Nyarobi wewe ni Mwandishi Mzuri sanaaaa na unajua kuhoji vizuri sana nakukubali mjukuu unachapa kazi Mwanahalisi wakuongezee mshahara kwa nguvu zote
@mahyorokalokola401211 сағат бұрын
Mbowe alikuwa anaweza kufanya vizuri kwenye siasa zilizotengamaa lakini katika mazingira ya sasa ya siasa za mapambano na mazingira ya matumizi holela ya vyombo vya dola dhidi ya wapinzani, kwa hakika hawezi tena. Naamini Lissu ni bora zaidi kwa sasa
@FrankMwakatundu-cu6bd8 сағат бұрын
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100
@gracekagoma32312 сағат бұрын
Kwanini kanisa lake halichukui hatua kumvua hilo vazi la kanisa😢😢.
@samwelnevele77968 сағат бұрын
Asklfu mnafiki huyu
@adammlonganile7921Сағат бұрын
Sio mmekosa ushiriki wa vyama vingine , mmekosa uwakilishi wa vyama vyenu😂
@Expedito251214 сағат бұрын
Kitima siyo askofu ndugu!
@IssaAlly-lp4uf14 сағат бұрын
Safi nimekuelewa ndiomana mbowe alisema mambo yanapikwa msiwe na haraka
@leonardlomayanigideon206012 сағат бұрын
Huyu askofu anajua vizuri.
@luthermartin109811 сағат бұрын
Asante sana Mh. Askofu Mwqnqmqpinduzi kwa maneno mazuri ya khekima
@bukurunestory35402 сағат бұрын
Asante Nyorobi unachukua nafasi ya Sam Mahela enzi zile
@ChristerKok10 сағат бұрын
Mbowe hana chuki,Mbowe sio mgomvi bali anagombanishwa na machswa,Mbowe hana makuu.
@edgarmbegu197417 сағат бұрын
Huyu jamaa haeleweki. Kwa hiyo Lissu ndiyo atapindua serikali ya ccm? Ndiye atapigana na polisi?
@bukurunestory35402 сағат бұрын
Labda nimsikilize Askofu huenda nitaelewa. Twende pamoja
Mm najiuliza swali moja unawezaje kua na wafuasi milion3 alafu ukose pesa hii haipo. Ivi kila mfuasi atoe 200 Kwa wiki ni TSH ngapi
@OmmyJames-xn7ji15 сағат бұрын
KUNA WACHUNGAJI NA MAASKOFU USISAHAU CHAMA LAZIMA KITOE SADAKA KANISANI 😢😢😢
@andrewassey51083 сағат бұрын
Huyo Lissu ni vurugu tu hajui uchungu wa kukilinda chama chetu.kama anataka kuunga mkono juhudi aende atuachie chama chetu kikiwa salama. Hana uelekeo wowote mpya nihulka yake ya vurugu tu.
@YohanaSanga-t8d11 сағат бұрын
Huyu ndio mchungaji wa kweri
@DannySimwanza-f4f3 сағат бұрын
Hongera sana mtu wamungu
@ndimizarohomtakatifurichar980216 сағат бұрын
Lisu ni nguvu mpya ya upinzani Tanzania na ni mwazo wa mageuzi huu ni muda wake
@PrinceHendry-hp8vv2 сағат бұрын
Mwahalisi mbona umemsogelea sana askofu
@MalkiadiNaano10 сағат бұрын
Hivi kweli 🎉na 😅wewe ni ash Hivi na uongo huo Wewe na wewe ni askofu .jipime kwa sisi wengine tunaona hauna hadhi ya ya kuwa askofu, nanda uombe mwenye kiti wa mtaa
@richardnganya231113 сағат бұрын
Uelewa kwa wengi wetu bado sana. Nchi inahitaji mabadiliko ya sera ili yeyote akipata uongozi atekeleze ya sera ya Taifa na sio atakavyo yeye !! KATIBA ya Nchi ni chanzo cha uwepo wa yanayoendelea.
@NdeshaPaul-uz9bwСағат бұрын
Sijaelewa! Kuna haja Gani ya Lisu kugombea ikiwa hakuna anayekayazwa kugombea? Ajaze TU form uchaguzi ndio uamuzi sahihi
@margarethpolepole743813 сағат бұрын
Chadema hamkujipanga pesa hamna za Kampeni pes imeshikwa na mtu mmoja Mbowe Saccoss ukabila umezidi sanaaaa
@yassinnabwera427312 сағат бұрын
@@margarethpolepole7438 Kwani CCM hizo pesa wanazopata wapi kama sio kodi zetu wanazozikusanya?Vyama vingine vyote ikiwemo Chadema chanzo cha pesa ni wanachama wao
@illomowerner769012 сағат бұрын
Aise kuna mapoyoyo ambayo yanatumia kamasi kufikiri, eti ukabila umezidi, kwani kamati kuu Ina wajumbe wangapi CDM? ukabila uko wapi pale?
@jamesrobare5229 сағат бұрын
Msengerema wa ccm
@ceciliamagalabajimmy43914 сағат бұрын
Huyu tumemzowea, mimi nikiliona jina lake huwa sisumbuki kukomenti. Yupo au alikuwepo na Tinya sijui kapotelea wapi!!
@philipongenzatv11 сағат бұрын
Mbowe mpole tumuweke lisu kwanza hyu ndo anauchungu
@OmmyJames-xn7ji15 сағат бұрын
CHAMA CHA KANISA KINATAPATAPA NA WACHUNGAJI WAO 😢😢😢😢😢😢
@SylvesterKameo14 сағат бұрын
Ulitakaje? Kuna ubaya gani? Au ulitakaje wewe? Au kwako wana kanisa siyo watanzania? Unakereheka na nini hasa wewe?
@OmmyJames-xn7ji14 сағат бұрын
@ Hiyo NDIO tatizo kutuletea WACHUNGAJI KWENYE SIASA 🤩🤩🤩🤩HII NCHI NI SECULAR UCHUNGAJI apeleke kanisani
@MmohamediSaidi13 сағат бұрын
Kama ccm vile chama cha masheh
@stewartdyamvunye-wz6rn13 сағат бұрын
Nyerere alituasa: Udini ni sumu mbaya katika jamii yetu. Tuupige vita. Tangu Nyerere ameondoka hakuna kiongozi ameendelea kuupiga vita udini kwa nguvu ileile kama Nyerere! Kama matokeo hii leo udini umeshamiri! Udini unapofusha! Pale palipo haki au dhuluma watu hawaangalii bali wanaangalia dini. Kwa hiyo mr. Ommy mchungaji akipigania haki inatakiwa asitangaze kwamba yeye ni askofu au mchingaji! Nawapongeza sana Shehe Ponda Issa Ponda, shehe Kadogoo na wengine kama hao, hawana upofu wa udini, bali wanapigania haki. Na Mungu awabariki sana wasio na upofu wa kidini.
@yassinnabwera427313 сағат бұрын
Wewe Omari chama chako ni cha kuteka na kuua watu
@kigesomichael806115 сағат бұрын
Sawa kabsa
@machoguhameri775717 сағат бұрын
Mnafiki sana kumbe unajua sisi ni binadamu hilo unalijua kwa sababu chadema inachanika mbona wewe hujaona mazuri ya ccm? unaona mabaya tu ya CCM
@MathewNathan-yb2bz14 сағат бұрын
Watu ni lazima waikosoe serikali kwa yale mabaya ili serikali irekebishe yale mabaya yawe mazuri.Na wanaoikosoa serikali wana nia njema kuliko yale machawa yanayosifia tu kama ww mjinga.ulaya na marekani ni nchi tajiri na zilizoendelea sana huwezi ona wakisifiana mfano Trump anavyomkosoa Biden au Biden miaka ya nyuma alivyokua akimponda Trump.sasa kama ni kusifia basi ilitakiwa wasifiane hao ambao kiuchumi wako vizuri.punguza ujinga ww mpumbavu.
@ezekielkiduge87307 сағат бұрын
Kusema ukweli mabaya ya CCM ni mengi kuliko mazuri
@Mussaphanuel-p1q14 сағат бұрын
Watu wengine nawaona kama wapuuzi sana.kwani wana mkosoa sana Huyu Mtumishi wa Mungu.kwamba anafanya kitu inje na ufumishi wake.Hiki anacho kifanya ndo mtumishi wa kweli.kwani Yesu Mwenyewe ambae wakristo wanae mtegemea kama kioo.alikuwa hapendi kuona watu wakionewa.wote mnao mkosoa wajinga sana
@FrankgamanuelСағат бұрын
Kama Lisu hatokuwa mwenyekiti wa Chadema wengi tutaahqmia CCM.
@rebekakulwa615917 сағат бұрын
Mapolifisiemu ni kupigana nao kwa nguvu ya umma
@TibihikaGeradСағат бұрын
Vijana huu ni mda wa kumuomba mwenyez mungu tuwe na busara na kuheshima viongoz wa din na serikal walio madarakan maana mm waga sielew kinacho endelea nikiona mtu kama Askofu mwana Mapinduz anaipiga adharan serikal na anakuwa salama mda wote alafu mtu kutoka mitaan koment 1 tu ndogo anapigwa mitama kuna swali la kujiuliza kwamba ni kwer ni wapinzan au?🤔🤔
@KaidiMajengo-sv7dd14 сағат бұрын
MBoweagombee, uraisi
@Renatusmgusii15 сағат бұрын
Mimi naamini Mbowe amekiongoza chama hiki kwa uchungu mkubwa sana na kwa jasho na damu. Kamwe hawezi kukubali kumwachia mtu lege lege CHADEMA ikafe kàma vilivyokufa vyama vingine. Ninachoona na kuamini Mbowe ameona Lisu ni mtu anayeweza kusimamia kile ambàcho amekitengeneza. Binafsi nakubaliana na mabadiliko na Tundu Lisu ndiyo pekee kwà sasa anayeweza kuendeleza kile Mbowe alichokiweka.
Lieu no Simba agurumapo Simba angurumaye ninani hats raid Samia anmwita simba
@hijazhija31614 сағат бұрын
The Church
@richardnganya231113 сағат бұрын
How ?
@ObeidChamila15 сағат бұрын
Via Hilo vazi uvae gwanda ww sio mtumishi WA mungu ni mamruki tu ,huo ndio wito WA hiyo kola,??? Iko siku utajibu Kwa aliyekuita
@Mussaphanuel-p1q14 сағат бұрын
Kwanza mi nakuona kama mjinga usie juwa Bible vizuri.hiki anacho kifanya mchungaji sio kibaya.kwani hata Yesu mwenyewe aliwahi kutetea wanyonge.na alikuwa hapendi kuona watu wakionewa.huyu Ndo Mt wa Mungu wa kweli!! Acha kumkosoa kwa kitu usicho kujuwa
@richardnganya231113 сағат бұрын
Mtu wa Mungu yukoje na anavaaje ? Watu wa Mungu wanafanana kwa mavazi au matendo ? Badilisha mtazamo wako. Weka Nchi mbele.
@davidkawesa35945 сағат бұрын
Mjinga wewe
@JumanneKigori-fm1nn38 минут бұрын
Gwajima askusikie pole
@AhmedAdan-q9l12 сағат бұрын
Kaka chagua moja siasa au dini vitu viwili haviendi
@davidkawesa35945 сағат бұрын
Huwezi pishanisha siasa na dini
@enockamas93323 сағат бұрын
Kafanye ww deni mwache mtumishi atoe elimu.
@abeidkilamlya16 сағат бұрын
Fact
@geofreymilinga29658 сағат бұрын
Kwa siasa za Tanzania Lisu ndio anafaa kwa %100
@ReginaldMushi-l6dСағат бұрын
Na wewe ni mchovu sana!!
@bukurunestory35402 сағат бұрын
Asante Nyorobi unachukua nafasi ya Sam Mahela enzi zile