Gereza la miaka 92 Sumbawanga laelemewa wafungwa

  Рет қаралды 2,217

Azam TV

Azam TV

5 жыл бұрын

Gereza la mahabusu la mjini Sumbawanga linakabiliwa na tatizo la msongano wa wafungwa, ambao ni mara nne zaidi ya kiwango halisi cha wafungwa kinachotakiwa kukaa kwenye gereza hilo lenye umri wa miaka 92.
Gereza hilo lilijengwa mwaka 1927, enzi za ukoloni, likiwa na uwezo wa kuhifadhi wafungwa 108 pekee. Kwa sasa lina wafungwa zaidi ya 400.
#AzamTVUpdates #BreakingNews, #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari #Habari #UTV #UFM

Пікірлер: 1
@jamaa2760
@jamaa2760 5 жыл бұрын
Ni jambo Jema wafungwa kuboreshewa makazi maana mara nyingi sana kundi hili linakosa watetezi wa changamoto zao Kwa wakati.
GEREZA LA KARANGA LILIVYOWAACHIA WAFUNGWA 259 LEO
5:32
Global TV Online
Рет қаралды 16 М.
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 8 МЛН
GEREZA LA KONGWA LINAVYOVUTIA KUTOKANA NA UBUNIFU WA UONGOZI
13:19
Magereza Tanzania
Рет қаралды 2 М.
WAFUNGWA WALIVYOBEBA VIRAGO VYAO KURUDI NYUMBANI - "TUTAMPA KURA"
6:29
Global TV Online
Рет қаралды 322 М.
UWANJA WA NDEGE SUMBAWANGA WAGEUZWA SHAMBA LA MAZAO
1:48
Wasafi Media
Рет қаралды 3,1 М.
RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4
34:13
CGP NYAMKA ALIVYOWAAGIZA MAAFISA NA ASKARI WA GEREZA MASASI KUSHIRIKIANA
7:43
Jump Round kick 🥋 #taekwondo #wushu #karate
0:13
Farakicks
Рет қаралды 3,8 МЛН
🙀Неймар Изменили Правила Пенальти #shorts
0:23
The Fake Whistle 😅
0:10
Zshams
Рет қаралды 1,3 МЛН