ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA MAZITO BUNGENI ISHU YA CHANJO YA CORONA

  Рет қаралды 364,343

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 1 700
@imanibensoni8274
@imanibensoni8274 3 жыл бұрын
Jamani sijawahi kupata like za kutosha kama umeelewa nondo za Askofu Gwajima goga like twende sawa👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@mtumishi6175
@mtumishi6175 3 жыл бұрын
Safi nimemuelewa Mungu akutunze
@tzpcakatesh
@tzpcakatesh 3 жыл бұрын
kaongea kweli
@missangela6720
@missangela6720 3 жыл бұрын
Likes zimetosha sasa 😄😄😁
@denisrukangula7086
@denisrukangula7086 3 жыл бұрын
Wanaotamani ije itokee siku moja Gwajima awe Raisi like zenu twende sawa
@barakagashaza8516
@barakagashaza8516 3 жыл бұрын
tunahitaji wabunge kama hawa wanaofanya research kabla ya kuongea....umeongea point sana gwajima for this u have earned my respect
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 жыл бұрын
Umeona ee
@nazirkatabaro6347
@nazirkatabaro6347 3 жыл бұрын
Kwakweli...
@elishamakunenge5733
@elishamakunenge5733 3 жыл бұрын
Mh Josephat Gwajima ana maono,ni mtu anaeongozwa na Roho wa Mungu
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 3 жыл бұрын
Ni kweli, lakini je watamsikiliza? Au ndio watapitisha agenda zao tuu manake naona wajuu kisha lianzisha la barakoa na ugeni kutoka ulaya unawafikia kesho. Komaeni tuu wabongo wachome wenyewe tuu watakao zileta.
@ismailomary6626
@ismailomary6626 3 жыл бұрын
Always I used to respect a man like him a k.a prop. Gwajima respect to him very strong giant respectable speed we are happy to have member of pareament like this 🍾🍾🍾
@hbdina
@hbdina 3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Asante sana Baba Mungu kwa kutumia mfuasi Wako Askofu Gwajima kuliongoza taifa la Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Kwa jina la Yesu Kristu Amen ❤️❤️❤️
@elizabethcharles4712
@elizabethcharles4712 3 жыл бұрын
AMEN
@elizabethcharles4712
@elizabethcharles4712 3 жыл бұрын
AMEN
@furahadaudi9516
@furahadaudi9516 3 жыл бұрын
Nimesisimka mwili hongera Askofu gwajima serekali naomba tulifanyie kazi hili Mungu anataka atusaidie Watanzania Amina.
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 3 жыл бұрын
Hata mimi daah. Huyu mtumishi tumuombeeni sana hivi wazungu wamesikia tayari.
@yomatanda5776
@yomatanda5776 3 жыл бұрын
Kama mm
@cathelinegustafa2710
@cathelinegustafa2710 3 жыл бұрын
Mungu am tangulie maana
@denyu9975
@denyu9975 3 жыл бұрын
Toka nizaliwe karne hii ya 21 sijaona mtu Genius kama gwajima tukiweka mambo yote kando mm binafsi ningekuwa na uwezo da your the best
@arestiusbanks7182
@arestiusbanks7182 3 жыл бұрын
Gwajima ni GENIUS. Tunatakiwa kukataaa kwa 100% hiyo chanjo zao wapigwe wenyewe watakaozileta.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Apigwa samia mwenyewe na mumewe na watoto wake na wajukuu wa zake , sisi aah! AAH !
@ntiliyothomas5146
@ntiliyothomas5146 3 жыл бұрын
Nimekusoma mh.gwajima huo ndo msimamo alikuwa nao hayati doctor Jonah pombe Magufuli nafurahi sana kumuenzi marehemu 🙏🇹🇿
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Tuko wengi. Assnte sana
@jescadeogratias5292
@jescadeogratias5292 3 жыл бұрын
Nami namuunga mkono hayati, Hadi leo nasema hajafa, bado ana miaka yake minne, wakina Gwajima wasinyamaze tuko nyuma yao
@Kamambinguni
@Kamambinguni 3 жыл бұрын
Yaani TZ TUSIPOMSIKILIZA BABA HUYU BASI💁💁💁 WELL DONE Bishop Dr Josephat GWAJIMA
@siscoministry8400
@siscoministry8400 3 жыл бұрын
Tunasahau Mila na utaratibu wetu "Tukiamini Vya ulaya ni Bora kuliko vya kwetu"....Well said Gwajima... Magufuli soul visited u 😢 Be blessed...Taifa sikia🙏🏼🇹🇿🇹🇿
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 3 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwaajili ya mtumishi wako huyu. Baba muumba wa mbingu na nchi napiga goti mbele zako kumuombea uzima, afya na nguvu baba huyu. Mungu nakuomba umpe maisha marefu kwaajili ya Taifa letu. Watanzania tunaliona tumaini jipya sasa. Mungu aliekuchangua kukalia kiti hicho cha bunge na akulinde siku zote Amina🙏
@enockadam8509
@enockadam8509 3 жыл бұрын
Tumepata mbunge kweli kweli thx God
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 3 жыл бұрын
Yeni wewe umesenisisimua na comment yako hakika naungana na wewe.
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Amen naungana nawewe kumuombea
@happykimaya2762
@happykimaya2762 3 жыл бұрын
Amen
@neemaemanueli1701
@neemaemanueli1701 3 жыл бұрын
AMEN
@williammutagwaba39
@williammutagwaba39 3 жыл бұрын
Nakupa zote mtumishi Gombea uraisi hadi namkumbuka magufuli wetu mungu ana tupenda sana Tanzanian
@lucasezekiel9782
@lucasezekiel9782 3 жыл бұрын
Uyu ni mwanaume haswa, anaongea point zenye mashiko,Akili vichwani mwetu watanzania.🇹🇿 Tunamshukuru Mungu kwa kutuwekea viongozi wa dini wenye hekima bungeni. Huu ni mpango wa Mungu kabisa.
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Kabisa
@anordlaurent8751
@anordlaurent8751 3 жыл бұрын
N kwer
@davidmvukie3273
@davidmvukie3273 3 жыл бұрын
Lack of knowledge
@polcharles5421
@polcharles5421 3 жыл бұрын
Kwakwel
@esboemsafi7570
@esboemsafi7570 3 жыл бұрын
Kwel kabisa
@official_minister_suleiman6856
@official_minister_suleiman6856 3 жыл бұрын
Mungu anaouwezo zaidi na anailinda Nchi yetu juu ya magonjwa na changamoto zozote na anaendelea kuilinda Asante saana mungu wetu wa mbinguni 🙏🙏
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 3 жыл бұрын
Asante Sana Mh Gwajima, tukiwa wengi kama wewe nchi yetu itafika mbali .., R.I.P JPM.., , asante Sana
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
😭😭😭
@chrismassawe326
@chrismassawe326 3 жыл бұрын
Tukiwa na watu waongo kama gwajima tutafika kuzimu wote maana alisema atafufua na hajawahi kufufua alisema atawapeleka wana kawe ulaya nasubiri nione watu wakipelekwa ulaya
@Ruganuza_Tv1993
@Ruganuza_Tv1993 3 жыл бұрын
@@chrismassawe326 tunazungumuzia nchi yetu cyo kawe bro.
@rajabuhamisi2769
@rajabuhamisi2769 3 жыл бұрын
Magu hakukosea kabisa hiki kichwa alafu wajinga fulani walikua wanaleta udini baba tupiganie wanyonge.
@nicgooholasmwandambo6067
@nicgooholasmwandambo6067 3 жыл бұрын
@@chrismassawe326 nenda kachanjwe Kama huyu ni muongo
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 3 жыл бұрын
Kama umemuona Gwajima Akinawa mikono yake kuhusu damu ya wa Tanzania 🇹🇿 million sitini kufanyiwa majaribio kwa ajili ya vichwa vichache viende ulaya, nipe like 👍
@bungesabaya8062
@bungesabaya8062 3 жыл бұрын
Hapo kweli umeongea mweshimiwa kwajima hongera kwa kuwa na maono ya namna hiyo . 👌👌👌👌👌👌 Umengea jambo njema na la maana . Tunaomba wabunge wote kuunga mkono point hiyo . Hongera mbunge wakawe . Tunahitaji wabunge kama wewe bungeni🙏🙏🙏
@samwelraphael6931
@samwelraphael6931 3 жыл бұрын
This man is "Mastermind" Mungu akurinde Baba akujalie afya njema na nguvu uzidi.kulijenga taifa letu la Tanzania coz' ur hv strong points zanye mashiko daddy..!!
@TitoLemoFirelandTv
@TitoLemoFirelandTv 3 жыл бұрын
If Tanzanian can give this Man a chance to lead them,then this is the man of this time!!!💟
@htx1873
@htx1873 3 жыл бұрын
Yes yes yes. Magufuli foot steps. We definitely need president like magufuli no doubt.
@luganodaudi8399
@luganodaudi8399 3 жыл бұрын
Ndio umuhimu wa kuwa na wacha Mungu ndani ya Bunge Asante sana Baba Askofu Gwajima Hakika umeongea point za kuzigusa mioyo yetu.
@edwinelias8554
@edwinelias8554 3 жыл бұрын
Thanks daddy ngwajima this speech very interesting for hearing Tanzania we gone against with corona the next Mr president of Tanzania Unafaa🙏🏼
@ibrahimsaid4263
@ibrahimsaid4263 3 жыл бұрын
Exactly 💯 %
@emanuelkinimanyandi2319
@emanuelkinimanyandi2319 3 жыл бұрын
Nimekuelewa
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 жыл бұрын
Viongozi kama waha ndiyo huwa hawapendwi kwani watu wako nyuma ya wazungu wapige pesa
@seifzongo320
@seifzongo320 3 жыл бұрын
Huyu anafaa apewe uwaziri
@davidmvukie3273
@davidmvukie3273 3 жыл бұрын
Kupotosha tuy
@ahmedsaddiq
@ahmedsaddiq 3 жыл бұрын
This guy said it all 🙏😭,,, lets stay strong and stay as african together❤️🙌🔒
@neemashookyaruzi809
@neemashookyaruzi809 3 жыл бұрын
Asante MUNGU kwa ajili ya Gwajima, MUNGU Akulinde kwa ajili ya wa Tanzania. Yesu Tusaidie Tanzania
@elizabethcharles4712
@elizabethcharles4712 3 жыл бұрын
AMEN
@luciaK97
@luciaK97 3 жыл бұрын
Mungu akuweke baba🔥... I see JPM spirit.
@daressalaampost5785
@daressalaampost5785 3 жыл бұрын
Huo ndiyo ukweli. Mungu akubariki sana askofu. SSH tafadhali asiruhusu hii chanjo itatuathili sana baadae.
@emmanuelmanyama3643
@emmanuelmanyama3643 3 жыл бұрын
Askofu kipindi unagombea sikupenda uchaguliwe, nilitaka utumike sehemu moja kwa Mungu, kumbe kulikuwa na sababu ya ww kuja katika bunge hili!!! Hongera Sana
@neemambunda2004
@neemambunda2004 3 жыл бұрын
Point Kubwa kabisa, Mungu watangulie viongozi hawa, give them wisdom knowledge and understanding. Mh. Gwajimu Mungu amekuweka wakati sahihi. May God keep you and strengthen you. Exactly and Amen for theres no weapon formed agaist our nation will prosper in Jesus mighty name.
@rainertv5479
@rainertv5479 3 жыл бұрын
sijawahi kupata ata likes 100 , kama wewe ni mzalendo twende na Mimi apa kwenye likes
@barakajackson2694
@barakajackson2694 3 жыл бұрын
Baba asante sana kwa kutoa ufafanuzi mzuri sana kuhusu chanjo tunaomba viongozi wetu wafanye tafiti kwa kina na kumwomba Mungu katika kufanya maamuzi
@godfreysosthenes4066
@godfreysosthenes4066 3 жыл бұрын
Naamin ata Magufuli uko alipo kama ana skia basi kafurahia sana💯🙏
@puro1986
@puro1986 3 жыл бұрын
Huyu ni mzalendo ni mfuasi Wa Magu 👏🏾
@jambo3751
@jambo3751 3 жыл бұрын
Sijawahi kumpenda Magufuli isipokuwa kwa jambo moja tu nalo ni:MSIMAMO WAKE KUHUSU CORONA ni hilo tu. Na atakaekwenda kinyume na msimamo ule basi hata afanye mazuri gani nitamuhisabu kuwa sufuri zero.
@donaldmwahalende4841
@donaldmwahalende4841 3 жыл бұрын
@@jambo3751 kwa kweli
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 3 жыл бұрын
@@jambo3751 Asante
@azizabdallah585
@azizabdallah585 3 жыл бұрын
Bravo Mh. Gwajima...Watanzania na Afrika wamekusikia....na tunasema kwa sauti kubwa...hatutaki chanjo....Mh. Rais Mama Samia na Viongozi wako hizo ni salaam za Watanzania....Mwenyezi Mungu Mtukufu akubariki Askofu Gwajima....mmoja wa wafuasi mahiri wa hayati JPM kwa mema aliyoifanyia Tanzania yetu.
@jedonnthadeo1428
@jedonnthadeo1428 3 жыл бұрын
Ninakuelewa Sana Baba askofu Ndio maana Mungu anakutaka Uwe kama ulivyo Leo💪💪💪💪💪
@henrybaraka5258
@henrybaraka5258 3 жыл бұрын
Asante sana....your speech made me feel the late president Magufuli presence.... I hope the Government looks at this Corona issue at your perspective.... blessed.
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 3 жыл бұрын
In shaa Allah mwenyezi mungu amfanyie wepesi Joseph gwajima ajekuwa raisi wa tanzanian
@michaelmaige6879
@michaelmaige6879 3 жыл бұрын
Amina
@cathelinegustafa2710
@cathelinegustafa2710 3 жыл бұрын
Amina
@Apostlebarakanyagawa
@Apostlebarakanyagawa 3 жыл бұрын
Nakubalia sana Gwajima anajua nguvu ya maarifa na anadhihirishwa kwa kutupa neno la uponyaji. Under GOD supervision Tanzania up for the endless decades.
@lamwakaonline7216
@lamwakaonline7216 3 жыл бұрын
Kumcha beans ni chanzo Cha mahalifa huyuu mwamba anamtanguliza mungu katika hoja zake thanks very much prophet gwajiima I appreciate your contribution
@nicholausmakundi2663
@nicholausmakundi2663 3 жыл бұрын
Tumia Grammar vizuri
@smmak7140
@smmak7140 3 жыл бұрын
Nakupongeza gwajima kwa mchango mzuri kwa taifa Tanzania, sio mbunge unakurupuka tu unachangia kitu usichokijua ! Umechangia kwa uelewa wa hali ya juu bcoz umefanya research ya kutosha , speech yako ni very interesting nimekuelewa vizuri sana ! Hongera mheshimiwa na ninaiomba serikali izingatie ushauri wako kwa umakini wa hali ya juu wasije wakakurupuka wakaleta balaa kwa vizazi vijavyo pia serikali ilipo madarakani ikumbuke na iheshimu mtazamo wa hayati magufuli kwenye suala la Corona yule mzee aliona mbali sana na kilitahadharisha mapema kabisa kuhusu chanjo hizo ! Mungu ibariki nchi yangu Tanzania na Watu wake !
@fransiscomadelemo9299
@fransiscomadelemo9299 3 жыл бұрын
Genius
@sayuniphanuel142
@sayuniphanuel142 3 жыл бұрын
Mama yetu kipenzi Rais Samia Suluhu ana hofu ya Mungu na ndiyo maana ameona aweke wataalam waliangalie hilo. Mungu akubariki sana Askofu Gwajima kwa kutupa ufafanuzi uliojaa KWELI
@nilansaid2927
@nilansaid2927 3 жыл бұрын
Mama yupi kipenzi huyo Jezebel shetani muuaji?
@abuubilal2646
@abuubilal2646 3 жыл бұрын
@@nilansaid2927 amekuulia nani hanithi wewe
@damasdamas2093
@damasdamas2093 3 жыл бұрын
anafaa kuwa raisi wetu 2025 wanao kubaliana na mm naombeni like
@joakimjosephat9984
@joakimjosephat9984 3 жыл бұрын
Ondoa ujinga huo
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
huu urahisi 2025 kila siku unahamishwakwamtu hadi mtu . munaonekana ni watu wa propaganda tu .
@jonakajigili6991
@jonakajigili6991 3 жыл бұрын
Sokapaaa
@martincreshent7485
@martincreshent7485 3 жыл бұрын
Nakubaliana
@maulidsaid9448
@maulidsaid9448 3 жыл бұрын
Labda awe rais wa famila yako🙄🙄
@kamulisweke4438
@kamulisweke4438 3 жыл бұрын
Umenikumbusha mpendwa wetu hayati jpm, mungu akubariki sana gwajima.
@sijartv3292
@sijartv3292 3 жыл бұрын
binafs nimeanza kumfuatiria gwajima since 2000 th kwanza ni msomi tena good thinker ana IQ ya kutosha hongera sana mh gwajima tatizo lengine wa tz hatupendi kusoma vitabu na kutafiti mambo kwa namna hii hatutafikia goals na results
@neemashigongo7899
@neemashigongo7899 3 жыл бұрын
Mungu ibariki na kuiponya Tz na watanzania wote Amina
@mekaryomekaryo4835
@mekaryomekaryo4835 3 жыл бұрын
Itakiwa wewe upewe waziri wa afya
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Pia mlaanii mtoto wa shetani popote alipo , AMEN
@kidobuban9740
@kidobuban9740 3 жыл бұрын
Toka nimeanza kumfatilia Ngwajima leo leo kaongea Point kila neno Ahsantee sana mweshimiwa uishi miaka mingi 🙏
@rafikiwildlife4263
@rafikiwildlife4263 3 жыл бұрын
Gooooooood nimekupenda sana, unastahili.kuendelea kuwa kiongozi wa Kawe na Tanzania kwa ujumla. Your nexty presindet
@mfusejoseph4512
@mfusejoseph4512 3 жыл бұрын
A. Man of the people
@mashakakalamba519
@mashakakalamba519 3 жыл бұрын
Be blessed man of the High Most God. This is a prophecy. It is a strong message from the Almighty God. Let the Lord advice our President and his subordinates to seek God the way out.
@nelsonkiula9879
@nelsonkiula9879 3 жыл бұрын
Umemfurahisha mpaka Magufuli uko aliko alitupenda na hakutaka mabaya yatupate watanzania,Gwajima unafanya kazi nzuri.🙏
@halliekijangwa1618
@halliekijangwa1618 3 жыл бұрын
Nilikupigia kura mwanzo nikiwa sina hakika nawe na kama nililazimishwa kuweka ✔ kwenye jina lako. Kweli mapenzi ya MUNGU hakuna wakuyapangua. Uchaguzi Ujao nitakupigia kura nikiwa nina uhakika nawe. Asante MUNGU 🙏
@eyumededu2948
@eyumededu2948 3 жыл бұрын
As'e Asante Mungu wetu kwa ajili ya hii zawadi nyingine Tutunzie wewe Mungu wa kweli hazina hii
@MsAggie5
@MsAggie5 3 жыл бұрын
Hallelujah man of God. Isaiah 54:17 No weapon that formed against us (African, Tanzanian) shall prosper ...🙏🏾
@jiliusiddy1502
@jiliusiddy1502 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukupa hekima ktk taifa letu coz wengi waliamini unaenda kuiongoza nakuisaidia kawe tu lakini leo unawasaidia wengi kupitia hoja zako
@danielmenganyi8075
@danielmenganyi8075 3 жыл бұрын
Its called health precautions
@depaolo3461
@depaolo3461 3 жыл бұрын
Mungu amekuweka kwa makusudi mtu usiyeogopa kusema
@Ruganuza_Tv1993
@Ruganuza_Tv1993 3 жыл бұрын
Fact kabisa
@tatutatu1570
@tatutatu1570 3 жыл бұрын
Mungu akuongoze wasije kumuua kama magufuli 😭😭😭😭💔🇹🇿🇹🇿🙏🤲☝️
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@alicensabimana2137
@alicensabimana2137 2 жыл бұрын
Barikiwa Jeshi la bwana Mungu azidi kukufunuriya Na kukurinda Atakayo kutega anaswe pekeyake Amina Mueshimiwa mubunge josephat gwajima Urindwe na Mungu
@rehemamiraji9821
@rehemamiraji9821 3 жыл бұрын
ALLAH AKBAR . Magufuli alikuwa best of the best ever .! Mama ajue hatuko tyr kufanyiwa majaribio achanje yeye na serikali yake
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 жыл бұрын
Rehema nimechekaje
@coffeemuya618
@coffeemuya618 3 жыл бұрын
Kwa kweli uyu Mama awe makini na izo chanjo ayo Mambo yamekaa kibiashara
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
😀😀 hatutaki kabisa watuache
@simonmathayoshepi2537
@simonmathayoshepi2537 3 жыл бұрын
Huyo mama kashakomaa na Corona kila siku ivi kungekuwa na Corona situngekuwa tushaisha watuache bana
@coffeemuya618
@coffeemuya618 3 жыл бұрын
@@simonmathayoshepi2537 huu ni muda wa kufikiria maendeleo na sio Corona. Miaka mitano sio mingi
@husnaameen9309
@husnaameen9309 3 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa gwajima ,hakika umeongea lengo na lenye manufaaa makubwa kwa taifa letu ,mungu kuweke na afya njema ,mwenye masikio atasikia taifa lifanyie kazi ushauri wako
@castorykomba8187
@castorykomba8187 3 жыл бұрын
Sijawahi kufikiri kama wewe jamaa no kichwa namn hii. Hongera Sana mtumishi,Mungu akubariki sana na uzidi kuchangia maendeleo ya taifa letu.
@bahatimasawe704
@bahatimasawe704 3 жыл бұрын
Yupo vzr sana kasema kweli
@seventcentlothy105
@seventcentlothy105 3 жыл бұрын
Ao akina kigwangala ni bongo lala ao eti turuhusu chanjo na ndio wavivu wa kusoma ao gwajima hongera sana kwa kulifunua taifa letu ss tunafurahi sna kuwa na mtu kama ww yani mpaka waziri na naibu wake wamekuapriciate gud kwa kazi nzuri.
@kilianidanda1609
@kilianidanda1609 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi kwa ujumbe
@sunyareh
@sunyareh 3 жыл бұрын
Gwajima lazima tumlinde mabepari hawawezi kukubali mwafrika mwenye upendo wa watu wake. Asante sana mh mmbunge,
@fx-farm6888
@fx-farm6888 3 жыл бұрын
Gwajima kanyaga twende mzee wetu ..... JPM is alive alhamdulillah
@emmanuelmasilago6697
@emmanuelmasilago6697 3 жыл бұрын
Mweee gwajima kwanini umechelewa kuingia kwenye siasa mapema baba wew nimagufuli wapili nawata kupiga vita tuuu, unaumia kwawatanzania wotee, mungu akupe maona zaidi nazaidi
@mwashiuyayoshuatv9829
@mwashiuyayoshuatv9829 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana sana sana Mtumishi wa Mungu.. Umekuwa baraka mno kwetu . MUNGU akuinue sana sana
@jessalaisaac.a2599
@jessalaisaac.a2599 3 жыл бұрын
Aiseeeee Huyu Jamaa amesoma nn??? Aloooh anajua Hadi ana bowa... Ubarikiwe Gwajima... Aloooh umefika bungeni for the reason... God bless You...
@faithntukamazina8480
@faithntukamazina8480 3 жыл бұрын
Amina amina, ulikuja duniani for such a time as this! Umeongea vizuri sana!
@dennisclement5717
@dennisclement5717 3 жыл бұрын
Mimi ni mwanachadema sugu Ila sijutii Jimbo la kawe kubebwa na Mr gwajima wa ccm because,! Anaipenda Tanzania na watu wake🙏🙏🙏
@mohammedsalim7051
@mohammedsalim7051 3 жыл бұрын
Mimi huyu jamaa siku hizi simpingi tangu alivyo ongelea swala la mashekh wa uwamsho na ni jasiri big up gwajima
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Jasiri gani mnafik tu huyu? Mbona kipindi cha Magufuli hakuzungumzia? Kaona sasa kapata Samiha waisilam wanamlilia na yy kajitumbukiza kwa manufaa yake.
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 Magufuli hakuwafunga hao mashehe wEnu walifungwa na kikwete enzi hizo.
@deonatusmotoka2161
@deonatusmotoka2161 3 жыл бұрын
Wewe ni msenge aiseeee
@mwirafundi9577
@mwirafundi9577 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 aisee wewe ni Msenge Sana tena kubwa jinga,, hao mashehe Magufuri si kawakuta gerezani acha roho ya husuda mbwa wewe
@bahatimasawe704
@bahatimasawe704 3 жыл бұрын
@@alhamdulillah5796 acha ujinga ww apa atupo kidin mjinga mmoja ww Tanzania kwanza
@mckamongomckamongo8150
@mckamongomckamongo8150 3 жыл бұрын
Asante Sana hizo ndo point tunataka kuziona kiukweli gwajima umetungusa watanzania tulio wengi Sana Mungu wangu akubaliki Sana na azidi kukupa point ju ya point
@josephvenus3259
@josephvenus3259 3 жыл бұрын
🙌🙌🙌 Gwajima umenena ukweli kabisa.. God bless you all the time! I love Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 3 жыл бұрын
My brother from another mother, (Kanda ya ziwa tuko vizuri na tuna watu makini Sana) msukuma yoyote angonge like hapa kumuenzi magufuri 🙏
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 3 жыл бұрын
Huo ni UPumbavu kuweka Comment ya Ukabila na kuusahau Utanzania wako kiujumla. Wakilisha Utanzania wetu na si ukabila. Kama nimekukwaza utanisamehe.
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 3 жыл бұрын
@@kibwamoko8767 hivi wewe ungekuwa na busara ungeanza na neno (tusi) ? Huo ndo utanzani xaxa...?
@abdallahbakiri7671
@abdallahbakiri7671 3 жыл бұрын
Acha matabaka sasa. Wote watanzania
@haikafrancis4699
@haikafrancis4699 3 жыл бұрын
I like you contribution brother Gwajima. God bless you richly
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Umekuwa mbeba maono,Mungu ibariki Tanzania
@abelntobi382
@abelntobi382 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bKDWl6GpjsR7aNU
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 жыл бұрын
Our new gift
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 3 жыл бұрын
Ni tegemeo lililo baki wangi wanatamaa uwaziri wanakwenda tuu na mtoto wa shetani samia,
@vincentpazzia1688
@vincentpazzia1688 3 жыл бұрын
Hili ni darasa tosha. Naona watu wanaandika notes na kutingisha vichwa ishara ya kuelewa somo! Binafsi nimeelewa. Tumefunzwa sisi kumtegemea Mungu. Kila silaha itakayofanyika juu yetu haitafanikiwa! Mwenyezi Mungu aendelee kulifunika taifa letu kwa nguvu zake! Aamin!
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maarifa,uelewa, utambuzi na ufahamu na aendelee kukuwezesha kuufahamisha umma mambo yenye manufaa kama haya,pia awape wasikilizaji na watu wenye maamuzi kukuelewa.
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 3 жыл бұрын
Amina 🙏
@innocentkalalu5503
@innocentkalalu5503 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuachilia maarifa kwako Mtumishi
@JTGSHUUDA
@JTGSHUUDA 3 жыл бұрын
Amen
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 жыл бұрын
Asante Mch Gwajima kwa kuliona hili.
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 3 жыл бұрын
Mm mkenya na niko qatar ngwajima cjui unakunywa soda gani yani umeongea points tupu asante ubarikiwe JPM mdogo
@kuhaniushindi962
@kuhaniushindi962 3 жыл бұрын
Habar ndg
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 3 жыл бұрын
@@kuhaniushindi962 nzuri tu
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 жыл бұрын
karibu kwtu tanzania kaka yangu mwema. asante kwa kufuatilia bunge letu. Mungu Akubariki na kukufunika huko uliko kaka
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 3 жыл бұрын
@@jedidahbintidaudi8241 amiin asante sanaa nitakuja tz nikitoka huku kwa uwezo wa mungu kutembea tanzania
@consoafrica1350
@consoafrica1350 3 жыл бұрын
Lol
@ismailomary6626
@ismailomary6626 3 жыл бұрын
Tunahitaji wabunge wa Aina hiiii wenye mitazamo chanya juu ya taifa letu humo ndani kina wabunge maprofesa lakininhoja zao hazina mashiko kqbisankwa taifa letu toka Mimi nianze kusikiliza hoja bungeni leo nimeiona hoja nzito yenye mantiki huyu kweli NI mbunge aendeleee kutawala KAWE MAISHA .ASKOFU GWAJIMA NI GIANT KEEP IT UP
@johnmihyo5674
@johnmihyo5674 3 жыл бұрын
A TRUE LEGEND NEVER DIES.NINAJUA HAUKUWA WEWE "THE FINEST SON OF AFRICA-JPM" ALIKUWA NI ALIYEKUUMBA NA KULIUMBA TAIFA LAKE LA TANZANIA.ULILETWA KATIKA KIPINDI SAHIHI MNO,NURU TUMEIPATA NA IMEFUTA GIZA LA MWAFRIKA."AFRIKA NI BARA LA NURU NA SIYO GIZA"-SAID BY BABA WA UZAO 7 Desemba,2019.
@abelntobi382
@abelntobi382 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bKDWl6GpjsR7aNU
@CheMataka_official
@CheMataka_official 3 жыл бұрын
Yuko sahihi Sana nadhani tulitakiwa tuwe na wabunge was stahili hii wanaojali kuhusu wa🇹🇿 na Taifa kwa ujumla
@johnmsigwa205
@johnmsigwa205 3 жыл бұрын
Up xahihi kiongoz
@zeen1168
@zeen1168 3 жыл бұрын
Upo vizur
@denyu9975
@denyu9975 3 жыл бұрын
Gwajima kipaji chako cha kuelewa mambo tofauti sana na watu wengine ndugu bigup sana
@joyceerenest6235
@joyceerenest6235 3 жыл бұрын
TUNAPOSEMA JPM YUPO HAI TUWE TUNAELEWANA..✊✊
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 3 жыл бұрын
Nimejisikia hata kulia maana niliumia Sana alipokufa JPM,maana alisimama kidedea kututetea watanzania
@moseslukespaul383
@moseslukespaul383 3 жыл бұрын
Yan Bishop Leo nimekuelewa & nimeamini kwa nini JPM Alikurudisha kwny kura za Maoni, Magufuli alikua anaona mbali Sana. RIP JPM
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 3 жыл бұрын
Kwakweli tunaelewa zaidi muda unavyosonga kuwa yupo MZEE WETU MAGUFULI!
@fetychina3273
@fetychina3273 3 жыл бұрын
Na mzimu uta watafuna watapo leta hiyo chanjo
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 3 жыл бұрын
@@fetychina3273 Ila inauma kuona hakuna muelekeo wa huyu mama aliyeko juu kufuata matakwa ya Tanzania bali ya watu wa ng'ambo! Mama ameipa CORONA nguvu kuliko chochote, hiyo inakosesha watu wengi amani!
@georginajohn8456
@georginajohn8456 3 жыл бұрын
Yaaaa umenena Vema Mtu wa Mungu. Mungu atuhurumie tu hata Baba yetu Magu aliikataa kabisa Asante Mungu mh Gwajima Mungu aendelee kukutunza na kukulinda Sisi wa Tz sio wa majaribio
@Alex_Anania
@Alex_Anania 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Bishop Gwajima.
@isayakirway3721
@isayakirway3721 3 жыл бұрын
Dorothy gwajima na dkt molell wanabaki kutazamana tuu kutokana na hoja zenye afya from bishop
@stellandege5594
@stellandege5594 3 жыл бұрын
Big up
@kamobcooler1077
@kamobcooler1077 3 жыл бұрын
😢😢😢MAWAZO KONKI KINYAMA DAAAAH...... 💪💪💪💪
@japhetgeorge315
@japhetgeorge315 3 жыл бұрын
Huyu ndio gwajima kaongea point kubwa sana kazi kwetu
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
Magu s Smiling in Heaven 😊✊🏾
@thegoldenpoint5548
@thegoldenpoint5548 3 жыл бұрын
Hakika
@yusufjuma3773
@yusufjuma3773 3 жыл бұрын
Hakika magufuli is smiling in heaven
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
Kabisa
@missangela6720
@missangela6720 3 жыл бұрын
I liked JPM very much. But, he's definitely not in heaven now. Labda baada ya ufufuo. God only knows
@burundishallsmile1day109
@burundishallsmile1day109 3 жыл бұрын
@@missangela6720 Where's Heaven? 😊
@raphaelbossruvakubusa3031
@raphaelbossruvakubusa3031 3 жыл бұрын
Safii sanaaa Bishop Gwajima sio tu kawe wamepata mbunge but ni kwa faida ya taifa kawe ilikuwa njia tuu kufika mbungeni hapo ila hekima zako na michango yako inafaaa sanaa kwa taifaa na mwenye sikio afungue asikie sanaaaa na . Hakika mchango wako wa leo umeliashaa taifa kuhusu chanjo ni nini na hasara yake taifa na vizazi vijavyo
@pricysmart3577
@pricysmart3577 3 жыл бұрын
Huyu Gwajima ni hatari na ni MAGUFULICATION THE SPIRIT OF GOD IN our BODY #GODMAKE #GODDO #GODKNOWS
@abelntobi382
@abelntobi382 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/bKDWl6GpjsR7aNU
@fintanmkesha1077
@fintanmkesha1077 3 жыл бұрын
Matunda ya jpm tunayaona bungen big up mch gwaji real love kwa ushauri
@nesielias317
@nesielias317 3 жыл бұрын
Baba gwajima ukija Mbeya Nina zawadi yako Mungu aendelee kukutunza na kukupa maarifa zaidi
@amosleonard7359
@amosleonard7359 3 жыл бұрын
Good pastor wangu gwajima ,Mungu akuzidishie hekima tele na akutumie vzr kuongea na kufikisha ujumbe wake ,,,very excited aise
@felisterjames5859
@felisterjames5859 3 жыл бұрын
heshima kwako mtumishi wa Mungu gwajima tutetee tumekosa mtetezi Musa kasha ondoka Watu hawana pa kusemea sasa hiv nchi imetekwa na farao lkn Ipo cku Mungu ata leta metez harun tuuu
@christopherjames1489
@christopherjames1489 3 жыл бұрын
Kweli dada
@selestiandamas7762
@selestiandamas7762 3 жыл бұрын
You are the best Gwajima. Pigania Tanzania. Wote tuliopewa dhamana ya kufanya maamuzi kwa ajili ya nchi na watu wake tunapaswa kutanguliza utu na uzalendo. Mungu ibariki Tanzania
@abdulmelele7322
@abdulmelele7322 3 жыл бұрын
Mh.Gwaji boy naona kabisaa unafuata nyayo za JPM kwa maono big up brother npo nyuma yko bishop🙏
@samwelamsi1996
@samwelamsi1996 3 жыл бұрын
Thanks Bishop gwajima Your speech will be the plat form of our health ministry
@bartholomayochenga2678
@bartholomayochenga2678 3 жыл бұрын
Kama hawatakusikiliza hakika Damu yao hautadaiwa, asante mtumishi wa Mungu kwa kutimiza wajibu wako.
@chikubundara5761
@chikubundara5761 3 жыл бұрын
Asante bb Gwanjima Mungu azidi kukupa Mwanga ,utuepushe na majanga
@zakayogodwin2601
@zakayogodwin2601 3 жыл бұрын
Asante Mungu
@alhajimawe890
@alhajimawe890 3 жыл бұрын
Nice speech barikiwa sana mheshimiwa
@jiriwahaji1406
@jiriwahaji1406 3 жыл бұрын
Daaa wewe noma unahitahi pongezi yahaliya juu Thanks 🙏🙏❤ gwajima ❤❤❤❤❤❤❤❤ mungu akubariki sana
@mwanakombaabbas93
@mwanakombaabbas93 3 жыл бұрын
Allah akuzidishie fahamu swadaktha maneno yako ni ya kweli kabisa
@dulla9195
@dulla9195 3 жыл бұрын
Anaongea vitu vya uongo yeye sio doctor, ukiongea na doctor mutaelewa zaid
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
Ulikuja bungeni kwa kazi hii..endelea kumtumikia Mungu ndani ya Bunge.....GWAJIMA UMEJIPAMBANUA WEWE SIYO.MWANASIASA TU BALI NI MWANASIASA MTUMISHI WA MUNGU...TUSAIDIE KUTUPAZIA SAUTI...UNAWEZA KUISHI MUDA MFUPI UKAWA ZAIDI NA MTU ALIYEISHI MIAKA YAKE YOTE MPAKA UZEE KULINGANA NA KILE UTAKACHOKIFANYA..
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
Gwajiboy sijawahi kukuelewa lkn Leo big up sanaaa.nimekubari kinomaaa nomaa,strong thoughts
@godfreykwanama6244
@godfreykwanama6244 3 жыл бұрын
Yuko poa sana mzee huyu ni jpm
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 3 жыл бұрын
Jitahidi kusikiliza hoja zake Konki kila siku
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
@@madukaj.j.6999 nimemsikia vzr speech yake unaweza irudia mala kumi kumi na hauchoki
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 3 жыл бұрын
@@ignassindabaha1813 Hahahaaa! Nimecheka maana umenisema wazi. Huyu Mh nimemsikiliza mara sita na ninasoma comment zote nione mawazo ya watanzania. Nimefatijika sana
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 жыл бұрын
@@temuemanuel4671 kazi nzr sanaaa atakae ponda hiyo speech apimwe kichwa
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 24 МЛН
Je, unajua kitakachotokea baada ya watu kuchanjwa? Ushauri mwingine kwa Rais huu hapa
13:38
Majibizano makali bungeni | Gwajima aja kivingine, awachapa kweli kweli
9:47
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA NAMNA YA KUTOKA KWENYE TATIZO LOLOTE KUBWA LINALOWEZA KUKUPATA
14:37
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 24 МЛН