Tuliorudia mara 10× gongeni apa kumsupport kijana wetu ❤❤❤❤❤
@Moussathiago1502Ай бұрын
Keep do it bro 🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@AutoMusicBalanceАй бұрын
Will do!!
@AbediKuytАй бұрын
Dogo niseme hakika wewe unakipaji cha kuimba unapeperusha bendera ya wabembe ulimwenguni kwa lugha pendwa ya mbinguni ❤❤❤❤
@EbambeWakilongoАй бұрын
Mungu azidi kukupa nguvu tu na kukubali sana bro ❤🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯🫶💯💯💯💯🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@KINGRAZZAFELAAFALULEAAFY-so8jt19 күн бұрын
YAHWEH akuwezeshe mbele kwa mbele mdogo angu Automatic de sons AUTO MUSIC 🎵🎵
@annayambayamba8614Ай бұрын
Tulio guswa Na huu ujumbe tumejifunza nini Ongera saaa #Automusicbalance ujumbeumetufikia😢🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🙏🙏🙏🇸🇪🇸🇪
@richardkaluta8987Ай бұрын
Toye tata heleleca mwami wa babondo 😇🤴😊👊
@mapenzisiri7133Ай бұрын
Nasubiri nyimbo utakayoitoa na Bernard baru pia mana ni one of our best songs writer so combination between u and Bernard baru, belami muka, I think itakua a hit song ever
@uiptv365Ай бұрын
Well done ndugu zangu 💯💯💪🏾💪🏾
@DjedjeimaniАй бұрын
Wimbo wa maana sana . Wimbo Uhu una elimisha sana Asante sana
@patientrashidiali9116Ай бұрын
Big up Sana kukazi mzuri iyi vipaji vyetu ❤🎉
@VEGOSTERАй бұрын
nyimbo yenye maana makubwa sana 🇺🇲🇹🇿🇨🇩👊🤜✊
@penueldjuma2845Ай бұрын
Kazi juu ya Kazi 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@SeulvraiАй бұрын
Kwakweli nyimbo hizi ndizo tunazohitaji! Bravo!!!!
@Chamusic845Ай бұрын
Nice job ni kweli kweli by cha music
@josuebrown7163Ай бұрын
Our pride 🎉 hujawai tuangusha mwamba🙌🙌
@townsanyatrends9 күн бұрын
Napenda sana wimbo huu japo sielewi unamaanisha nn... from 254
@Spartacus-gaz12Ай бұрын
Big up sana mwamba ❤❤❤❤❤ ushauri mkubwa sana 🙏
@DrEvaristАй бұрын
My best favorite song and collabo of the year 2024.
@SeulvraiАй бұрын
I agree with you!
@ArshavinSunguraАй бұрын
🎉🎉🎉 chukuwa maua yako
@DrEvaristАй бұрын
Best bembe artists ever ( Auto music & Belami) love you brothers 💙👏👏👏👏
@lumandemwenebokyo4613Ай бұрын
Nimeusikiliza usiku nzima, ujumbe umefika na mwenye akili na ahelewe nini maana ya maisha. 🎉🎉