Aslay - Kwa Raha ( Official Music Video )

  Рет қаралды 2,911,135

Aslay

Aslay

Күн бұрын

Пікірлер
@chrissynjeri3694
@chrissynjeri3694 3 жыл бұрын
Kama bado wasikiliza ngoma hii ngonga like.hapo🔥🔥🔥
@YussufRamadan-wg8dq
@YussufRamadan-wg8dq 6 ай бұрын
Kama ungalia nyimbo hii 2024 gonga like hapa
@princessfettyrashidi2409
@princessfettyrashidi2409 6 жыл бұрын
😭😭😭😭 wimbo huu unanikumbusha mbali sana 😭😭😭 ila asante sana nitapona mdogo mdogo one day
@obedimwakagali7755
@obedimwakagali7755 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔kwa nn
@yfythecomedian4128
@yfythecomedian4128 2 жыл бұрын
Mbn🤨
@cebebwaploti
@cebebwaploti 2 жыл бұрын
Sorry Hadi mimi
@patrickboyd41
@patrickboyd41 3 ай бұрын
❤❤❤❤
@DEGESTAR
@DEGESTAR 6 жыл бұрын
Nani mwengine anae mkubali Aslay? 100% gonga like ya nguvu please 🔥 hiyi ngoma
@theonestmyaka3728
@theonestmyaka3728 6 жыл бұрын
Juma jux star yaaaaaaaaaaan aslay noooooooooooomaaaa
@seifsoud7708
@seifsoud7708 6 жыл бұрын
Young star juma tupoo
@mweyotv2
@mweyotv2 6 жыл бұрын
kwell boika San
@lilianilyaumi5707
@lilianilyaumi5707 5 жыл бұрын
Ilove him iam Liliany from Mtwara
@dafrozaezronin2536
@dafrozaezronin2536 5 жыл бұрын
Pa1
@benwuodnyaloka1217
@benwuodnyaloka1217 6 жыл бұрын
Wapi Team aslay??wakenya tuko chonjo ..noma sana
@wifematerial8943
@wifematerial8943 5 жыл бұрын
Hamtaka wa africa we zenu mwataka Hao shombe shombe mtafilisika sana...... Mama ndiye Mwanamke pekee ambaye ana mapenzi ya dhati kwa Mwanawe ila hao kuku wa kizungu zao pesa tu wala mapenzi Hawana.... Mungu warehemu mama zetu walio tangulia mbele za khaki aamiin
@dvjskinnyofficial2473
@dvjskinnyofficial2473 6 жыл бұрын
aslay motoo wa kuotea mbalii #gonga like kama una mkubalii hajaii koseaa #KWALAHAAAA
@salimuomary4501
@salimuomary4501 6 жыл бұрын
baba huna mpinzani kula raha baba nakukubali mpk naumwa we ni nomaaaaaaa
@charitekato6283
@charitekato6283 5 жыл бұрын
Ulichopata kile ukitakacho ukanikimbia kumbe tapeli wa mapenzi misikujua aiweee love you Aslay
@payasstudios92
@payasstudios92 6 жыл бұрын
Jaribu ujio tofauti nwanangu Aslay, nikitazama magoma yako kama Baby, Mhudumu, Kidawa, Likizo ni kama unazungumzia vitu sawa tu.Tangia mwaka jana ni goma la "Hauna" pekee ambalo kwa mtazamo wangu ulikuja tofauti. Kwahivyo bwana mi nakupenda ila nahisi kuboeka na namna mambo yanavokwenda. Ni mtazamo tu
@janethgatoni5981
@janethgatoni5981 6 жыл бұрын
Kila ninapo sikiya nyimbo zako wanipaga nguvu yakuto musaliti wangu mpenzi. Nakupenda bure Aslay
@johnlyatuu2763
@johnlyatuu2763 6 жыл бұрын
duuuuhhhhh
@mweyotv2
@mweyotv2 6 жыл бұрын
nijibu pnde zp
@rachelgisiri4331
@rachelgisiri4331 5 жыл бұрын
nakukubali sana
@ernestndauka9301
@ernestndauka9301 6 жыл бұрын
Hivi Kenyans mnashindaga KZbin au?!! Maana sio kwa koment hizi!!! Daaaah!!! Mmetisha zaidi ya wenyeweji wenye mtu wao kudadeki!!!
@tusaradrusia7112
@tusaradrusia7112 6 жыл бұрын
Wa kenya mpo Kama unamkubali aslay gonga like hapa👊
@linomedi9037
@linomedi9037 2 жыл бұрын
Mapenzi yamekuwa yakiumiza watu kila siku iwe kwa kusudi au kwakutokea kosa dah!!sijaamini kama leo na mimi nipo humo,umeondoka na moyo wangu mamaa wakat mwenzio nilishakupenda.ningum sawa
@muusmile4419
@muusmile4419 4 жыл бұрын
Kama unaiangalia hii ngoma 2020 ngonga like 2po pa1🔥🔥🔥
@douglasmakori356
@douglasmakori356 6 жыл бұрын
Umeondoka na moyo wangu mamaaa.....wakati mwenzako nilishakupendaaa
@thuwaibaabdallah1538
@thuwaibaabdallah1538 6 жыл бұрын
upo juu bwana asikwambiye mtu daaah asante dogo
@jacobmuhanyi276
@jacobmuhanyi276 6 жыл бұрын
kijana naiman kwa hapo imetosha kama nikuamin big up sana endelea ivyo ivyo take 100asilimia,by Jacob muhanyi rukwa mfinga
@Nkomazi
@Nkomazi 4 жыл бұрын
This guy is good 👌👍 Thumps up. I love the humility he portrays in his music videos.
@anitasikazwe6261
@anitasikazwe6261 6 жыл бұрын
Kwa raha kwa raha zako kwa raha aisee we mkaka ni mnoma sana Mungu awe pamoja nawe penda sana kazi zako
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 6 жыл бұрын
Kati ya wasanii ambao ukiskiliza kazi zao au ngoma zao hazi choshi kuskiliza ni #Aslay Hii ngoma kali nimeikubali kama vp tumpe support Gonga like twende fresh haijalishi we kabila gani .
@wanenetv9672
@wanenetv9672 6 жыл бұрын
DAWA ZA ASILI/TIBA ZA ASILI/: kzbin.info/aero/PL_DSXHfkoymz_mON4Y4rJ7Tu9HulfT8W7
@rapandooscar9306
@rapandooscar9306 6 жыл бұрын
Wimbo mzuri. Aslay. Naamin Mimi ndo shabiki wako sugu Kenya hamna anayekuenzi zaidi yangu
@evansletting9972
@evansletting9972 5 жыл бұрын
Ameweza nampenda tu sana
@derickrozy3213
@derickrozy3213 6 жыл бұрын
If you agree Aslay is coming more better than other superstars wa bongo hasa wale walolewa ustaa. Gonga like kuagree au dislike kukataa
@msjanet1868
@msjanet1868 2 жыл бұрын
2 days to 2023 and I'm still loving aslay ...Wacha like hapa kama Bado wampenda
@raphaelgadau2783
@raphaelgadau2783 6 жыл бұрын
Ni shida aslay saizi badilisha mfumo wadau tumekukinai kuyasifia mapenzi wengine hatujaumbwa kupenda.
@kenzokora1046
@kenzokora1046 6 жыл бұрын
Love from Kenya🇰🇪
@michaelmasijah724
@michaelmasijah724 6 жыл бұрын
Aslay we ni fundi & unajua ukifanyacho...keep it up hommie
@deegeeo7176
@deegeeo7176 6 жыл бұрын
You are understood around the world even when one does not understand Swahili your songs are a masterpiece please keep up the great work love you Aslay from Rhode Island USA
@amospambe8160
@amospambe8160 6 жыл бұрын
Kwa mashairi uko vizuri nakubali.. #🔥
@eznahsue5782
@eznahsue5782 6 жыл бұрын
team aslay gonga like hapa ....🔥🔥🔥kwanza fans wa254 mko wap
@b9media144
@b9media144 6 жыл бұрын
Nadhan hii n maalum kwa Nandi. Pole sana dogo!! Skuiz mapenz hayaend bila cash na hata km ukimpenda mtu si lazma umwonyeshe! "Na wenyenazo wanawatumia wanawakatia mkwanja wanawapa mimba wanawakimbiai
@gracejames2573
@gracejames2573 6 жыл бұрын
Apart from Rayvanny, Aslay remains my favorite Tanzania artist
@limbumboyi1233
@limbumboyi1233 6 жыл бұрын
Hakika aslay hakika una kipaji, wanaojilinganisha na ww bdo sana
@edmondjr17
@edmondjr17 6 жыл бұрын
mansula wa moyo wangu mama ndie ulieniacha mimi njiapandaaah! umeondoka na moyo wangu mama wakati mwenzako nilishakupenda ....🙏👏👏❤❤ Gonga like kama umeipenda basi twende sambamba
@sengelaomar5201
@sengelaomar5201 5 жыл бұрын
napenda hichi kipande
@edmondjr17
@edmondjr17 3 жыл бұрын
2021 🤓
@emymacharia5439
@emymacharia5439 6 жыл бұрын
Kali sana aslay.... uko tuu sana nakupenda buree
@esposwit5213
@esposwit5213 6 жыл бұрын
Iyi ngoma ni moto moto...kwa Raha ..Kama una mkubali ..aslay..mikono..just..usi sahau ku subscribe naku Share ..na like ..yako ..moja
@ngwenaentertainment1429
@ngwenaentertainment1429 6 жыл бұрын
Duuh sio mchezo bro yaani full mahisia,,from 254 yetu ni makofi tu
@officialkatanga
@officialkatanga 6 жыл бұрын
umetisha mzee baba.Weka like yako hapa kama unampenda Aslay
@raimajimoto1122
@raimajimoto1122 6 жыл бұрын
Wee mtoto nyimbo zako zinanisisimuaaa mwili wangu....I love you uje nukupoze moyo
@ibracadabra7687
@ibracadabra7687 6 жыл бұрын
Naona dogo hapoi dah! Hit after hit
@lucasmarco8490
@lucasmarco8490 5 жыл бұрын
Nakupenda San
@tamipromotions6356
@tamipromotions6356 6 жыл бұрын
Am TAMI TIKA MASTULAH FROM UG #aslay kip it up we do love you so much here in ug dear I love so dear .....❤🎶🎶🎶📺🎙🔥🔥🌍I wish you success🌍🌍🌍🌍
@daltonotieno7698
@daltonotieno7698 6 жыл бұрын
I'm not a fan of bongo music that much..but I gotta admit it, this guy is good..his voice is unique
@laizsuke8265
@laizsuke8265 6 жыл бұрын
Umeyapanga mpaka hakuna ladha ya nyimbo zako tena unaimba kwa fujo mnoo
@ivinechemtaimasai83
@ivinechemtaimasai83 6 жыл бұрын
Nilitoka jana team wcb....ssa niko team aslay😁😁kwa raha zangu🙌🙌🙌nawakilisha wakenya kwa mpigo
@juweyriyahhyder4771
@juweyriyahhyder4771 6 жыл бұрын
Ivine Chemtai Masai 😂😂Welkam😜
@wigofleva6142
@wigofleva6142 6 жыл бұрын
Ivine Chemtai Masai subscribe ktk Chanel yangu nami in sub kwako asnte
@tysonriungu422
@tysonriungu422 6 жыл бұрын
Ivine Chemtai Masai 🙋
@ivinechemtaimasai83
@ivinechemtaimasai83 6 жыл бұрын
zenjiPO zenjiflavour promo online poa da
@alexwetaba1900
@alexwetaba1900 6 жыл бұрын
Ivine Chemtai Masai kama kawa
@aidanndomba3611
@aidanndomba3611 6 жыл бұрын
Badilisha na toni kidogo maana naona kama zifanana baadhi ya nyimbo... Hongera wimbo mzuri...
@nguikitonga2373
@nguikitonga2373 6 жыл бұрын
kali aslay asee,keep it up bro
@bisengobubasha
@bisengobubasha 6 жыл бұрын
Ngoma nzuri sana
@bilalbinali1227
@bilalbinali1227 6 жыл бұрын
watching from south africa ngoma kalii #aslay kwa raha🔥🔥🔥
@wycliffemuleshi1090
@wycliffemuleshi1090 6 жыл бұрын
Hawana shukurani wanakutapeletu #kwaRaha @asly nice song
@tiktoktanzania2832
@tiktoktanzania2832 6 жыл бұрын
Hujawai kosea baba...gonga like kam unamkubali aslay
@starnewstvtv1126
@starnewstvtv1126 6 жыл бұрын
SuperDuper Tv Kwel kabis
@danyellodhiambo
@danyellodhiambo 6 жыл бұрын
Mzigo mbichi na moto.......gonga like ibishe mlango ya Dkt. Magufuli.
@maureennyadzua6394
@maureennyadzua6394 4 жыл бұрын
Humble down to earth boy, less scandals. I love your music bro.
@Dellvinricardo
@Dellvinricardo 6 жыл бұрын
wakenya tupo ndaaaani ndaaaani kwa mpigo aslay babu yao waonyeshe 👏👏👏🔥🔥🔥
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297
@mkaliwenuoriginalpleasesub9297 6 жыл бұрын
kama wew ni team WCB na umeiyelew hii ngoma gonga like yako hapa.
@issaboykaguru6582
@issaboykaguru6582 5 жыл бұрын
Nakubal mkali kwa kaz yako
@hozakiungu1541
@hozakiungu1541 Жыл бұрын
Huu wimbo 😢😢 😭 umenikumbusha penzi langu mungu nisaidie nipone hili jeraha
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 6 жыл бұрын
So so beautiful.This boy is disciplined both in style and lyrics
@jacklinndosi268
@jacklinndosi268 5 жыл бұрын
Wewe tena hata ufanye nn utabaki kuwa the best ,unajua sana
@sidebadekassim3
@sidebadekassim3 6 жыл бұрын
Nakukubali sana kijana
@drwicho9906
@drwicho9906 5 жыл бұрын
Umenipa ugonjwa kama vile degedege🦅☺️
@tomnzubalebye1589
@tomnzubalebye1589 6 жыл бұрын
Yaan ni kwa rahaaa aisee kusikia ngoma zako mkuu
@doreennasike6298
@doreennasike6298 6 жыл бұрын
Ngonga like hapa kama unakubaliana na ##kwa raha #lmeweza
@abdulkarimmohamed1974
@abdulkarimmohamed1974 5 жыл бұрын
Safi sana
@JuliusMghendiCreations
@JuliusMghendiCreations 6 жыл бұрын
Ngoma wazimu......kali sana Asley......napenda usanii wako.......warembo sumu kaka
@julytyga9804
@julytyga9804 6 жыл бұрын
6k views in less than an hour thanks aslay for always setting the pace love from +254
@leonardlema1915
@leonardlema1915 6 жыл бұрын
Hazina yako haionekani kukauka anytime soon..... Great music!
@basamtv6881
@basamtv6881 6 жыл бұрын
Safi sana tunakutegemea wakubwa wenyewe vichwa maji piga kazi
@romanustv6365
@romanustv6365 6 жыл бұрын
Ngoma kalisan kwa rahaaaaa qultiiiiiiii xnaaaaa..#
@kueenj7806
@kueenj7806 6 жыл бұрын
Oh my this guy is so talented I still listen to his music even though I don’t understand half of what he’s saying
@georgethuita3440
@georgethuita3440 6 жыл бұрын
Biti moto kama pasi.... Unaseta anga Aslay...kwako wao zero... Gonga like kama unakubali Jiwe limeweza sana. 💓💓254
@Elitetribepodcast
@Elitetribepodcast 6 жыл бұрын
Comment ya kwanza nipeni like 254
@marthamutuku2267
@marthamutuku2267 6 жыл бұрын
You're not alone. # 254♥🌹
@ashuraashura296
@ashuraashura296 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 6 жыл бұрын
woooooiii😥😥😥😥😥😥😥aslay wewe..🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@BinJustinKs
@BinJustinKs 6 жыл бұрын
Kali sana
@joshuamakima5515
@joshuamakima5515 6 жыл бұрын
Nimekubali hiyo hiyo ngoma ##kwa raha aslay
@officialsimbaa4672
@officialsimbaa4672 6 жыл бұрын
Sisi mashabiki wako tunakuombea mema kwa kila unacho kifanya mungu yupo pamoja nawe aslay big up brother
@moseskalinga8299
@moseskalinga8299 6 жыл бұрын
nmpenda uyo mbwa ,ananyonysha
@manumchaga3102
@manumchaga3102 6 жыл бұрын
Unatoa nyimbo nyingi ila zote nikama moja tu .kwanini wasanii tz. Amubadiriki eti na weye unataka uwe kimataifa.🚷
@tiliphelalahuma720
@tiliphelalahuma720 6 жыл бұрын
Nice job brother 😍😊👌
@Fahad-rn5tq
@Fahad-rn5tq 6 жыл бұрын
aslay dogo hamia kenya huku twakupenda sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa sisemi kitu sauti yako tosha haushikiki dogo wameze wembe mahaters au wavimbe wapasuke
@terianakiss762
@terianakiss762 6 жыл бұрын
+254 i represent my country kenya we love you aslay awesome song
@mariamwaziri5691
@mariamwaziri5691 6 жыл бұрын
waooo hukoseagi nawala huwasijutii kukupenda
@wendywainaina5145
@wendywainaina5145 6 жыл бұрын
Terian Akiss True ! I love Aslay #254
@joyceboniphace4428
@joyceboniphace4428 6 жыл бұрын
Kwa walioachwa nawashauri wasisikilie nyimbo za aslay.......ila ngoma za Aslay zinaleta ham ya kula na zinaongeza damu mwilini pia
@ChoperTV328
@ChoperTV328 6 жыл бұрын
All the way from Iraq Idont understand the language but its hotter than fire🔥🔥🔥. @Aslay ana hatari sanaa😂😂
@semenimussa8403
@semenimussa8403 6 жыл бұрын
Pamoja sana
@emmanuelmajovenee8954
@emmanuelmajovenee8954 6 жыл бұрын
moto uleule toa kitu weka kitu wale wa aslay weka jiwe la like apo
@hildaombay6520
@hildaombay6520 2 жыл бұрын
It's 2022 but the song is still lit 🔥
@dennisnyaanga3681
@dennisnyaanga3681 6 жыл бұрын
nasikiza kutoka kenya...aslay amebwaga hadi simba
@saadmgendi8537
@saadmgendi8537 6 жыл бұрын
Aslay hiyo kuondoka na moyo wako veeepe
@fatumawatigomwakio7571
@fatumawatigomwakio7571 6 жыл бұрын
Kwa raha wakenya tupo....
@mohammedahmed2795
@mohammedahmed2795 6 жыл бұрын
Aslay
@hamyasaid5465
@hamyasaid5465 5 жыл бұрын
Kenya wanaomkubali aslay weka like zenu apa twende sawa Kenya oyeeeee;
@romanjuliusmwanabuta7499
@romanjuliusmwanabuta7499 6 жыл бұрын
Kumbe ulitaka kipato aaaah kumbe ni tapeli wa mapenzi...#asley umetishaa
@hamisidon4023
@hamisidon4023 6 жыл бұрын
mashair mazur balaa ila biti sijaielewaa....ilitakuwa kuwa kaliii zaid ya nibebe....
@emilymutuse4733
@emilymutuse4733 6 жыл бұрын
Every song from this guy is a hit
@HenriHSP
@HenriHSP 6 жыл бұрын
Ivi maneno yake Asley itaishaga kweli.
@RomanusTv
@RomanusTv 6 жыл бұрын
*UMESHA NIFILIISI ETI HAUNITAKII, SAWA MWANA KWENDA MIE NITAPATA MUNGU AKIPENDAA*
@njurincheketv8024
@njurincheketv8024 6 жыл бұрын
Kama pasi
@azizshahame3689
@azizshahame3689 6 жыл бұрын
Romanus Tv haya kakaa
@azizshahame3689
@azizshahame3689 6 жыл бұрын
Romanus Tv haya kakaa
@binjabiri9600
@binjabiri9600 6 жыл бұрын
Romanus Tv waoooooooo
@bulabilliontz
@bulabilliontz 6 жыл бұрын
*Hahahaha huyo Dogo ngoma Sana akimbize tunampa saport*
@paulgodwini2910
@paulgodwini2910 6 жыл бұрын
Nakubali mzee baba uko vzr sitochoka kusikiliza mziki wako big up sana
@iamnayray
@iamnayray 5 жыл бұрын
bado inatisha hady mwaka huu 2019 pita na like kama bado unamkubali doggo
@mussaqr9142
@mussaqr9142 6 жыл бұрын
wew chaguo langu namba moja bongo hakuna mwingine @Aslay one one bongo one
@kake_alicios7620
@kake_alicios7620 6 жыл бұрын
Kiatu kizuli🌟👌
@swalhaabdallahabdallah5951
@swalhaabdallahabdallah5951 5 жыл бұрын
Mambo
@lucymkenya956
@lucymkenya956 6 жыл бұрын
Kwa raha zangu,kwa raha song tamu,wakenya mpo kwa raha zetu .penda wewe sana
@charlesndungu9931
@charlesndungu9931 6 жыл бұрын
Nyinyi tz mko sawa tunawasupport lakini kwetu hamsupport is beta ata tuwaache...EastAfrica nikikusupport pia wewe suppprt
@zipporahwanjiru
@zipporahwanjiru 6 жыл бұрын
pewa johnie walker mbili nakuja kulipa
@dindon2282
@dindon2282 6 жыл бұрын
Tatizo kazi za wasanii wa kenya hawazi promo,
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 6 жыл бұрын
wakenya promo bado mbna Khaligraph tunamsuport
@yahayaissaissa3133
@yahayaissaissa3133 6 жыл бұрын
charles Ndungu xx
@Dr.zaidi4
@Dr.zaidi4 6 жыл бұрын
charles Ndungu sasa kama tunapromote miziki ya vishindo,kelele na matusi.Kwa ufupi nchi yetu ni ya majambazi na matapeli how do u expect such an organised people in poetry and lyrics to support us?
@mudially8784
@mudially8784 6 жыл бұрын
Kama wewe unamkubali aslay kama mimi basi kwa raha kama nyimbo yenyewe inavyoxema gonga like la nguvu
@str3ss3dtv68
@str3ss3dtv68 6 жыл бұрын
Kama na wwe umetoswa na demu unaempenda, gonga like #WAKUTOSWA
@veronicanemesi2686
@veronicanemesi2686 5 жыл бұрын
Uko vizuri mdogo wangu aslay
@aloycemazikuoffocial4261
@aloycemazikuoffocial4261 6 жыл бұрын
nakubali Dogo kama una mkubali gonga like
Aslay - Hauna (Official Music Video)
3:37
Aslay
Рет қаралды 8 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Rudi
3:16
Aslay
Рет қаралды 65 М.
Aslay - Totoa ( Official Music Video )
4:39
Aslay
Рет қаралды 5 МЛН
Aslay - Chuki (Official Music Video)
3:26
Aslay
Рет қаралды 3,9 МЛН
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips Dan
32:55
Duncan Kips Dan
Рет қаралды 2,3 МЛН
Osama,Podo ft Aslay - HOMA (official video )
3:37
Podo
Рет қаралды 1,6 МЛН
Tunapendana
3:35
D Voice - Topic
Рет қаралды 254 М.
Aslay - Nibebe (official Video)
3:52
Aslay
Рет қаралды 10 МЛН
Aslay ft Mh Temba - Niwe Nawe
5:17
Mkubwa na Wanawe
Рет қаралды 83 М.
ASLAY- Nichombeze
4:18
Aslay
Рет қаралды 2 МЛН
Nyaku Nyaku
4:08
Aslay
Рет қаралды 722 М.