Azam FC 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/05/2024

  Рет қаралды 617,553

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

MZIZIMA DERBY: Simba FC imeshinda 3-0 dhidi ya Azam FC, mchezo wa ligi kuu ya NBC ukipigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam.
Magoli yote yamefungwa kipindi cha pili akianza Sadio Kanoute dakika ya 63, Fabrice Ngoma dakika ya 77 na David Kameta dakika ya 89.
Azam FC walipata penati mapema lakini walikosa kupitia kwa Feisal Salum.... lakini pia kuna utata kuhusu tukio la Azam kupata goli iliyoamuliwa kuwa ilikuwa ni off-side.

Пікірлер: 360
@GiftNziku
@GiftNziku 4 ай бұрын
Alie mkubali ayoub lakred naomba like
@nuruosward8161
@nuruosward8161 4 ай бұрын
Tunaye na tunatamba naye❤❤❤❤❤❤❤
@aikaM74
@aikaM74 4 ай бұрын
Ila ayubu lakred ni kipa ❤
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
nataka like za mgunda tu kama 💯
@kitemerosanga109
@kitemerosanga109 4 ай бұрын
Simba mmenifulaisha sana na Asante kwa kuwatuliza wambea Leo Simba nguvu moja
@ElimGabriel
@ElimGabriel 4 ай бұрын
Mzamiru anaonekana sana kwa mgunda
@mkanyafamily
@mkanyafamily 4 ай бұрын
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
@sultanrichardson5487
@sultanrichardson5487 4 ай бұрын
Ayoub lakred ni bonge la kipa
@emmanuelsanareemmanuelsana9137
@emmanuelsanareemmanuelsana9137 4 ай бұрын
Kama wewe ni mwana simba na umependa simba ya mgunda gonga like tafadhali ❤❤❤❤
@maikomatayo2794
@maikomatayo2794 4 ай бұрын
simba nguvu moja mungu ibariki chama langu tufike mbali saidi ❤❤❤❤
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 4 ай бұрын
Hiri ni fundisho kwa uongozi wa simba mnajifanya sana na kuwa na imani na makocha wa inje sasa leo mmeona hata yule robatinho pia mmemwonea alikuwa anashilikiana vizuri na mgunda sasa mpeni mzawa acheni ukilitimba na makocha wageni
@mkanyafamily
@mkanyafamily 4 ай бұрын
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
@sephrozamkai7749
@sephrozamkai7749 4 ай бұрын
Jamaniiiii,, Simba dawa yake ni mgundaaaaa,, tu, mmeona Leo, alivyo rejesha furahaaa za wanasimbaaaa
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 4 ай бұрын
Umeongea kiume kwa kweli
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 4 ай бұрын
Unafik tu,,Mlikuwa mnasema Mgunda hawezi michezo ya caf,sasa apewe team,binaadam poh
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 4 ай бұрын
Viongoz sio kwamba hawajui kua wazawa wanawwza ispokua kinachowasumbua ganji... Wakimchukua mzawa ganji hakuna coz msharaka wenyewe ni milion2 sasa hapo ganji itakua shingap? Lkn wakimchukua mgeni unaskia anakula dollar eld16 =karibia 40milion so ganji inatoka vzr icho ndicho kinacho waponza viongoz
@PetroMkota
@PetroMkota 4 ай бұрын
Mgunda noma Ameamua kutuonesha kuwa simba kunawachezaji wazul❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 4 ай бұрын
Hongera kocha mugunda Kwa kutuheshimisha ubalikiwe sana
@neemaraphael660
@neemaraphael660 4 ай бұрын
Simba Leo mmetupa furaha sana
@MeliaSerpil
@MeliaSerpil 2 ай бұрын
4ra with Finch onboard means serious class his acting and sports achievements light up the place
@rashidkhamisjuma3714
@rashidkhamisjuma3714 4 ай бұрын
hapa kwa mgunda viongozi wa simba wajifunze
@pendokulwa7136
@pendokulwa7136 4 ай бұрын
Simba ya mgunda niatali sana huyu nikocha wapekee apa Tanzania
@mkanyafamily
@mkanyafamily 4 ай бұрын
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
@AmosiMnkondya-pe2nu
@AmosiMnkondya-pe2nu 4 ай бұрын
Nawakubar Sana chama langu simba
@Aisha-h1t4e
@Aisha-h1t4e 4 ай бұрын
Leo nimefrah had nimelia kwa furah
@yusufubani3454
@yusufubani3454 4 ай бұрын
Ayoub Lakred Huyu Ni Bonge La Kipa
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 4 ай бұрын
jamaa yuko vzr manura akapunzim
@MelikeVeysel
@MelikeVeysel 2 ай бұрын
Aaron Finch with 4rabet makes every event feel more prestigious his track record speaks for itself
@SerapOguz-l2x
@SerapOguz-l2x 2 ай бұрын
4ra events get a boost with Finch as the ambassador he guarantees a great atmosphere every time
@OmerAylia
@OmerAylia 2 ай бұрын
I feel you! It's easy to get carried away. Just set a budget and stick to it, right
@malietamaliet
@malietamaliet 4 ай бұрын
😂😂😂fei kiatu cha dhahabu ama ofa ya makolo imekuvuruga mbn sielewi mzenj mwenzangu
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 4 ай бұрын
Huyu muamuzi kajitahidi kuibania Sina lakini bahati imemkataa sadio kafanyiwa madhambi kakausha penalty imehama muelekeo yaani kafeli leo
@anethmaro8168
@anethmaro8168 4 ай бұрын
Kabisaa Kuna faulo Azam wamecheza anajitia fair play arajiga kawabeba Azam hawabebeki
@ZaharaKasiki-ls5zk
@ZaharaKasiki-ls5zk 4 ай бұрын
Ayuob yuko vzr san kwa upande wang
@adamkulwa7194
@adamkulwa7194 4 ай бұрын
Bado simba wameonesha udhaifu hasa kwenye safu yaulinzi na middle bado zina nguvu ndogo yakuongeza mashambulizi. Ushindi wao leo umechangiwa na washambuliaji wa pembeni vijana
@JaffarKisinde
@JaffarKisinde 4 ай бұрын
Wew ndo huna nguvu hebu tuache weye
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 4 ай бұрын
Leo nimeamini wazawa wanauchungu na timu zao mgunda ipo siku nitakuletea zawadi nikirudi tz
@mkanyafamily
@mkanyafamily 4 ай бұрын
Watuachie MGUNDA wetu aiseeeeeeee
@malietamaliet
@malietamaliet 4 ай бұрын
😂😂😂awamkatai ila ikija kimataifa press conference English ndo shida sema wamlete mwingine wakue wa3 na matola mgen atakua anawasaidia Kwa enterview za kimataifa wazawa wanashughulika na wachezaji
@FelicianSimon-k4k
@FelicianSimon-k4k 4 ай бұрын
Kingereza cha nn makocha wote Wana 2mia lugha ya nchi hiy
@brianbatoleki6531
@brianbatoleki6531 4 ай бұрын
​@@malietamalietwe ni mjinga kabisa, alivyoenda Malawi na angola ulimsaidia wewe kuongea kingereza, we ni stűpid kabisa
@malietamaliet
@malietamaliet 4 ай бұрын
@@brianbatoleki6531 🤣🤣we ndo stupid kiongozi wetu utajuaje mtu Ako na iki uku we hauna Kuna enterview ntaitafuta ntakutag aliyobugi kipnd Ako ckumbuki ni Malawi ama Angola ya yey na English ndo uje uccomment hapa
@VailethMnyasa
@VailethMnyasa 4 ай бұрын
Waooo wanasimba wezangu furaha yetu mashibiki nawechezaji imelejea
@samsonlusheleja8809
@samsonlusheleja8809 4 ай бұрын
Uongozi wa simba eb fkilien hta nje ya box jaman mgunda kila akipewa timu huwa anaiongoza vzur eb mwaminin mpeni tim sisi mashabik tunafurah na tunapenda sana mwendelezo wake
@idrissaomba8803
@idrissaomba8803 4 ай бұрын
sizani, sbb kumbuk hua anapewaga timu pale ambapo timu haina cha kupiganiana, bimaana timu inakua haina presha kivile, chunguza makocha wengi wakipewa timu mwishoni mwa msimu hua wanafanyaga vizuri, ila wakiaminiwa na kupewa timu hata msimu hawamalizagi kwa kushindwa, hapo wakimpa timu mazima inaweza ikawa kinyume, ila wamjaribu waone
@RichardKanza-cl5jf
@RichardKanza-cl5jf 4 ай бұрын
Kabisa Simba ni kubwa na Mgunda pia ni mkubwa akabiziwe timu ninachokifahamu kila mchezaji aliesajiliwa Simba anapaswa kutumika muda na wakati wowote asante Mgunda kwa kuwaamini vijana utafika mbali.
@christopherjobb8587
@christopherjobb8587 4 ай бұрын
Huyu Fred mzuri ila wanamkwamisha ni kibu na saidoo
@JaykillyMusician
@JaykillyMusician 4 ай бұрын
Mgunda ana haki ya kukabidhiwa timu tuwe wazarendo bhn
@edsonhiza8519
@edsonhiza8519 4 ай бұрын
#PEP GADIOLA MNENE Anauwezo mkubwa sana❤
@paulMkasinga-fi3fv
@paulMkasinga-fi3fv 4 ай бұрын
Jmni mugunda apewe timu hata mwaka mmoja tyu...na acpangiwe wchezaji na kama niuxajili yeye ndo hauxike
@SureyyaZeki
@SureyyaZeki 2 ай бұрын
Yeah, 4RAB is the best for betting. I love it.
@ObadiahGolden
@ObadiahGolden 4 ай бұрын
Imewafikia watani iyoooo ila inawauma sana kama vile ni waooo poleniiiiiiiiii sana
@VolkanAyse-bm7du
@VolkanAyse-bm7du 2 ай бұрын
Bro, 4RA is so cool! My brother told me about it.
@MineHaluk
@MineHaluk 2 ай бұрын
I'm more into the casino games they offer. The slots are pretty addictive
@jastingwahila5715
@jastingwahila5715 4 ай бұрын
Simba nguvu moja 🎉
@mkanyafamily
@mkanyafamily 4 ай бұрын
Kiukweli wamuachie hii team MGUNDA waache ungese kabisa yaani
@celvinrobert7972
@celvinrobert7972 4 ай бұрын
Mgunda Avue Kinyago Ukute Ni Don Carlo 😂😂
@MarianaElias-b6w
@MarianaElias-b6w 4 ай бұрын
😁😁lkn kwek
@SevincBora-e9u
@SevincBora-e9u 2 ай бұрын
I'm skeptical though. I've heard mixed reviews. Some say it's great, others not so much
@UmutHatice-e7n
@UmutHatice-e7n 2 ай бұрын
My brother's been raving about it! He says it's the place to be for sports betting
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
ccm wanaumia ila simba raha sana
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 4 ай бұрын
tunajuw ccm wanaumia nawapasuke azam anamimba yamw 4
@sunwizy608
@sunwizy608 4 ай бұрын
@@mariamomari-cl6jc 😂😂🙌🦁
@CatherineAgustini
@CatherineAgustini 4 ай бұрын
Nguvu moja,🦁🦁🦁😍😍😍
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 2 ай бұрын
Ayubu Lakred ni bonge la Goalkeeper
@suleimansuleiman1127
@suleimansuleiman1127 4 ай бұрын
Goli la azam halikuw offside
@AbdulMgude-iv1ql
@AbdulMgude-iv1ql 4 ай бұрын
3 moja
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 4 ай бұрын
Fanya 1-3 sio shida
@swadahamningo1948
@swadahamningo1948 4 ай бұрын
3-1 au basi
@JaffarKisinde
@JaffarKisinde 4 ай бұрын
Nenda kaliandike wewe
@jumashedafa
@jumashedafa 4 ай бұрын
Azam ni timu nzur, ina talent na wanacheza kitimu ila wamekosa kocha ambaye ataifikisha safar ya ahadi...Dabo si kocha wa kuifanya Azam ibebe NBC na kucheza michezo ya kimataifa...Umsipomtoa Dabo bas mtatimua wachezaji mno...tafuten kocha mwenye karba ya Nabi au Robertinho...Mwenye karba ya baba, mshauri, mtia morali na moyo pale panapokosekan tumain, master kimbinu na kisaikolojia...Dabo awe kocha msaidiz au mpen majukum mengin
@ErickMaiko-wf6bj
@ErickMaiko-wf6bj 3 ай бұрын
Nkweli
@jescathomas1539
@jescathomas1539 4 ай бұрын
Azam kaliwa kibogaaa😢
@AgnessJabe
@AgnessJabe 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@GibsonMwapongo
@GibsonMwapongo 3 ай бұрын
Wacha mbea❤
@Chezogang
@Chezogang 4 ай бұрын
💪moja
@twahaibrahim2767
@twahaibrahim2767 4 ай бұрын
Viongozi fanyeni jambo ayoub abaki
@raphaelnkulamasala108
@raphaelnkulamasala108 4 ай бұрын
Azamu bado kinda kwenye soka la Tanzania, lakini tunawapongeza kwa kutusogeza kwenye Ubingwa nbc 2023/2024
@JosephineBrown-vq6in
@JosephineBrown-vq6in 4 ай бұрын
Kinda lakini aliwachapa yanga chuma mbili bila Leo ndio kinda
@MashakaLamazani
@MashakaLamazani 4 ай бұрын
Mgunda noma mpeni tim 2:37
@khamisazizi2155
@khamisazizi2155 4 ай бұрын
Hii kali sana
@SabraDivele
@SabraDivele 4 ай бұрын
Huyo arajiga kiukwel ni simpendi mnoooo
@AbdullahKilindo
@AbdullahKilindo 4 ай бұрын
Arajigaamefanyakila mbinu lakini amefungwayeye naazam yake una lawama kwa Azam mmm
@anethmaro8168
@anethmaro8168 4 ай бұрын
Kabisaaaa
@LamerkdegemmaWarwo
@LamerkdegemmaWarwo 4 ай бұрын
Mnyamaaa umenifurahisha japo mim mwananchi ila nimefurahii kwelii kwelii coz Hawa ukwaju hutukamia Sana wakati tukicheza nao kwo congore kwako animal you deserve to win but naomba muamini Mgunda wenu mzurii muamini wazaw
@SalumMsafiri20
@SalumMsafiri20 4 ай бұрын
Hongera mtani,mtoto mdogo huyo. Hawezi panda ndege kwend popote. Apande basi aende akacheze na dodoma jiji.
@JosephineBrown-vq6in
@JosephineBrown-vq6in 4 ай бұрын
Yani hii penalties hata Mungu kaona si makusudi ya malone akaamua wakose penati❤❤
@EdwinJohn-vo8uf
@EdwinJohn-vo8uf 4 ай бұрын
Nguvu moja simba ndio timu kubwa Africa
@SubilaAthuman-c1w
@SubilaAthuman-c1w 4 ай бұрын
Mgunda ndiye kocha wa kuiongoza simba hao wazungu wenu , mnawatoaga wapi jamani au jehanamu
@FatumaMwampepo-gi3vs
@FatumaMwampepo-gi3vs 3 ай бұрын
Ayoub mtu bana
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 3 ай бұрын
Kwa karibu barua anafanana hassani dilunga
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT
@BaANGLE-AUSTINE-VERO-JOSEPHAT 4 ай бұрын
Sio kocha tu Bali achezaji wa congo nao msiwaamini waache wakae benchi.....lkn pia msemaji wa Simba punguzaa kulopoka hovyoo.....mwsho Azam KIPA kamchezea vibaya sana KANOUTE lkn hata kadi hajapewa ..VAR Hii ni red card
@melaniesherlock2813
@melaniesherlock2813 6 күн бұрын
Martin Maria Johnson Larry Wilson Timothy
@JaffarKisinde
@JaffarKisinde 4 ай бұрын
Azam kujiamin kulizid kwakuamin simba wakawaida sana sas wameduwaa
@MuammaryAbdalla
@MuammaryAbdalla 4 ай бұрын
mi namngoja mzee said2 hapa kwa arajiga
@benjaminfeliciani-sb6tm
@benjaminfeliciani-sb6tm 4 ай бұрын
Mgunda apewe timu atafutiwe wachezajo
@maxdesignspro
@maxdesignspro 4 ай бұрын
mpira mzuri kutoka kwa azam, magori mawili ya simba ni ya kubahatisha tu
@PiterSeranto
@PiterSeranto 4 ай бұрын
Wew tena
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 4 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi? Utopolo bana...anapigwa Azam wao wanalia
@consolathamlimi7883
@consolathamlimi7883 4 ай бұрын
Ha2ja lia bal 2mefurahi maana mmetusogezea ubigwa mlangon
@AnordsilvesterGalahenga
@AnordsilvesterGalahenga 4 ай бұрын
Shida sis wabongo hatuwaamin makocha wazawa hicho ndo kinacho tukosit sikuzote
@SalmaHalfani-p6f
@SalmaHalfani-p6f 4 ай бұрын
Leo mtaan kwetu wapo kimya kabisa.simba nguvu mojaaaaaa
@hassanially1773
@hassanially1773 4 ай бұрын
Sisi hatutaki kocha mwengine zaidi ya mgunda
@AminaLibisa
@AminaLibisa 4 ай бұрын
Duchuuuuuu alivyo kimbilia mpira kama kipeoeo 😂😂😂
@RamadhanShiganza
@RamadhanShiganza 4 ай бұрын
AZAM NA SIMBA NI NDUGU. HAKUNA MCHEZO MGUMU. SIMBA SC IRASHINDA GOLI MINGI.
@FraikoMgaya
@FraikoMgaya 4 ай бұрын
Azam Amna team
@cesaryaudax6647
@cesaryaudax6647 4 ай бұрын
Ukweli Kibu na Ntibazonkiza wamekuwa wakiigharimu team, kuanguka ovyo, kukabia macho na wakianguka ubakia chini wakitafuta huruma ya refa, wanapoteza muda wa team kufunga,
@jumongchun
@jumongchun 3 ай бұрын
Nguvu moja!!
@daudkhatib-qn5tr
@daudkhatib-qn5tr 4 ай бұрын
Wamelazimisha kumpa penalt ili ampite azizi key ink
@IbranSoul-ii5ok
@IbranSoul-ii5ok 2 ай бұрын
AYOUB 😮
@joshuasamson9618
@joshuasamson9618 4 ай бұрын
Hii simbasc ya juma kocha ni hatari sana
@sparehead9948
@sparehead9948 4 ай бұрын
Kinacho takiwa nikuumpa mgunda nafasi ya kusajiri wachezaji wakuengezea wazuri.Upande wa striker Jobe aondoke, na kuna mabeki wazuri watatu wa coastal mnaweza kuwachukua, yule beki aliepewa card nyekundu ya coastal na Yanga anaweza kuchukua nafasi ya Kennedy Juma. Nawale wapembeni wanaweza kuchukua nafasi ya kapombe
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 4 ай бұрын
naungan naww
@VailethMnyasa
@VailethMnyasa 4 ай бұрын
Naunga naww mana tumeumizwa
@edsoneliah2802
@edsoneliah2802 4 ай бұрын
Upo sahihi kabisa
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt
@VIVIANEMAKOTO-rl8lt 4 ай бұрын
Simba nguvu moja
@pasildmboya477
@pasildmboya477 4 ай бұрын
Hongeren wanasimba dual zetu ni mechi na Kagera
@IvanMtatifikolo
@IvanMtatifikolo 4 ай бұрын
Juma Ramadhani mgunda anajua nini maana ya ukocha na kuongoza timu ila viongozi wa simba hawajitambui wazungu wao hatuwataki weka mgunda simba isonge mbele anajua sanaaaaaaa
@mariamomari-cl6jc
@mariamomari-cl6jc 4 ай бұрын
nikwer nsungan nawe
@AnzygaryMayasa
@AnzygaryMayasa 4 ай бұрын
Mgunda oyeeeeee😂😂😂
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 4 ай бұрын
Azam bn kisa TV yenu hamsemi Simba kaonewa offimside
@onesmonathan1769
@onesmonathan1769 4 ай бұрын
tumpe mgunda timu msimu mmoja tuone anatupa nini,naamini tutaona maajabu
@damianmcba9525
@damianmcba9525 4 ай бұрын
Mechi menu highlights dakika 15,, sio ,,, wengine dkk 8 au 7
@YonaLengai-cc6tq
@YonaLengai-cc6tq 4 ай бұрын
Hawa wadogo walikua wapi ???
@DennisNdunguru
@DennisNdunguru 3 ай бұрын
so nice🤣
@coolruler6820
@coolruler6820 4 ай бұрын
Azam pale mbele hamna kitu,,,anayetegemewa pale ni Faesal
@YakupOrhan-x3d
@YakupOrhan-x3d 2 ай бұрын
Really, man? My friend recommended 4rabet to me too.
@AdamMakoye
@AdamMakoye 4 ай бұрын
Gd
@ZuhalDeniz-d9h
@ZuhalDeniz-d9h 2 ай бұрын
My brother's been raving about it! He says it's the place to be for sports betting
@IssayaMollel-oj4yw
@IssayaMollel-oj4yw 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@MukhtarSaidi-hx1wj
@MukhtarSaidi-hx1wj 4 ай бұрын
Ayubu si kipofu yule
@SadamSarita-t7z
@SadamSarita-t7z 4 ай бұрын
Tumeanza kizac na Azam Bado uto😊
@SAIDOMMARY
@SAIDOMMARY 4 ай бұрын
Tumuachieni timu mgunda jaman wa na simba wenzanguuuu
@bellenoe414
@bellenoe414 4 ай бұрын
Kiukweli mi nshamuona hatakiwi pekeake lkn tunamuhitaji😊aje kocha kumzidi wawe wawili😮 ona hichi kikosi hapa lkn baada ya ushindi kalewa kabadili😢wakati saiv tunahitaji magoli mengi ye km dodoma anamchezesha kapombe na jobe😢 saido😢 wakubwa hawana spidi
@SAIDOMMARY
@SAIDOMMARY 4 ай бұрын
Tumuachieni timu mgunda jaman wa na simba wenzanguuuu
@SAIDOMMARY
@SAIDOMMARY 4 ай бұрын
Tumuachieni timu mgunda jaman wa na simba wenzanguuuu
@DeusJumanne
@DeusJumanne 4 ай бұрын
Simba nguvu moja
Highlights | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | NBCPL - 30/12/2022
24:15
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 16 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 19 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 25 МЛН
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Simba 3-1 Al Ahli Tripoli | Highlights | CAF CC 22/09/2024
12:04
Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023
21:27
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 16 МЛН