Ni vizuri aslay amepunguza uzito... Alikuwa akinenepa haraka sana. Wimbo na video ziko top, Nimezipenda...Shout out kwa Podo, He is the artist to watch for.
@yuzoyuzo49746 жыл бұрын
Kweli mumekutana mafundi watupu gud song
@dominicnzai82566 жыл бұрын
Imefika mjini hiii mara pap.....#Aslay#Podo#Osama....alafu Aslay na Osama Kama vile Adhukiba na king I say twendenu nalo mziki mzuri lzma upenyee
@mikanivlogs91485 жыл бұрын
Naipenda sana hii song mmmmmm nimesha kukubali Mtu wangu Aslay king👑 of music🎤🎼🎹🎶
@jumaradhomary85916 жыл бұрын
Nmeiangalia mara 10. Nmeisklza mara 10 Ila nmeshndwa tofautsha saut y Osama na Aslay
@PatrickOlindi6 жыл бұрын
Aki nampendaga dogo langu aslay,nipe like ka unaamini Sihaka anasupport vipajil
@husnasalim55695 жыл бұрын
Yaan we aslay nymb zako nazipnd zot alafu sinaniliwaz San nikiwa n mawazo mungu akuongezee kipaji Mara 2 yake
@hadhilhaji99565 жыл бұрын
patchez msafi
@abdulnassir34244 жыл бұрын
Pia
@ezekieljames97726 жыл бұрын
Huyu alieimba mwisho fundi sana sijuwi ndo Podo
@djafrolatest8676 жыл бұрын
First to comment,,,wapi likes za aslay tukisonga,,
@kefakanunbajamankaziyamora46196 жыл бұрын
ngoma karii
@tonkud21115 жыл бұрын
ki
@judithkimaro93424 жыл бұрын
Mery
@cayvinderick30325 жыл бұрын
Nazikubali sauti za hawa ndogo.....napenda Aslay anavyowainua wadogo wake. InshallahInnipa Homa
nice aslay ninakumbuka sana hiyi song nilijifunza sana mupaka Léo nakomaa nikisikiya sana fan kutoka DRC Ama Congo nice
@habarileoleo6 жыл бұрын
Hii kazi nzuri sanaaa. Kwakweli nimeipenda. Nafurahi sana kuona Aslay ukiwashika mkono vijana wenzako, hivi ndivyo inavyotakiwa.
@nancysammy34424 жыл бұрын
Huyu si yule dem aliharibu vitu kwa Ray😂😂....okay sauti gani ya Aslay juu nikama tunafanana zote....nice song brother Aslay 🥰
@Ombwori_116 жыл бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪 before 2k views 😀🔥🔥🔥
@marikopafredi6 жыл бұрын
*podo nijuwe me kuwa shabiki wako wa kwanza*
@bohochic45596 жыл бұрын
Daaa watapata homa kweli... 254 squad here❤
@chipmunkscovers35496 жыл бұрын
gonga like kama wafikiria Aslay na Osama wafanana
@abdallahiddi81356 жыл бұрын
yaan nyie mnajua mpka mnakera sanaaaaaaaa nawakubali sana wanangu na baba enu
@_NinaThuku Жыл бұрын
Aslay kama waniskiza jameni usiache kutoa ngoma. From Kenya❤❤❤
@timilaisebastian59425 жыл бұрын
osama unajua kuimba mdogo wangu ila jalibu kutengeneza icon ya sauti yako usiimbe kama aslay
@philiposhilingi72886 жыл бұрын
ngoma hii inautamu wake kwa kum-bembeleza baby jamanj
@princesebastian32386 жыл бұрын
Podo you are the best, I hope and pray one day you will get the recognition you deserve. God bless you.
@shabanmwanshur65336 жыл бұрын
Osama na podo wanangu nawakubali kinyama ngoma zenu kitambo nasikiliza vile mkiimba mnakuwa safi msiachane shirikianeni pamoja na aslay nawakubali kinyama
@philiposhilingi72886 жыл бұрын
osama sauti kama aslay podo sauti kama kayumba lakini tofauti yao ni moja sula mwonekano akili zao ni tofauti kwaiyo hatakama wangekuwa wanne bado tu hawawez kuganana.mbona wana wake na wanaume ni watu wa aina moja lakini kila mmoja wao huwa anamiliki michepuko zaidi ya mi NNE ukiuliza atakwambia ladha tofauti iko wapi anaijua yeye👍👍👍💑💪👏😹😹😹.
@nipherseiph125Күн бұрын
yes wote walikuwa pamoja
@deulemwangolo11 ай бұрын
Hio collabo iliweza 🎉🎉🎉❤❤❤ infact at first I thought ni Aslay pekee,,,, much love from Kenya 🎉🎉❤❤
@rayzonevic40412 ай бұрын
Aslay angetengenrza lebo na hawa dogo akawa rais wao...ingekuwa noma
@zuhuraissa59596 жыл бұрын
kila hatua dua wapenz wa Mimi mungu aendelee kuwaangaza kwa kazi nzuri
@janetdavid17325 жыл бұрын
Nice aslay. Wewe nimkali sana kweli 💖💖💖💖💖 mambo ni 💥💥💥💥💥💥💥💖💖💖💖💖💖💖🙏🙏
@moya-moya16 жыл бұрын
hawa ndo wanaume wa dar halisi sasa,mmetuwakilisha vizur sana
@mwanambeeke Жыл бұрын
Wallahi hiyo ngoma mliimba vizuri😋. So sweet hongera sana wakuu
@manisule76686 жыл бұрын
Osama ni moto wakuotea mbali mwaka 2019 uwe wa ngoma tuuuu ngoma safi sanaaaa video safi sana
@estherlandusa88735 жыл бұрын
Good bro mambo ni Moto Sasa twende sawa na aslay
@johnmembayusuph5906 жыл бұрын
Hachana na uzuri wa ngoma, kuna kitu kingine cha ziada kwenye hii ngoma hasa hizo mapamba wametupia humu yaaani ni kiwango cha lami mazee
@philiposhilingi72886 жыл бұрын
damu ya east afrika hii APA inaomba like nzito kutoka kwa mashabiki wanaopenda mziki mzuri
@evelinewilsone41376 жыл бұрын
Nice kaz nzuri team #homa naipenda yan sichok kuisikiliza jamn 🔥🔥👌👌👌👌 Jamn mamb ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯 mwendo mdundo
@ezekielyalex76736 жыл бұрын
homaaa. iko poa sanaa ume uwaaa mwamba
@pasiasumaic51456 жыл бұрын
Nyimbo ya ki toto hiyo kabisa WCB imewapoteza wate nyie kama unahamini gongo like haka😰
@azizacleny86776 жыл бұрын
sema hizo saut mweee aslay na osama shkamoon uuwi🏃🏃🏃
@danieldebelius023 жыл бұрын
Sauti zote sinafana Sana ukisikiza audio uwezi tafautisha Wingo safi Sana
@xhadyxhady41866 жыл бұрын
Aslay u have done it+254🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeikumbali
@skyrapperkibonze81934 жыл бұрын
karibu +254 kaka wewe humri wa kwangu sana mzigo una ujumbe kwangu kaka aslay
@kangethegaudenzio81746 жыл бұрын
Congrats....team 254 nimekuwa nawafuatilia kuanzia mkubwa na wanawe..mtatoboa tu mabro kazaneni podo na osama
@dullahtonny79896 жыл бұрын
osama kweli unapita melody za aslay lakn unafanya poa kama yeye ndo maana kaamua kufanya kazi na ww... afu ww hyo unajuwa lop yu ninja wangu nimekubal kazi
@issaissa73415 жыл бұрын
Noma sana Aslay utakuja kuniacha hoyi washa moto
@swabrinahamisi68576 жыл бұрын
watapata homa sana mpka wambea..nice song
@dingimtoto3525 жыл бұрын
Ngoma soon 1million Na itafika nakubali #DingiMusicForLife
@momozoafricanmedic78466 жыл бұрын
I now see Aslay's vision, keep it up bro uko kwa right path na utakua na ur own label .....believe that
@rayasmartcollection66306 жыл бұрын
Looooohhhh! Kaliiiii mnoooo bx muwe hivo hvo kama group hivi yan ni fireee
@samuelmuthembwa41894 жыл бұрын
Aslay moto wa kuotea mbali😀 baba na mziki wakeee
@paschalpatrick9046 жыл бұрын
Hit song Baby tuendeleee na mapenzi yetu wachawi wasisogelee
@vanny57366 жыл бұрын
Osama amekomahaaa kweli Nice song my they Brothers
@gabriel_tz29896 жыл бұрын
Nazani mimi ndio wa kwanza kukomenti 🔥 🔥
@jemedarybadboy62886 жыл бұрын
tokea kenya hii naikubali sana 🔥 🔥
@ladyummy14146 жыл бұрын
endelea kaka upo sawa sanaaa , I like you Asley, from Mombasa
@nanalincy67705 жыл бұрын
Kule aslay yko lazma nifike Nakuru represented
@slimted7595 жыл бұрын
Kama unamkubali Vixen wa Aslay 3:26 gonga like #NaturalBae Hapa nimekuja kuvuruga tu😎😎😎
@aliesinyen69305 жыл бұрын
Ni ya 2018 but hadi sasa 2019 nairegelea nikiregelea. Tamu sana hii
@limbumboyi12336 жыл бұрын
Ngoma kali sana hiii
@superrockboysongs70616 жыл бұрын
Noma naipenda. Sanaaaa kinoma zuriii
@danielclassic254vevo56 жыл бұрын
Dah! Kweli watapata homa fire fire +254 nipewe like
@amosmutunga966 жыл бұрын
Niko nawee
@jumafaustine9896 жыл бұрын
Podo fundiiii
@amosmutunga966 жыл бұрын
Vijana fundi! Alafu sauti kama wamezaliwa na mama aslay
@bintimohammedrashidrashid49296 жыл бұрын
Daniel parsanka ausio
@danielclassic254vevo56 жыл бұрын
@@amosmutunga96 hahaha umeonaeee
@Wamikogo6 жыл бұрын
Weka like kwa Aslay
@dubikenzotz67576 жыл бұрын
nooooma Sana ngoma kalii adi ina washa
@abdallahkajugusi61716 жыл бұрын
Sijawah kurudia nyimbo ila hii nimeirudia zaidi ya Mara 10 aiseeee
@johnmwangi24356 жыл бұрын
Ngoma kali. Sana vieo balaaaa 💯✅🔥🔥🔥🔥🔥🔥💣💣💣💣💣💣💣💣💣🚀🚀🚀🚀🚀
@amraniibuo43576 жыл бұрын
Safi sanaa keep it up brothers kazeni mwanga umekaribia
@gabrielyedward5086 жыл бұрын
Daa noma sana
@ahmaduweje4636 жыл бұрын
Kizazi sana mmetixha wazee√√√
@masawe_work_shop4 жыл бұрын
Kama unamkubali podo gonga like👇🏻👇🏻
@dullahtonny79896 жыл бұрын
ngoma homa... dah bonge la ngoma wallahiii.. woooooooooooow
Au naona vibaya naona Osama anapenda swaga za Diamond kama sio mm peke gonga like, kuimba kama Aslay gonga like, Dis like kama hujarudia rudia kama mara tatu na zaidi kwa Osama, Osama au ni mdogo ake Aslay maana namkumbuka kwenye TMK mkubwa na wanawe
@Dubai_Fine_6 жыл бұрын
wakenya ndio hawa sisi
@abdulgeuka39856 жыл бұрын
Mbona wamefanana na aslay wote amna kipya hapo wawe creativity na tone yao huyo chapodo anaimba kama kayumba
@christmhema95006 жыл бұрын
Duuuuuh so kwa kufanana kwa saut hko but bonge la song... Weka like twende kama umekubali... .....chris*tz
@suleimanswale18516 жыл бұрын
That is good song
@malikihemfaume39066 жыл бұрын
Bonge la ngoma podo safi sana
@ibrahimissa62614 жыл бұрын
Nani kam aslay ila napendag san watoe ngom na mbosso man niwasanii weny kipaj kikubw san
@ashurasalum82906 жыл бұрын
Nilitaman hii nyimbo iwe yako Aslay
@muditelela77206 жыл бұрын
Muko vizuri ipo safi sana
@zuberimbua36324 жыл бұрын
Anaemuona nana wa rayavnny em gonga like
@ericmulwa14725 жыл бұрын
KAMA WAMUONA NANA APA GONGA LIKE. 2019 STILL WATCHING
@halimasimwnza95475 жыл бұрын
Eric Mulwa nimemuona kapendeza
@gaudencemdegela97956 жыл бұрын
Nakupenden wote mungu awajalie
@annalehani59035 жыл бұрын
I suggest DNA for Aslay and Osama these two relate too much. From voice, body shape and face. Nani yuko na mimi?