Subscribe kwa story za Kikamba celebrities kila siku ya wiki
Пікірлер: 236
@danielkyalo566611 ай бұрын
Na kuna mambo ya ajabu katika ulimwengu wa giza,mwanamke anapata mimba halafu inatoka ndio utoe kafara,shukuru mungu alikuokoa.Funzo kwangu nitakaa na mungu milele kwa shetani hakuna kitu.
@alphoncemule11 ай бұрын
The guy has transformed alot....he ha seen light at the end of tannel ....wooow i love it muema connect watu na uyo pastor wa emali anaeza saidia wengi ni genue pastor
@luciamwikali361611 ай бұрын
Yaani malama akaokoka ,Mungu ni mwaminifu ,tuombeaneni watu Yesu ndio kila kitu 🇰🇪
@peterngao305211 ай бұрын
Great job @muema ,, touching story malama
@winfrednzioka584611 ай бұрын
Eye opener Jesus is the final whether we like it or not lazima tuokoke n to pray hard especially midnight
Nimependa sana huyu jamaa anauliza maswali kwa sababu anauliza kila swali hadi tunaelewa zaidi. Ni mtu anajua kazi ya interview sana. Endelea ivo kabisa ata nimesubscribe
@nnjoshua7511 ай бұрын
Ni muvea kwa Ngai kwoondu wa kutangiia Malama wa Vero. Ukusi wake ni confirmation kana Ngai nutangiia andu kwa w'o ki nthini wa Klisto. Malama, endeea kuungamia ukusi wa utangiio waku na kutavya angi nzia ya utangiio ula Yesu watueteie nikana onamo matangiiwe.
@bibiyeruto227311 ай бұрын
Malama wacha ujinga ulichukua utajiri wa wenyewe ukaejoy na mitoto ,alafu siku kafara ukaokoka😂😂😂😂😂😂😂 congratulations akili mtu wangu God azidi kuprotect na uishi miaka mingi🔥
@HumphreyMusyoka-fc8nc11 ай бұрын
Ushasema
@alphoncemule11 ай бұрын
Akili mtu wangu🤣🤣🤣
@irenemakau412410 ай бұрын
😂😂😂😢
@jennifermutindi10 ай бұрын
Aki 😂😂😂😂
@user-pd2mn6ml1c10 ай бұрын
Nataka unipee number ya huyo pastor muthembwa , kana uni direct kwake please.
@user-zr5yu2bh4s11 ай бұрын
Malama mungu akubariki sana juu wakati ulienda VCT mungu alikunenea na hukujua ndio hukawa Jona tumboni mwa samaki
@duncanmulu617211 ай бұрын
So encouraging, keep the fire of gospel burning
@labankioko352111 ай бұрын
Hii ni kali Mr Stephen.
@user-kf1vc5pi1x10 ай бұрын
Ambia malama adrop number ya huyo pastor alimuokoa/alimuombea if possible
@FrancisWambua-jw9jw11 ай бұрын
Great job@ muema,,kudos to Apostle.
@mumcounty11 ай бұрын
Haki shinda inaweza fanya mtu afanye maajabu pole sana malama
@kevinkania379511 ай бұрын
Na kweli mungu yupo,,,,
@user-bf1jb7bu6n7 ай бұрын
Aky ww malama kua serious n uashiche mungu akutawale wacha sifa
@gatomoamos989010 ай бұрын
Bona kwa story ingine alisema aliokokea mwingi akienda dance garissa. Hii ni story ya jaba
@rechomunini273010 ай бұрын
😂😂
@tabithamulwa362911 ай бұрын
Mchungaji your wisdom is in another level🙏 God bless you as you serve him in his ministry
@samsonmuthui11 ай бұрын
Malama mwa Ngai nakuathime,good decisions comes from experience and experience comes from bad decision,big up for your decisions
@ChristineJoshua-qw4bo11 ай бұрын
Amen 🙌
@judymaria622311 ай бұрын
Ukweli ni kwamba wakamba wengi wameingia kwa hii mtego juu ya tamaa ya pesa na sifa. Wasifiwe kwa vijiji
@AgnesNgui-xv4dm10 ай бұрын
I like this story of deliverance
@theresiakanini935111 ай бұрын
A good testimony ❤❤
@mulandipatrick534011 ай бұрын
Amen malama God bless you so much
@bernardmbai770410 ай бұрын
Na malama wio funny we😂
@Favourregy11 ай бұрын
Our God his faithful jemeni waokoke wate
@jennifermutindi10 ай бұрын
Na malama vle ako handsome Jesu bona akafanya ivo
@JuliusMumo-gh1nn9 ай бұрын
The devil is a lier 😢😢let everyone who read this go to the Lord and tell Him Daddy I have come🙏
@fidellsonko62411 ай бұрын
Malama we want you back 😂😂... Wa masikati
@TheeMakau10 ай бұрын
Nicho kitumi weetawa Malama Katina wimbu ?😅😅😅😅😅
@puritymwongeli974811 ай бұрын
Malama was in our village last year crusade and he gave the sama story 😂
@faithkimunyi623311 ай бұрын
Last year walicamp kwetu wakaibia watu na akatoroka😂.. pastor walikuwa pamoja alibaki
@bonifacekivumbu656011 ай бұрын
Alikuwa kwa village yetu one time na alipatikana kama watu wake wameenda kupanda vitu,vijana wakaenda wakatoa , the following day wakaenda kutoa..there was nothing ju vijana walikuwa wametoa, karibu wapigwe.,.. Kuna uongo in the same as much as Kuna ukweli... Tuikathaukie Ngai
@eunicekasengya10 ай бұрын
Kwî Ngai ûtangîîyaa 🙏🙏
@JuliusMumo-gh1nn9 ай бұрын
One of greatest lesson I learned on this, the Lord is the greatest 🙏
@marymaweu509311 ай бұрын
ningekuwa Stephen ningeongopa ningekimbia niache malama hapo😂😂😂
@marytitus392211 ай бұрын
Maaalama Mungu anakupenda
@katemusembi79311 ай бұрын
Malama pastor usu e Emali va? 💔😂
@romanusmutua817811 ай бұрын
Sijui nichukue nienjoy kwanza alafu nirudishe. Maisha aa nimomie.
@nancymutiso849910 ай бұрын
Thank you lord for changing malama,his testimony has given us a lesson
@ChristopherElijah-yv5xx9 ай бұрын
Thanks for your testimonial malama
@JacksonMutiso-hd1yr10 ай бұрын
Na kweli Ngai e Vinya❤
@winfredmwende154811 ай бұрын
nyie ndikaatuma nduu na mwini 😂😂😂😂
@annastaciamwende762811 ай бұрын
So many bad things happen at night between 12am and 3 am.That is when most people are deeply asleep, not knowing that umeingizwa kwa list ya kutolewa kafara. Most accidents that happen ,are as a result of these things. Accidents don't just happen. Wapendwa ombeni between 12 am and 3am. Hiyo huwa ni masaa ya warfare
@faykafay500111 ай бұрын
True,,,good advice
@irenemakau412410 ай бұрын
Yeah true
@lilianndanu81559 ай бұрын
Waambie
@IsaacWechuli9 ай бұрын
Hata wachawi wanaroga hio time
@babakayla11 ай бұрын
Allow them to tell stories stop interrupting
@user-mt7db1vb7t11 ай бұрын
we thank God for everything
@felixkamwanajunia295211 ай бұрын
Wenye wakona majini wanasema hii ni stori za jaba.
@anastaciaelisha989011 ай бұрын
Ni kweli 😂😂😂
@patrickmutinda849111 ай бұрын
Ambia malama akuambie ukweli ,alijua aje majini ni dead life
@zackmioso11 ай бұрын
Hii story inakaa ya uongo. Nimeikataa kabisa. Ni ya kupikwa tu ndo tushtuke.😊
@bonifacekivumbu656011 ай бұрын
Uongo iko of course.. I av witnessed some part of the fake miracles.
@eunicemwikali-sh4xc10 ай бұрын
That's a true adh nshaisikia pipu Kwa crusade akisimulia after kuokoka
@zackmioso10 ай бұрын
@@eunicemwikali-sh4xc umesahau Kuna shuhuda za uongo wakati mtu anataka kusurprise watu kama wewe wenye wanadanganyika haraka? Alafu cha pili, huyu mtu anaokoka na immediately anafungua kanisa amekua kiroho saa ngapi. Umackenzie hautaisha ukambani
@justusmutish261611 ай бұрын
Malama wa vero mweene kamusukuti😂😂....
@stephenmuthisya-sz6zq11 ай бұрын
Kumaanisha ao waimbaji wa Benga wako na Siri plan😮😮
@user-tw7eq6np6q11 ай бұрын
Malama uko sure hii c story ya jaba 😂😂😂
@philomenamumbua10 ай бұрын
Wa vero mweene❤
@tommusili944210 ай бұрын
Hii ni story ya kujiundia .... I can hardly believe this
@scholakilonzo290611 ай бұрын
Good testimony
@miss_megan10 ай бұрын
Glory to God he got born again, but there are things my spirit is not agreeing with. For the one who has spiritual eyes we can see behold the talking. Life is spiritual
@official_johnjames11 ай бұрын
Mungu mwenye uwezo na asifiwe milele daima.Amen Amen Amen
@stanohkinyaikinya584110 ай бұрын
Kîî nî kivelenge kya malama😂 uvungu muthei😅
@rechomunini273010 ай бұрын
Ati wenuka na mbaka yaku yu?😂😂😂aki huyu host
@florandunge386911 ай бұрын
Mwa Muema makulyo maku ve vandu matielye... Wueh😂
@NDULUMATHEKA9 ай бұрын
Wooi thank God Kwa kuokoka
@danthebazuutvmytalents319111 ай бұрын
heri mugu2 kwa shetani akuna kitu kweli
@rosesyombua168711 ай бұрын
😂😂😂utakiwite n Muema kiinethiwa 🤣🤣
@gloriamuia840511 ай бұрын
😂😂sure
@user-tn2iu3by5y10 ай бұрын
Asifiwe Yesu Kwa matendo yake yenye uwenza
@Muenigift11 ай бұрын
Malama niwa_confess😅😅
@EuniceMwikali-xh7mv10 ай бұрын
Ve ivinda nasungie kawathi kau nakwatika.🏃♀️🏃♀️
@alexmuema30510 ай бұрын
😂😂😂
@BonfaceMuteti-zw5kj11 ай бұрын
What malama is talking about miss courage is a secret of the kingdom of the devil
@bibiyeruto227311 ай бұрын
Ni Testimony mamala mungu alimuokoa
@Muthina11 ай бұрын
Malama wa vero
@antonykasyoka77911 ай бұрын
barikiwa
@richardkaungu751411 ай бұрын
Very true...
@jacksonmatolo453210 ай бұрын
Muema anaact kama shetani 😂😂😂😂 anatest tu mtumishi wa mungu
@kennesoable11 ай бұрын
Nyie ndyisa utunga mayini, ino no miambile vayii Mayini wisi uu no kaakaa tû😅
@robertmaingi463511 ай бұрын
Muema eti kwi ma pastor methaa ovau kyathini😂😂😂
@DamarisMatheka11 ай бұрын
Haki nimeshagaa sana
@isaacmusau538011 ай бұрын
Muema utheketye wimukulya ndwatelemaa ukakwa😂😂😂😂😂
@michaelmulikioko424611 ай бұрын
I love how muema interviews 😂😂
@josephmusyoka12149 ай бұрын
🎉huyu anatafuta kiki
@frankfrankmusyoka805011 ай бұрын
Pastor na trousers ya raget 😂😂😂😂 indi niki 😅😅😅😅
@bismarckmusee873711 ай бұрын
Hapo ndio kisugumkuti
@frankfrankmusyoka805011 ай бұрын
@@bismarckmusee8737 enjoyment
@catemutaic637411 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣❤️
@JoyceMusyoka-fc9pt11 ай бұрын
Kweli vayi vataumwa kethauu ni malama😊
@geoffreymusembi248011 ай бұрын
God is faithful..., Ukiamua kutoka Gizani mwanga wa Yesu unakuangaza.., malama you gonaa go far..., God bless you..🙏
@augastusmusili936411 ай бұрын
Wewe sio malama original.......bro acha uogo......naomba utafute kativui ama ken wa maria akwabie malama.....
@belitangove70411 ай бұрын
Eka naku ngewa tyino 😂😂😂😂aky 🤭🤭🤭
@user-ur3sk6ou1o10 ай бұрын
Kwooouu aka ekai ukomanga ovyo na aume nundu mena nguma na mbesa
@peterkimwele426811 ай бұрын
Kuna Mahali nimesense malama naunda story, mbona karibu asahau jina la kanisa yake?
@philomenamumbua10 ай бұрын
Number ya pastor usu tafadhali
@dianamutua631810 ай бұрын
Muthekethi wa maskatii😅😂
@DannRight11 ай бұрын
Yaani mwambaona kitimba mwakwama? 😂😂😂 Mwa inywe! 😅
@annabrill996 ай бұрын
Kweli Kuna Mungu mbinguni
@jimndambuki9611 ай бұрын
Mwiai nowe museo Muema ngethesye Kyalo muno
@petermasua782811 ай бұрын
uko sure unaongea na malama yule wa ukweli ama ni yule mwingine 🤣🤣🤣🤣🤣
@mbeviemmanuel01711 ай бұрын
😅😅
@sarahmutanu682811 ай бұрын
Nikulyai yu ketha ndwatwaanaaai ok malama niwaisanaa ivindesu
@johnkuma68679 ай бұрын
Malama ameunda story bandiai ya mvuto ya kujiuza kweli
@faithkasivi265611 ай бұрын
Mbeu ya ngai ndyaa mana.
@Djkid15811 ай бұрын
Utarudi tu
@gabrielkyalo24798 ай бұрын
Wah! blessings church iko wapi
@chestermuema711 ай бұрын
noma sana…
@fidelismaluki430011 ай бұрын
Ngai wakwa 😢 uuuuuy
@johnwambua463610 ай бұрын
Nipee no malama
@patrickmulwa31287 ай бұрын
Story za jaba. Jini haijui kikamba but inatwa muthekethi wa majini... Cooked story.
@user-kw7fe1id3k9 ай бұрын
Mungu ni mwema
@marymbulo62311 ай бұрын
I thank God, cause ingekua Moja wao aky mungu ni mwema😭😭😭😭
@mbalucharles369811 ай бұрын
Huyu malama had a church mahali kunaitwa kitile ... Na ethwa niwaokokie atunge mbesa Ila wavenie iveti Ku ...