Uyu bwan amebarikiwa sana mwenyezi mungu.....hakika atamfungulia milango ya ridhik soon🦅🦅
@swalerashid2 жыл бұрын
Ishaanlah
@andsonshabani45102 жыл бұрын
Katisha sana jeshi limuangalie uyo jamaa kwanza ana mwil wakijeshi kabsa
@omarymnuru87462 жыл бұрын
Kijana yupo vizuri sana tena sana.. ningeshauri Serikali(jeshi/polisi) ama kampuni binafsi wamchukue huyu mtu, mambo anayoyafanya hayaja mafunzo bali ni kipaji chake tu... Umri wake unaruhusu kabisa kuwa katika ajira... Ila katika elimu sina hakika
@mwajumalitwe41052 жыл бұрын
Yaan serikali imuangalie kwa jicho la tatu kiukwel
@paulpeter74502 жыл бұрын
Jkt bila kipingamizi
@sadockchengula55422 жыл бұрын
Talent ina mbeba si lazima elimu. Yule wa baiskeli mbeya marehemu si alimskumia Jeshini.
@AbilahSalumu-qx1cb7 ай бұрын
😅😅haha Sasa Uyumwambasiaende Kwenye Mashindano Yamisuli Nyievipi Aundoelimu Zelo 😅😅 Kazi kujiumiza dumwamba Anakufa nauwezo😅😅
@mercypeter1622 жыл бұрын
MUNGU amfanyie mlango wa kazi
@AbdulkadirMswahily Жыл бұрын
Mungu atkusaidia kw kipaji chako
@sifamugwaneza87742 жыл бұрын
Huyu #Zembwela yupo kama #Kingwendu na masiara yake jmn kazi kazi 👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@suleimanmdigo50622 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anampa amtakae🙏,,Mmmh Nguvu gani hizi,😳😳😳😳
@charlsesospeter94492 жыл бұрын
Dah mungu akubaliki upate kazi bro nautapata
@joyzach88202 жыл бұрын
Ikawe ivo kwakweli
@NsabimanaPierre-b2k Жыл бұрын
Mandonga unaweza
@clintonkhan49612 жыл бұрын
Diamond platinumz ampe kazi ya kuwa bouncer
@bkephasi2 жыл бұрын
Mungu awape maisha marefu wakina mama wana moyo wa huruma kweli
@joyzach88202 жыл бұрын
Amen
@asaadalbusaidi18702 жыл бұрын
Ila Kaka zembwela unamasihara allah amuondoshee jicho baya amiin👏👏
@saitotijacobo79072 жыл бұрын
Saf zembwer jamaa yuk vizur
@rozina21612 жыл бұрын
Dah he is talented aki mpeni kazi huyu kijana serikali imuone
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Alishapata kazi au bado
@AdamuDotti9 ай бұрын
Kaka m/mungu yu nawe utafanikiwa
@aahasaidi19772 жыл бұрын
babu Z uwe unatupa mrejesho watu kama hawa baadae wamefikia hatua gani kama wamepata fursa au bado wapo mtaani tu maana lengo wapate michongo kutokana na vipaji vyao.Asante
@issamgonja34982 жыл бұрын
Dogo yupo vizuri saanaa makampuni wampe ajira asije kua mwizi mtaani nawaomba wenye taasisi zao wampe ajira ata Wafaa sana
@cmantz88372 жыл бұрын
Zembwela kaka mpe kazi ya kukulinda
@musaandrew6042 жыл бұрын
Mungu akufanyie wepesi bro upate kila hitaji lako jema kipaji unacho
@enockmartin93272 жыл бұрын
Ishalaah
@akonchris66922 жыл бұрын
Talented like Francis Nganou.....Serikali ya tz imsaidie
@nassirramadhan2788 Жыл бұрын
Mashaa Allah, akipata chance aende gym aeza kua vizuri sana
@saidimahela33692 жыл бұрын
Wowowo kubwa
@ellys_star2 жыл бұрын
Sasa kwa nini hiyo label inayoonyesha jina la kampuni ya rangi mmeificha😂😂..Ila wasafi🙌
@BigZhumbe2 жыл бұрын
Wewe matangazo yanalipiwa hakuna cha bure.... na kutumia lebo ya mtu unaweza kufunguliwa kesi mahakamani kama mwenye lebo hajakubali itumiwe. Elewa biashara.
@mboniraji30862 жыл бұрын
@@BigZhumbe eeeh kumbe!
@shadyaloaf86942 жыл бұрын
Watu tunao wenye vipaji anatumia nguvu njingi kipaji lkn serikali imsaidie ht wasafi pia mnaweza kumtunza huyo kumsaidia hy pesa huyo akiwa nje anaingiza pesa nyingi
@shadrackkassale29682 жыл бұрын
Jaman sii mazingaumbwe kweli
@johnswai99862 жыл бұрын
Apewe kazi wasafi kulinda wasanii wenu
@sixmelody43492 жыл бұрын
Jamaa yupo vizur 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@cosmaspaskali6122 жыл бұрын
Naomba namba yake kama ipo
@saynabmohammed62632 жыл бұрын
Mama samia himiza wanamichezo Kuwapa umbele vijana hao
@joeboytz12302 жыл бұрын
Nipo mubashara
@omarylukindo53062 жыл бұрын
Mbona hiyo gari kam ipo kwenye kikorongo inashuka yenyew 😁Yan mpaka wanamwambia dereva akanyage break kwakua inashuka yenyew
@honestherman40922 жыл бұрын
kumbuk kuna ndoo ya kokoto na mtu amepanda
@sadamissa56872 жыл бұрын
@@honestherman4092 banaweeeee🤣🤣😂😂
@josephstephen10792 жыл бұрын
Kwani we hupajui kimara ndio huwa pako hivyo
@shelyboyshely29282 жыл бұрын
Nakubari mwamba upo vzuri sana
@Richp5782 жыл бұрын
Mchukuwe tuu anakufaaa 100%
@kelvingilla90332 жыл бұрын
Mungu akupe nguvu mwambaa
@mwinjatheson23672 жыл бұрын
Daaah! Mungu bariki huyu kijana mwenzetu
@hemediabdallahabdallah31002 жыл бұрын
Mbona ata uku kitaa wengi tu wanaweza
@muksiniathuman88492 жыл бұрын
Umetishaaa 💪💪💪
@frankmushi88922 жыл бұрын
Namba ikwapiii
@jumaseleman55252 жыл бұрын
Jamaa noma aisee
@teesmartguy88292 жыл бұрын
Hii imekaaje hii👉👉💪💪
@iam_tine6452 жыл бұрын
Huyu kijan namhitaj nampataje
@josephkeneth56752 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Atari Sana unyama tyuuuu
@ameirdarueshi25932 жыл бұрын
Mwanajeshi uyo mama waziri wa ulimzi
@zawadimtafya14602 жыл бұрын
Kijana noma 😃
@zaudatmakula34542 жыл бұрын
Umetishaa mnyampaa🤸🤸🤸♂️👏👏👏👏
@enockmartin93272 жыл бұрын
Hahaa
@leonardodeogratiasdeograti6972 жыл бұрын
Jamaaa ninomaaaaa🔥🔥🔥🔥
@yasintadavid12962 жыл бұрын
Enoki ni noma uyo jamaa
@asaadalbusaidi18702 жыл бұрын
Mashallah big up broo zembwela ahukuliwe wcb anatufaa
@Jassmin-media-official2 жыл бұрын
Please mpe kazi mtafutie kazi zimbela
@mpenzisamaki94882 жыл бұрын
Nyie wenyewe roho mbaya Hadi kampuni ya ndoo tu mmeificha
@sidratybinkhamis28372 жыл бұрын
😆😆😆
@josephstephen10792 жыл бұрын
Hawawezi hata kumsaidia
@petermuganda73222 жыл бұрын
Naomba namba zake nisaidie ajila tafadhari
@athumandege59812 жыл бұрын
Mwamba enock katisha Sana🔥🔥
@kagomadunia4932 жыл бұрын
walikuwepo. Kitambo. Awo watu. Ilawalikuwa Wana tumia. Dawa. Kwangu Mimi. Xiamini. Ata axilia. 4.
@enockmartin93272 жыл бұрын
@@kagomadunia493 haha
@shadyaloaf86942 жыл бұрын
Mhh asaidiwe huyo
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Hahahaaaa mbavu zangu eti mimi mwenyewe nitakuwa shaidi wa serekali baadae mi ntakimbia mnikamatie Kimara🤣🤣🤸♀️
@yasintadavid12962 жыл бұрын
Thanks
@benkbenk94612 жыл бұрын
Serikali imchoree huyu ndugu ashiriki Katika mashindano ya , " The Strongest man in Qatar" na atajinufaisha maishani! #Kenyans in Doha Qatar 🇰🇪
@husseinkundan2 жыл бұрын
Your right broo Government is not supporting anybody if you don't have connections you will ends up yourself
@gannzy-tvoline92772 жыл бұрын
Angalia usiwe Shoga
@Isi-Nshasha2 жыл бұрын
Uchawi huo mnadanganywa kipaji gani mtu mwenyewe hafanani mpiga mazoezi yani anavyo nyanyuwa na kuvuta hivyo vitu anaonekana kuna kitu Fulani anajivunia hata haonekani katumia nguvu zake
@aloycesteven59982 жыл бұрын
Basi hapo utakuta linapigwa makofi na demu alafu mixer kulilia penzi la Mwajuma mideko
@zulfikakalumba19772 жыл бұрын
Diamond Platinumz chukua bodyguard hiyo mwamba. #blessing
@samiakikwete17622 жыл бұрын
Atakufaaaa
@Jassmin-media-official2 жыл бұрын
We Baba utaua watu
@enockmartin93272 жыл бұрын
Hahaaaa hapana
@ellys_star2 жыл бұрын
Jamaa katisha👊👊
@batulimohamed6088 Жыл бұрын
Wakina samsoni kumbe wapo dunia hii 😂😂😂
@vibetz99912 жыл бұрын
Ajira ngum sana
@ahmadyahya99612 жыл бұрын
Hahaha zembwela alipoambiwa na jamaa kuwa anaweza kuvuta gari kwa meno amenikumbusha marehemu Mzee majuto alipoambiwa ni jb kuwa akaseme kuwa yeye hajasoma uingereza alipotajiwa yeye anacheza kamari ilimtoka unasemaje wewe!
jeshi pia ninguvu akili peke yake haitoshi vyote vinategemeana wenye akili wanatumia akili yao wenye nguvu wanatumia nguvu zao ndio vita vinashinda kwaakili na nguvu sio akili peke yake
@japhetgerson70732 жыл бұрын
Noma sana jamaa
@eddiemohamed90032 жыл бұрын
👊👊👊👊👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
@charleskaozya99242 жыл бұрын
Daaah uyu Samson
@dizwavoko_tz2 жыл бұрын
Hawa ndio watu inabidi wawe makomando tena kikosi maalum
@freeworld23692 жыл бұрын
Peleka UFC huyu. Anaonekana akiwa trained vizuri atakua mbaya sana 🇹🇿
@hassansammy10762 жыл бұрын
Bro upo sawa
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
Sihami Tz
@michaelmrema52332 жыл бұрын
Zembwela unakosea kusema dhahabu iko mtaani. Sema kidani cha dhahabu kipo kwenye pua ya nguruwe.
@Richp5782 жыл бұрын
Mpe aisee ajiraa
@samgames8512 жыл бұрын
Big up man, powerful
@lawrencenardo39192 жыл бұрын
Huyu america got talent anatoboa 🙏🤝
@ياسمينسالم-ك8ص2 жыл бұрын
Sana
@obongitai.ronald2837 Жыл бұрын
Mpelekeni Jeshi
@mwanzashinyanga80602 жыл бұрын
daah huyu hatarii sana
@surusuru19942 жыл бұрын
😲😲😲😲😲Utauwa kaka
@hazrathassan11342 жыл бұрын
MashaAllah
@monadinadi52952 жыл бұрын
Jmn mm nimefumba macho 🤣🤣🤣
@thestonetown33022 жыл бұрын
Uwezo anao tatizo sponsor!!!!!!
@is-hakthani42582 жыл бұрын
C akipigane boksing.ngumi 1 mtu kakaaa
@josephstephen10792 жыл бұрын
Atawaua sana huyu
@agustinorichadi12532 жыл бұрын
Noma sana
@Estherbongo2 жыл бұрын
Huyu kaka namjua ananguvu kweli na si masihar tena wakat na mjua alikuwa mtoto kwa sasa amekuwa san
@enockmartin93272 жыл бұрын
Hahaaaa natalia
@wisperfect53202 жыл бұрын
Mazingaombwe hayo yasikutishe
@sidratybinkhamis28372 жыл бұрын
Inamaana mungu amumuani au .
@josephstephen10792 жыл бұрын
Atakuwa mtoto wa mganga huyu
@kattemwanambulu94032 жыл бұрын
Babu zembwela huyo kijana nimdogo sana,na huyo upawa wa kitaani sio deal .Naomba msaidie munganishe na mwarabu fighter apewe traning ya ubaunsa .Kwenye boxer ameshachelewa atakuwa kama Mandonga tu.
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥❤️🔥
@lasteckmmary35442 жыл бұрын
Mh. Hiyo hata mi nabebaa.
@gracerichard81452 жыл бұрын
Konde chukua baunsa huyu akufanyie kaz
@ibraheemiddy86122 жыл бұрын
Msingida mwenzagu jaman
@kharidikibakulikibakuli92232 жыл бұрын
Nomaaaaaaaaaaaaaaa sana
@saidkatembwe88812 жыл бұрын
Jamani huyo ilitakiwa pate kazi ya ubaunsa wa wasanii au k4s sekulity su mbavu ndanikwa ndani