ASKOFU MWAMAKULA AINGILIA KATI SAKATA LA UKODISHWAJI BANDARI

  Рет қаралды 58,503

JAMBO TV

JAMBO TV

Жыл бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 263
@bonifacemorro6153
@bonifacemorro6153 Жыл бұрын
Askofu pamoja na kuwa mtumishi wa Mungu. Wewe ni mzalendo mwenye uchungu wa nchi ya kondoo ulizopewa na Yesu kuchunga. Ubarikiwe sana tuko pamoja Yoshua wa TZ
@goodluckkombe994
@goodluckkombe994 Жыл бұрын
Kunapokuwa na Goliath Mungu huwa amekwisha kumuandaa Daudi. Big Up Askofu........
@mohamedrajab6652
@mohamedrajab6652 Жыл бұрын
Sijaona nchi duniani inakodisha kitega uchumi viongozi nawao wamechoka kuongoza,kwahito wanaleta siasa za ubabaishaji kwa mwenye Enzi Mungu sio mbali.
@maarufusalum5251
@maarufusalum5251 Жыл бұрын
Misri Angola south Africa Southampton
@ChristinaBoaz-ny9pl
@ChristinaBoaz-ny9pl Жыл бұрын
Askofu mwamakula,, Mungu na awatangulie kuliokoa Taifa hili ambalo ni kimbilio la wakimbizi toka nchi mbali mbali , bado ninaimani kuwa Mungu wetu hatatuacha sisi na vizazi vyetu tuwe watumwa ktk ardhi yetu,, ooh Yeova yawe,, tuokoe mikononi mwa hawa wajanja wachache wanaotaka kutupeleka sisi na watoto wetu utumwani tena, kwani nimeomba ktk jina kuu la mwana wa Mungu alie hai, Yesu Kristo, Amen,,
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Жыл бұрын
Amen ❤
@sethkivuyo3342
@sethkivuyo3342 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana Baba Askofu Mungu akupe maisha marefu zaidi.. pia kwakua shabiki mwenzangu wa mnyama mkali simba na man.. Hahaha eti mama kawazodoa utopolo..
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Mbowe yuko. Sahihi. Kama kweli samia ana nia nzuri na tanganyika kwanini bandari zao hajaziweka kwenye mkataba Huo. why bandari za tanganyika peke . Manayake Samia anatapanya ya mali za tanganyika kwa masilahi yake na wanzimbar wake. Hatutakubali watanganyika tuamuke.. Hatutakubali . Bandari zetu kuchuliwa na warabu.
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Mkataba ambao una mwanzo lakini hauna mwisho, na unakabidhi yote yaliyomo ndani yake kwa ufalme wa DPW, ni hatari sana,utahitaji mjadala mrefu wa kina kati ya watu wa nchi hizi bila kificho! Asante sana Baba Askofu Mwamakula kwa kuisimamia kweli na haki za watu wa Mungu unayemtumikia. Mungu akubariki,akulinde uingiapo na utokapo.
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Жыл бұрын
NI KAMA KITUMBUWA KIMEINGIA MCHANGA BUSARA KUBWA ZINAHITAJIKA!
@mayaally2512
@mayaally2512 Жыл бұрын
SIO KWELI HAWA WAZEE WANAPOTOSHA HEBU TUTUMIE AKILI ZETU TUSOME
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 Жыл бұрын
Hongera sana kwa maelezo ya ufafanuzi wa mambo magumu kwa lugha rahisi kueleweka.
@educationchannel-zs7fr
@educationchannel-zs7fr Жыл бұрын
My school colleague, you really said it. That's reality.
@mufundegemwakalonge3987
@mufundegemwakalonge3987 Жыл бұрын
Mungu akubariki asikofu Mwamakula Kwa kutetea uhai na Uhuru WA taifa la Tanzania. Hapa serikali iliyopo madarakani inaliuza Taifa la Tanzania biala hata aibu na kumega Taifa kuwa liwe Tanganyika iwe utumwani milele na Zanzibar iwe huru na wanaohusika hapa ( Raisi na waziri ) wanatoka Zanzibar, aibu kubwa!!!
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u Жыл бұрын
Loliondo ni United Republic of arab
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b Жыл бұрын
Nimeipenda taarifa yako uko vizuri
@user-ek6wo5jr8k
@user-ek6wo5jr8k Жыл бұрын
Asikofu yuko sahihi. Hongera sana unawafumbua akili watu wasio fahamu miktaba. Na mikataba mingi ya unyonyaji.
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay Жыл бұрын
Askofu msomi asante sana! unachambua mambo vizuri sana!
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 Жыл бұрын
Askofu umesoma sana, sana, UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
@loitushulyamat2738
@loitushulyamat2738 Жыл бұрын
Askofu hongera sana kwa jinsi unavyojipambanua katika majukumu yako ya kiaskofu. Kwa kweli kuna la kujifunza kwako hasa vijana wenye malengo ya kuwa viongozi wa nchi hii.
@mboneamsuya
@mboneamsuya Жыл бұрын
Ndugai aliona nchi ikiuzwa lakini mama akalijua Hilo limeonekana. Ikabidi ang, atuke. MAANDAMANO NI MUHIMU Kama limishindikana. NDIO NDIO NDIO
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Iv nikwer kabisa watanzania zaid ya milioni30 wasomi wameshindwa kwendesha Bandali Kwer jpm umelala Baba
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 Жыл бұрын
Ehe Watanzania milioni 60 na kujitawala miaka 62 bado hatuna watu wa kuendesha vitu vyetu, nakumbuka Net Group Solution na City water
@severinkinunda5269
@severinkinunda5269 Жыл бұрын
Kama watanzania Tanzania tumeshindwa kuendesha bandari ni sawa na kusema kuwa hatuna uwezo wa kuongoza nchi.Pia viongozi wetu wa kisiasa na taasisi za serikali ni dhaifu
@user-le1mo8ru7u
@user-le1mo8ru7u Жыл бұрын
Tuzidi kuomba
@ramadhanmsonge9960
@ramadhanmsonge9960 Жыл бұрын
Barikiwa sana Askofu mwenye kufikiri kwa kina atakuelewa.
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Жыл бұрын
Well said our Bishop
@daudimazengo7772
@daudimazengo7772 Жыл бұрын
Sina lakusema kwa interview hii. Mmetisha. Mungu awabarikini nyote. Salute .
@ysmasalu
@ysmasalu Жыл бұрын
Excellent explanations.
@beddaathanas3150
@beddaathanas3150 Жыл бұрын
Wisdom mungu amewapa viongozi wa dini,be blessed always
@zawadsamba7027
@zawadsamba7027 Жыл бұрын
Hakika baba askofu uko vzr watanzani tunakuombea upate kutuongoza kiroho na kitaifa endelea kutupa elimu kwan leo naelewa kitu hapo
@makalasamweli9570
@makalasamweli9570 Жыл бұрын
Mwamakula mungu akubaliki sana
@dynamicmwakibinga4371
@dynamicmwakibinga4371 Жыл бұрын
International pure pastor!!!!!!!
@mnerostationeries1113
@mnerostationeries1113 Жыл бұрын
Big up mtangazaji.Uko vizur sana
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Жыл бұрын
🎉🎉Kwa mwamakula❤
@lubangompyalimi8922
@lubangompyalimi8922 Жыл бұрын
Viva Askofu mwamakula Uko vizuri
@henrymyinga9295
@henrymyinga9295 Жыл бұрын
kweli mjadala mkubwa unahitajika mambo yasifanyike haraka haraka hivyo
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Hayo anayo yasema Baba askofu ni kweli waafrica walikuwa wanauza ndugu zao Kwa Pasig vikombe na shanga nk ndilo tujue mtu.mweusi akili huwa hatuna fikra nzuri mwisho utakuta tumepigwa kila mara na wapo mbele kueleza kuwa ni Sawa hiyo ndio akili.
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Nashangaa sana watanzania wanaotetea kuuzwa bandari za nchi yetu serkali ina nia mbaya katika hili jaman watu wesoma lakini wanafanya mambo ya ajabu
@loitushulyamat2738
@loitushulyamat2738 Жыл бұрын
Kwa uzito wa jambo hili na jinsi lilivyopokelewa na wananchi kwa hisia hasi na kwa kuwa unalazimisha hata serikali zijazo kuridhi mkataba huu, basi kuna haja na umhimu mkubwa serikali kupanuwa mjadala kiasi cha kutosha na muda wa kutosha ili kuondoa sintofahamu ambao tayari umeukumba taifa kwa sasa.
@deomajiji1789
@deomajiji1789 Жыл бұрын
Askofu Mwamaluka ni Mwungwana kweli; hakika Askofu huyu ni Mtu wa Mungu, Nabii wetu leo. Tumpokee hasa. Tumpokee ..
@innocentedmund3105
@innocentedmund3105 Жыл бұрын
Ahsante Askofu wahasio sikia hili hawajui tuendaka jambo hili linaitaji busara sana na maono ya juu sana naomba waTanzania kutafakali na kujua mambo na kuona mifano iliyopo na iliyopita
@user-hh4lb6nj2d
@user-hh4lb6nj2d Жыл бұрын
Daaa mungu aingile jambo hili Yan wabunge mnapewa hongo kupitisha jAmbo zito la kitaifa
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Жыл бұрын
🎉Kwa mwanahabari huyo
@chrispinedward6356
@chrispinedward6356 Жыл бұрын
Askofu upo vizuri,wew ni mzalendo wa kweli tupo nyuma yenu mtuokoe tusirudi utumwani
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina Baba
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Жыл бұрын
Mama yetu samia kua makini na jambo ili linakwenda kuligawa taifa tena kwa kiasi kikubwa ilijambo liachwe kabisa bora wateja waondoke wasishushie mizigo kwetu lakini muda ukifika tutaboresha watarudi.
@pastorybahinyuye4876
@pastorybahinyuye4876 Жыл бұрын
Mtumishi ubarikiwe na Mungu kwa maelekezo yako mazuri kiukweli tumesikia hata tumesikia wabunge wakisema hatuwezi kupinga mipanga ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wenyekiti wa Ccm. Chochote anacholeta Rais wao ni kupitisha tu.Shida kubwa mno.
@kennedykaduma9104
@kennedykaduma9104 Жыл бұрын
Mwandishi umejitahidi sana kuhoji.
@raidhanimohamedi2709
@raidhanimohamedi2709 Жыл бұрын
Baba Askofu Mwamakula 'mtu' saana aisee...
@sidengole2067
@sidengole2067 Жыл бұрын
Upo vzr pastor
@user-fj7rz6fw3x
@user-fj7rz6fw3x Жыл бұрын
Nashukuru sana
@philimonndinadyo2120
@philimonndinadyo2120 Жыл бұрын
Maaskofu wengine mko wapi mmeficha vichwa mchangani wakati nchi inauzwa mtakuja kumwambia Nini Mungu chakula Cha watoto watanganyika kinauzwa namgeni kwa wageni
@severinmagwaya6453
@severinmagwaya6453 Жыл бұрын
wanaogopa kukosa sadaka maana kondoo wengi ni manyumbu wa ccm
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Жыл бұрын
PONGEZI SANA KWAKO,ASKOFU EMMAUS MWAMAKULA....KWA UFAFANUZI....MZURI SANA. -TUMEKUELEWA...
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Mtangazaji yupo smart sana kuunganisha content ya kuuliza maswali! Kwangu mm ni mtangazaji bora!!
@peterkirway276
@peterkirway276 Жыл бұрын
Hogera sana baba Askofu uiombee na uishauri serikali kuhushu haya yanayoendelea
@majidukalugendo4738
@majidukalugendo4738 Жыл бұрын
Askofu wewe ni Mzalendo wa kweli na Muungwana sana lakini pia una mapenzi ya kweli kwa watanzania. Mjadala wako ni nuru kwa watanzania. Mwandishi wewe umeiva kwa sababu maswali yako yamegusa maeneo yote ambayo yatawaongoza Watanzania katika kupanua mijadala yao!!!
@user-rg6kr2vj8f
@user-rg6kr2vj8f Жыл бұрын
🎉🎉 safiiii
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
Nakuelewa Askof
@user-uq7rm4uk3q
@user-uq7rm4uk3q Жыл бұрын
Nilikuwa sijaelewa Sasa nimeelewa mtumishi Mhimu Tuombe Mungu atusaidie taifa letu lisirudi utumwani tuwe na mwafaka mwema
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k Жыл бұрын
MUNGU Ametupa akili za kujetetea Wenyewe Amka chukua silaha Upiganie haki yako uliyo pewa na MUNGU
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Suala hili liwe ni mjadala wa kitaifa.Kwa mtanzania yeyote mwenye akili timamu should never accept this at all.Hata one single moment.
@user-oz1pp1ck2m
@user-oz1pp1ck2m Жыл бұрын
Hili halikubariki ni wabunge ccm waliowengi ndio wanakubali
@lilianvitus2488
@lilianvitus2488 Жыл бұрын
Hongera askofu barikiwa sana sana
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Жыл бұрын
Mwafrica sio kabisa Sisi mpaka leo bado hatujabadiluka wazungu wakifanya mkutano wa Belin Germany mpaka leo wakiungali hawajakosea Sisi vulu vulu
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
Ndomaana wamewang'ang'ania akina halima mdee ili ionekane vyama vyote vilihusika kupitisha mkataba.
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Kabisa
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Askofu Uko vizuri.
@ulayaz
@ulayaz Жыл бұрын
Tungeomba mungu akupe nguvu ujadili mambo ya kiroho zaidi. Kwa sababu sio fani yako na ndo maana, huwezi kueleza kudumaa kwa bandari zetu
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Kumbuka huyo ni raia wa Tz anayo haki ya kutoa ushauri hakuna kosa kisheria
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Askofu nakuelewa kuhusu raisi na wazir kutoka Zanzibar sio tatizo lkn nikionacho mm ni huu mpango sio wa Leo ni wa miaka kadhaa iliopita ilikuwa inatafuta upenyo wa kuingilia, Hawa watu huwa hawakurupuki hata huyu mama mnamuonea tu yeye kalikuta Ila wametumia udhaifu uliopo kujipengeza , weka akilin hlo utaniambia miaka 10 ijayo inshallah
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Ni kweli linagawa watanzania maana hili halijasumbua Zanzibar mkataba huu unaiuza Tanganyika kabisaaa
@enockkibona7522
@enockkibona7522 Жыл бұрын
Huo mkataba haujakaa vizuri utatuumiza watanzania kizazi na kizazi,vitu vingine tungeendelea kuvisimamia sisi wenyewe watanzania,please please watanzania hilo jambo linaonekana ni jepesi kwa watu wanaokubali huo mkataba lakini baada ya kuanza kufanya kazi hao ndipo tutakapo anza kuona tofauti,kabla ya maamuzi tufikili maratatu tatu.
@dazinaagust5231
@dazinaagust5231 Жыл бұрын
NDUGU RAIDHANI UPO VIZURI SANA KEEP UP .... SONGESHA
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula Жыл бұрын
Huyu mama nadhani aliingia ktk siasa kwa.nia hovu na Tanganyika.
@jumayussuf6786
@jumayussuf6786 Жыл бұрын
Apriciate poster mamakula
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 Жыл бұрын
Wewe ndoo kiongozi wa dini ambaye umesema ukweli,na si wengine waliolisagia jambo hiloo maana uccm unawasumbua.
@Fingolee
@Fingolee Жыл бұрын
Miaka 1800 kabla ya Kristu Askofu ikae sawa hapo
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Nyie si mlisema hamuezi kuwacha Wazanzibar kujitawala wenyewe kwasababu wataleta waarabu kurudisha utumwa ..nahao mnao wauzia bandar sio waarabu naona mnakula matapishi yenu wenyewe..achen utapeli wa kisiasa semen ukweli kwann hamtaki kuwaachia Wazanzibar wajitawale wenye walaf yie..
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Hasante sana Askofu kwa kutuelimisha kuhusu mikatabs tangu enzi za Biblia mwika karibu 2000 iliyopita.
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Жыл бұрын
Sulwiman na Lebanon ni zaidi ya miaka elfu mbili iliyopita yaani kabla hata Yesu kristo hajaja duniani. Mikataba ni vifungo ukikosea umeumia.
@RobertGwelela
@RobertGwelela Жыл бұрын
Askofu nimekuelewa sana.umeongea point muhimu sana.kwanini bunge limepewa siku moja tu? Wkt wao walianza mwaka Jana mwezi wa pili wakaja mwaka Jana mwezi wa kumi.Lkn wabunge wanaambiwa walijadili kwa siku moja tu.Lkn kwanini tunaambiwa mkataba hautavunjika hata tukitofautiana? Yote hiyo inatosha kutupa wasi wasi mwingi.
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Hiyo nchi inamaliziwa kuuzwa tu maana ishauzwa zaman..hata tuseme vip madamu wachumia tumbo washakodolea macho manoti hawawez kubadli msimamo wao..tushauza tunasubir manoti tule bataaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Hayo ni maneno ya Kiongozi wa Dini tunayotaka kuyasikia sisi Watanzania hasa katika wakati huu mgumu. Tungependa pia kusikia kauli kama hizi kutoka TEC, CCT na BAKWATA. Haina maana kuwa na Viongozi wa Dini waoga ambao hata yanapotokea mambo mazito kama haya, wao wanajificha uvunguni.
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Жыл бұрын
TEC hawataki Charles kitima alishasema ye hakubarian nalo na ndio kiongozi wa dini wa kwanza kuuukataa huo mkataba
@donathtarimo7221
@donathtarimo7221 Жыл бұрын
Its very sad & shameful too
@karimmveyange2558
@karimmveyange2558 Жыл бұрын
Bunge siyo tu halina uhalali wakuongelea au kugawa mali za nchi kwa Waarabu,ila tu ni Bunge la Wasio na akili timamu,wala rushwa,halafu wajue wanavunja usalama wa nchi.
@willydugilo3258
@willydugilo3258 Жыл бұрын
Nimemsikia Dr slaa akisema!! Haojamaa wa dp world ndio walio chukua loliondo na waliahidi mambo mengi na manufaa Kwa Wana nchi!! Lakini Hadi Leo hakuna Cha maama!! Watu wanateseka tu!! Mnajua Hilo!!
@timothymoshi5800
@timothymoshi5800 Жыл бұрын
Hivi aliyeuza loliondo, alikuwa nani ??
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo Жыл бұрын
Tanzania tuamke usngizini tunapigwa ccm hawana jema hatakidogo
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Nchi.hii.kiongozi.wa.dini.wewe.tu.askofu.mwamkula.wengine.mna.mnaongozwa.na.matumbo.yenu.subilini.mfe.mtamjua.mungu.hataki.utapeli
@benson20301
@benson20301 Жыл бұрын
You are just afool juma magoma tatzo elimu Yako itakua chini sana
@benson20301
@benson20301 Жыл бұрын
Tunataka tuungane tuitoe ccm madarakani
@CremenceKavishe-rv1xg
@CremenceKavishe-rv1xg Жыл бұрын
Ni kweli uwezi kujirusha kwenye kisima usicho weza kutoka.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 Жыл бұрын
KWA MAMBO HAYA NI BORA MUUNGANO UVUNJIKE ILI KILA UPANDE UJADILI MALI ZAKE KULIKO WAZANZIBAR KUFANYA MAAMUZI MAKUBWA JUU YA TANGANYIKA..
@bosslilyg4390
@bosslilyg4390 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@festohaule9716
@festohaule9716 Жыл бұрын
Ni kweli tuwatimue Hawa wanatuuza mchana kabisa.. hawatufai...
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 Жыл бұрын
Hao Marais waliopita kutoka bara waliokuwa wakifanya maamuzi makubwa kuhusu Zanzibar mlikuwa wapi mpaka Nyerere alifikia kumfukuza KAZI rais aliyechaguliwa kihalali na wazanzibari.
@festohaule9716
@festohaule9716 Жыл бұрын
@@isakhamisi8923 mlikuwa wapi nyie?? Mpaka Raisi wenu anafutwa kazi??? Acheni kulala..
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
@@isakhamisi8923 Isa Khamis,asante kwa kuupiga msumari pahala pake
@jeremiatitus4414
@jeremiatitus4414 Жыл бұрын
Jaman tuwe Makin tunakuja kuwapa Kaz kubwa watoto wetu kizaz kijacho, tunaandaa kuja kutawaliwa , ninyi mtaona sawa kwa Sasa lkn watu Hawa zipo agenda za Siri kutawala nchi maskin ,
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Жыл бұрын
Viongozi.wa.dini.wajanja.wanajua.kuhubili.sadaka.aka.matoleo.fungu.kumi.mambo.makubwa.ya.nchi.kimya.mungu.anasubili.
@joshualaitei1633
@joshualaitei1633 Жыл бұрын
Legitimacy Legitimacy Legitimacy
@charlesgasper-wo9hc
@charlesgasper-wo9hc Жыл бұрын
Askofu watoe usingizini ndiyo bandari inaondoka hivyo nakwanini harakaharaka hivyo? sinchi niyetuwote navizazi vyeti...
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 Жыл бұрын
Mimi nashangaa sana bunge linakubaliana harakaharaka kuuza Inchi kirahisi hivi. Sisi wanainchi hatuna makubarianona warabu ila tunauzwa tu.
@eliajimmy95
@eliajimmy95 Жыл бұрын
Ila kwenye kumshauri Maalim seif kujiunga na CCM kwenye serikali ya umoja wa kitaifa hapo ulifeli.
@ephraimkalanje7105
@ephraimkalanje7105 Жыл бұрын
.......na huku kwetu mikataba ya chifu Mangungo wa Msowero na Wajerumani....na mingeneyo iliyoleta tutawaliwe na wageni....!!!
@kassimjigge4727
@kassimjigge4727 Жыл бұрын
Nionavyo Mimi kukodisha siyo vibaya kwani ni biashara ya kutuingizia mapato,mapato ambayo yamekuwa yakipotea kutokana na wizi.ubadhirifu na ufisadi pale bandarini wizi ukiendeshwa na watanzania wenzetu tuliowaamini kukusanya mapato kwa manufaa ya wengi, jamani kuna SGR na miradi mingine itakamilika vipi?
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 Жыл бұрын
HUYU ASKOFU NIMEMPENDA SANA. ANAFAFANUA NA KUELEZA VEMA KABISA. NAYE MWANDISHI ANAHOJI VIZURI SANA. LKN, HIVI, MNA GUNDUA NINI KWA AWAMU YA 2,AWAMU YA 4 NA SASA HIVI. HUU MUUNGANO IPO SIKU UTAZUA MAGUMU MBELENI. MUNGU AINGILIE KATI.
@latipharamadhani7576
@latipharamadhani7576 Жыл бұрын
Kwanini mambo yaanze kufanyika kabla ya kusaini mkataba, kwa maana iyo kinacho fanyika nikitaka kusafisha njia ya mkataba wakati tayari wamesha saini wanatafuta namna ya kuwaingiza hao watu
@honestmsigwa920
@honestmsigwa920 Жыл бұрын
Hivi kupambana na umasikini ni kuingia kwenye mikataba na wazungu au waarabu umasikini huu utaisha lini jamani?
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 Жыл бұрын
Huyu Mzee anaakili nyingi sana
@valentinetesha8536
@valentinetesha8536 Жыл бұрын
hawa waarabu washenz kweli yani wanataka mkataba wa kupewa bandari miaka isio julikana hata miaka elfu 20
@solomonnanguni2688
@solomonnanguni2688 Жыл бұрын
Baba Askofu Mwamakula, wewe ni kichwa haswa. Nimekusikiliza maelezo yako na majibu yako. Una akili saana. Huogopi upumbavu wa baadhi ya machawa wa serikali hii ya ma CCM. Songa mbele tuko nyuma yako. Sio maandamano tutakayofanya hata ikibidi kupigana mubashara.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 Жыл бұрын
KWA SASA HATUNA VIONGOZI WENYE UCHUNGU NA INCHI YETU TUNAWAPA WAARABU ALAFU TUNALIA HAKUNA AJIRA KUKOSA RAIS SAHIHI NDIO SHIDA..
@JacobMorogoro-is7kj
@JacobMorogoro-is7kj Жыл бұрын
Sante mtumish
@pamelamauki4209
@pamelamauki4209 Жыл бұрын
Mngemsikiliza vizuri muelewe
@bekabakari7394
@bekabakari7394 Жыл бұрын
Hapa ndio nakubali kama Magufuli alikua jiwe kweli kweli Hatishwi wala hatishiki Aliyasema hayo wakati wa uhai wake
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Жыл бұрын
Kwanza ninawasiwasi wabunge wengi wamepewa Chao au wanatafuta ubunge wa kupewa
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Жыл бұрын
Yamezoea kupewa ubunge bure majizi haya
@fadhilikavindi4998
@fadhilikavindi4998 Жыл бұрын
Kwakweli leo nimekuelewa
@kiwiacasmir6141
@kiwiacasmir6141 Жыл бұрын
Baba askofu ebu tuweke vizuri kwenye hili swala la bandari.Bandari zipo kwenye muungano au laa?..na kama ipo kwenye muungano ni kwann ikawa ni za bara tu ndiyo zimeingizwa kwenye mkataba huu?..Na alicho ongea Mwenyekiti mbowe nazani si hisia ndivyo ilvyo tuache kuzunguka mb'uyu.
@benardsamizi-qo4yp
@benardsamizi-qo4yp Жыл бұрын
HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE HAI. HUOGOPI KUSEMA UKWELI. KAMA NA WENGINE WANGESIMAMA KUTETEA KUDAI KATIBA MPYA NA TUME HURU HAYA YASINGALITOKEA. MUNGU UKO WAPI???TUHURUMIE KONDOO WAKO.
@ikungetamwakamele
@ikungetamwakamele Жыл бұрын
Masheikh na maaskofu saidieni TAIFA kuingia kwenye utumwa huu mpya. Muungeni mkono askofu HUYU. Maazimio haya ni hatari. Tupeni muda jamani.Serikali ya CCM tuwape watanzania kujadili Jaya mazito
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 82 МЛН
Watawala wanasisitiza Amani kuliko Haki : #Askofu #Bagonza
20:26