Millard please, kama atakushirikisha kwenye prosses za matibabu yake” tujuilishe tumsaidie; anahitaji msaada wa Tanzania 🇹🇿 let’s help our beautiful sister,
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Wasanii wa kibongo mbn wanapenda kuchangiwa
@SaidSaid-ef8md Жыл бұрын
Bora kuchangiwa kuliko Kuiba, huyu dada anaonekana kwa macho anaitaji msaada “ me ela yangu ya kujirusha weekend hi… nitampa Yeye kuliko nikainywie pombe than niamke na hangover,
@bovickpascal6554 Жыл бұрын
U are right
@ticia950 Жыл бұрын
Mi naomba tuu elfu 30 nifanye biashara
@AlyadamMazruy Жыл бұрын
@ticia950 biashara gni sorry
@Boaz22 Жыл бұрын
Millard weka namba tumchangie akatibiwe bhana, tunampenda sana Angella❤
@yusterenosy6606 Жыл бұрын
Nampenda sana anjela. Kama akihitaj kusaidiwa pesa ya matibabu tutamchangia maana anapitia shida huyu mdada. Juu ya tatizo lake
@jamal57499 Жыл бұрын
Anajuwa kujibu maswali straight forward she for keep ❤
@kazkaz1943 Жыл бұрын
Nimefurah millard anauliza mambo positive mfano mambo gan mazur ulitendewa ❤ jamii yetu ikiwa iv tutafika mbali kuliko kuuliza mambo gan mabaya ulitendewa tuwe tunaegemea upande mzuri
@millardayoTZA Жыл бұрын
Muchlove Kaz !!
@devievicent2735 Жыл бұрын
Kaka mshaurine aende Kwa mtumishi wa mungu mwamposa kawe
@Adeen.1 Жыл бұрын
Julie Katie nimemuona huyu sister akiperform sgd yani she's so beautiful na anasauti ya live sikutegemea
@lavvyboyKe Жыл бұрын
Anjella you have our surport from Kenya asilimia 100%💓💞💕💖💝💘❣🙏🙏🙏
@upendopeter8078 Жыл бұрын
Duuuuuh 💔😥,, anjela amepitia magumu sana. Pole sana. Mungu amsaidie aendelee kuimba
@chocolatevivian830 Жыл бұрын
Anjella my sister huo mguu syo wa hospital dada utapotesa hela bure mguu unaitaji maombi dada usiende India dada tafuta maombi sister
@chinaasirilla1086 Жыл бұрын
Huyu dada anaongea reality life from umaskini na kujitengenezaa yeye mwenyewe Mungu Amsaidie kwa kweliii
@bernardmasangula9358 Жыл бұрын
Sawa harmo kamsaidia anjela, ila mkataba unatakiwa uwe na kipengele Cha mtu akiumwa anavumiliwa kwa muda gani na up muda uwe reasonable angalau miezi sita yenye masharti yoyote upande wa mshahara. All in all harmo big up 👍
@specialminds23 Жыл бұрын
Kweli Harmonize amejitahidi saana
@Waytozanzibar Жыл бұрын
Kaza sis ! Safari bado nikubwa sana. Umejifunza kitu kikubwa sana.. Anyway, karibuni sana ZANZIBAR muje mufanye utalii wa ndani 🌊🫶
@suleimanali5677 Жыл бұрын
Kiukweli tusemeni ukweli wcb ndo levo bora Tanzania 🇹🇿 tuacheni ushabiki mandazi tumsaidieni huyu dada 🙏
@lucymsumi8104 Жыл бұрын
Ubora upi unaozungumzia tuanzie hapo
@sashagal5683 Жыл бұрын
What is wrong with you tanzanians ,her health is more important than what your saying who cares about ubora ...nkt
@suleimanali5677 Жыл бұрын
@@lucymsumi8104 treatment ya wa sanii na maendeleo kiujumla mfano harmonize rayvanny mbosso zuchu na lavalava. Huwezi kulinganisha na ibrah anjela Marc voice wa rayvani
@vickymwanga5135 Жыл бұрын
Ingekua wasaf wanaongea ya moyon usingetaman,nyumba za watu tzamen kwa nje
@suleimanali5677 Жыл бұрын
@@vickymwanga5135 mbona wasanii wao wanamafaniko , rayvan mbosso zuchu harmonize , kuliko wa king kiba au wa konde gang
@suntzu8959 Жыл бұрын
Sasa walikua wanalalamikia asilimia 40 ya WCB, Dunia bwana🙄🙄🙄🙄mkuki kwa nguruwe 🐮🐮🐮🐮
@valerianmtowe7822 Жыл бұрын
I rilly love this sister yuko vizuri xana na pia anajua kuimba dah God bless you
@pichunakichuna2111 Жыл бұрын
Best voice in east Africa just love 💕 am ready to contribute her treatment greetings from Switzerland 🇨🇭❤️
@jmkentertainment..8247 Жыл бұрын
Me too Kichuna tuko sote Zurich..
@witnessmusa5454 Жыл бұрын
Millard ana akili sana yani ankufanya unasema kitu ambacho ulikwepa kusema, lovely one ❤ Millard ayo
@millardayoTZA Жыл бұрын
muchlove Witness
@derrickm.omwakwe6525 Жыл бұрын
She needs help.Nipo tayari kutoa mchango wangu ili apate matibabu
@kevinchaula777 Жыл бұрын
Mwingne ananunuliwa range, mwingne mwenye tatizo la mguu ananyang'anywa crown.
@sadikjuma5519 Жыл бұрын
Hayo ndo maisha. Ila asijali, she's talented &will go far.. Much love from 🇰🇪... Nimependa hapo kwa Kagusa(touch) na Bakula 😂... Peace though 🤞
@midundotechtz6843 Жыл бұрын
She is a sweet soul, mkweli ana staha ya maneno
@PHILIPOSAGANYI-ub4jy Жыл бұрын
Tumuchangie akatibiwe huo mguu. Daaaa! Inaniuma huu dada yetu inatakiwa tumpe support.
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Siwez kumchangia kafir
@Bin_Slyim Жыл бұрын
@@pavillioncry5241acha Pumba hizo ww kweny qur an Kuna sehem Gani imesema usimchangie mtu ambaye cyo muislam bali ispokuwa imesema kwamba tusaidie mayatima,wajane,walemavu na watu wasio jiweza n'a haijasema tusimpe ambaye cyo muislam bwege ww bichwa kubwa akili kisoda
@Bin_Slyim Жыл бұрын
@@pavillioncry5241watu wenye roho kama nyie ndo munaokuj kufiriwa familia zenu
@official.kakajay Жыл бұрын
Support from Kenya anjela anahitaji kutibiwa fanyeni jambo tuone nmna tunaweza support dada yetu
@jamalmullerjordan Жыл бұрын
Kwan anaumwa n nn?
@t.e.m.m.e.h Жыл бұрын
It's emotional 😭 yaan tumsaidieni jmny
@Dennis_1official Жыл бұрын
Watanzania mnapenda story ya uyu dada lakini sioni mkimsaidia,tafadahali toeni paybill tuchange hela tumsaidie coz najuwa inawapea pesa mingi kwenye mtandao ,do something tz,msijifanye walafi
@dinosmack Жыл бұрын
Shout out kwa konde boy he is so real..🥂
@Manyara-Jr Жыл бұрын
she's loyal sana mpaka raha.. nimempenda bure. MUNGU amwongoze
@florahburton9641 Жыл бұрын
Interview imenyooka hadi raha
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Mshukuru na lulu aliyekuwa anakulisha kumbuka fadhila na lulu
@merinakassembe118 Жыл бұрын
LULU ALIKUWA ANAMLISHA AKAMSEMA VIBAYA AKAA KWA Dula makabila
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Alionga gari kwa jojhn john akaaribu gari
@merinakassembe118 Жыл бұрын
Muongo alikuwa ana gast na john.akapata.mimba aikaitoa na miezi 6 then alaamiakwa makabila
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Acheni lawama msikie mazungumzo hii ni biashara hakujituma na analipwa je bos apate hasara kupita huruma? Acheni maneno Hamo ana Roho nzuri tusingemjua Anjella kwani wengine wanaemuhurumia mwanzo walikua tumboni😂😂mnachekesha sana yeye apambane atafanikiwa keshaonyeshwa njia tunamuombea mafanikio InshaAllah 🙏🙏
@selemanikinyonyi7163 Жыл бұрын
So mbona alivowasilimulia ya boss wake wa zamani mkaenda upande wake je mlitaka boss wake wa zamani nae afilisike???
@africangirllifestyle7686 Жыл бұрын
@eliashibundabalinze2217waeleze huo ni mkuki kwa nguruwe
@rizoibrahimovich605 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu dada anaimba vzur sana
@jacobmenganyi7830 Жыл бұрын
SOMETIMES WATU WANATUMIA WEAKNESS ZAO kUWATIA WATU UBAYA SASA KAMA MWANZO ALIKUA POSTIVE BADAE AKAGEUKA MBAYA PIA NA WEWE KUNA MAHALI ULIZINGUA coz tukilinganisha matukio unaonekana ww ndo unashida kwavile una matatizo afu Ni mwanamke wacha tu tukusapoti
@aishaabdi2059 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭mungu atakuwezesha sis pole sana nimeumiya sana jamani
@PrincessHellen-pg1oy Жыл бұрын
Nahisi Kuna siri nzito sana 😢 anway yote maisha
@aminaolver9114 Жыл бұрын
Anajielezea vizuri sana mungu amsimamie afike mbali ❤
@WITYDijja Жыл бұрын
Waooo kumbe anjella amezaliwa 3/10 kama mm ❤
@janethpaschal2303 Жыл бұрын
Mimi pia
@LovenessElias-fm4up Жыл бұрын
Kama mm
@peninashungu6633 Жыл бұрын
We ni mdada na nusu mungu atakurinda na utapata kile unachokitafuta, Nakupenda
@Alkibosstz Жыл бұрын
angela ananikosha sana uyu dada hila shida ajibu message zawatu inbox ❤ but mufikishieni abari afunguwe message zawatu mana mutu ajuwag msada unatoka sehemu gani my sister angella
@eminentmnzavas4463 Жыл бұрын
Hana smartphone broo
@LovenessElias-fm4up Жыл бұрын
M
@LovenessElias-fm4up Жыл бұрын
Money problem
@deborahmaturu5698 Жыл бұрын
NIMEPENDA ANJELA AMEWEZA KUWA WAZI, HAJAPONDA MTU, ANAJIBU KAMA ALIVOULIZWA imagine angekuwa ni msanii....., Angejibu tofauti😅
@abdulwahababdulkadir9965 Жыл бұрын
Kwa kweli kazi ya baba nimeielewa sana
@Rukaka_jr Жыл бұрын
Kumbe Harmonize na yeye anaroho mbaya mlikuwa mnamsema mond, na kujifaragua kote mbele ya baba yake Angela kuwa mtaenda India lkn mpaka anatok gang mdada wa watu hakuna alichoambulia, anamatatizo ya mguu Harmonize akamuunga mkono
@maryamjey6340 Жыл бұрын
Angela she's a good singer and woman, Mungu amgungulie milango ya kheri inshaallah.
@africanmondo. Жыл бұрын
InshaAllah
@eunicewambui4645 Жыл бұрын
Weee Ayo basi tu hujui vile napenda hiyo sauti yako more love from.Kenya
@mwakipundahenry5235 Жыл бұрын
@Millard u're the best y'broo! Utulivu mkubwa, unampa muda wa kujieleza mgeni wako, unajua kumsoma mgeni wako na hiyo inasaidia kuongeza kujiamini kwake, hurudii maswali ambayo unahisi yanamwongezea uchungu, Angela kaonyesha mapema sana kwamba hataki kumuongelea vibaya Harmonize hilo Millard ulilisoma and u rolled with her professionally, lkn muhimu zaidi umeonyesha kuheshimu mchango wa Harmonize kwa Angela, unajua sana Millard
@valerianmtowe7822 Жыл бұрын
Millard anajua kweli interview very nice
@millardayoTZA Жыл бұрын
shukrani sana Valerian
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Nilichogundua huyu anajua tu kushukuru hila hajui kama alikuwa anapotezea tu mda, huyu Dada naona ni mtu mwenye adabu zake tu😊
@amarybaajun8811 Жыл бұрын
Inasemekana alitoa mimba kubwa ya miezi saba uone pengine huo ndo ugonjwa sema tu anauficha kulinda bland yake
@zc-cw2wb Жыл бұрын
Alafu yeye kila siku nukulia kazulumiwa na WCB hivi huyu binti alikua anaishi maisha ambayo hayafanani na life muziki
@Moviechanel255 Жыл бұрын
Kits tunashindwa elewa harmonise desolved alichokua analilia sio huruma ilikua haki yake Uyu dada amesema haikua kwenye mkataba meaning alijua nini
@valeriaally6584 Жыл бұрын
@@Moviechanel255 usitetee,harmonise alikua analalamika kupewa asilimia 40 mbona na yeye anawapa wasanii wake asilimia 40,tena yeye WCB wamemsaidia sana mpaka kuwa msanii mkubwa zaid,hawakumkatia tamaa mapema kama yeye alivyokatia tamaa wasanii wake mapema
@evaristkatibularutuku7094 Жыл бұрын
Weee munafiki.ilikuwa musahada bro.
@madawamchuwa8253 Жыл бұрын
Mimi ni team konde lkn kwa hili la kuto kufatilia matibabu ya huyu binti wamekosea Sana kwa kweli😢
@ndayijeanclaude5094 Жыл бұрын
Kwa nini wamekoseya?
@mishikombowato1457 Жыл бұрын
Hajakosea labda yuataka had Leo ila uwezo Hana huwezi mlaumu maana hata ww umemjua kupitia konde na hata ww unayo nafasi ya kumsaidia tu mbona
@selemanikinyonyi7163 Жыл бұрын
@@mishikombowato1457uteam utawauwa mtaki kukubali ukweli ndio harmonize alifanya vibaya kutokumsaidia huyu dada mbona weke uteam pembeni
@selemanikinyonyi7163 Жыл бұрын
@@ndayijeanclaude5094sababu alisema atamsaidia but hakumsaidia auelwei au uteam huo
@mishikombowato1457 Жыл бұрын
@@selemanikinyonyi7163 eeh aliyafanya na alisema sasa unajua ww unapanga na mungu ndio anawezesha.asa we unaongelea utm gani maana hapa tunaongelea alichosema anjela au ww una tm yako maana kwanza hat hujui usemalo
@mariamnur1036 Жыл бұрын
MashaAllah Ayo nko poa sana kwa interview 😊😊😊
@Carinno2217 Жыл бұрын
Love Anjella
@morrisondequisto8291 Жыл бұрын
Anjella nmrembo aki nakupenda anjella mmmmwa
@Alkrauson Жыл бұрын
Mungu akusaidie upone🙏
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Dah! Pole sana Anjella, Mungu atakusaidia inshallah 🙏
@malikzafarani172 Жыл бұрын
Pole saana anjella tunakupenda mashabiki zako
@relaxstarman Жыл бұрын
Mungu yupo pamoja nawe dada yangu, yatakwisha yatapita
@frankluhu5322 Жыл бұрын
miezi mitatu mpaka minne alilipwa milion 4 tu na hana nyumba ya kampuni wala nini na anakula asilimia 40 tu 🙌🙌🙌🙌konge kawanyonya sana yeye aliishi unyama wasafi
@joycemfuru4752 Жыл бұрын
Hapo unapofanya kazi unalipwa shs ngapi???
@sidemelodytz6487 Жыл бұрын
Bro namkubali Sana huyu Dada na nishabiki yake Sana plz naomba kama atahitaji support nipo tayar kuchangia kidogo nilicho nacho
@lifeofyuri4020 Жыл бұрын
kimara mpaka king'ongo dakika 30-40 kama unatembea polepole ... Mimi nimeishi huko nakumbuka nilikua tunaamshwa saa 9:30 kujiandaa shule ..by saa 10:30 watoto wa mtaan8 tunaosoma mjini tunatakiwa tukitane uanjani ili tutembeee kimakundi kutembea peke Ako ni hatari so saa 10:30 mpaka saa 11:10 or 30 sometimes inatukuta kimara mwisho hapo unapanda daladala unafika shule saa 12:20-30 unawahi namba 🎉 ukichelewa fimbo Kurudi nyumbani same thing masomo unamaliza saa 12 unaenda mwenge kupanda gari ukataliwe weee uje upande gari saa 2 usiku unafika nyumbani saa 3 unakuta ndoo za maji zinakusubiri unaenda zibeba ndoo zako unakula unaosha vyombo unalala sameting unarepeat 4 hrs later
@launeyfx8340 Жыл бұрын
Pole aiseh kumbe watu mnatokea mbali
@mwinyiado1129 Жыл бұрын
King’ongooo mojaaa😅😅😅 mr Audax aangalie hii
@bernadinodnawe184 Жыл бұрын
She is very humble.
@zawadihemedi7907 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu abariki kazi ya mikono yako millard ayo 🥰🥰🔥
Neenda wakunyonye Mondi ameamua ku date na Zuchu sikuchinja tu pale
@fatmaally7252 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa mangine majina tu
@sentimali2011 Жыл бұрын
@@fatmaally7252 🤣🤣🤣🔥🔥
@SophiajumamwiguluSunshin-wo2uq Жыл бұрын
She is the best experience. Big up
@arsenalqueen101 Жыл бұрын
😂😂😂wacha tu nicheke
@trillionthamani Жыл бұрын
Kwa hapo bora angejitahidi kuongea ukweli tu,hiyo story kuna kitu napenda anjela kwa sasa angekiongea tu.coz bonga anajisikia vby sana
@mudimoz9329 Жыл бұрын
Pole Sana Dada God Bless You 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BigZhumbe Жыл бұрын
40% kwenye 100% duh haya mambo ya mikataba haya.
@valeriaally6584 Жыл бұрын
sasa mbona alikua anasema kuwa alikua anadhulumiwa WCB kwa kupewa asilimia 40,mbona na yeye alikua anawapa wasanii wake asilimia 40? huyu mtu mi nasemaga ana shida mnakataa
@adamnasibu5931 Жыл бұрын
Umesema ukweli kaka
@adamnasibu5931 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Pole sana anjela
@oscaranna499 Жыл бұрын
Da Angela unajua me nakuja sanaa ila kitambo sanaaaa ila nafurahi kuwa msanii na mtu mkubwa me nampenda yaan
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Msahidiyenu huyu dada jamani nimejikuta na lia 😢😢🥺🥺🥺
@Mina.15 Жыл бұрын
Including you
@BritneyMakoi Жыл бұрын
Tumsaidie wnyw au had na ww maan naona unajitoa
@Mina.15 Жыл бұрын
@@BritneyMakoi kasha msaidia Kwa kuliya 🤣🤣🤣🤣🤣 sisi tutoa Cash
@PeterJames-f1o Жыл бұрын
Jameni naombeni tumsaport anjela
@moseslorenzo6082 Жыл бұрын
All the best
@jamesmuthangya9843 Жыл бұрын
Milla hayo your media is ok we love it even in kenya tunakupenda but izo media zingine we don,t love it men mufindishe huyo ndigano wa kode gang kuongea sawa baba we love you allways take care good media we love❤❤😂 allways
@مونيكمونيك-ع1غ Жыл бұрын
Anjella akaanza dharau yaani harmo alikua akiongea nae dada anamfokea ndio konde kuamua kujiweka pembeni na kuwaachia kina Choppa na Jembe wadeal nae yaani huyu dada ni mjeuri na mjuaji ila huku mitandaoni anapretend innocent 😂😂😂😂😂😂😂😂
@crispascharles6023 Жыл бұрын
Kuma la mama ako mtu anahitaji msaada we unaongea usenge punguza Uteam Kuma la mama ako
@husseinkatalika353 Жыл бұрын
Alisikika mlevi mmoja akisema diamond mnyonyaji sana
@erickabel6201 Жыл бұрын
Duuh 😢 story hii inauma sana😢
@cleartzboy Жыл бұрын
Mirrad unanguvu na uwezo wakumwombea msaada angela fanya hvo uyo ni bint awez kujielezea kindann kuhusu hali yk
@blozike9120 Жыл бұрын
4rom +254🇰🇪🇰🇪 ....mm nko tyri kmsadia ma sister Anjella
@STACY_KENYA Жыл бұрын
Sending you love..God’s healing! 🇰🇪❤️
@_.Queen_Aiisha_ross Жыл бұрын
Just love her Angella ❤️ God Bless
@martinwaweru7982 Жыл бұрын
Wekeni hapa number tusaidie dada yetu ,Mimi Mkenya
@KudraAmini Жыл бұрын
Classmate from kilungule primary to king'ongo secondary
@chrismike5274 Жыл бұрын
Angela Anjella !! Stay strong we love you! 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Anjella usikate tama mungu yupo
@supermoodworld Жыл бұрын
Angela strong san konde gang 4life
@salimamoshi619 Жыл бұрын
Tunakupenda sana Anjella
@mwalaog2278 Жыл бұрын
Pole xana Dada iyo ndy dunia ila uxijali endelea kupambana na nimependa jinxi unavyojielezea na unanidaham ya all yajuu
@AmuriNdikumana Жыл бұрын
Aje congo wa mtunze ❤
@Somebodytz Жыл бұрын
Mzee wa city to city nation to nation mirrad ayo
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
She's so emotional 😭😭
@biniarb7211 Жыл бұрын
Awa ni immigration ama watangazaji duh mnaoji Kama ma afficer migration 😢sio poa ulizeni swali za msingi sio upelelezi😮
@HEISLOOKMAN Жыл бұрын
Natamn nione sana harmonize atoe neno Maana🙃
@JosamLumambo-qw6by Жыл бұрын
Ajella uo mguu angalia usijekua ulikosana na mdada ulitoka na boy frend wake.uenda umetupiwa jinn so kama hospital zote umeshindwa kupona jaribu tiba asili ukizembea utakuja katwa mguu usitimize ndoto zako katika mafanikio wivu unausika zingatia ilo my sister
@michaellagwen8198 Жыл бұрын
Ase leo ndo nimekundua wasanii wanapitia mambo magumu sana ase 😢😢😢
@yusuphkilamuhama Жыл бұрын
Ulikuwa hujui?
@nyash2542 Жыл бұрын
millard Ayo tafadhali kama utaweza lichukulie hatua maana nahisi itakua uhaba wa hela ndio unao mzuia kufuatilia matibabu yake 🤔🙏
@Ablosdk123 Жыл бұрын
God bless
@Speciole6Yusufu-vr3qb Жыл бұрын
@Anjella TRUTH IS THE RIGHT ANSWER, WISH YOU MORE AND MORE SUCCESS ❤️❤️