Burkina Faso 1-0 Zanzibar | Highlights | Mapinduzi Cup 06/01/2025

  Рет қаралды 29,319

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Пікірлер
@ramzsule7678
@ramzsule7678 Күн бұрын
Hongera bukinafaso
@kanaanrajab1102
@kanaanrajab1102 Күн бұрын
Well-Done ZnZ🏝❤
@PAAKWAMEPAA
@PAAKWAMEPAA 2 сағат бұрын
Asante
@PAAKWAMEPAA
@PAAKWAMEPAA 2 сағат бұрын
El portero merecer un tarjeta rojo por usando su mano 🤚
@majidabdul-wg8ww
@majidabdul-wg8ww Күн бұрын
Kenya tunaondoka nalo kombe letu nyie wengine wasindikizaji 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fahadfahmy
@fahadfahmy 4 сағат бұрын
goli safi striker alikua onside
@AmirySambala
@AmirySambala 17 сағат бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@kidaumtumbwi1128
@kidaumtumbwi1128 7 сағат бұрын
Goli la Burkina Faso ni offside clear wala haitaki Tochi. Mchezaji wao kushoto amezidi.
@OuattaraAdama-yr4hx
@OuattaraAdama-yr4hx Күн бұрын
🇧🇫🇧🇫🇧🇫🇧🇫🇧🇫
@Hamil-ud7yw
@Hamil-ud7yw 22 сағат бұрын
Hamna marefa kadaka nje n red kadi halfu goli ni of said
@HusseinMohammed-s3j
@HusseinMohammed-s3j 14 сағат бұрын
Nani kakwambia ni ofside hpn ofside pale kaangalie vizr ht mimi nilidhani ni ofside lkn nimeangalia kwa umakini no ofside
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania Сағат бұрын
Sema Zanzibar mmezoea urojo sana bana. Yaani kutwa kulalama eti offside offside! Nani kawadanganya ile ni offside? Hebu endeleeni kula ubuyu bana.
@balakasalim7735
@balakasalim7735 Күн бұрын
Golikipa ukishika nje ya box siinakua kadi nyekundu au inakuaje jamaan Kwa anaejua
@st.jamese.r6941
@st.jamese.r6941 Күн бұрын
Foul ya kawaida, inaadhibiwa kwa direct free kick 😢
@MohdOmar-w4r
@MohdOmar-w4r 19 сағат бұрын
Akishika makusudi kama yeye ni red card
@MohdNguli
@MohdNguli 15 сағат бұрын
Hapana sio redcard ni njano
@Waziyr
@Waziyr Күн бұрын
Kes siyo feytoto kssi ni Tim anayochezea feytoto
@MohdOmar-w4r
@MohdOmar-w4r 19 сағат бұрын
Goli kipa akicheza mpira kwa mikono nnje ya box kwa makusudi ni red card, Bukinafaso mmeponea refa
@HvhVvb-k3i
@HvhVvb-k3i 19 сағат бұрын
Jenzi z muungano za znz bluu light nyeusi na kijani
@mtendebeachzanzibar
@mtendebeachzanzibar 23 сағат бұрын
Kuwafunga Tanzania Bara tu tusharizika
@zenithdecollection9427
@zenithdecollection9427 19 сағат бұрын
​@@DerickDanfordkwan kufungwa mmeanza juz 😂😂 mbon tushawazoea kuwafunga
@DerickDanford
@DerickDanford 8 сағат бұрын
@@zenithdecollection9427 ila talents kwenu chache an Fei,Muda,Bacca 😂😂😂
@DerickDanford
@DerickDanford 8 сағат бұрын
@@zenithdecollection9427 sawa ila ni mechi ndogo.ko hatuwagi serious kikos chen ndyo kwanza kina mastar 3 Muda,Bacca na Fei😂😂😂
@franccoz94
@franccoz94 Күн бұрын
FEITOTO bwanaa WACHEZAJI wote wakubwaa wapo mashindano ya caf yeye yupo hukuu
@CRVSEC
@CRVSEC Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😊
@Vegasboy254
@Vegasboy254 Күн бұрын
Caf enyewe kwani ipo kila siku😂
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 18 сағат бұрын
😂😂😂
@HamisMwamba
@HamisMwamba 15 сағат бұрын
Bas itakua mchezaj mdogo sio mkubwa kama usemavyo
@UrassaPaschal
@UrassaPaschal Күн бұрын
Wale waliokuwa wakileta mjadala kuhusu rangi za jezi haya lei zanzibar wamevaaje??? Si kama zilezile tu za taifa star ama?
@TalibMuhsin
@TalibMuhsin 23 сағат бұрын
Tofauti izo
@dreamersonlinetv6496
@dreamersonlinetv6496 20 сағат бұрын
kzbin.info/www/bejne/n3nUf6uMbZiIidUsi=nEZPgl768QDLlCs_
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
MBOWE AMTOLEA LISSU UVIVU, AMLIPUA VIBAYAAAAAAAA
51:58
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 22 М.
Magoli Yote Yanga vs TP Mazembe 3-1 Highlights leo 2025 Young Africans vs TP Mazembe
10:11
قناة أم جنات وعبداللهom janat abdlah
Рет қаралды 453 М.
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН