Ni vibaya kuwagusa watumishi wa Mungu. Muachieni Mungu atamhukumu yy, na kama yuko kinyume Mungu anamuona. Jamani kuna laana ambazo hatupaswi kuzipata. Ni ushauri tu. Mungu atawapa majibu, kati ya Mtumishi wa Mungu na mkuu wetu, atawapa hekima, busara pia. Hakuna vitu vibaya vitakavyotokea. Mungu anatupenda sanaaaa!
@mzeebabu21977 жыл бұрын
Mungu hachezewi wakuu wengi waliwachezea viongozi wa dini lakini waliishia ktk laana.
@kachasagynoma17567 жыл бұрын
Safi huyu ndiye
@naominyende21417 жыл бұрын
Wapashe hao, na uwape vidonge vyao!
@amanabdallah97457 жыл бұрын
Wao ndo wanataka kuwachokoza .waache waseme
@bishopmosesmagadula75727 жыл бұрын
MZEE KAKOBE ANAJIAMINI YUKO SAWA KAMA MTUMISHI WA MUNGU NDIO MAANA AMEWAAMBIA WAJIPANGE...
@amanabdallah97457 жыл бұрын
Ccm hawapo wangekuwemo asingelisema hayo
@maurusmocha997 жыл бұрын
Kutoka vyama vya siasa mpaka kanisani, sasa tusubiri individual insues. saw a tu sisi no class watawaliwa
@elimwazembe80967 жыл бұрын
kakobe wambie ukweli ao make hawaeleweki wanataka nini
@josephinedavid30727 жыл бұрын
usituletee vurugu ktk nchi
@amonmulungu1757 жыл бұрын
acha ushabiki
@gangangan14787 жыл бұрын
Acha uchizi huo WA CCM(Chama Cha Maovu)... yote yanayoendelea nchini....!!!
@lameckbalekele29017 жыл бұрын
Huyu Asikofu jinga kabisa hujui wanaosali humo wamowana ccm wengi sana linaleta siasa kanisani yanini
@paulntalima82447 жыл бұрын
Lameck Balekele siasa ni dhambi?
@abelsabibi61927 жыл бұрын
wewe ni nabii wa uongo na mchungaji wa mshahara,Mungu atakuadhibu kama utaendelea
@kahyolomathias50737 жыл бұрын
Abel Sabibi Mungu ndio pekee wa kuhukumu. wewe ni nani umuhukumu mwanadamu mwenzio?.pumbavu
@geraldrevocatus64207 жыл бұрын
Abel Sabibi mbona unaongeaa tu bila uhakika, hicho kikosi cha kwanza kilibaini kwamba Kakobe hata sadaka hali ni watu tu waliojitolea kumtunza Kakobe na baaa ya kubaini hivyo huyo kiongozi akafukuzwa sasa nashangaa wewe unaanza kuropoka, Kakobe ana nyumba moja tu tena ipk kijitonyama ni ya hali ya chini saaana tena anaishi kanisani tangu 2009 sasa mi nabaki kukushangaa unachosema na mimi namjua Kakobe kuliko wewe mimi ni muumini wa pale na hii video imakatishwakatishwa tafuta video nzima ndo utaelewa vizuri.