Рет қаралды 5,584
Tazama magoli yote Azam FC ikiichabanga Tanzania Prisons kwa jumla yamabao 3-1 kwenye mchezo wa robo fainali ya U20 Premier League.
Ni mchezo wa Robo Fainali na wafungaji ni Ashraf Kibeku, George Chande na Abdulkarim Kiswanya kwa upande wa Azam FC na Iddy Kichino kwa upande wa Tanzania Prison