Sema asante mungu kwa kuimaliza January salama ukiwa na afya tele❤❤❤
@MeshackBlasio-o8d7 күн бұрын
Asante Mungu
@AbdallahYasini-h4o7 күн бұрын
Asante mungu
@ayubumbaras7767 күн бұрын
Umetishs
@TeresaSefu-i3k7 күн бұрын
Asantee mung
@FredrickYustus7 күн бұрын
Asante mungu
@Albatishabani7 күн бұрын
Acha ni wape maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉, yanyi sija wai ona mutu mwenye hekima yaku hishi na mke kama manyanya namipenda sana toka drc 🇨🇩 ebu nipeni basi na mimi ata kumi tu.
@hayatuanasi7 күн бұрын
Vipi Hali ya usalama huko?
@herygusto76377 күн бұрын
Ww unapata wapmda wa kucoment na kwenu kuna vita
@mustaphamores78067 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@EmileNkunzimana-dg9ky7 күн бұрын
😂😂😂😂😂Nini mbaya na mwenzako
@BlandinaNsuhuzwa7 күн бұрын
Jmn yeye yupo sehemu salama@@herygusto7637
@msanzyahamisstv61847 күн бұрын
Kipindi vai anaomba mwenyezi mungu amrudishie mume mda huo huo mati anaomba mwenyezi mungu amuweke manyanya kwenye maisha yake kweli hii dunia wakati kitu kipo kwako unakiona hakina thaman siku ukija kujuwa hiyo thamani unakuwa umechelewa tujifunze
@MwanasitiBakari-l4v6 күн бұрын
Kabisa 😅😢
@ChristinaLodrick-xo9je6 күн бұрын
Yeah
@tontony17136 күн бұрын
Iii ni kweli
@NdikumanaInnocent6 күн бұрын
Vai anawashauli wabaya
@isackjackson6 күн бұрын
Haswaaa
@Samueljacksons5 күн бұрын
Manyanya top 1 actar now here in bongo movies hahahahahah is good chukua maua bro 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@allymachejo29966 күн бұрын
Ndo ivo tu mambo ya "Gusa Achia Twende Kwako" 😂😂😂🙌
@boyspeed89536 күн бұрын
Ubaya ubwela😂😂
@CharlesPastory-d6c6 күн бұрын
Jamani Vai ndoa haijalibiwi nakitu unacho kipenda hakihitaji hasira utamkufulu mungu bule pole Yako nawapena sana washiliki wote wa sirizi ya dunia mungu awazidishie ujuzi mnatufunza mengi
@manyanya-016 күн бұрын
mungu awabariki nyote mnaofatilia kazi zetu
@ibrahimamad84426 күн бұрын
🙋
@JoyceMwalwisi-n7i6 күн бұрын
Amina
@DesderiaKanepela6 күн бұрын
Jamani Manyanya nakupenda wewe movie zako,,,uko💪
@MariamMamaRuja6 күн бұрын
Amiin
@GR7bb6 күн бұрын
Ameen ❤❤
@RubaleTv5 күн бұрын
Ongera sana Manyanya kwa kuiwakilisha vyema Sanaa na ongera kwa KAZI nzur pia yakuendelea kuelimisha jamii🎉🎉🎉🎉 Gk Kibuka🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@SanjerSaimon7 күн бұрын
Mdeme ananifurahsha wallah😂😂. Vai pole mwana kuliget mumeo alikupenda lkn ukamdharau tujifunze jmn
@innocentivan-u3r6 күн бұрын
hakika movie hii ni elimu tosha Kwa Wana ndoa Asante sana mwenyezi mungu Kwa kutukumbusha majukumu yetu sisi Wana wako wa kiume na wakike kupitia movie hii nina watakia afya njema washiliki wote wa tamthilia hii ya Dunia.Tuko pamoja
@ZuleikhaMrisho-iw9cy7 күн бұрын
Wote mnaongalia movie hii ya dunia Mungu awabaliki sana❤❤❤
@EliasiMambia7 күн бұрын
Amina
@WillysonShilagwa6 күн бұрын
Aminaa!
@IssaNiyonzima-cx1jo6 күн бұрын
Amiin
@MiriamIdza-j3t6 күн бұрын
Amen
@NassimJuma-r8l5 күн бұрын
Kipande cha 47 bado jamani au vp
@GloriaMumbua-s9x4 күн бұрын
Aki ndoa ya mdeme jameni wanataniana niaje bila ungovii😂😂😂😂😂😂😂😂jameni eti pole rafiki yangu aki surely 😂😂😂😂😂😂
@ShamiraHamza7 күн бұрын
Kwenye shida ndio tunamkumbuka mungu,, ee Allah tusamehe waja wako hayo ndio madhaifu yetu hata vai msamehe 🎉🎉
@mmmh-s4w7 күн бұрын
We mbona chombo ya kwenda alafu una vitu zangu kabisaa😂😂😂😅😅 wanaomkubali Mdeme weka like zake hapaa
@RidhiMajidi7 күн бұрын
Nip na ww fam😂😂😂
@cheupeomarijasho7487 күн бұрын
Hii comment ndo nilikua naitafuta😅😅
@MariaSalim-u5z7 күн бұрын
Simpendi mdembe anamadharau 😂😂😂😂
@UmayyaMunisi7 күн бұрын
Nipate mwamba anambie kubabake nawauza wote humu😂😂
@faidamuhamed30117 күн бұрын
Ana naneno yake ya kihuni kweli
@diseladaniel6006 күн бұрын
Naipenda dunia. Tumeanza nanyi familia zote hazina watoto hapa tupo mpaka manyanya apate watoto wa pande zote mbili na sind apate mtoto wa aman. Twende sawa😂😂
@ElishaShibanda2 күн бұрын
Kuna watu wanajua kuingiza Sio utani
@TifaSaid5 күн бұрын
Nimefulah Leo kumuona mshang'@z, mauwa yake mshangaz🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@Manyanya.Manyanya7 күн бұрын
Tunawapenda sana endeleni Ku enjoy na Tamthilia YETU pendwa ya Dunia 🙏 ila ningependa kuwa omba mnifollow piah kwa upendo wenu ndugu zangu nyinyi ndo kila kitu kwangu🙏 Thanks all for support
@kingfocustzog7 күн бұрын
Kaka hiii chuma ebu kwa wiki iwe inatoka mara tatu
@daviderasto1927 күн бұрын
Umejificha wapi? Au ndio upo kwa mati?❤❤❤
@MarryGodwin-b5t7 күн бұрын
❤
@SabrinaChacha-l5f7 күн бұрын
Jaman Vai yupo kwenye maombi huku kamkumbuka na mungu wake ety fanya urud maana hii lig haiwez kwel alijua shirikisho kumbe kilabu bingwa @@daviderasto192
@edithcasmir25657 күн бұрын
Siyo mara tatu tu ila hata ikiwa kila siku ni sawa tu afu isiiishe 😅😅😅😅maana kuna mambo kwa kupitia hii movie yenu nimeyabadilisha🫶🏽🫶🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽yaani Mungu mwenyezi azidi kuwabariki sana na miwe juuu kimataifa❤
@natashadaniel50997 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 ila mdeme jamani, ety nimeshikwa sana 😂😂😂 jamani tunao enjoy kuiyona hii familia na vituko vyao tujuane apa 😂😂😂😂🎉
@iddkessy7 күн бұрын
Familia ya Mdema Kwa Sasa ipo motoo kuliko hata Kwa Cindi
@VioraKaaya-z5t7 күн бұрын
Tuko pamoja @@iddkessy
@MercyMapenzi-u3p7 күн бұрын
Nawapenda paka bas😂🎉🎉
@ScolaNalle7 күн бұрын
Wanaishi kisela sana 😂😂😂😂😂
@RosenatzPetro-pg7zd7 күн бұрын
Acha an mndeme apo kwenye hii sin kacheza kama mpale haswaaa
@isayamandawi24586 күн бұрын
Mdeme mzee wa vitu vyang unaua kinoma bro 🎉🎉
@AshaKiongozi-n5u6 күн бұрын
Baba asma 🎉🎉🎉 ulitulia saan hongera kwako ombi ukimaliza Dunia lete ingine Kali tunakupenda saan
@NaomyJohn-hd4bq7 күн бұрын
Hahaahahah jmn ndoa ya mdeme,,,unatakiw mwanamke humzoee tu mmeo,,man ukinuna utakufa mapem😂😂😂😂
@agnestunu55277 күн бұрын
hii ndoa ya mdeme ni uhalisia wa ndoa ya dadangu😂😂😂 mm huwa nasema si waachane tu
@EsterEmmanuel-k8i6 күн бұрын
😂😂😂😂
@UtulivuHalisi-fq9ii6 күн бұрын
😂
@shedyeliud40836 күн бұрын
L Nimechekaaa hadi looo
@ToqVasco6 күн бұрын
Usikute basi nindoa yako ila unambambikizia dada yako😂😂 make wabongo
@Shakila-pq2gv5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂@@ToqVasco
@KwochaNkulu7 күн бұрын
Mjifunze kitu apo : umejifunza nini tangu mwanzo !! From DRCongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AmiriallyAhamadi5 күн бұрын
Hii filam isiishie hapa maana mambo ya dunia bado hayajaisha kwan mmefanikiwa kuonesha maisha ya ndoa but bado mambo kama rushwa ya ngono unyanyasaji uongozi mbaya
@mankinishee7 күн бұрын
Sema familia ya mndeme inanipa furaha mungu awazidishie umri 😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nawapenda nyie❤❤❤
@UmurutasateKhululaini7 күн бұрын
Hatamimi nawapendasana ila flm yote waliomo niwa Junius sana
@buritya61257 күн бұрын
Wanani furahisha sana hawo watu wawili
@IdrisaAbdullah-xo6hs6 күн бұрын
Sana yan
@DevothaDaudi-s1c5 күн бұрын
😂😂😂😂
@jacobmwaseba91425 күн бұрын
nampenda yule mwanamke kwa sababu hakasiriki yani yeye mda wote ni furaha yani wanaishi Kama marafiki, anamjua mume wake vibaya
@fahmafongo-s1t6 күн бұрын
Kazi nzuri unaendelea kufanya vizur manyanya sisi wanawake tunaunguza na mboga kiss kuang alia dunia.
@Esther01-g1h7 күн бұрын
Tujifunze kuwaeshim wenza wetu ili kudumisha mahusiano,hiyo inasaidia kuongeza upendo na kuepusha matatizo,,nawapenda♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@SelinaDorcas7 күн бұрын
Nikweli kabisa I love more
@NyamambaraLey7 күн бұрын
Wengine n pasua vichwa
@JemaMsule6 күн бұрын
Sichoki kuitazama hii move jaman .......unafunza mengi sana🎉❤❤❤❤
@JanethKimbindu7 күн бұрын
vai mtu bhn tusimkumbuke mungu kwenye matatizo tumkumbuki ata kwrnye raha🎉🎉🎉sina acha ya kufundwa tena nafundwa na DUNIA.
@moreenrehema13477 күн бұрын
Kbs yani😂😂
@Johnbida75597 күн бұрын
Mungu azidi kuwabariki watayarishaji na watazamaji wa film hii 🙏
@KINGABUMEKAR7 күн бұрын
ANAYEIONA HIII COMMENT MUNGU AMLINDE NA MABALAAA YA HAPAA DUNIANIIII AMPEEE MWISHO MWEMA AMEEN
@MiracleMark-i9y7 күн бұрын
Amen
@RabiaSaid-sh1km7 күн бұрын
Ammin
@RoseAinea-q8u6 күн бұрын
Amen 🙏
@GressRichard6 күн бұрын
Amen
@SakinaHemedi6 күн бұрын
Amiiin
@BeatriceMvaty4 күн бұрын
Mbegu aliopanda imeota😂😂 vai n mam mshauri kapata weeeeeee
@MelinaMerlins6 күн бұрын
Leo Vai kamjua mungu 😂😂😂 wachezea ndoa ww
@PatrockilJohn-s3p7 күн бұрын
Mungu ndo Kila kitu ndo maan kawapa nguvu na uwezo wa kufika Hadi leoo hii 🙏🙏👍💯
@NusratDotto6 күн бұрын
Uwiii mdeme leo kavunjaaa recodi anataka kubaka mke😂😂😂😂😂
@gloriaburamu88186 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MuthomiKelvin-q1w6 күн бұрын
Hapo ka bro ndio Mdeme ameskia uzito
@ZandaIssa-w8z6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JanethiJason5 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@tumainmkinga11905 күн бұрын
😂😂😂
@ElizabethSwetala6 күн бұрын
Mmmmmh kumbe vai anajua kuomba kama hofu ya mungu angekua nayo tang mwanzo lakn saiv mda sio wake pole sana
@KarolinaOman7 күн бұрын
Kwa maombi sawa kabisa Vai ila sasa Imani bila matendo kazi bure ,kikubwa kubadilika kwanza Vai ,walio muhurumia Vai tujuane kwa like hapa ❤❤❤❤
@AngelisterGervas6 күн бұрын
Naipenda sana hii series... Mungu awazidishie maarifa... Hongera director unafanya kazi kubwa sana
@MoTalentTz6 күн бұрын
Sema kwenye movie hii ya dunia kuna hili penzi la Mndeme nalo siyo powa😅😅😅😂😂😂
@EvaWide4 күн бұрын
Team dunia forever nawapenda sana❤ mwezi wa pili ukawe mwezi wa baraka kwenu nyote🙏
@MarryMethodi7 күн бұрын
Vai umevunja ndoa yako Kwa mikono yako mwenyewee usimshilikishe Mungu Kwa ilo pambana Na Hali yakoo😄😄
@JacksonChimataa6 күн бұрын
Vai umenifundisha kitu kikubwa Sana Mungu akubarki sana wanawake wanapaswa kuwa kama wew katka sehemu ya kumrudia Mungu ili kujua kuwa ni wap umekosea big up
@SuleMondi-l2o6 күн бұрын
Uyo bad hajajua wala hajajifunza ndo kwanza Anaamin mumewe karogwa sijui roho za mapepo wakati yy ndo mchawi mwenyew Alosababisha yote 😂
@MarynahAloyca6 күн бұрын
Mungu wewe ndio dereva wetu wanaishia yetu tupiganie Mungu. Kama unampenda Mungu sema Amin 🤲
@JoseDuas-o8k6 күн бұрын
Mnvn vuri
@MariamuKaisi6 күн бұрын
Amiin
@JoseDuas-o8k6 күн бұрын
Om dangote Simba ok
@GivenessNnko-c3q6 күн бұрын
Amina
@JustinGama-qy1tp6 күн бұрын
Amen🙏🏽
@Goal_Scored6 күн бұрын
Hii muvi nimetokea kukubali sana. Kila wakati naimba. Nipee nipee nipe hesabu ya kukokotoa tuishi milele jibu....❤ Mtupee huo wimbo jamani
@bin-wales7 күн бұрын
Hii inaitwa funga mwezi , asante mungu kwa kutulinda tumemaliza mwezi salama
@Hassan-ci2kl6 күн бұрын
Much love from Kenya 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤ kweli mnafanya Kazi poa sana
@malichanda31467 күн бұрын
Vai weee Usha chelewa mpenzi 😢😢😢😢manyanya yupo huko anaogeshwa 😢😢😢wala huja logwa
@GiftPallangyo-q5y5 күн бұрын
Et saiv Vai ndo anamkumbuka mungu wakati mda umeisha ...alimfanya mume wake awe hv kweli....mpeni pole kwa like jaman ❤
@mubuyafrancis39797 күн бұрын
Mndembe njoo uchukue😂😂😂❤❤ Yani kashtuka kama anataka apewe Kwer aise ❤😂😂😂😂😂
@tausiMweusi7 күн бұрын
😂
@JanethKimbindu7 күн бұрын
mbavu zangu😂😂😂😂😂
@mubuyafrancis39796 күн бұрын
@@JanethKimbindu uspime kama ukiwa na upwiru aise 🤣🤣🤣
@ErickJonhfredy7 күн бұрын
Ukitakaa kujua Mengi kuhusu ndoa angalia iyi movie ya dunia utajifunza Mengi !!! MR MANYANYA 💯💯💯💯💯💯💯💯💥💥💯
@zawadiphilemon24507 күн бұрын
hatimae jamani imetoka laah tangu jana nashidaa tuu humu kwa ajili yenu muwe mnawaiwah bhana hatakama mmejua tunaipenda dunia
@EuverusJohn-b7w4 күн бұрын
Hahahah mdeme na mke wako mmetisha sana😂😂😂😂 nawakubali sana 😂
@Raphaelzephania-Tz6 күн бұрын
Wangapi ambao wame enjoy maneno ya mndeme 😂😂NIMESHIKWA "San..😅* gonga like 🤙👏
@NduguMwananchi-v4l6 күн бұрын
Naona mm ndo nime enjoy mara 7 yako 😂😂
@FaridaShabani-h3p5 күн бұрын
Hem nijbu huwa vpande wanatoa lin had lin
@SHAZIMINA557 күн бұрын
Munguu atujaliye mwisho mwema sote kabula ya umauti atupe kauli yakushahadiya . Poleni sana wenye ndowa ila munatutisha nikifikiriya ndowa😢😢😢😢😢
@AlexAbraham-o2t7 күн бұрын
Amina sana balikiwa
@zaqiamusah64566 күн бұрын
Allahuma amiin
@GermainNyakarhanazi6 күн бұрын
Mungu athakuona dada usiongope
@SHAZIMINA556 күн бұрын
@GermainNyakarhanazi Mh lazima kuogopa ukijikuta simuongeaje ndio kabisa yani
@MiriamIdza-j3t6 күн бұрын
Ingia ujionee
@TumainiBee7 күн бұрын
Vaileth Hadi maombi duuuh! Kama umeona kaumia kweli gonga like hapo 😂😂
@FatmaMohammedAliphan6 күн бұрын
Anaomba lakin bado hajajuwa kosa lake hadi ajuwe kosa lake kwanza atubu 😂😂kazi anayo
@FaridaMwasenga6 күн бұрын
Kosa lake nini
@rigeiyenyika5706 күн бұрын
@@FatmaMohammedAliphan😂😂
@godsoncharles1356 күн бұрын
Kama ulianza movie mwanzo utakua umelijua kosa lake.Kwa ufupi manyanya kabadilika kutokana na maneno ya mkew na kutokujishusha of which vai inasymbolize wanawake wengi cku hz@@FaridaMwasenga
@NeemaernestnonyaNeemaernestnon6 күн бұрын
duuuu vai kapig maonbi yakuto haaaaaa kasha cherewa
@AjibuAnwaria4 күн бұрын
Mmeicheza dunia ya ukweli Kila mtu katk karata yake mmeigusa Sana dunia asilimia zote manyanya vaireth matrida mudi na mkewe mdemee na mkewe Nawote mnao shirki kuicheza dunia nakupenda matrida sana
@Mtzo667 күн бұрын
Mdeme sijuw mbeme na mkewe wanavituko kweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Catherine-j3o6d7 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi nachekag kwa nguvu hawa watuuu
@GOZBERTMTASINGWA7 күн бұрын
Napenda hii Couple
@NeemaLodrick7 күн бұрын
Yaani hawa kama sio mke na mume yaani wapo wapo tu😂😂😂😂
@Mariam-du8qj7 күн бұрын
Mdeme n mke wake nmecheka pka bx
@SteveKinyekile-jy7xc7 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@FainaJaffari7 күн бұрын
Naipenda dunia aisee hii movie ni kali mno mmenifanya niachane na HUBA❤❤❤
@JamilaRajabu-g8p6 күн бұрын
Jaman wanao ikubali familia yavituki na kumkubali mndeme tujuane Kwa like hapa😂😂😂😂😂😂😂
@YahyaMtonyi5 күн бұрын
Ivi lile konzi hamjaliona alilopigwa mudi kama umeliona like hapa 😂😂
@ValentineLister-y4p5 күн бұрын
Mkonz hatari umekubali
@danielmalamba57303 күн бұрын
Kitaaalam linaitwa konzi mbonyeo😂😂😂
@NdayisengaEspoir-m9t6 күн бұрын
Jamani mtaniuwa kbx maana utamu huu umenizidi na leo niona niseme ukwe tu mimi nampenda sana Mathilda sana tena sana ila manyanya usiliye niona niseme tu ukweli
@MeckitilidaTushabe-or9hu7 күн бұрын
Asee Mko makin Sana na hii lesson ya Dunia big up Kila mmoja
@NuruNgolle6 күн бұрын
Omba toba vai hiyo njia ya maombi ni nzuri atarudi ila ungeenda kwa mganga ungempoteza kabisa Mungu anasamehe na kusahau
@TonyJohn-w5o6 күн бұрын
Vai hapa sasa wew sio wa level za bongo yaan wew ni moto unajua hadi unajua tena nakukubali sana vai unajua mama nawapend wote mlio shiriki tamthilia hii dunia ni moto
@JacobBukuku5 күн бұрын
kuna movie za kibongo aph kuna dunia... Mtunzi katisha sana muv ipo kwa mtiririko mzuri na matukio yenye uhalisia wa maisha yetu ya kibongo.... umetisha sana mwanetu Mungu akupe nondo nyingine nyingi zaidii... umejua kutukumbusha namna ya kuishiii kwenye uhalisia na sio dramaaa znazondelea duniaaaniii. Blessed
@ZuhuraSalum-l3u7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ mungu awabariki jmn naomb like na mm 😢
@janethkabigi78957 күн бұрын
😂😂😂😂😂 mi na enjoy sana vai kuteseka dawa ya jeuri kibuli
🤣🤣vaiiiiiiiii unajitekenya mwenyewe afu unacheka mwenyewe 🤣🤣🤣🤣hapo Badoo Niko naww had uone mtoto wa manyanya Kwa mchepuko😂
@LestarViolet-z4s6 күн бұрын
😂😂😂😂
@JacksonHassan-l9r6 күн бұрын
Unaakili sana nakupa bugger up
@MiriamIdza-j3t6 күн бұрын
Safiii
@mohammedkidody56184 күн бұрын
😂😂😂
@Arafatikadiri5 күн бұрын
Duuuh dunia ni mwalimu mbaya san ukikosea ata mara moja2 ua hasiti kukuazbu😂😂
@saidiadallah-ol8lh7 күн бұрын
Dah sema VAI unajua mama,, leo ngoja niseme initoke unajua sisi waigizaji hakuna scene zina2wazisha kama scene za kulia
@Skyglory4546 күн бұрын
Ila mdeme na mkewe jmn jmn 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 had raha maish yao nayapenda kwa kwel
@LeahPeter-pr6cq7 күн бұрын
Sitaweza kucheka vai 😅😅hapo kwa maombi umeweza ndio akirudi tena umurudishe
@douglasnyatuka6 күн бұрын
Nimenifunza mengi sana kutoka kwenu.mungu awabariki
@HidayaNzunda-f3f6 күн бұрын
Duu jaman na mimi leo nipeni like kabla sja mwambia manyanya
@NikwisaSimtowe7 күн бұрын
Vaileth mwanamke huvunja ndoa kwa mikono yake sasa ndo wewe,umekosa Utii,heshima kwa mumeo sasa vuna ulichokipanda😢😢
@MathayoMmole7 күн бұрын
Ingekuwa kwenye fotball tungesema manyanya is the best ataking midfielder in the world
@WinnfridaEthane6 күн бұрын
Aiseeeeee story ni nzur Sana na kilatu kajitaid kuicheza vinzur karata Yake kiufup mmejua kuelimisha jamii mmecheza uhalisia wote ❤❤❤❤
@hamzaIlunga7 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet mudi muzungu la bar🎉🎉🎉❤❤❤
@EdisaLaul7 күн бұрын
Maty na manyanya hawajaonekana kwenye hii episoda gonga like kama hujapenda kama mm😢😢😢
@GloryJohn-zk4uo6 күн бұрын
Wapo.honeymoon
@AkissaBecky6 күн бұрын
@@GloryJohn-zk4uo😂😂😂😂😂
@auntcheu6 күн бұрын
Wamenikera tu kuweka watu wa mikopo alafu hata hawaeleweki😢
@fatmaathumani71166 күн бұрын
Cjaangalia alafu nakutana na comment km hii 😢😢😢
@SaidaMajidi-md1kv4 күн бұрын
Haw kaush dam wanakera htr
@DixonBramb7 күн бұрын
Ivi ukiachana na familia ya manyanya , mnaifatilia familia Yenye vitu vyangu😂😂😂😂
@salamaseleman77397 күн бұрын
Hii familia ina vituko sana😂😂😂😂
@EsterEmmanuel-k8i6 күн бұрын
Hii familia noma sana nawapenda me wananchekesha sana😂😂😂
@SomoeSaidy5 күн бұрын
😂😂😂
@priscakimburi-sl9ml5 күн бұрын
😂😂😂😂😂Yan hii tamthilia siezi taka bwanangu a watch mana ntaachwa kweli ju sjaachana mbali na vai, Sasa heri nwatch peke yangu npate mafunzo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@HamzahMisugwi-my3jp4 күн бұрын
Mmmmmh umetisha
@priscakimburi-sl9ml4 күн бұрын
@ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣au sio
@HusseinTofikiJuma7 күн бұрын
Manyanya usirudi, enjoy zako mainsha na nyumba ndogo, uyu vay ni kierehere sana,bado ajatubu mpaka atubu😂😂😂, yani we manyanya kidume kweli kweli
@MargaretAsiko-h2y6 күн бұрын
😅😅 Vai nakumbuka uliulizwa na manyanya kama vita unaviweza
@HawaNjiku5 күн бұрын
Tatizo kamdomo kamemponza ila ndo funzo kubwa kwetu sana
@NiyonzimaDidibel5 күн бұрын
😂😂😂😂
@SalmaSirili3 күн бұрын
Kimemlamba😂😂😂
@tunukimwery43957 күн бұрын
Mdeme unanifurahishaga sanaaaa yan swagar zako nakupenda wallah❤🎉🎉
@consolateurmgeni67723 күн бұрын
🎉🎉🎉 acha ni wape mauwa yenu ijapokuwa ali.ya inchi si nzuri apa Goma🇨🇩 Goma njo tuko mbembe to thé wold
@issaNgomanziza6 күн бұрын
Vizuri kabisa kazi nzuli mlio yifanya ni issa from BURUNDI
@MadigiMethod6 күн бұрын
Yaan Azam tv nalipia kifurush bei kubwa kwa vitu ambavyo havina ata mafunzo makubwa kama ya kwenye series hii kwann series kama hizi wasizipe vibali jamn maan so kwa mafundisho haya😊
@missyoung33866 күн бұрын
Wanaboa hatari iyo number 10 marudio saa5 usik asubh4 mchn ovy ovy
@MadigiMethod6 күн бұрын
@@missyoung3386ni shida tu yaan mpak unajiuliza wanatumia vigezo gan au ndo kutuibia
@ClementTracisius7 күн бұрын
Mdema bana wanawake wanajizima data akiamka apo tu kwenda kwa binti wa kaz wivu kibao😂😂😂
@ntahomvukiyeeric65085 күн бұрын
Wanaofurahishwa nahiyi cauple ya mdembe kama mimi wagonge like tujuwane😊😅😅
@NgoshaThedon-o9e6 күн бұрын
kama unamiin mungu ni mkubwa kuliko hiii movi gonga like hapa
@Alice-qc2tk4 күн бұрын
Mmmm jaman ndo nn
@drascahbt9993 күн бұрын
Yani watu wana mambo. Asa anamfanisha Mungu na movie 😂😂😂@@Alice-qc2tk
@MercyKahindo6 күн бұрын
Vailet wew ni mwigizaji mkubwa sana nakukubali kinoma yani
@TibeTwabx6 күн бұрын
Amesahauu kama vita ameanzisha mwenyewee
@everlynewekesa10227 күн бұрын
Ila vai ukamufukuza mumeo mwenyewe bt kazi nzuri sana nikupe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@nsabimanalovelly77087 күн бұрын
Imagine sasa na anafanya maombi anataka mme arudi😅😅😅
@MichaelAlly-m1q5 күн бұрын
Nakubali san wanang mnajua manyanya ee salut kwako kaka unajua mpaka nam nataman
@SalumuMayamba6 күн бұрын
Hi move nazid kujifunza vitu vingi sana hongeren sana
@njau_isaya7 күн бұрын
Mungu nijalie hekima kama manyanya Pia nijalie mwanamke mtiifu kama matty🫡🫡 salute Rais wa wanaume manyanya unatuwakilisha mkuu
@estherobed86936 күн бұрын
Ungekua mkubwa tungeoama sema ni mdg so Mungu akupe haja ya moyo wako
@njau_isaya6 күн бұрын
@@estherobed8693 😁😁😁 hakika
@VéroniqueMwange-d8e7 күн бұрын
Mwana kulitafuta mwana kulipa,vaileth alikuwa napanda yeye mwenyewe mbengu mbaya sasa asubiri matokeo❤🎉
@JapanDullahBoy6 күн бұрын
😅😅😅😅hawa wa mikopo wasenge kwel kama hyu rich siakabebr matofal tu kakos kaz hyu ahhhh
@Michujo_queen4 күн бұрын
😅😅😅wee Acha tuu
@Officialshabani97 күн бұрын
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
@JescaJosephati7 күн бұрын
Amin
@ZainabSalum-y9v6 күн бұрын
Amiin
@MohammedMwagarash-ki8nt6 күн бұрын
Ameen thuma ameen
@RestutaCasmiry6 күн бұрын
Amina
@WillysonShilagwa6 күн бұрын
Aminaa!!
@abigaelmokandu89787 күн бұрын
Hahahhaah 😅😅uliaribu ndoa Yako mwenyewe alafu wasumbua Mungu Wacha upumbavu ,wee ndio kamtoa mumeo Kwa nyumba utalia sana
@RodrigueIgomokeloLody7 күн бұрын
Nilikuwa naisubiri sana iyi from🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba lik ata moja ndugu zangu
@KhareedJr5 күн бұрын
Manyanya we msaliti tu m ata sikusapot sema na ndoa za kikrso nazo mateso ingekua Waislam ungemuacha na ukamuowa mat