Рет қаралды 10,237
Tazama ‘tizi’ la mwishomwisho la Tabora United, ikiisubiri Simba kwenye mechi yao ya NBC Premier League itakayopigwa Jumapili Februari 2, 2025
Mechi itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates