Ukiwa ndani ya Kondegang everything is possible yan Mambo n🎧🎶🎶🎶🎶
@mwajumachitivi63303 жыл бұрын
Anjellla ❤️ saana sio kwa madeko hayo nasauti Tamu hiyo,,mtot wakitanga👌👌❤️❤️❤️❤️
@lm63733 жыл бұрын
Mashallah nzuri sana hiyo ndo nyubo sio tetema.
@michaelmb92373 жыл бұрын
Kali kichupa kimetulia kwaasilimia 💯 kwa upande wa pili wajipange vizuri kabisa iyi imefunika Team konde gang for everybody ❤❤❤❤
@hadijajidah44403 жыл бұрын
Respect
@ramadhanirama66363 жыл бұрын
Hahahaaaa hii ifunike upande gan sasa??
@jumakassim87183 жыл бұрын
@@ramadhanirama6636 wapili
@patiencenimmoh39563 жыл бұрын
Twende nalo hatuna muda wa kupoteza. Konde gang hamna kufeli 😎😎. Mungu awasimamie Konde gang wote🙏. Ifike 1M kesho asubuhi inshallah
@bolingomwana59633 жыл бұрын
Inshaallah
@mariamabdull24543 жыл бұрын
Wamejua kutufurahisha round hiii AT tutamchukua tu
@aysharahman30803 жыл бұрын
Ishaallaah
@osaybrian21263 жыл бұрын
ndo manake
@asyamgeni98193 жыл бұрын
Very nice song
@neemakambi53773 жыл бұрын
We c unajifanya mfukunyuku umefukunyua kusiko, si wa noti wala vinjuruku hata kwa tusonacho haupo. Asante anjela!!!
@maryrajabu79863 жыл бұрын
Time ANJELLA mikono juuuu🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️🙋🏿♀️ black is black message sent mpooo km ww mzazibar mm mtangaaaaaa heheeee pigakelele kwa tanga wake weweeeeeeee❤️❤️❤️umetisha sadaake
@prettycareen1703 жыл бұрын
👊
@shebyshaaban65113 жыл бұрын
L
@duncanbrian40913 жыл бұрын
Welcome back AT...coastal vibes..this song is gonna be big..wenzetu wa Mombasa washafanya imekuwa national anthem 😂😂😂🇰🇪🇰🇪
@mohammedware46643 жыл бұрын
😆😆😆Msa hatucheleweshi mduara.
@jumakassim87183 жыл бұрын
@@mohammedware4664 haswaa
@magynzioka11223 жыл бұрын
Niokotwe kisauni jamani
@mohammedware46643 жыл бұрын
@@magynzioka1122 🤣🤣🤣tena mtaa wa Mwandoni karibu na kibanda cha mamake Aisha.
@laverababayz29183 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤸🤣
@jacksonalexander15153 жыл бұрын
Naommba tano japo nimelichelewa hili gomaaaa....👊
@wahiduitsverycommentmane54213 жыл бұрын
Nawalio kupoteza ndio wameficha ramanii upoooo 👌👌👌 pigaa kelele Kwa mtoto wa kitanga kama wew wa zenjiiin basi wakitanga mambo fire
@paulissaya78893 жыл бұрын
Huyu Dada anajua sana aisee
@salimkibwana46993 жыл бұрын
Hamonize nakubali umrudisha AT kwenye game bro mungu yupo pamoja na ww sana
@kjafy3 жыл бұрын
Kama Kenya Tumekubali Anjella🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Wakenya tupo
@magrethmbwiga60983 жыл бұрын
Jamani wewe anjella kuna watu wataenda icu soon... love you girl
@hadija8463 жыл бұрын
Pamoja sana konde Yaani huyu kaka sijamuona siku nyingi sana nakushukuru kwa yote ni nyimbo mzuri sana alafu huu ndio utamaduni wetu na Anjella anaimba kwa utamu sana kazi mzuri jeshii hakuna unapokosea nakuombea wakati wote kwa mema tupu🙏🏼 Amiin🙏🏼 Kazi njema wakati wote na washiriki wako wote😍
@malikzafarani1723 жыл бұрын
One love saana nawe pia barikiwa 👊🇶🇦
@hadija8463 жыл бұрын
@@malikzafarani172 pamoja sana🙏🏼
@ogmndevu13193 жыл бұрын
Dakika ya 2:57 ndio noma naona anjela ametikisa. This girl is so talented. Hongera kondemusic worldwide for this gift
@qwqw16653 жыл бұрын
Hasante sana nakukuba wetu
@kingdeniscrocodile3 жыл бұрын
Hahhaha nimerudia kuicheki kiuno pwaa
@mandovapicture3 жыл бұрын
Duuh Kunawatu wanavipaji Kweli Mimi sijui ata Niandike Nini kupitia Kipaji cha huyu dada Anjella Mungu Akuzidishie Uwezo zaidi 🔊🔊💞
@mkondepambakali73733 жыл бұрын
Lik za anjela hapa ngoma nagwa ❤💥
@blazzydehuntr79643 жыл бұрын
Anjela wew wa moto sanaaaaa🔥🔥🙌
@gervaskasala73213 жыл бұрын
Oyoooo piga keleleee KWA Angela akeee na tall wetu AT 🔥🔥🔥🔥🔥💪✔️🌟🌟🌟💓💯💯💯
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Ndio saa hii wameiweka #48 trending hapa kwetu Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Si wameidhulumu Sana hii ngoma
@mrnicaslyimo17513 жыл бұрын
Huu wimbo nimesikiliza Mara 50 bado tuu na hamu Wa kusikiliza Anjella wewe ni noma!!!!!!!
@georgebidance13993 жыл бұрын
Wewe wa kwanza from USA. Kond Gang to the world🔥🔥 Welcome back Legend
@aloyce.kalamu63073 жыл бұрын
Ajella umetisha sana goma hii nikur sna kunawatu wanamuhaho🔥🔥🔥🔥
@abdulbizo44743 жыл бұрын
Wanangu wa Visiwani support kwa AT na Konde Gang
@fatmasaid70933 жыл бұрын
Team Muduwara tuko ndanindaniiiiiiiii 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️😘😘😘much much much love from 974 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
@servenymussa41773 жыл бұрын
Mkongwe na anjella mumewasha moto🔥🔥🔥🔥
@markh81423 жыл бұрын
AT ft anjella ngoma ya moto sana🔥🔥
@djdondullah82153 жыл бұрын
De black Queen Hatari sana, Zenji na Tanga hizo zimekutana sisi kama wamambasati tumekubali na tukapasisha kua hii ni hit song, haya sasa twende 🕺🏾 twende 💃🏾 twende 🕺🏾💃🏾. Mduara raha jamanini
@MrNoNonsenseYes3 жыл бұрын
moto fire I say, huyu mtoto anajua sana
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
Ahsante laazma ulielewe somo watu wa pwani tunajuana na hii ndio kitu roho inapenda
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Queen Anjella aaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥
@djdondullah82153 жыл бұрын
@@kreamagdfsa1697 kabisa yani, tunajuana kwa vikoi mana si vilemba 😁
@kreamagdfsa16973 жыл бұрын
@@djdondullah8215 😃😃😃
@eddahaule86203 жыл бұрын
Mungu akusimamie, uzidi kukua,usizubae bado una safari ndefu mdogo wangu. I love u
@ELISSKGTV3 жыл бұрын
Anjella na AT ...mimi naomba hii audio ifike 1M please
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Ubaya Konde gang FC wanaremax sana
@benoitselemani10073 жыл бұрын
From America, love it, mkongo mwenye asili ya Tanzania.
@amosiarthur15053 жыл бұрын
Mwaka huu nikutesa kwa zamu🐘
@rahmaseif23203 жыл бұрын
Nkupendag at ukoseag jmn uwiiiiiiiiii znz juuuuu ,enjella pia wajua mashallah 🥰👌tanga juuuuuu (Pemb n kwetu)
@hemedynamkwanga29283 жыл бұрын
Alooh huku kumenoga legendary At x malkia wetu Kaz mzur sana
@nashratramadhan43043 жыл бұрын
Anjela umeua mama mungu akubariki na kipaji chako ❤❤❤
@ilaka15563 жыл бұрын
Mfalme Mwenyewe ndani ya nyumba! Good collaboration
@churasuperstar29853 жыл бұрын
Dunia imeisha daaah kumbe na tarabu unajuwa 🙏🏾🔥 respect for you Mamy ngoma lipo sawa
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
This is talent
@ashamwamba90883 жыл бұрын
It
@sophyomina23163 жыл бұрын
Keep fire burning ANJELLAH🔥🔥🔥🔥🔥 mob love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@nicksondena52973 жыл бұрын
AT nice to see you back, Agella what a kill? Congrats.
Sema nn kweny hii nyimbo mtoto ka appear mashallah
@STACY_KENYA3 жыл бұрын
All the way from kenya to support this talented Queen 🔥👑🇰🇪🇰🇪
@blackstone44883 жыл бұрын
The black anglle ametisha sana...ngonga like alafu tusupport huyu Queen 👑 of kondegang 4 everybody just for you love from Kenya 🇰🇪
@muniraahmed6243 жыл бұрын
Nani anaangalia hii video huku akisoma comments kama mm enjoy good music it's been longtym now am back😍😑😍
@habibakhamis26973 жыл бұрын
hahaha tujuwane kwa kweli 😂
@husnanyamvula23723 жыл бұрын
Ndo Hali halisi hyo
@josephajosephat61793 жыл бұрын
Tupo weng
@lizzyalbert78333 жыл бұрын
Mimi hapa
@mwanahawa63623 жыл бұрын
Kwkwr
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Kenya Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya tupo wengi hapa
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya tupo Kwa mziki mzuri
@tatungole4123 жыл бұрын
Cyo siri kwenye hii nyimbo anjela amependez na nguo alizovaa kam unaamin gong like twend pamoja,
@simiyuisaac58773 жыл бұрын
Ukweli kabisa bro
@aysharahman30803 жыл бұрын
😍😍
@simiyuisaac58773 жыл бұрын
@@aysharahman3080 💞💞
@veronicagodfrey94353 жыл бұрын
Sanaaa
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Sana aisee
@seniorland99483 жыл бұрын
Wanaopenda mziki mzur bila kuchagua team like zenu jaman
@rhodystv19933 жыл бұрын
Watching from BURUNDI...Angella you are the best.KONDEGANG mwaka wetu🔥🔥🔥
@mwajumasalumu82593 жыл бұрын
Anjella kweli wewe sio Saizi yao pamabana mama wasio kuelewa wata kuelewa tu 🔥🔥
@lwengephillip75163 жыл бұрын
Anjella unajua dada yangu. Piga kazi dada hakuna kurudi nyuma.
@antonynyerere43473 жыл бұрын
Angela Kama watu wameanza kumwelewa ivi asee she desave a Queen of bongo fleva she is a real singer ever 👏👏👏
@fabroarphe94893 жыл бұрын
Nipe like kwa nyimbo nzuri sana from Konde music 🔥🔥🔥🔥🔥
@angelohakizimana4723 жыл бұрын
Tayari A.T kashaa rudi mjini🔥🔥🔥makofi mengi kwa konde boy🤗
@malingumubunazitv27473 жыл бұрын
Wimbo wetu wataifa naona umeachiwa video safi nimeusikiliza kwa makini kweli unaujumbe mzito Sana ongera anjella kwa uandishi mzuli
@mzawajessa44523 жыл бұрын
Anjel mungu azidi kukuongoza kwenye safar yako ya mziki
3 жыл бұрын
Together Let's Take African Music to the World
@issasalum62933 жыл бұрын
Of course
@bakarirajabu25213 жыл бұрын
olaaaaaa sijaelewa mbona mnazingua goma tulifikishe 1m hili wana from kenya sijawahi pata like Ama nihame
@aysharahman30803 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@aysharahman30803 жыл бұрын
Kwani hizo like mnazipelekaga wapi 😂😂😂
@bakarirajabu25213 жыл бұрын
Zauzwa huku kenya 254
@MukizoWizo3 жыл бұрын
@@aysharahman3080 ndo nashindwa watu wana omba likes badala ya hela 😂
@nicholasmutwiri8063 жыл бұрын
@@MukizoWizo hahaha
@linnamapunda22753 жыл бұрын
Tunaompenda anjela tujuane❤️❤️❤️❤️
@calebizobabalamama30633 жыл бұрын
Ngoma kali ajelah mungu akubariki sana uzidi toa nyengine baada ya nyengine shukuran kwa wimbo mtaamu
@evaeve83883 жыл бұрын
mimi hapa
@calebizobabalamama30633 жыл бұрын
@@evaeve8388 sema?
@evaeve83883 жыл бұрын
@@calebizobabalamama3063 poa
@scolahkaris65123 жыл бұрын
Mm
@bizichachachartiel82403 жыл бұрын
👏👏👏 Anjella nimekubari dhu!!! A.T nimemskia Tena big up saaaana nawewe
@damianpizoofficial3 жыл бұрын
Mim nafata2 @Anjella we ongoza kazi nzuri sana
@dullahliyza90503 жыл бұрын
Our Queen anjella,,, Konde gang🔊🔊 Huu ni mwaka wako anjee
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
Anjella aaaaaaaa juuu
@doracasablanka93753 жыл бұрын
Anjella for everybody nakupenda💕💕💕💕💕💕💕
@deroshifox39703 жыл бұрын
Umewapoteza kwenye diraa✋🔥🔥
@maimunamartha88533 жыл бұрын
Maimuna nikiwa iraq bila unafiki anjellah anaimba sauti amepewa mashallah mwenyezi mungu amjalie kisha namuombea apone tatizo alilo nalo inshallah
@AMUKENYA3 жыл бұрын
Mchezo unaocheza, mi nimecheza zamani, na walokupoteza ndio walipoteza ramani... #MimiSioSaiziYako🔥🔥🔥🔥
@iddmwamori38693 жыл бұрын
Ngoma kali sana from 973🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
@mcabrahamomoding3 жыл бұрын
Kazi poa dadangu....Team never give up
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
This is pure talent..... Queen Anjella aaaaaaaa + legend AT
@dativamallya1573 жыл бұрын
Angella sijawahi kukuelewa. Naonaga tu mapichapicha🏋️🏋️🏋️🏋️🏋️
@vananceirdavid41853 жыл бұрын
Iyo ningoma kuzidi sukari anjela we namba one tanzania 💝💝💝
@farhenfaris883 жыл бұрын
Jamani mm nampenda AT ❤❤
@shamtemkumba15593 жыл бұрын
Ngoma limeitk hlo na 2nalipitixha au vp manyamela, 2pite na comment bl kusahau like kwa upnd wng
@zinazotrend3 жыл бұрын
Hii ni hatari anjella noma🔥🔥
@sophiamfikwa73403 жыл бұрын
MashaAllh Anjera hiyo sauti waoòoooh hongera sana nyimbo nzuri🥰🥰🥰🇹🇿🇴🇲
@godblessnkyale89803 жыл бұрын
Ni Anjella ft At 🙏✔️
@sampachino51843 жыл бұрын
Goma zuri sana pigeni kazi wana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@faridaantal8573 жыл бұрын
Angela mbona naaza kkukuokopa duuh mambo mengi mdamdogo kweli unajuwa kuimba kabisa sijaona wimbo Wako mbaya hongera sana mdogowa Ngu
@jumakassim87183 жыл бұрын
Umenena n mkali sana huyu dada
@wahiduitsverycommentmane54213 жыл бұрын
Kama umerudia zaidi ya mara mbali tujuane pls anjella anakuja kunoga sio Siri tenaaa ,❤️❤️❤️🇰🇪
@abdulsalim54973 жыл бұрын
Nyimbo mbayaaaa😷
@achouraachoura57633 жыл бұрын
AT..karudi..inapendeza🔥...wakufukiza mshindwe🔥
@michaelchabari79153 жыл бұрын
I like Anjella's songs so much much love keep it up
@impactoelectrical58143 жыл бұрын
This is talent
@benjaminkayombo20933 жыл бұрын
Nimemiss hizi ladha🥰🔥🔥🔥
@esthertashah3 жыл бұрын
Wimbo wa TAIFA 🔥🔥🙌
@selemanmazemle51883 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 Ngoma inaunguza kinoma nomad
@salamajuma54813 жыл бұрын
Anjela yuko vizuri kbs ametisha sana na AT asante sana kwa kujitolea big up nyote 💪
@brightontoroka29333 жыл бұрын
Konde gang naomba unisaidie nina miaka 18 naandika nyimbo mwenyew ila sina pakurekodia naomba hata niwatumie wasap muangalie naomb msaada
@hamisimfaumenamwewe1933 жыл бұрын
Msaada wakukupa wewe, tubu uitangaze injili ukifa huwende peponi. Dunia mapito. Huko utapotea tu
@lenickylegendy52803 жыл бұрын
Ebu 2m via 0620541217
@mgallason...56863 жыл бұрын
@@hamisimfaumenamwewe193 ataitangazaje injili akiwa na njaa pengine ungemwambia aje akusaidie kuitangaza ili naye angalau ale sadaka unazopata. Kijana ana kipaji na anahitaji msaada we waleta masihara kisa Kuna kutangaza injili we injili uliypitangaza Iko wapi Mbona hujatukuoni Hata youtube.
@alisumailali60973 жыл бұрын
kubwa kuliko Angela ni Zaidi mwalimu saluti god bless u my Queen don't worry u gonna win
@arabgandaempire3 жыл бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@abeidjoseph2543 жыл бұрын
Hatu taki makando kando🐘🐘🐘🐘🐘🐘💯💯💯💯💯💯❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@asaa32193 жыл бұрын
@@abeidjoseph254 😂😂🥰
@asaa32193 жыл бұрын
Au sio🔥🔥🔥🔥🔥👏👏
@haroubabuu11443 жыл бұрын
Nice better
@mrdavid2543 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pKacdWBvpdt7p5o
@stephanowaryoba14503 жыл бұрын
Kazana dada angu una kipaji sana hongera endelea kutufurahisha mashabiki wako
@ramaboy23903 жыл бұрын
Big up my dear sister uko juu Mungu akuzdishie YOUR FUN FROM MOMBASA KENYA