Nilitamani sana kusikia kauli kama hii ikitoka katika vinywa vya viongozi wakuu wa chama chetu,leo nimefarijika sana kwa namna Mwenyekiti alivyokemea watu kutukanana mitandao .
@Jal2102 сағат бұрын
Nyie wacheni kudanganya watu
@PelleSamkyСағат бұрын
Imani ya chadema ni watu wa wili Mbowe, na Lisu, msijidanganye akitoka mmoja wapo chama hakuna, hawafanishwi na yoyote , msije mkajipe Imani kaondoka Dr Slaaa , au Msigwa , nk mtapuputika , Naomba mjitahidi yasijetokea ya Prof lipumba na Maalm Sef. usione unakusanya watu u kajua chama kinapendwa , wanapendwa watu sio chama