Рет қаралды 1,212
Serikali wilayani Geita imeanza utekelezaji wampango mkakati wake wa kuhakikisha maeneo yote yaliyoathiriwa na shughuli za kibinadamu kama vile ukataji miti ovyo,yanarejeshwa hali ya misitu itakayochangia kurejesha uoto wa asili kwa kupanda miti maeneo mbalimbali vikiwemo vyanzo vya maji.