Aslam Tz - Tukutane Mwakani (Visualiser)

  Рет қаралды 396,871

Aslam

Aslam

Күн бұрын

Пікірлер: 495
@chagaboy255
@chagaboy255 21 күн бұрын
Ngoma Kali sana na Messege Tamu sana Wallah ❤❤❤😢..Wale ambao wanaamini mwakani Ndio mwaka wetu,Gongeni like apa👊😒🤲
@DanbLaurent
@DanbLaurent 21 күн бұрын
Hikazi imeenda hii ni hit song nimekusoma mnyama big up Sana chaliangu gonga like Kama unakubali ni hit song tujuane
@chagaboy255
@chagaboy255 21 күн бұрын
@DanbLaurent Ni kazi nzuri kwakweri,ni zaidi ya Hit song👊💗💗💗💗.
@DanielLukumay-h7c
@DanielLukumay-h7c 7 күн бұрын
Tukutane mwakani 👉 2025
@AthumanbonyeBonye1
@AthumanbonyeBonye1 21 күн бұрын
Hii ngoma tuipeleke ifike ata 6 on trending mwamba kaupiga mwingi sana humuuuuu🎉🎉🎉🎉 tajiri mwakani
@LauzeniMushani
@LauzeniMushani 19 күн бұрын
Ngoma Kali saaan mwanetu
@samwelimpika3284
@samwelimpika3284 21 күн бұрын
Hiii ngoma umeupigaa mwingi najua kuna baadhi ya mashabikii walikua awajakujuaa ila hili goma likipigwa popotee lazimaa wakujuee eeeh tukutane mwakani 🎉🎉🎉
@BonheurNduwimana
@BonheurNduwimana 20 күн бұрын
Niko Burundi hii Ngoma ni kali saan ❤❤ tukutane mwakani 🎉🎉🎉🎉🎉
@Diamond_platinumztz
@Diamond_platinumztz 2 күн бұрын
Kazi safi, Namkubali huyu mwamba
@lamourvivantenterprises5511
@lamourvivantenterprises5511 20 күн бұрын
Hapo kwenye tuombe Mungu Sana hakuna kinachoshindikana tupo pamoja ❤🎉
@Badwinpalo
@Badwinpalo 12 сағат бұрын
Kwa imani mwakani yote yanatimia kwa jin la Yesu amina
@TozzyMselaa
@TozzyMselaa 21 күн бұрын
Mim sio wa kwanza Ila Kama unaamin mwakani ni mwaka wako weka like ap na comment ❤️
@suyaabdallah8748
@suyaabdallah8748 21 күн бұрын
kama unaamini mwakani tunatoboa gonga like
@OscarOmweri
@OscarOmweri 18 күн бұрын
kusema kweli mimi huyu dogo sijahai mjua but wimbo huu umefanya namfatilia,,,,,great song with a message,,,,,,,,,,more love from 254 ndakas
@Salma_Zuch
@Salma_Zuch 20 күн бұрын
My favorite song kuanzia mwak huu n yote inayofuat 🎉, napend san song zako Aslam n hii umeua 😻 yaan n🔥
@barrehotel-q5t
@barrehotel-q5t 5 күн бұрын
Eeeh Mwenyezi mungu kupitia Wimbo huu Mwakani utufanye tuwe matajiri Semeni Amina Tukutane mwakani❤
@eidduke7911
@eidduke7911 3 күн бұрын
Wacha ujinga
@dohaqatr8461
@dohaqatr8461 21 күн бұрын
Wadau hili dude nimeimbiwa mm😢😢madeni,kulipa rente hadi sina amani n mm na kulia kila cku natamani nipate pesa nijenge kwa shamba langu lkn sioni mwangaza Mungu wangu nifanyie wepesi ninfunguliye njia na mm na wanao pitai hali kama hii yangu ufute machozi tunajikaza mbele ya watoto wasituone wanyonge 😢naomba hii miezi ilobaki hadi mwakani Mungu anifanyie jambo 😊😊
@amandomwamanda9000
@amandomwamanda9000 21 күн бұрын
Ni kipindi cha mpito tu utavuka.
@DanbLaurent
@DanbLaurent 20 күн бұрын
Si wewe tu biziness money
@felixlema3903
@felixlema3903 2 күн бұрын
Man, hakuna kinachoshindikana ni kuomba Mungu sana na kuwa na imani isiyo na shaka hakika mwakani utakua wako in Jesus Name.
@JEANS-TZ
@JEANS-TZ 21 күн бұрын
Wale tulio toka kwa chino dio ume kuja huku tujuane hapa goma Kali sana 🔥
@Pre_Ten_nine
@Pre_Ten_nine 21 күн бұрын
Huu mwakaa sio wangu kabisaa anii me wakukosaaa hata bukuu kweliii😢😢😂😂 oiyaaa aslam hilii dude ni nyokoooo✊✊✊
@AthumanbonyeBonye1
@AthumanbonyeBonye1 19 күн бұрын
Crown media imeanza kuzaa matunda kwa kufungulia dunia talent tofauti🎉🎉👑👑👑👑👑
@cadarclever4224
@cadarclever4224 21 күн бұрын
Wakwanza Leo Aslam giniiiiii Mabaharia TUNASEMA AMEEEEEEEN MWAKANI 🔥🔥🔥🔥🔥
@SimonMtoi-j6l
@SimonMtoi-j6l 18 күн бұрын
Kaka Mungu atakusaidia sana utafanikiwa me nakuspoti sana
@charlesgeorge-o9s
@charlesgeorge-o9s 10 күн бұрын
Kaka umeimba ngoma kali hadi furaha ndani ya moyo wangu. Nakuahd tutakutana tu mwakan, huu mwaka tunawaachia wenyewe
@teddysananga
@teddysananga 21 күн бұрын
Hongera naona umeanza kuingia trending, mdogo mdogo tu
@SidatiSaidi
@SidatiSaidi 21 күн бұрын
huu mwaka ushakuwa mgumu ila mwakani ni mwaka wangu inshaallah
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 21 күн бұрын
Top norch, ngoma kali sana. Niko Sweden chuma ina bang hatari🎉
@LinusMasas-v1m
@LinusMasas-v1m 10 сағат бұрын
Unatupanga kama dayoo wew hili neno sio geni kweny masikio yangu😮😮😮
@gurtiraphael4581
@gurtiraphael4581 8 күн бұрын
Wazee hizii Ngoma za stamina zimenifanya nipoteze vocha Kwa mdaaa mana ni zamoto 💥💥💥💥💥💥💥
@DeboraMwasweba-ij4qf
@DeboraMwasweba-ij4qf 21 күн бұрын
Daa we dogo nikujikaza kama mwaka huu wa kufos 😂😂😂ile nyimbo ilinpa kiburi aisee 😂😂 ila mwakani aisee lazma kiumane ❤❤❤❤❤
@bronzerayz
@bronzerayz 21 күн бұрын
Nakukubali braza nipo huku Kenya Msanii mdogo mwakani nikutoboa....Bronze Rayz254
@relaxstarman
@relaxstarman 21 күн бұрын
Hit song natamani nitie vers langu humu bonge la ngoma🎉🎉🎉🎉
@DaudLazaro-n2c
@DaudLazaro-n2c 18 күн бұрын
bonge la wimbo angalia sana Chui asikuombe mfanye remix
@KarimuNandonde
@KarimuNandonde 12 күн бұрын
Ni kweli mwakan ni lazima nienjoy life ni mwaka wetu
@buja_fleva
@buja_fleva 21 күн бұрын
Toka pande za Bujumbura 🇧🇮 Tukutane Mwakani Bdi na Tz 🤝🏼 🤜🏼🤛🏼
@princemesh
@princemesh 21 күн бұрын
Alaaaa...hili goma nomaaa.....wakenya mko wapiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Elyboylapoto
@Elyboylapoto 21 күн бұрын
Humwaka mm niliupenda sana mwakani Nita pata son 😂 na gari zangu 😮 🚦
@elizabethmutha3738
@elizabethmutha3738 6 күн бұрын
Nyoma hiring kaiva kweli. Vibes ya kufunga mwaka 2024. Mashalaa 😂😂
@charlesmassawe7383
@charlesmassawe7383 18 күн бұрын
Tanzania bongo fleva imejaliwa vipaji balaa
@FrolaKhatibu-x7y
@FrolaKhatibu-x7y 3 күн бұрын
Tukutane mwakan jaman aka kawimbo nikiskia nafarijika naamini tutakutana mwakan kaz nzur
@samybaro3428
@samybaro3428 21 күн бұрын
Thank uh my Broh And all Manegment inayokusmamia kaka Oyaaaah UNSJUA SANAAA #Tukutanemwakani
@aviatorgamesignals
@aviatorgamesignals 14 күн бұрын
brother ngoma hit song nakubali ila, nakusaidia, hio ad ya youtube umewekewa vibaya, hata imebidi ni search..... ingekua iko mbali zaidi walai brother.. yani nkifinya advert inanipeleka kwa youtube ila sio kwa hii video.... wapi likes za ngoma kali
@NdundiJonathan-v9f
@NdundiJonathan-v9f 6 күн бұрын
Kazi nzuri my son mungu azidi kukupa nguvu na ainue kipaji chako
@hassanbilaly-cq1xe
@hassanbilaly-cq1xe 11 күн бұрын
Mwakani tutafika kwa kishindo sana inshaallah 🙏💪💪💪
@SaraphinaGodfrey-k2b
@SaraphinaGodfrey-k2b 8 күн бұрын
Ahaaa kumbe nilijua nimefeli kumbe bas tukuyane mwakani
@olisehnnkunga
@olisehnnkunga 16 күн бұрын
Oya umenimba sana fundi wa muziki pull up your socks #matajiri wa mwakan
@NyandwiFranck-e9u
@NyandwiFranck-e9u 18 күн бұрын
Alikuja dayoo Ivo Ivo akatwambia mwaka huyu ni wake apa leo unatwambia tuonane mwakani kasema tumuamini nani na tumpende nani jaguar acha bora ni enjoy apa apa kwa mwaka huyu kwanja kanambia jux
@romi-tz
@romi-tz 21 күн бұрын
Kaka we Noma sana umeua sana
@DurahRich
@DurahRich 20 күн бұрын
Shiiiih! Dogo mwakani utakua game changer🏆🎱
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 17 күн бұрын
Hii ngoma kali naamini atatokea msanii mkubwa atahitaji remix we ngoja tu😅😅😅
@OfficielBig27
@OfficielBig27 21 күн бұрын
🔥🔥 wakwaza jameni 🇨🇩
@manytz5618
@manytz5618 21 күн бұрын
Wanaosema hili goma limefunga mwaka tukubalianeeee kwa like
@salimsamora100-xc2ye
@salimsamora100-xc2ye 20 күн бұрын
Tumeamua huu mwaka sio wetu wa kuitwa boss ila tuonane mwakani,Inshaa Allah❤
@AminaAbdallah-s5n
@AminaAbdallah-s5n 20 күн бұрын
Ameen ameen ameen ❤❤❤
@AidanBulegeya-o6z
@AidanBulegeya-o6z 4 күн бұрын
Kazi nzuriii kaka mkubwa keep on 🎉🙏🙏🙏🙏🙏
@MagesaJunior
@MagesaJunior 21 күн бұрын
Huu mwaka🙌 ila mwakani lazima eshima yangu nipewe
@Kisendikabese-l7z
@Kisendikabese-l7z 2 күн бұрын
❤❤❤kibabe hata kinyoonge Aslam mwakani poa
@GeorgeNyoni-g3s
@GeorgeNyoni-g3s 21 күн бұрын
apa umewasha❤
@TotoKhan-wu6ns
@TotoKhan-wu6ns 20 күн бұрын
Mwakan
@AhmedMuhammad-h6b
@AhmedMuhammad-h6b 8 күн бұрын
Uko vizuri bro .nice song nice mssg
@silashemed4849
@silashemed4849 21 күн бұрын
🎉🎉🎉 wee mzee wa kuforce,nami nimeforce 🎉🎉tutakutana mwakani(huu 2024 ulikuwa wa kuforce) SHEGA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@agripinajingu3956
@agripinajingu3956 9 күн бұрын
Nilkuw simfaham huyu kaka nimemfaham kwnye huu wimbo ❤
@HonestBway
@HonestBway 21 күн бұрын
Kama unaamini Aslam tz anatupanga kama alivyofanya Dayoo kwenye huu mwaka, weka likes tuendelee kupambana bila motivation ya nyimbo zao 😂😂
@dicksongeorge7745
@dicksongeorge7745 21 күн бұрын
😂😂😂
@isco49
@isco49 21 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@MoshibakariMoshi
@MoshibakariMoshi 21 күн бұрын
Tuwa support tuuu 😂😂😂😂😂😂
@Dai-x6t
@Dai-x6t 21 күн бұрын
😊😊😊
@NikoWisk-i4i
@NikoWisk-i4i 21 күн бұрын
😂😂😂😂kabsa
@Joseph-57
@Joseph-57 15 күн бұрын
Kweli mwaka wa kufosi umegoma tukutane mwakani🎉
@choii_tz880
@choii_tz880 15 күн бұрын
Noma sana blood safari iyooo ya mwakan🙌🙌
@ReekJay
@ReekJay 3 күн бұрын
Namskia kayumba kwenye uimbaji wako...ngoma kali blood
@AminaAbdallah-s5n
@AminaAbdallah-s5n 20 күн бұрын
Tutaonana mwakan na tutaendeley kupamban bila unyong na sio matajir wa mwakan (maboss) hakun kinachoshindikan (amin amin)❤❤❤❤
@IsackDangi
@IsackDangi 5 күн бұрын
inshallah tukutane mwakan
@dianahmbughi7861
@dianahmbughi7861 14 күн бұрын
❤❤mob love from kenya 🇰🇪 I love the declarations and the energy in the song🎉❤
@jeffkonki8279
@jeffkonki8279 16 күн бұрын
Kipaji kipo umetulea sana kaka kwenye mapenzi na nyimbo zako tunakupenda na tunaoujua mziki wako hatuna shaka tunakukubali sana timbu boy # mshumaa,ndotoni,badokijana,nk
@Sportsupdate-t5q
@Sportsupdate-t5q 21 күн бұрын
Haujawai kuwa na kazi mbaya toka akapela Ile na yammi unajua broo,🙌🔥🔥
@IbrahimuJohn-nl1cr
@IbrahimuJohn-nl1cr 4 күн бұрын
Keep... Up on going mwambaa unajua.. unaweza...
@HusnaAlly-x6m
@HusnaAlly-x6m 16 күн бұрын
Umeua Sanaa hii nyimbo hongera sana dg
@AnicetiSabasaba
@AnicetiSabasaba 9 күн бұрын
Niko Congo nime pata ngoma kali
@malikzafarani172
@malikzafarani172 20 күн бұрын
Daaah ngoma kali mnooo guys 2sepe nayo 🔥✊🇶🇦
@BrightonSimfukwe
@BrightonSimfukwe 20 күн бұрын
Mwanetu umetisha sanaa ❤❤❤❤ barikiwa kaka ❤❤
@TALLUBOY
@TALLUBOY 5 күн бұрын
mwanangu ngoma hi tanzania mzima mzima itakutambua mzee
@ininahazwedaniella7948
@ininahazwedaniella7948 21 күн бұрын
Tukutane mwakani ngoma kali sana 🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@STARBORNHB
@STARBORNHB 21 күн бұрын
NAUZA POMBE YA MAVI UNALEWA DABALI PAMOJA NA DAWA YAKUONGEZA UKUNDU ❤
@chazzylukumay2059
@chazzylukumay2059 20 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@PandaKakozi-n9i
@PandaKakozi-n9i 20 күн бұрын
Bien sana
@alimwatajiri1202
@alimwatajiri1202 3 күн бұрын
Yote haya ni mawaidha kwa sisi tulobaki nyuma.tusijisahau huenda next ni mm au ww.ki kubwa nikumumba Allah akamkabidhi kitabu chase cha matendo kwa mkono wa kulia.
@tallianoclassic2005
@tallianoclassic2005 21 күн бұрын
🔥🔥🔥..wa kwanza hapa..like zije
@wamburapilly
@wamburapilly 15 күн бұрын
Mwaka wa kuforce umegoma, tukutane mwakani 🎉
@agripinajingu3956
@agripinajingu3956 11 күн бұрын
😅😅😅
@VishKhan-u8e
@VishKhan-u8e 21 күн бұрын
Owaaa nilikua nakuchukulia powa now salute
@Julianazena52Julianazena52
@Julianazena52Julianazena52 16 күн бұрын
Ngoma moto jamani ❤❤❤ fire 🔥🔥🔥🔥🔥🚒
@SharifuAlbughuli
@SharifuAlbughuli 20 күн бұрын
Hii nyimbo imekosa sound kubwah za midundo asee Ila ni. Kali..
@Dr_sammyFx
@Dr_sammyFx 19 күн бұрын
Upo Sahihi Kwenye Ilo La Midundo, Pengine Wanaweza Wakitolea Remix Wakarekebisha Ilo. Ine Pata Sounds Kama Za Ile Ya Dayooo Huu Mwaka Eeh. Ingevuruga Vibaya Mtaani Huku
@emilyMillyboy
@emilyMillyboy 21 күн бұрын
Hongera br kazi nzur ngoma kali na sijui hii nyimbo ndo ungeku kweny lebo kubwa sijui ingekuwaj ila honger sana br
@jameskyando178
@jameskyando178 21 күн бұрын
Wanangu mwakaniiiiiiiiiiiii.....
@AsukuluBikyoci-g2k
@AsukuluBikyoci-g2k 21 күн бұрын
Kaka umeuwa bhan umetisha❤❤❤🎉🎉
@skyscapeinternational9658
@skyscapeinternational9658 10 күн бұрын
ASLAM usingeingia on trend kwa goma hili ningejua uchacwi upo
@jovinestunner
@jovinestunner 15 күн бұрын
Kazi Nzuri Sana, Much Love To Aslam
@hamisisalim8793
@hamisisalim8793 21 күн бұрын
InshaAllah mwaka huu sio wangu,, tuonane mwakani big up broo
@ZakariaSuleiman-rm7hg
@ZakariaSuleiman-rm7hg 15 күн бұрын
Duh mwamba unatisha huu wimbo
@EmeldahOminde-gc3nt
@EmeldahOminde-gc3nt 17 күн бұрын
Direct from tiktok much love kutoka 🇰🇪🇰🇪
@nyaiteavea2977
@nyaiteavea2977 13 күн бұрын
Ngoma Kali kweli Huu mwaka bana eee
@DesireBon-filsdamour
@DesireBon-filsdamour 15 күн бұрын
Nyimbo nzuri saana❤
@lordmoriso6784
@lordmoriso6784 21 күн бұрын
Dude moja safi ya kufunga mwaka na kututia moyo tunapokaribisha baraka na ufanisi mwaka ujao
@ThomasMwaringa-p6r
@ThomasMwaringa-p6r 5 күн бұрын
Encouragement kibao..... tuonane mwakani wanangu.....gongeni like tukisonga mbele❤
@demskyjane6275
@demskyjane6275 10 күн бұрын
My people forever congrats on the new realese 🎉🎉🎉❤❤kama unawapenda chaps like tukisonga
@trestar_tz
@trestar_tz 21 күн бұрын
💥🔥🔥Hot blood Dude limeendaaaa Mzee💪💪 keep it up
@lecoltech1585
@lecoltech1585 21 күн бұрын
Dogo hii nyimbo ina gusa wengi wetu. Wimbo mzuri sana , keep it up 👏
@AndrewMakinda
@AndrewMakinda 20 күн бұрын
Upo good kaka
@majidyjames1245
@majidyjames1245 21 күн бұрын
Idea Kali kinoma
@Mavoice47
@Mavoice47 15 күн бұрын
tukutane mwakani 🎉🎉🎉🎉
@temuaidan
@temuaidan 20 күн бұрын
Uzuri hii ngoma ita hit kila mwaka asee maana haija specify ni mwaka upi🔥🔥🔥
Ndaro X G boy ft Kontawa_Nimpe Nini (official video)
4:07
Ndaro Tz
Рет қаралды 373 М.
Aslam Tz - Hanipendi Tena (Official Music Video)
3:46
Aslam
Рет қаралды 232 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 86 МЛН
Walking on LEGO Be Like... #shorts #mingweirocks
00:41
mingweirocks
Рет қаралды 8 МЛН
ТВОИ РОДИТЕЛИ И ЧЕЛОВЕК ПАУК 😂#shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 5 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 108 МЛН
Ruger, Bnxn - RnB EP Mix by Dj Kaylore
19:21
Dj Kaylore 🎧
Рет қаралды 1 МЛН
Chege feat D Voice & Billnass - Sir God (Visualiser)
4:46
Chege Chigunda
Рет қаралды 301 М.
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 2,1 МЛН
Mbosso - Ova (Official Music Video)
3:29
Mbosso
Рет қаралды 1,4 МЛН
Vanillah feat Ibraah - Hakunaga (Official Music Video)
2:44
Vanillah
Рет қаралды 502 М.
Dayoo Ft Jay Melody - I LOVE YOU [Visualizer]
3:11
Dayoo
Рет қаралды 56 М.
Loui V x Chino Kidd   Mkimuona Official Video
3:55
LOUI V
Рет қаралды 193 М.
Aslam Tz - Turudiane (official Audio)
3:22
Aslam
Рет қаралды 47 М.
DS Daniel_Kurasa_Official_Music_Video.
4:17
Official DS Daniel.
Рет қаралды 1,1 М.
Aslam Tz - Wakuniliza (Official Video Lyrics)
3:58
Aslam
Рет қаралды 160 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 86 МЛН