Zenji Flava na Bongo Flava wakutana kwenye hili songi. Instrumental from East African classic hit but remixed by new generation music artists from Tanzania, East Africa.
Пікірлер: 422
@FadhilaMatope Жыл бұрын
2024 tujuwane maana had rah 😂😂😂😂 imenikumbusha kidogo
@danstanmosses2219Ай бұрын
31.12.2024😂 saa12:40 jion
@elieniyonzima107423 күн бұрын
13.1.2025🇧🇮
@alexanderkatanga7750 Жыл бұрын
Hadi 2024 nipo kuusikiliza huu Wimbo ❤
@yazzbyser7944 Жыл бұрын
2024 Maisha hayatabiriki, na hakuna uhakika wa kile ambacho kinaweza kutokea kesho. Kwa hiyo, ulienae mpende kweli❤2024
@davidkossy322810 ай бұрын
Hahahahahha umeonge kiprofesa
@NgaizaKimbeNgaizakimbe9 ай бұрын
😂😂😂😂@@davidkossy3228
@BashiriJackson2 ай бұрын
Safi Sana Ngoma Kali mno I see.
@simonsiame-ex9wq2 ай бұрын
Admired dear
@makumboproduction11 ай бұрын
Kuna nyimbo zingine hata ipite miaka 2000 lakini bado itaendelea kuwa nzuri kwa watu
@nyanzaOG Жыл бұрын
Back then, kila kitu kilikua on point yan beat, melody, utunzi.... then msikilize AT alivyopita then Stara... ending guitar sasa yan sio poa .Best mashap
@DiophSelemani-zt4jz5 ай бұрын
Tunao icheki had leo 2024 gonga like
@Kakajambazitv..4 ай бұрын
Wewe ni mwenzetu 🎉🎉🎉🎉
@michaelsiweya65004 жыл бұрын
Huu wimbo bwana sijui imekuwaje..unajua nimeshangaa naimba imba mwenyewe..huku natembea tembea..nikajiuliza mbona wimbo mtamu sana..hivi ni wa naaani vile...Aa nikaishia kukumbuka jina moja tu Thomas..baadae nikaja kujua kumbe ni Stara..Yaani nimeshangaa kuona automatically napata hisia ya wimbo wake kichwani...Ameimba vizuri sana..nyimbo za heshima hata ukiwa na watoto unaweza angalia
@freyscoot2120 Жыл бұрын
Hii hali imenkuta leo
@PetroMbugi Жыл бұрын
Wimbo mtam san
@amadasaloon101 Жыл бұрын
nzuri hata mami huwa naikumbukaga sana
@wamburasungura681210 ай бұрын
Huuu wimbo Wa AT kamshirikisha Stara thomasi
@dottombilinyi597910 ай бұрын
vizur sana binafs naipenda
@yahayakassimu Жыл бұрын
kwakwel hii nyimbo ni nzur sana sijui sasa hv kwann atoi hit song kama hz
@edwardtetian2153 жыл бұрын
Nakumbuka mara ya Kwanza kusikia huu wimbo ni mwaka 2009 nikiwa darasa la pili and now am university student kweli miaka inaenda but Mziki mzuri Sana huu be blessed AT and stara Thomas kwa Ngoma hii Kali ##nipigie## 14/01/2022
@sarahmkenga20074 ай бұрын
Kumbe kama mimi❤
@EriyaRichard2 ай бұрын
Mm nilikuwa darasa la 5 kipindi hicho❤
@simonndune44574 жыл бұрын
long gone are the good days when music used to hit deep down in the bone marrow🤤
@boeihongoa14364 жыл бұрын
We miss dem days
@johnmlay47593 жыл бұрын
For sure I listen to this right now while I typing ma comment
@lucianjovu11923 жыл бұрын
😍
@saidmembe8329 Жыл бұрын
Miaka 13 imepita lakini bado wimbo bora. Hakika mziki mzur auitaji matusi wala kiki
@JosephShagembe-dj6qv Жыл бұрын
2023 watching 🔥🔥 sweet melody 😋 twende na like za kutoshaaa
@ommyguizer66777 ай бұрын
Nakumbuka mbali sana adi 😢 linanitoka R.I.P kipenzi changu Sophia sina tena wa kumpigia 😢
@jucha27656 ай бұрын
Pole sana mpendwa
@albywamandalinho5 ай бұрын
Daaah pole sana
@BeatriceMrema-v2d4 ай бұрын
Pole wangu@@albywamandalinho
@joycedonald7674 ай бұрын
Sorry
@sarahsamwely1084 ай бұрын
Pole mno
@janethmgonja4095 жыл бұрын
2020 bado naangalia nawapenda sana jaman mmepotea sana
@abdulshaban45604 жыл бұрын
Leo nimefarijika sana kusikiliza huu mdundo HIV enzi Zita jirudia kwl?
@edisonkashaija40673 жыл бұрын
Yaan jaman ww kama mimi nasikiliza hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana,, mnaosikiliza mwaka huu wa 2021 gonga like tujuane
@massa36044 жыл бұрын
Nakumbuka nyimbo nilikuwa nasikiliza kwenye radio nikiwa darasa la 3 2009 leo nipo chuo kikuu daah , miaka inaenda
@officiallysaidamsangi49393 жыл бұрын
Pole kipindi hicho nmemaliza lasaba
@joelinko66323 жыл бұрын
Mimi nilikua darasa la 4
@rosemkwama56753 жыл бұрын
mm pia jmn kitamboo
@danielmathias1603 жыл бұрын
Me nlikua form2
@kapascowizzo73207 ай бұрын
20009 nakumbk nip darasa la 3 ndio mwak nilompotez baba yang🎉 Life goes on✊🏼
@steveafrica35335 жыл бұрын
Daaaah..! kitambo sana. kipind hcho nipo mbwite uko. nachunga. Ng'ombe. Sahz nipo Dar naponda raha. ahsante mungu kwa yote
@avinkaijunga39544 жыл бұрын
Ha ha ha
@mudrickatymohamed55723 жыл бұрын
Unakula Maisha ndani ya bongo
@happyjohn58823 жыл бұрын
Hahaaaa
@EsterKindoli6 ай бұрын
😂😂
@marykutururu12 жыл бұрын
Dah.....miaka mingi imepita...lakini wimbo haujachacha kabisaa...Yani ni kama uliiimbwa jana...Shouts out to you guys🎊🎉💪
@jobwanjala91764 жыл бұрын
Kitambo sanaaaa...imenikumbusha mbali sana🙌🏾🙌🏾🙌🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ntahix14 жыл бұрын
Nyimbo zinazotakiawa ni hizi! siyo kama zile za walala hoy kizazi kipya. By the way mumetumia maneno ninayoongea na mke wangu. Go Stara and AT
@Noooonat-o5s2 жыл бұрын
Hi
@omarimwakauli2642 жыл бұрын
Hlw
@ntawurusigajaphet88135 жыл бұрын
Nipigie Mpenzi wangu Npigie, love from +257,🇧🇮🇧🇮
@angelinasimchimba7054 жыл бұрын
Daa nakumbuka 2009 nikiwa kdato cha 3 momba secondary, Leo nilishahitim chuo kikuu na kupata kazi@ Nyimbo imenitoa machozi Jaman
@RioIpo4 жыл бұрын
Hongera sana
@rachelbahahazo63624 жыл бұрын
Pole mwaya tupo wengi
@1000Brain Жыл бұрын
Demu wangu alinizoesha kuniambia nipigie nikupe ubuyu. 😂 Nimeona nisikilize huu wimbo kumkumbuka
@liberatusulaya22693 жыл бұрын
Old times, wen we were too young, nothing we did to know that days rather than waiting for food and going primary school
@ashuramuhammed32572 жыл бұрын
Nikisikiliza hii nyimbo nakumbuka utoto kwangu ila hii nyimbo haishi hadhi kwakwel imetulia sana from Zanzibar
@iddympungu5132 Жыл бұрын
Mambo
@sarasaraz-vn1vl Жыл бұрын
Daa hii ngoma hatali
@mwafote34664 жыл бұрын
2021 tuko wapi
@simiyuisaac58773 жыл бұрын
Here we go.🔥
@songwejumaa25483 жыл бұрын
2021/pa1
@rosemkwama5675 Жыл бұрын
I was at Handeni Tanga i was standard four now am a last year student at udsm i realy miss those day
@hakimugarincha8 ай бұрын
Waliotoka wasafi kuja kuchek ngoma hizi tujuane naomba like 2 tu kutoka south Africa 🌍
@almasy007mussss4 ай бұрын
Saiv tunaishi ishi tu bila formula..zaman maisha yalikua matamu si tajiri si maskinn kama unavoona kwenye nyimbo..mapenzi kote kote saiv tunaringishiana maisha tu
@augustuscaesar2816 Жыл бұрын
Daah tumetoka mbali sana😢,,,God bless you all
@ireneonono46646 ай бұрын
2009 nikiwa kwenye ndoa❤❤❤bado nakumbuka zile siku tulikuwa pamoja tukisikiliza hii nyimbo❤2024 nipo mwenye ila wimbo bado nitamu😊
@IreneSamuel-s2v6 ай бұрын
Hii nyimbo Leo mpenz kanitumia nikaja chapu KZbin nyie adi raha 2024 tujuane hapa
@esnartnamukonda75644 жыл бұрын
I just feel so emotionally attached to this song, I don't know why. I can't have enough of it. it's just superb
@prosperchristopher51564 жыл бұрын
It’s all the memories that comes with it
@gent84123 жыл бұрын
Me too
@petermosha98152 жыл бұрын
This song is nice
@giftmalema50322 жыл бұрын
Nimeisikia leo kwa daradara.... nimekumbuka utotoni!!!
@lulu20101014 жыл бұрын
ulituliza kichwa imetulia ukiongeza sauti At ilivyokuwa nzuri ya Stara ni ya kumtoa nyoka pangoni. Nyimbo ni nzuri sana yani kila niingiapo kwenye computer lazima niisikilize.
@dilekalayon59255 жыл бұрын
Fauzia Mohamed Daah mwenye hii coment sijui upo wapi maana umekomemt miaka tisa iliyopitaa kipindi hicho sijui hata kama ntawahi kumiliki simu ila saiv nabadlisha tuuuu 2019
@joelinko66324 жыл бұрын
Duh anaonekana alikua mjanja
@ahmedjack41353 жыл бұрын
@@dilekalayon5925 kweli
@ahmedjack41353 жыл бұрын
Kw
@ahmedjack41353 жыл бұрын
@@sharamata1119 b
@aureliaswai16164 жыл бұрын
Tunao tazama 2020 tujuane kwa like hapa
@claudiusmaximus3193 жыл бұрын
kuma la mamako
@aureliaswai16163 жыл бұрын
@@claudiusmaximus319 msenge mbwa Wew kafie mbele chawa wew koma lako unafilwa bila kuoga
@aureliaswai16163 жыл бұрын
@@claudiusmaximus319 kuma la mama ako mwenyewe sura mbala kafie mbele huko msenge nini
@claudiusmaximus3193 жыл бұрын
@@aureliaswai1616 hahaha lmao..
@aureliaswai16163 жыл бұрын
@@claudiusmaximus319 msenge wew unatafuta kiki kwa watu usio wajua kafie mbele chawa wew
@danielmathias1604 жыл бұрын
Noma sana mziiki unaoishi 👏👏👏 AT, Stara
@duliz200214 жыл бұрын
Baaaab kubwa AT big up nice song ,Actually dint forget you Stara nice sweet voice you got there ,Tupeni vitu kama hivyo Nipigie mkewangu Nipigieeeeeeeeeeee
@abdullahsaidi80095 жыл бұрын
Said mponda, kitambo sana naikubali bongo freva
@abdullahsaidi80095 жыл бұрын
Sana, At
@DeogratiusIdama2 ай бұрын
Aaah nkimc mke wangu tu kichwani huu wimbo unankusha haraka sana
@mohamedhamisi97662 жыл бұрын
utulivu ulikua mkubwa sana kwenye huu wimbo
@petersonGiesi3 ай бұрын
Kwa kweli ni Wimbo Mzuri Naupenda Mpaka Leo hii ❤🎉
@mangetz28352 жыл бұрын
AT is a Real Bongoflavo 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@StellaStella-ee9fe2 жыл бұрын
Absolutely 💯
@kasukukasuku389611 ай бұрын
I remember those days
@johnstoneolefa913 Жыл бұрын
the emotions in this song!!!!!!!!!!!! i know you are feeling it...listening it from Nairobi, Kenya.
@princedominic87762 жыл бұрын
Ni 2022 lakini nimerudi kutafta huu wimbo wimbo mzuri sana
@gent84123 жыл бұрын
I have great memories attached to this song way back in 2012. Old is gold indeed
@nuelmikes Жыл бұрын
The good old days when people actually took time to produce real music that fit the definition music is food for the soul
@miriampaulo26004 жыл бұрын
Huuu wimbo sijawai kuuchoka!Nipigie!💞💞💞💞💞💞
@familyfriendlyfan269 Жыл бұрын
Those days when music was still music, reminding me of my honeymoon time 💖 13yrs
@adamnjere59072 ай бұрын
Kipindi luv ilikuaga real eroo,ukipenda umepanda sio saa hii ni biashara
@jacklinerenson1708 Жыл бұрын
Story yenyewe ya nani....❤❤❤❤❤❤❤nipigie...2023 August happy birthday inadvance my love
@petersonGiesi3 ай бұрын
Hakika ni Wimbo Mzuri sana🥰💝👏
@georgeodoo99243 жыл бұрын
Amazing piece! This music will never die. If it dies, then it is not this music.
@brunofernandez66082 жыл бұрын
That's time I was in primary school where are u Stara Thomas much love
@hasheemomary45072 ай бұрын
2024 tar 12 mwezi 11 muda saa 07:49 asubuhi nafanya kazi nikajikuta naimba moyoni hu wimbo ❤😢
@josephjohn2114 Жыл бұрын
Still watching this hit song 2023 muziki umeenda, shule, sauti. Nyie mlikua wanamuziki wa ukweli.
@ericedison54375 жыл бұрын
Hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana ,, daaaah
@alanpierrers5 ай бұрын
Huu wimbo una hisia nyingi sana sio tu kwa wapenzi bali hadi watu wanaokuzunguka familia na majirani... So may emotions embedded in this song and it's always been my favorite.
@shabanilikeyekeye824 жыл бұрын
Tupo 2021.....tuonane
@kenedyludovicky8813 жыл бұрын
Goma tamu kinoma
@fransiscaurio99003 жыл бұрын
Nzuriii sana
@StevenPaul-w4fАй бұрын
Sasaivi wanataka uwapigie atakama umeacha ya vochwa
@vumiliamwangasa36275 жыл бұрын
Nakumbali sana jamani daaah kuna kaka angu alikuwa ananiimbia sana rest in peace anosisye
@MichaelInnocent-i7c3 ай бұрын
Huu mziki unaishi miaka ya kobe ❤
@tinyobayser37387 ай бұрын
Huu mziki umekamilika kwa kila kitu kuanzia beat vocals na kila kitu kilizingatiwa 🤝🏾
@rajabsenkondo1016Ай бұрын
Muziki wa Zamani daa very sweet song..2025 bado ngoma inabeng
@jamesmgimba7403 Жыл бұрын
Keep the good music alive
@valerianmchau51884 жыл бұрын
Hatar sana ngoma hii
@SalmaMchome Жыл бұрын
Duuuh, this song jaman acha zingine zichuje but some songs like this mmmh so sweet apo unataman kumwambia umbea ur love
@pilikhamis29243 жыл бұрын
Fanye ni tena bas mana mko vzr ina tamba hadi sasa kitu safi
@EmmanuelBrighton-rw3lt8 ай бұрын
Dah huu wimbo unanikumbusha mbali sana jmn Najomo mwandega alikuwa anaupenda mnoooo miaka hiyo Reast easy Najomo 😢
@umraumi35 ай бұрын
Heshima Zangu kw huu wimbo.Big up @AT na @Starathomas...Another Classic...
@charlestonkimario43224 жыл бұрын
best song of the year
@MussaDhahabu-l5b7 ай бұрын
yani duuuuuu mpaka najisikia kuIia kwawemboo huuuuuu 😂❤❤❤❤❤❤❤🤙🤙🤙🤙🤳💯💯🧡❤️❤️❤️❤️
@harrisleonard349012 жыл бұрын
kul tune frm bongo,,,kip up da gd work
@taicollegetz4 жыл бұрын
Dec 2020 still best song, who else is watching
@yussufprofessor7 ай бұрын
Woow imenikumbusha Mbali sana NGOMA Hii❤
@JeniphaMtundu8 ай бұрын
Mambo bado mazuri sana miaka mingi laki bado ni fire❤❤❤❤❤
@emiliangasto94675 жыл бұрын
Still watching 2019
@mbunah2553 жыл бұрын
2021 niko hapa leo wangap wanajaribu kutafuta mzik mtamu kama mimi😊
@BinSuleyman-gq5vk9 ай бұрын
Aka kamuimbo Leo since naamka akataki kutoka kichwan najikuta nauimba❤
@johnmosha4 жыл бұрын
2020 still hot whilst in lockdown. Tanzania
@wanguiemily751 Жыл бұрын
Such A great 👍👍 song❤❤🎉
@dancanchacha8139 Жыл бұрын
2023 kwani we upigiwi😅? Gonga like
@ElizabethJuma-uz1pm8 ай бұрын
Naipenda sana.inanikumbusha mbari
@johnmlay47593 жыл бұрын
For really with this life we keep dreaming to have good life while Covid hindering & throwing away our dreams though we keep fighting
@ITIKAGIDEON2 ай бұрын
Dah nimekumbuka mbali sana 2010 kweli tunatoka mbali 😊
@athumanmuna95943 жыл бұрын
I love the song so much, I real hav some thing to remember those days.
@vedastogenius455 жыл бұрын
2020 twende twende still tuko hapa 13.01 nmemiss wifi yenu
@sarahmwaluko24804 жыл бұрын
Nawakubali kinoma daily nawasikiliza 2020
@shebbynzengula69937 ай бұрын
Daah hii nyimbo imenikaa kwa kichwa 😃
@arthurnkongolo1472 жыл бұрын
Nothing but memories!
@remejiyoamos30222 жыл бұрын
V
@edwardmukanda27534 жыл бұрын
Wow,,,,wimbo mtamu
@HellenaMky3 ай бұрын
Zamani kulikua na laha Sana jamani. Miaka Rudi nyumaaaa😢😢
@didakalaule7840 Жыл бұрын
October 17 2023 still 🔥🔥🔥
@DM-bq7ys3 жыл бұрын
This was a banger back in days 🔥
@janemayala11386 ай бұрын
Wimbo mtamu balaa❤
@jeremiahshayoarchitect107 ай бұрын
2024 listening to this beautiful Jam. 🎉 So much memories.
@kennedymmbando2 жыл бұрын
Sooooon live in Tabata Bima!
@abdymmanga6338 Жыл бұрын
Kipind inatoka hii song nilikuwa nasoma darass la 3 na nilikuwa na mpenz wng nampenda sn ila kwasasa ameshaolewa roho inauma 😭