaka , huwa na kukubali sana kaka yangu, huyumbiswi na kitu , pale unapo amua kusimamia kitu chako, na napenda unavyo mtegemea mungu kwenye mambo yako.
@sky2tvtanzania462
@sky2tvtanzania462 3 жыл бұрын
Nimeupenda ubusara uliotumika ,,hasa pale alipoomba abadilishiwe kiti na maiki ,,,safi muongoza kikao ,,Mungu akubali hakutaka neno ,,safi baba ,,Kwa uungwana uliomuonyesha Gwajima
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 3 жыл бұрын
Gwajima Mungu akulinde, damu ya Yesu ikufunike. Adui zako wote waanguke.
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
WAKRISTO TUNAFUNDISHWA KUMWAMINI MUNGU PEKEE.BIG UP MCH.KIMEUMANA
@araphahussein4296
@araphahussein4296 3 жыл бұрын
Allah akucmmie vema Mr Gwajima ,,,,, ila iyoo nne yko umenifurahishaa sanaaa
@salimusalim3610
@salimusalim3610 3 жыл бұрын
Ingependeza ukamuombea kwa mungu anaemwabudia
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
@@salimusalim3610 😅😅acha udini wako huko
@salimusalim3610
@salimusalim3610 3 жыл бұрын
@@prettyh7509 sasa hapo nimetumia dini aukumfahamisha
@user-ie4bj8pq8e
@user-ie4bj8pq8e 3 жыл бұрын
@@salimusalim3610 anaabudi binaadamu huyo
@eliudijastini645
@eliudijastini645 3 жыл бұрын
Namwelewa sana gwajima
@yusuphmalongo4514
@yusuphmalongo4514 3 жыл бұрын
Sana tu
@ezekielluhas3351
@ezekielluhas3351 3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde 🙏
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie Mtumishi wa Mungu
@prettyh7509
@prettyh7509 3 жыл бұрын
Uongo gani sasa , Mungu atamlinda gwajima nasi tuliomuelewa
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Ira uyo baba nampenda sana anamsimano sana😢😢🥰
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 3 жыл бұрын
asante askofff gwajima uko makini sana... safiiiiii
@mariamally1913
@mariamally1913 3 жыл бұрын
Gwajima yupo sawa kabisaaaa
@juliusjulius2080
@juliusjulius2080 3 жыл бұрын
Hili jamaa genius sana
@samwelimanyasi2787
@samwelimanyasi2787 3 жыл бұрын
ndo raisi ajae uyo
@violetnjau6290
@violetnjau6290 3 жыл бұрын
Mungu atamlinda askof gwajima ..
@mlasinyongolo3256
@mlasinyongolo3256 3 жыл бұрын
Mungu akutetee zaidi na Mikael akupiganiye zaidi na Malaika wote wa Mbingu wakuzunguuke mahala ulipo zunguhukwa na mamlaka yadunia. Mungu yupo juu yako .
@mohamedsiraj8594
@mohamedsiraj8594 3 жыл бұрын
Mungu atakupa ushindi daima Gwajima
@kodahalo9248
@kodahalo9248 3 жыл бұрын
Mungu akusimamie askofu gwajima , hapa ndio naanza kuamini hata waliopita nao ilikuwa ni mipango ya binadamu wasiokuwa na huruma
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 3 жыл бұрын
Mungu akulinde Ngwajima baba
@jervinbronze9240
@jervinbronze9240 3 жыл бұрын
BIG Respect honorable GWAJIMA
@cvanoedward3093
@cvanoedward3093 3 жыл бұрын
Mungu aliye hai yu upande wako Askofu Gwajima
@aminaluoga8279
@aminaluoga8279 3 жыл бұрын
Mungu akulinde baba Gwajima yupo mtetezi wetu yu hai.
@All_The_BestGospleMedia
@All_The_BestGospleMedia 3 жыл бұрын
Pamoja sana bishop your strongest man
@starwizdom7209
@starwizdom7209 3 жыл бұрын
Mungu Wa Ibrahmu Isaka na Yakobo yu pamoja nawe baba(Jasusi la Mbinguni)
@frankvedastus2081
@frankvedastus2081 3 жыл бұрын
Ibrahmu isaka na yakobo ushawahi kuwaona??sema mungu wako , wa babaako , mungu wa mama yako . unaowaona
@eliamasai3225
@eliamasai3225 3 жыл бұрын
Asante Bishop kwaumakini. SKU nyingine omba ubadilishane siti na yeyote Yule. Aache maiki nasiti yake. aje akalie ulioandaliwa ww namaiki yako. Ili wakisusia kutumika namwingine tutagundua Jambo. Lazima uombe maiki na siti uliondaliwa itumike kwa mwingine isiwekwe bench.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Yuko upande wetu... Hatutaogopa kwamwe... So mbali mtajua tunae Mwenyezi Mungu.... Gwajima uwe hodari na Moyo Mkuu... Lipo jema kwa Watz .. kwa kukubali Mwenyezi Mungu akutumie Kama sauti yake... Tuko wengi ... Eee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 3 жыл бұрын
Moto mnaoutengeneza kuuzima itawagharimu sana
@beckasalum2620
@beckasalum2620 2 жыл бұрын
Askofu anakuwa na Imani potofu umezaliwa siku moja utakufa cku moja
@phonenmbr1772
@phonenmbr1772 3 жыл бұрын
nikwel kabisa upo sahihi mungu hakuongeze na hakulinde
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 3 жыл бұрын
Na hawa jamaa watamchezea sn lkn Mungu ndio kila kitu
@hadijamaurine1562
@hadijamaurine1562 3 жыл бұрын
The strong one shall never shie
@venantmshema1000
@venantmshema1000 3 жыл бұрын
True
@haisamshabani2172
@haisamshabani2172 3 жыл бұрын
Nime cheka mungu akutie nguvu zaidi ngwajima
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 3 жыл бұрын
Mwamba haujawahi niagusha gwajima on the🔥🔥🔥🔥
@denyu9975
@denyu9975 3 жыл бұрын
Gwajima hongera sana acha kuamini kila mtu
@lordrichreuben1446
@lordrichreuben1446 3 жыл бұрын
Man of God mungu atakuwa upande wako kama yesu alivyopelekwa Baraza la wazee
@ednaJF1028
@ednaJF1028 3 жыл бұрын
Your standing for your country and mijinga furani imezibwa macho na ukungu wa giza haione kama Tanzania inauzwa
@delifinashayo3643
@delifinashayo3643 3 жыл бұрын
Mungu akuweke mikononi mwake
@barakamlili6362
@barakamlili6362 3 жыл бұрын
Ogopaaa sanaaaaa kimchafua uhan wa mungu yeyote anaye chunga kanisa lolote hapa chini ya jua.muulizen farao alicho kipata.
@sadalaramadhani104
@sadalaramadhani104 3 жыл бұрын
Safi sana oskof
@nyaticarriersllc3075
@nyaticarriersllc3075 3 жыл бұрын
I like Hon. Askofu Gwajima, youre clever than the system. How they eliminate...
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
Safi sana Gwajiboy
@ndavadumayai4250
@ndavadumayai4250 3 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akulinde Askofu Gwajima!
@ezekielwatson7048
@ezekielwatson7048 3 жыл бұрын
Gwajima nomaa
@FatimaFatima-fy7yv
@FatimaFatima-fy7yv 3 жыл бұрын
Nakukubali sana MH gwajima na Nakuombea kira siku ktk kuitetea tz
@ggcrank6264
@ggcrank6264 5 ай бұрын
Give it up to Reverend Viva Reverend
@bethmsigwa6742
@bethmsigwa6742 3 жыл бұрын
Gwajima nimekuelewa sana
@winnesakara6957
@winnesakara6957 3 жыл бұрын
Mungu akulinde asikofu
@eliascherehani281
@eliascherehani281 3 жыл бұрын
Yupooi sawaaaa maaaanaaaa madawaaaaaa sy diliiiii
@allynanuswemwasunga4889
@allynanuswemwasunga4889 3 жыл бұрын
Mungu yupo na ww gwaji boy usiogope
@benedictoryona9186
@benedictoryona9186 3 жыл бұрын
Very smart
@kudratimwinyi4583
@kudratimwinyi4583 3 жыл бұрын
Sisi watanzania tuko pamoja sanaa gwajima
@mathiasgwajima5470
@mathiasgwajima5470 3 жыл бұрын
Freedom of speech
@davidmakele7359
@davidmakele7359 3 жыл бұрын
Gwajima oyeeeeee
@fredyemmanuel4303
@fredyemmanuel4303 3 жыл бұрын
Huu mtego gwajima umeutegua sasa wameona wew namjanja sana wamekuita tena jumatano kunamtego mwingine wamekutegea mm nakushauli usiingilie mrango wa mbele ingilia nyuma
@vonlyobagold1115
@vonlyobagold1115 3 жыл бұрын
Hahahaha ikiwezekana atoboe dari
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 жыл бұрын
Kiti chakukalia na mic ni hatari sana kwa wauaji, ndo maana amekataa, ameombwa abadilishiwe
@yohanaagastinymasumbuko8181
@yohanaagastinymasumbuko8181 3 жыл бұрын
Safi na ukiangalia kwa nn wao wakalie viti vya ofisin na ww wakupe vya siting room umewakomesha
@sweetbertrwiza5982
@sweetbertrwiza5982 3 жыл бұрын
Duu!!! Njano bwaa!!!
@omaryhamad7213
@omaryhamad7213 3 жыл бұрын
Hofu ya mungu inahitajika dunia mapito
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 3 жыл бұрын
TANZANIA NA WATANZANIA KWANZA
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Ipo Siku nchini mwetu Hapa mtawaheshimu tu Watumishi wa Mungu.....Ipo Siku tu.
@thomasmndeme6951
@thomasmndeme6951 3 жыл бұрын
Mungu Yuko upande Wako usiogope
@graceibrahim4924
@graceibrahim4924 3 жыл бұрын
Hahahaa Mungu awahurumie lkn asante kwa kuzidi kulibariki jina la Gwajima na kutuonyesha kwamba huyu ndo mzalendo wa Tanzania mnadhani mnamkimbiza hapana mnamsindikiza, safari ya ikulu kweli Mungu wetu fundi anamtumia adui kukuinua G jipe moyo ulio mkuu ili tuyajue magugu na ngano ndani ya uongozi wa Tz
@nicksongerson1707
@nicksongerson1707 3 жыл бұрын
Mwanaume anazaliwa jasiri na si wa kuhofu kitu... Yupo sawa
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 3 жыл бұрын
Tuko pamoja nawe na Mungu na jeshi lake yuko yuko nawe/nasi hivyo Usiogope.Ushindi ni salama.
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 жыл бұрын
Ulimwengu wa leo ukweli huitwa uchochezi au upotoshaji.Uongo hutukuzwa na kupakwa mafuta umeremete .
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 3 жыл бұрын
Kwasababu shetani mbinu yake kuu ya ya kufanya kazi ni kwa njia ya uongo na yeye ni Baba wa uongo Ndio maana unaona ukweli hupingwa sanaaaaa
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 3 жыл бұрын
Mungu akulinde baba
@felisterjames5859
@felisterjames5859 3 жыл бұрын
Safi sana Gwajima wachenge
@marthageorge559
@marthageorge559 3 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi
@omaryissa1821
@omaryissa1821 3 жыл бұрын
Bahati kama hii imejirudia kupata watu kama hawa wasema kweli ni adimu Tanzania tuna baraka sema hatujalijua hili huyu hata uraisi anaweza na anaweza kuwa hata zaidi ya magufuli mungu mlinde
@henryj3304
@henryj3304 3 жыл бұрын
Kabisa
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 3 жыл бұрын
ameshaanza kujistukia kuna watu wa silent killer
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 жыл бұрын
Roho mtakatifu anamlinda ndo maana akashtukia Hilo dili.hatakufa Bali ataishi ili aendelee kuonyesha ukuu WA mungu
@deelissa2746
@deelissa2746 3 жыл бұрын
Sanaaaa
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 жыл бұрын
Alijua kabisa, ndo hivyo watu huwa wanauwawa kwa kitu kidogo tu.
@flova7022
@flova7022 3 жыл бұрын
Hata watanzania tunaujuaa mafisi ni wauaji
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 3 жыл бұрын
Kwan ni lazima kutumia mic wakati wanafanya siri kunanini kwenye hiyo microphone 🎤
@besaevod7306
@besaevod7306 3 жыл бұрын
Mungu Akusimamie Askofu wetu tunakupenda sana,hao hawanalolote matapeli wote hao
@erickzephania1030
@erickzephania1030 3 жыл бұрын
Wengine Tozo, Wengine Katiba Mpya, Wengine Mbowe sio Gaidi. WAO GWAJIMA NA CHANJO “Usiposhtuka Afrika utazikwa ukiwa hai” (maigizo)
@Jangala-os1pz
@Jangala-os1pz 10 ай бұрын
Nakukubali sana gwajima ni mjanja mno
@salomegeorge398
@salomegeorge398 3 жыл бұрын
Pongez kwako muheshimiwa mung akutangulie kwenye kila kitu ukipitacho mungu akubaliki sana
@gracemwasonya4010
@gracemwasonya4010 3 жыл бұрын
Gwajima hongera sana
@hadijamahenge8654
@hadijamahenge8654 3 жыл бұрын
Mungu akulinde
@pitargamba9208
@pitargamba9208 3 жыл бұрын
Chezea nguvu ya Mungu wa mbinguni mtapepesuka wenye ni ovu na watumishi wake.
@rajnmongella76
@rajnmongella76 3 жыл бұрын
Baba ur going to cross this in the might name of Jesus
@johnjacob8633
@johnjacob8633 3 жыл бұрын
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa.
@chassalamu8886
@chassalamu8886 3 жыл бұрын
Sioni kosa la huyu mtu wa Mungu Gwajima
@mussahussein183
@mussahussein183 3 жыл бұрын
Jembe tusubilie part 2
@davisontz5779
@davisontz5779 3 жыл бұрын
Yupo sahihi
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Hawa wanaomburuza Mtumishi wa Mungu. kuna kitu wanakitafuta kwa Mungu.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 жыл бұрын
Mibarakoa yenu km mko kuzimu.
@davidchihimba7797
@davidchihimba7797 3 жыл бұрын
Mmekosa kazi ya kufanya kabisaa kweli hii nchi mnaipeleka shimoni.
@antonnadenade4597
@antonnadenade4597 3 жыл бұрын
Jamaa anaakili sana wasije wakakutegesha tunakutegemea uwe raisi wa nchi gwajima
@uniquefighter
@uniquefighter 3 жыл бұрын
Mbona wamewatoa msirecord mahojiano
@slywish4098
@slywish4098 3 жыл бұрын
Confidence 10 over 10 🙌🙌🙌
@ayubukhamis8673
@ayubukhamis8673 3 жыл бұрын
😂😂😂 naomba nitumie hiki kit saw tumia sogea kwenye maik saw Ila kam Kuna nyingine naomb mnibadilishie satak hii saw.Msije mkamuuwa kam magu.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 84 МЛН
Throwing Swords From My Blue Cybertruck
00:32
Mini Katana
Рет қаралды 11 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 36 МЛН
Miongozo iliyoombwa na Wabunge Peter Msigwa na Sugu Bungeni leo
10:08
SAKATA LA UTEKAJI : "TUNAMTAKA RAIS ATUAMBIE NINI KINAENDELEA ......
2:22
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI ISHU YA CHANJO YA CORONA
10:20
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 84 МЛН