Рет қаралды 4,163
Hiki kituo cha kulea vipaji vya soka kinachomilikiwa na familia ya nyota wa zamani wa Simba, Hassan Afif, kilichopo Mbezi Beach Dar es Salaam. Tazama maajabu ya kituo hicho yakithibishwa pia na vijana wenyewe wanaonufaika na program mbalimbali za soka.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz