Allah Akbar🙏! Kama Unaamini Mwenyezi Mungu Amekupa Nafasi ya Kutazama Hii Episode ya (48) Gonga Like hapa, Tuwape nguvu Team Dunia Series❤❤❤🎉🎉
@Mrszizo-d7t5 күн бұрын
Usiombe like kwa jina la ALLAH my dear kua makini na mambo yako
@shubeyk5 күн бұрын
@@Mrszizo-d7tkwahiyo kuna Sehemu Nilikosoa Ukubwa wa Allah, Au Unajua SAna Sheria wewe na kumkataza mtu asimtaje Mungu wake? Pia Nashukuru Kuwa Comment yangu imekufanya Umtaje Mungu Wetu🙏🙏
@MAULAKOMBA-d3p5 күн бұрын
🎉
@MANYANYA565 күн бұрын
Asanteni wote mnao tusapoti
@Mrszizo-d7t5 күн бұрын
@MANYANYA56 Ila punguzeni kutuzingua tunapenda sana kazi zenu ila kuna mda mnatia hasira unakuta mnapost kumbe mmechanganya madawa
@SHAZIMINA555 күн бұрын
Kama ulivyo sikiliya simu basi na munguu ndio vyo alivyo shikiliya uhai wako tushukuru munguu kuiyona sikuyaleo na kuiyona duniya tuseme asant munguu❤❤
@eliasshinje755 күн бұрын
Amen
@AishaEssau5 күн бұрын
As ante mungu
@ZainabuMathias-x6p4 күн бұрын
🎉ameen
@DevothaKilumile-ed3bd4 күн бұрын
MUNGU sio mungu
@DevothaKilumile-ed3bd4 күн бұрын
MUNGU sio mungu
@GiftPallangyo-q5y3 күн бұрын
Duuu amani....hv wee ni amani kweli Kama jina lako....Kama unamjua mungu kweli kwanin usipokee msamah aaah ...wanaomchukia amani gonga like❤
@lylyChloé3 күн бұрын
Na mchukia mpaka bas
@kelvnkyando22522 күн бұрын
Amani kawa msenge msenge
@ldamati7900Күн бұрын
😂😂😂 majina y ivyo mungu nd ajuaye... Mje mumchkue n huyu amani nlienae 😂
@AmaniGERALD-t8pКүн бұрын
Jaman jaman kina AMANI
@NgoshaThedon-o9e5 күн бұрын
kama unaungana na mimi kumshukuru mungu kwa kutufikisha siku ya leo ganga like hapa
@BASILChambo4 күн бұрын
Big up manyanya umenifurahisha sana kutokusema madhaifu ya mkeo good brother 👊
@CatherineSanga-jx6nz4 күн бұрын
😂😂😂unataka kusemaje
@AlifaHamis4 күн бұрын
Ibada muhimu sana kuna majeneza yame andaliwa kwa ajili yetu na hata alie tenge neza majeneza ana la kwake pia
@hazrarashidy94705 күн бұрын
Manyanya ni mwanaume na nusu sio kam wanaume wengine wakiwa na michepuko yao wana sema madhaifu ya wake zao BIG UP mr manyanya🤍🤍🤍
@emmanuelmashauri14305 күн бұрын
Na alishamwambia maty w s Bora kuliko mke wng ila una vitu unavyonifny mm nikupende 😂 sa cjui vtyu gn hvy
@hazrarashidy94705 күн бұрын
@@emmanuelmashauri1430 nipe nipe nipe iyo tam tam ambayo vai an mbania😄
Wa kwanza Leo jamani sijawai pata like tangu namba Moja paka ss nioneeni urumaa jaman vpenzi
@JacklinMushi-i2w4 күн бұрын
Wajina
@TEDDYBROWNEBOYZENDEMU4 күн бұрын
From Kenya,,,what I can say is that the actors of this movie should worn awards alafu I like how consistent you guys are 🔥🔥hamdelay congratulations 🥰🥰
@mamafidelsfidels85855 күн бұрын
Mwenye anakerwa na huyu Amani jamani like hapa 😂😂😂😂
@omarykauzeni99025 күн бұрын
Jamaa msenge xn ana boa
@FaridaChato5 күн бұрын
Mm simpendii kbsaa😢
@IrissyLawrence5 күн бұрын
Kazoea vya kunyonga huyu,vya kuchinja haviwezi
@UmayyaMunisi5 күн бұрын
Sindi si ambake tuu😂😂
@OliviaEvaristo-nc6pn5 күн бұрын
😂
@AbdulRamadhani-z7c5 күн бұрын
Alhamdulillah ndugu zangu tumche Mwenyezi Mungu hii pumzi ya muda mfupi isitudanganye kwani haya maisha ya dunia ni ya starehe ya muda mfupi sana tusiache kusali na kuomba kwani kifo kinakuja ghafla tena bila ya taarifa Jiulize tukifa sasa hivi jee DUNIA TUMEIACHA AU DUNIA IMETUACHA jibu ni kuwa DUNIA tumeiacha Wakati ndio huu haujachelewa turudi kwa Mwenyezi Mungu
@AsmaniSantana4 күн бұрын
Shukran kwaukumbusho
@bintside3 күн бұрын
Shukran sana kwa ukumbusho mzuri kaka
@AsiaMohamed-n8i3 күн бұрын
Mashaallah ❤🤲🕋 tunamshukulu kwa ukumbusho
@AmaniKabungu4 күн бұрын
Napenda sana picha hii, ndani muna mavunzo kweli...
@GrandePiquiGrande5 күн бұрын
Vipi wenzangu wa mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 mpo kama kweli mpo tujuwane apo kwenye likes 🎉🎉🎉 naitwa Grande PiQui kutoka
@DeeDan-sj1mr5 күн бұрын
Dah aixeeh we vai ww xio mtu mzr dadaang unajua mpaka unakera like za vai apa😢
@abdulygilly13904 күн бұрын
Umetisha kak manyanya 😅😅 unyama mwingi yan umetisha🎉🎉
@tototundu81595 күн бұрын
Amani kubembe weee mjinga nimeguchukia sana vile umemufanyia Sindy ♥️♥️♥️♥️♥️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hategekimanaegide96765 күн бұрын
Noma san
@lukomanomaliki54425 күн бұрын
Mudy Muzungu,anastahili kulipwa hela nyingi.Anaigiza sehemu inayohitaji kujitoa ufahamu.
@OliverMassawe-j3l4 күн бұрын
Kwa kweliiii jmnii🤝🤝
@Rahma-h3x6w3 күн бұрын
Nikweli kabisa
@mohammedkidody56182 күн бұрын
Sana❤
@santv69254 сағат бұрын
sanaaaa
@AdrianOmary-nl7fs4 күн бұрын
ila manyanya!et limbwata la Tanga na uko kwenu si ntakuwa msukule.upewe🎉🎉🎉🎉yako kaka uko vizuri
@JeanMuganza-f5q5 күн бұрын
Wa kwanza kutoka drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu
@AminaKhalfani-ib7sh5 күн бұрын
Wangap wanataman waongeze dakika man mov tamu sana big up acters wote
@GraceMigambile4 күн бұрын
ameni❤
@mohammedkidody56183 күн бұрын
❤❤❤
@JanethIsmalКүн бұрын
ziongezwejaman ata dakik tano
@bensonjulius95693 күн бұрын
,,,,yaan macho ya vaii yanafuraishaa kwel akiwa analiaa
@IddyIndu2 күн бұрын
Kumbe na ww umeliona ili😅😅😅😅😅
@JamilaRajabu-g8p4 күн бұрын
Haaaa 😂😂😂😂Vai kapatikana anachekwa tuu na dada zakee lakn ndo alichokitaka kakipata kuchekwa na kuzalilika
@StevenNditi4 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/fKmqmWhvhtasbas
@mohammedkidody56182 күн бұрын
Kabisa😂
@DerrickGodwin-c9i2 күн бұрын
Good try
@abdallahassan63785 күн бұрын
Adui wa mtu ni wa karibu yake mno jitaidy kusali sn ndg zangu kwa iman yako mwenyez Mungu anasikia🙏🏻🙏🙏
@myrathequeenjoriasjoriasthebos4 күн бұрын
Kabisa
@witnessmallya51144 күн бұрын
Series ya Dunia ni shule toshaaa, hongereni mnavaa uhalisia vizuri, mna zingatia maadili, nidhamu ya mavazi.. kwakweli mnafanya kazi nzuri.
@CHRISMANNEQUIN85 күн бұрын
Kama unapenda mungu kuliko iyi série ya dunia sema amen kwa baraka liké apa
@ZubidaAlmasoudi5 күн бұрын
Amin
@omarywangala1615 күн бұрын
Usitafutie watu dhambi na Wala hata haifai
@SalmahAbdallah135 күн бұрын
Na mbona unaangalia,kama huipendi hii series
@Jasminadamu5 күн бұрын
Upo sure wanakera@@omarywangala161
@HarrietYeri5 күн бұрын
Amen
@bisuraadamu62725 күн бұрын
Jamanii muwe munatoa vipande viwili viwili KAZI mzurii saaaana ❤❤
@GladysBunyoga5 күн бұрын
Kweli kabisa wanachelewesha sana
@barakamanyasi78834 күн бұрын
Church Boy😅😅
@JaphethIssack-j8k4 күн бұрын
Manyayaaaaaa mwamba nimepata point ,wadada kaziiiiii mnayoooooo😂😂😂😂😂😂😂
@ChristophLite8 сағат бұрын
Ila kumbuka hayo ni maigizo tu ili kuelimisha Sasa jichanganye 😅😅😅😅
@BintiZondo-m9s5 күн бұрын
Yaani waigizaji mkishajua movie zenu ziko na mashabiki wengi tu mwaanza kupunguza madakika😉😉mmmh sijapenda😅😼😼
@VictorBijura5 күн бұрын
Wanazingua hapa. Yaani movie Ina wahusika wa zaid ya familia 6,ila leo wanadili na familia 4 tuu kweliii!!, Sjapenda.alafu hataree zaid mnachelewa sana kutuletea hizo epsode
@ree-me95 күн бұрын
Kwan wangekuwa wanaztoa kwa wakat wangepungua wap!!!!wanakera sana
@muganyizididas45055 күн бұрын
Hii Tamthilia ukiitazama Kwa jicho la kawaida unaweza kuona ni burudani tu. Ila ukiipa Jicho La Tatu Ina Mengi ya Kujifunza. Big Up Kwa Kazi nzuri.
@LebonLungala3 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 namifata kutoka Congo ❤❤❤ mungu abariki kazi yamikono yenu ❤❤❤
@joshuangazi5 күн бұрын
Aiseee😂 leo walau nipate like walau moja jaman familia ya Dunia
@evelnjuma18345 күн бұрын
Like kwangu Leo nimemiss like Mr manyanya mbona nakukubali Sana jaman Yani unajua sna mwenyezi mungu azidi kukuza kipaj chako kaz nzuli sna kwenu nyote nawapenda sna ❤❤❤🌹🌹🌹🌹🇹🇿
@rachelmichael-uo5hf4 күн бұрын
jamani kuna huyu boss wake khai kwenye house girl ambae ndie dadaake Vai jmn hyo suti Ake ya kaki ishatuchosha, kesha ivaa kwenye Kila series anayo act hapana tumemchoka na mwonekanp huo jmn😂😂😂 eka like kama na we umechoka kama mm
@jujuulee79775 күн бұрын
Huyu mkaka wa mikopo bila yeye siezi ishii walah😂😂❤
@gloryjimson98315 күн бұрын
Simpendi hata
@FaizalCheia5 күн бұрын
@@gloryjimson9831 We mpende tu
@zahraabdul96525 күн бұрын
Huyu ajui kazi Kisha achiki na wowote😂😂😂😂😂😂
@Glorymushy5 күн бұрын
?😅😅😅😅
@Ema-p7z5 күн бұрын
Tapeli
@ProviaJames4 күн бұрын
Vai nko pamoja na wewe hd ufungue kanisa😅😅
@PayTeller4 күн бұрын
😂😂
@Mwashabani-o5o3 күн бұрын
Naw ndy utakuw Mzee wa kanis
@mohammedkidody56183 күн бұрын
😂😂😂
@levinaernest43642 күн бұрын
Noma Sana umeupiga mwingi
@Leyla-w9k4 күн бұрын
Umeweza kaka manyanya ,nidharau kubwa sana kumwambia mwanamke wa nje madhaifu ya mke aliyepo ndani ,baadhi ya wanaume hufanya Ivo ,wasicho kijua ni kwamba mwanamke wa nje atadhidi kumdharau mke wa ndani ,pia ww mwanamke unaeambiwa kaa ukijua hata madhaifu Yako yatatolewa Kwa mwanamke mwingine ....
@JohnMarwa-e8p5 күн бұрын
Nainjoi sana kutazama hli dude kaz smart sana aiseee na wapenda .naombeni nafasi nijiunge nanyi napenda
@abdulsombyamiles8645 күн бұрын
Yaani manyanya anapendaga mambo ya humu tu 😂😂😂❤
@rosemarymathias49385 күн бұрын
😂😂😂
@ashaaliameir22715 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@SakinaHassani-xm7ti5 күн бұрын
😂😂😂😂
@BarakaNdelwa-p3e5 күн бұрын
Yupo kama Mimi
@MwayahonaGerome5 күн бұрын
😂😂😂
@airMH3704 күн бұрын
Ila chachi boy jmny 🙌🙌🙌🙌
@manyanya-015 күн бұрын
series nzuri yenye waigizaji wazuri
@SikuAmon5 күн бұрын
muwe mnatuwahishia bas jamn dah
@bigmami19925 күн бұрын
Manyanya tuko na wewe hadi sister za vai wakuroge😂😂😂😂
@hamissahamissa1055 күн бұрын
@@bigmami1992kah nimecheka hatari
@SijaliAllyHalfani5 күн бұрын
@@bigmami1992sio mroge amkubali Jordan😂😂😂😂
@NoorEesa5 күн бұрын
Manyanya utakukutwa na dadazake vai😅😅😅
@arunibarafua78025 күн бұрын
Kutoka kongo mtuombeye Mungu amalize vita ili sote tu fatiliye série yetu nzuri ya duniya kwaamani
@YustinaNemes5 күн бұрын
Amen
@SalmaKhmees4 күн бұрын
Amen
@JordanAndrew-rr8fq4 күн бұрын
Mungu kwanza Dunia inafwata God bless asma filims
@DeboraLufingo5 күн бұрын
Namchukia Amani 😢😢 wanaungana na mm gonga like🎉🎉
@AujeniaMerida5 күн бұрын
Na so kumchkia tu smpend kabsaa
@neemamukeyuzi-nm4jf5 күн бұрын
@@AujeniaMerida Na sio kumpenda tu yaani anavyonikera ningemfanyia kitu kigumu hadi asingeamin mwanamke tena dunia hii
@SarahMoraa-rf2du5 күн бұрын
Yaani hata Mimi namchukia anajifanya mtumishi wa mungu kumbe ni kwa mwitu
@neemajoshua-jv7oo5 күн бұрын
Kwanza mbaya na roho yake mbaya
@AyshaHamis-qw3gi5 күн бұрын
@@AujeniaMerida😂😂😂😂😂 ww ndio umenimaliz😂😂😂😂😂
@Upendomkali5 күн бұрын
Jamani ndugu zangu wapenzi wa move ya dunia embu tuache kulitumia jina la Mwenyezi Mungu vibaya Mungu awez kufananishwa na mtu yoyote yule wala kitu chochote kile Mungu achen aitwe Mungu samahan kama nitakuwa nimewakwaza
@AsiaMohamed-n8i3 күн бұрын
Ujatukwaza
@MimaMkuweleКүн бұрын
Kwakwelii
@AffectionateDrum-kx5hnКүн бұрын
Kwakweli hujakosea 👍
@yohanatitus76224 күн бұрын
Huyo kuku aliyeitikia tangazo la Amani amenikosha Roho yng Baraaabaraaa😂😂
@TatuMagubika-kz4nv5 күн бұрын
Tunaosema vai katufundisha jinsi ya kumuheshim mwanaume 😂😂 weka like hap🎉
@noelahyera13045 күн бұрын
Mm ntakuwa wa kwanza kusimama na kusema kanifundisha na kumwelewa 😂😂 maana mm n vai mtupu😂😂
@Mariawamam5 күн бұрын
Mwanzo mimi nimepata funzo mana nilikuwa sina tofauti na huyu Vai😢😅
@AminaMohamed-i6u5 күн бұрын
Haki vilee
@Hadiahudhud5 күн бұрын
@@Mariawamamdoh
@Hadiahudhud5 күн бұрын
@noelahyera1304 duh 😂😂😂
@khadija21134 күн бұрын
Jaman muwacheni da vai kumsakama hivyo nampenda bule kaka manyanya ❤❤❤ NAWAPENDA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SemiAnon4 күн бұрын
Anakula Jeuri zake. 😁😁
@Pierjmkakule4 күн бұрын
Eeeh Mungu nipe Imani ya Amani. Baba Amani nimekupenda up msimamo wako
@Farthun5 күн бұрын
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️wapi kelele kwa wana dunia Asanteni na mm nimewahi
@winniemerere45135 күн бұрын
Ambao tunashangaa kuona kila mtu anasema ndo wakwanza tujuane 😅😅😅😅
@fatmahally-zz7pu5 күн бұрын
😂😂😂
@YasinterKaijage5 күн бұрын
😂😂😂
@GetrudaSanga-d7l5 күн бұрын
😂😂😂😅
@ElizaSilivester5 күн бұрын
Bila ya wenyewe kujua wa kwanza huwa inaandikwa first comment
@MussaAlfani-r8d5 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@StevenShilatu4 күн бұрын
Manyany n noma akuna kusema mazaifu ya mke wake vai
@AchileusNshekanabo5 күн бұрын
🎉🎉🎉 bonge la movie kaz nzur sana
@hamzaIlunga4 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team manyanya and violet mudi muzungu la bar❤❤🎉🎉
@AlafatkalimmnaukeAlafatkal-v2i3 күн бұрын
Mnakosea Sana mtumishi wa mungu anakua msinifu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kweli movee lekebisheni hapo
@Esther01-g1h5 күн бұрын
Wote ambao tunafatilia hii Move, tulio kwenye mahusiano na ambao hawapo kwenye mahusiano,wenye ndoa na ambao bado hawamo, naamin wote tumejifunza kitu na hii move ni uhalisia wa maisha yanayo tuzunguka kwenye jamii,kila mtu ameguswa kwa nafasi yake,,tuwape like za upendo waigizaji wetu,m nawapenda♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@LoiceKatana-ci1tx4 күн бұрын
Kabisa 😅😅😅
@YOUNGAMBELE5 күн бұрын
Wahoo jamani Asante kwa movie Ila me ninaombo kabura ya kuachia muwe munatupa tarifa ili tuwe tiari au tunajua muda
@hidayaabasy63574 күн бұрын
Kaka manyaya unafundisha sana honger sana na uendelee hivyo hivyo kutoa move za kufundisha ndo maaana wat wanakupenda sana
@DonbrightKenny5 күн бұрын
Mmm jamen manyanya aseme bsi tumusaidie posa amuoe Mathi maana mchezo wake manyanya sio poa ❤❤❤
@MandelaMwangome-q1b5 күн бұрын
Oyooo manyanya zisaidie ndoa zetu maana kwa hali hii wananyoka sana huku mtaani😂😂😂😂 kama yako inanyoka pia gonga hapa
@wamidekoGodfrey5 күн бұрын
Achen kujitoa akili wanaume nyie mnaupendo kama manyany au mnaongea to n vp ukiend kwamchepuko hua unqmsifia mkeo au Kaz zen kuwapond n kutoa sili zandan
@Jasminadamu5 күн бұрын
wanaume wengi wanafatilia hii dunia kwa sababu ya kufurahia manyanya anavyochepuka,ombi langu kwao watafte hela kuchepuja haitakufanya kuwa mwema,hivyo me binafsi kuchepuka kwa mwanaume hainiwashi akitaka aende asirudi nyuma mwana kwenda atokomeee eeeee
@zahraabdul96525 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@zahraabdul96525 күн бұрын
@Jasminadamu Kweli kabisa
@MandelaMwangome-q1b5 күн бұрын
@@wamidekoGodfrey na sasa huo ndo utamu wa hii move pia wanaweke ndo wenyewe wemeforce sisi wanaume tukue hivi .....Siwezi tafuta hela kwa shida nikirdi nyumbani shida nyingene tena wee huogopi
@yamungulameck-mz5uq4 күн бұрын
Duuuh Yani amani jamani sipendi naichukia tabia yake et naye ni mtumishi 😅😅😅😅😅😅😅 ila wapo wachungaji ambao wapo kama amani
@RackiusRubanga5 күн бұрын
Great job kwel Tanzania tumefika mbali katika tasinia ya filam
@Rey.tho34 күн бұрын
manyanya ni mtafsili mzuri sana kama BARAKA MPENJA au mnasemaje🎉🎉❤
@RachaelKioko-qo7mg4 күн бұрын
Woooow ❤️❤️ kumbe Semeni yupooo🎉🎉 ndio movie inaanza sasa
@BieNve-k4b5 күн бұрын
Kiukweli mnafanya kazi poa sana alafu kwa wakati mnafuraisha sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️
@Lion_Boy4 күн бұрын
Amani amani iwe nawe😂😂😂
@LucyAnyango-j3d4 күн бұрын
Iwe pia nawe😂😂😂😂😂
@mohammedkidody56183 күн бұрын
😂😂😂
@SaidMohd-u3i3 күн бұрын
Kuna baadhi ya vipande vina mafundisho makubwa mno big up 🎉🎉🎉♥️♥️
@EnockNzaro5 күн бұрын
Wakwanza kutoka Kenya 🎉🎉 Nipeni maua yangu, acheni roho mbayaa😂😂
@MchungajiThoby-h8t5 күн бұрын
🏃🚴🚴🚴jamn nimechelewa manyanya karud Kwa mkeo kwel
@DavidKibuta-b3v4 күн бұрын
Yaan huyu jamaa mayyanya ni professor kweli naenjoy kumuangalia especially akiwa na mati
@KatunziHassan5 күн бұрын
Lkn big up mnafanya vizur Sana kazi iendereee wakuuu🎉🎉
@bin.ali_tz5 күн бұрын
Wow Leo nimewahi na movie imekua tamu zaidi ❤❤❤
@JeannedArcNdanda2 күн бұрын
Asante manyanya una ongeya bien Sana Ku mwisho ya iyi épisode merci bengine ba naume deihn😢😢
Mnachelewesha mnoo kazii na mlisema mwaka uu ni back to back
@praygodisacksalmon78435 күн бұрын
fatilia ratba vzr kwa week wanatoa vipand vitat😂
@FainaJaffari5 күн бұрын
@@praygodisacksalmon7843😂😂😂😂😢
@mariawilson26985 күн бұрын
Bora hiyo mara 3 wangetoa mfululizo
@BoniphasMnyangindo3 күн бұрын
nakuku bali xan bro manyanya king of love❤
@majidirashidi5 күн бұрын
Aaaaahhh ila raiya mko rasta san yan mi nasubir nasem niwakwanza kumbe watu mshawai siti za mbele😂😂😂😂😂
@montezsharma5 күн бұрын
Wakenya mko wapi jameni like zenu naomba 🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PriccilaMweni5 күн бұрын
❤
@MuroriPuritymurori-wz8em5 күн бұрын
Tupo❤❤
@EmmanuelOkenya-l7w5 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@KhadijaMrangi3 күн бұрын
Ooh God manyanya ur a man and a half aiseee ur good upstairs 🎉
@MathiasMwibeleca-f8n5 күн бұрын
Ni vema sana kama uta tizama kwaku itaji kujifunza kuliko kutizama kwajili yaku furahisha macho, from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
@floridekwizera29155 күн бұрын
Leo kidogo niwe wakwanza,watu tumebalikiwa kuona Siku ya Leo 👍
@GiftPansasa-mj8cy4 күн бұрын
Muddy
@ReshmahEmma4 күн бұрын
Hivi huyu amani ni kichaaa au mwendawazimu khaaaa nimejikuta kumchukia ghafla et pepo mchafu wakat alizini nae akiwa tayar anajua ni mke wa mtu😢😅😅
@alicebahati-qi8vo4 күн бұрын
Hakukusudia ndio maana anajihukumu
@NajmaRamadhan-j7v4 күн бұрын
Mwenyewe nimetokea kumchukia kweli
@NajmaRamadhan-j7v4 күн бұрын
@@alicebahati-qi8vosawa basi atakiwa kumfahamisha uzuri tu na sio kufoka
@BoaziBonifasi4 күн бұрын
Mwamba anagusa anaachia anapita iv😅
@ReshmahEmma4 күн бұрын
@@alicebahati-qi8vo aaaaaaahhhh wapi hakuna mlokole hapo wa mchongo tu huyo😁
@Manyanya.Manyanya5 күн бұрын
Nawapenda sana wapendwa ote mnao onyesha support kwenye Series' yetu pendwa ya Dunia Asante 🙏 naomba mnifollow piah wapendwa 🙏
@DoriceEdward-l6s5 күн бұрын
Tayali nimeshakufollow ❤
@oscanyakunga5 күн бұрын
Nitakufoolw
@HawaPili5 күн бұрын
Umekuwa wanted mtaan unatafutwa na mashemeji zako usizulule ovyo manyanya
@HussenRamadhani-g9w5 күн бұрын
Tayari nimekubali
@SmamyYousouph5 күн бұрын
Unaongea sanaaaa punguzaaaa
@komandowainjiliyayesu5 күн бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA MKAWE NA UMOJA NA MSHIKAMANO MSIJE KUTENGANA ILA TUSISAHAU UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA AMEEEN AMEEEN
@ImaeImae-p3v5 күн бұрын
Amina
@mohammedkidody56182 күн бұрын
Amin
@LukambaKitenge2 күн бұрын
Niko Congo, mnafanya vizuri Bro❤❤❤
@AbinasBujiku-b5h5 күн бұрын
Manyanya unafanya bongo move ionekane kama kazi rahisi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MarryMethodi5 күн бұрын
Manyanya nimekupendaaa♥️♥️♥️ yaan njoon wanaume mjifunze Kwa huyu jamaa ambao mna wake Wa wili Na hamjui namna ya kuish nao Sio unatoa maneno huku unapeleka kule
@RakinaAbdalla3 күн бұрын
Jaman vai namuonea huruma ety wallah shida yake ni jeur lkn hajawah kuchit ndomana anaumia sanaaa pole vai wangu
@AshaMalekela-o7t5 күн бұрын
Ila uy Vai jaman mum wak yey kumuomb msamaa awaz anawaita dad Zak nd ili waje kubomoa kabixa ndoa yenyew kwr kimekulamb dad😂😂😂😂😂😂
@m.mmarckus62985 күн бұрын
Naona anaenda kupewa talaka kabisa nahiyo midomo yao wangejua ndoimemfukuza Manyanya😂😂
@AshaMalekela-o7t4 күн бұрын
@@m.mmarckus6298 Kaz ipo apo
@mohammedkidody56182 күн бұрын
😂😂😂baada ya kusuluhisha tatizo anaongeza tatizo😂
@LysonMshan-kf7rg5 күн бұрын
Hahahahahhaa dakikaaa moja2 32 comments what a serie ♥️♥️♥️♥️
@Paulkessy-j8n3 күн бұрын
Da vaireth nakupenda sana unavyosimama vyema na nafasi yako,, unanifulaisha sana
@zainabsabas18075 күн бұрын
Wamekuja kuaribu kabisa hawa 😂😂😂😂😂hawa vai Ndoa inakufa moja kwa moja
@zahraabdul96525 күн бұрын
Me Niko hapa kutazama anavo tia sighn talaka😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zainabsabas18075 күн бұрын
@ 😀😀😀na ndiko kunako elekea Kama vai asipoamka 😀😀
@RizikiZiki5 күн бұрын
Umenena kabisa yani kwisha habari😂
@zainabsabas18075 күн бұрын
@@RizikiZikitatizo vai hajitambui na alivyo mwambia mama ake Ndiy kabisa na vai angesema ukweli Kwa mama ake kwamba yy ndiy chanzo 😂😂😂😂
@ashuramanya92825 күн бұрын
Kabisa @@zainabsabas1807
@PhilipGogo-hg1qf5 күн бұрын
Mnao sema kama unampenda mungu kuliko hii serie ya dunia tusitiane majaribuni tucje tukatenda dhambi bureeee😂😂😢
@mohammedkidody56182 күн бұрын
Kabisa
@vstarstev731419 сағат бұрын
Manyanya congratulations steling kinywa chako kimejaa maneno ya Busta #00:08 natoa comment hii kam unamkubali manyanya gonga like hapo chin❤❤❤❤
@AyubuKamendu-r7l5 күн бұрын
Manyanya amefanya vizuri sana kutotoa siri za mke wake, big up sana
@UstinaMayemba4 күн бұрын
Huyu ndo mwanaume sasa!mpaka sasa Matilda hajui kama manyanya Ana ugomvi na mkewe
@RahmaHabibu-u3v4 күн бұрын
❤❤❤🎉 yes manyanya wanyooshe wanaume wasokuwa na Kaba
@MwanshambaKipanga-z6w4 күн бұрын
Vai pole awo washauri mtihan lla mati kapole kanamsikiliza sana manyanya
@ashurajuma26714 күн бұрын
Leo sjui nimewai sjui nimechelewa,ngoja nijiangalizie zangu miee❤
@anethsanga22835 күн бұрын
Basi nikuleteee maji😂😂😂 Ya baridi 🤩😁😁😁😁😁 😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅
@StarRaphael4 күн бұрын
😅
@ScolastikaLeonard4 күн бұрын
Thanks kwa somo Manyanya uko na mbingu yako walai uko vzr kuelimisha 🤝🤝
@NamiriNamiri-oz4xs5 күн бұрын
Chizi kweli wee Amani hivi mpaka uwachukuwe ndio hiyo Roho yako mtakatifu ije kwa nn usiwakatae kqbla ya kuwachukuwa Sheteni Rambaramba weee.
@SarahBakari-c3q4 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅
@StarRaphael4 күн бұрын
Amani Jmn akishakula mtoto wa mtu anajifny mtu wa mungu mjinga kweli Amani😁😁😁amani mshenzi kweli yeye ndo pepo mchafu 😁